Zaburi 35 - Kuomba msaada | (Zaburi ya Daudi)

  Рет қаралды 48,697

Biblia Takatifu

Biblia Takatifu

4 жыл бұрын

#Zaburi #bibliatakatifu #biblia #Mungu
Zaburi ~ Psalms ~ Mlango wa 35
E Bwana, utete nao wanaoteta nami, Upigane nao wanaopigana nami.
2 Uishike ngao na kigao, Usimame unisaidie.
3 Uutoe na mkuki uwapinge wanaonifuatia, Uiambie nafsi yangu, Mimi ni wokovu wako.
4 Waaibishwe, wafedheheshwe, Wanaoitafuta nafsi yangu. Warudishwe nyuma, wafadhaishwe, Wanaonizulia mabaya.
5 Wawe kama makapi mbele ya upepo, Malaika wa Bwana akiwaangusha chini.
6 Njia yao na iwe giza na utelezi, Malaika wa Bwana akiwafuatia.
7 Maana bila sababu wamenifichia wavu, Bila sababu wameichimbia shimo nafsi yangu.
8 Uharibifu na umpate kwa ghafula, Na wavu aliouficha umnase yeye mwenyewe; Kwa uharibifu aanguke ndani yake.
9 Na nafsi yangu itamfurahia Bwana, Na kuushangilia wokovu wake.
10 Mifupa yangu yote itasema, Bwana, ni nani aliye kama Wewe? Umponyaye maskini na mtu aliye hodari kumshinda yeye, Naam, maskini na mhitaji na mtu amtekaye.
11 Mashahidi wa udhalimu wanasimama, Wananiuliza mambo nisiyoyajua.
12 Wananilipa mabaya badala ya mema, Hata nafsi yangu ikaingia ukiwa.
13 Bali mimi, walipougua wao, Nguo yangu ilikuwa gunia. Nalijitesa nafsi yangu kwa kufunga; Maombi yangu yakarejea kifuani mwangu.
14 Nalijifanya kama kwamba ni rafiki au ndugu yangu, Naliinama nikilia kama aliyefiwa na mamaye.
15 Lakini nikijikwaa hufurahi na kukusanyana, Walinikusanyikia watu ovyo nisiowajua, Wananipapura wala hawakomi.
16 Kama wenye mzaha wakikufuru karamuni Wananisagia meno.
17 Bwana, hata lini utatazama? Uiokoe nafsi yangu na maharabu yao, Na mpenzi wangu na wana-simba.
18 Nitakushukuru katika kusanyiko kubwa; Nitakusifu kati ya watu wengi.
19 Walio adui zangu bure wasinisimange, Wanaonichukia bila sababu wasining'ong'e.
20 Maana hawasemi maneno ya amani, Na juu ya watulivu wa nchi huwaza hila.
21 Nao wananifumbulia vinywa vyao, Husema, Ewe! Ewe! Jicho letu limeona.
22 Wewe, Bwana, umeona, usinyamaze; Ee Bwana, usiwe mbali nami.
23 Uamke, uwe macho ili kunipatia hukumu Kwa ajili ya madai yangu, Mungu wangu na Bwana wangu.
24 Unihukumu kwa haki yako, Ee Bwana, Mungu wangu, Wala wasinisimangize.
25 Wasiseme moyoni, Haya! Ndivyo tutakavyo; Wasiseme, Tumemmeza.
26 Waaibishwe, wafedheheshwe pamoja, Wanaoifurahia hali yangu mbaya. Wavikwe aibu na fedheha, Wanaojikuza juu yangu.
27 Washangilie na kufurahi, Wapendezwao na haki yangu. Naam, waseme daima, Atukuzwe Bwana, Apendezwaye na amani ya mtumishi wake.
28 Na ulimi wangu utanena haki yako, Na sifa zako mchana kutwa.

Пікірлер: 113
@siliviakokubanza-dz6qf
@siliviakokubanza-dz6qf 26 күн бұрын
Ahsante Mungu kwa zaburi hii. Hakika inanibariki na kunifariji. Amina.
@juliethjulius1707
@juliethjulius1707 11 күн бұрын
Amen Eee Mwenyezi Mungu utete nao wanao teta nami na upigane nao wanapigana nami
@KelvinAmos-ow7pf
@KelvinAmos-ow7pf 3 ай бұрын
Mungu baba ulie mbinguni nisaidie katika maisha yangu
@bibliatakatifu5723
@bibliatakatifu5723 3 ай бұрын
kzbin.info/www/bejne/baa5gYeGhbyWe6s Napenda kukukaribisha sana kwa Moyo wa Upendo ili uweze kushiriki kwenye masomo ya Biblia kwaajili ya WAUMINI, WACHUNGAJI, WAINJILISTI na VIONGOZI WA KIDINI ili tuweze kujua kwa usahihi kuhusu ujio wa pili wa Yesu na namna ya kujiandaa. Madarasa ya masomo ni mara 3 kwa wiki kwa muda wa miezi 10, unaweza ukapangilia mda wako vizuri ukahudhuria madarasa haya. Tunakukaribisha sana kwa moyo wa dhati. Kwa mawasiliano zaidi: 0620 150 540
@bibliatakatifu5723
@bibliatakatifu5723 3 ай бұрын
kzbin.info/www/bejne/baa5gYeGhbyWe6s
@furahamichael6047
@furahamichael6047 22 күн бұрын
Amina madui zangu mtoweshwe kwajina layesu mpigwe Giza labwana m anguke nyavuni Amina
@user-cr1nk1zc5s
@user-cr1nk1zc5s 2 ай бұрын
Ehhhh BWANA Ahsante sana 🙏🏽🙏🏽 hii zaburi imenisaidia sana 🙏🏽🙏🏽🙏🏽
@bibliatakatifu5723
@bibliatakatifu5723 Ай бұрын
Mungu ni Mwema kwetu, Unaweza kuangalia video hii na kuisikiliza kwa Makini zaidi kzbin.info/www/bejne/jYezqpx6l8l9pc0 Jiandae vyema kwaajili ya Ujio wa Pili wa Yesu Kristo. Amen
@sherryfuraha3076
@sherryfuraha3076 2 ай бұрын
Amen teta na wanao teta nami Jehovah 😢unajua haja ya moyo kutenganishwa na nguvu za Giza acha njia zao ziwe giza na utelezi
@bibliatakatifu5723
@bibliatakatifu5723 Ай бұрын
Mungu ni Mwema kwetu, Unaweza kuangalia video hii na kuisikiliza kwa Makini zaidi kzbin.info/www/bejne/jYezqpx6l8l9pc0 Jiandae vyema kwaajili ya Ujio wa Pili wa Yesu Kristo. Amen
@noormoammed3116
@noormoammed3116 29 күн бұрын
Mungu nitetee Kwa Kila baya
@user-fo6yi1us2q
@user-fo6yi1us2q 4 ай бұрын
Amen
@bibliatakatifu5723
@bibliatakatifu5723 3 ай бұрын
kzbin.info/www/bejne/baa5gYeGhbyWe6s
@neemalaurent9836
@neemalaurent9836 7 ай бұрын
Usinyamaze na usiwe mbali NAMI bwana yesu 🙏
@bibliatakatifu5723
@bibliatakatifu5723 7 ай бұрын
Tujifunze wote kupitia Kitabu hiki cha Zaburi, kina hekima, maonyo, mafundisho na maelekezo katika maisha yetu. Karibu sana. Share kwa wengine Tujifunze pamoja. kzbin.info/www/bejne/rYO4h5SLbb-VocU
@judyotieno1249
@judyotieno1249 8 ай бұрын
Ee Mungu wangu umlinde mamangu usiku huu maana madui wamemtesa sana na majini.
@bibliatakatifu5723
@bibliatakatifu5723 8 ай бұрын
Mungu atamsaidia na kurehemu. Maadaui zake nawafunga kwa jina la Yesu, hawatakuwa na nguvu tena juu yake. Amen!
@judyotieno1249
@judyotieno1249 8 ай бұрын
@@bibliatakatifu5723 AMEEN ASANTE SANA MUNGU AKUBARIKI
@immaculatakadyanji5927
@immaculatakadyanji5927 7 ай бұрын
Jini hana nguvu kwenye jina la Yesu.
@judyotieno1249
@judyotieno1249 7 ай бұрын
@@immaculatakadyanji5927 Amen utkumbuke kwa maombi dadangu maana tumeumiwa majini mimi na mamangu mwili unachoma sana. Tukumbuke kwa maombi plz
@neemalaurent9836
@neemalaurent9836 7 ай бұрын
Wanaojokweza juu yangu wafedheheshwe
@bibliatakatifu5723
@bibliatakatifu5723 7 ай бұрын
Tujifunze wote kupitia Kitabu hiki cha Zaburi, kina hekima, maonyo, mafundisho na maelekezo katika maisha yetu. Karibu sana. Share kwa wengine Tujifunze pamoja. kzbin.info/www/bejne/rYO4h5SLbb-VocU
@sylivianamutosi9264
@sylivianamutosi9264 7 ай бұрын
Madui zetu warutiswhe nyuma kapiza wawajachane nasisi
@bibliatakatifu5723
@bibliatakatifu5723 7 ай бұрын
Tujifunze wote kupitia Kitabu hiki cha Zaburi, kina hekima, maonyo, mafundisho na maelekezo katika maisha yetu. Karibu sana. Share kwa wengine Tujifunze pamoja. kzbin.info/www/bejne/rYO4h5SLbb-VocU
@JuliethMdee-fb5bk
@JuliethMdee-fb5bk 21 күн бұрын
Ameni
@Lectricia
@Lectricia 9 сағат бұрын
Amen mungu wangu nipinganie vita hotel haha zile czijui
@JosephineKengaa
@JosephineKengaa Ай бұрын
Teta nami jehovah
@bibliatakatifu5723
@bibliatakatifu5723 Ай бұрын
Mungu ni Mwema kwetu, Unaweza kuangalia video hii na kuisikiliza kwa Makini zaidi kzbin.info/www/bejne/jYezqpx6l8l9pc0 Jiandae vyema kwaajili ya Ujio wa Pili wa Yesu Kristo. Amen
@siliviakokubanza-dz6qf
@siliviakokubanza-dz6qf 2 ай бұрын
Amina.
@bibliatakatifu5723
@bibliatakatifu5723 Ай бұрын
Mungu ni Mwema kwetu, Unaweza kuangalia video hii na kuisikiliza kwa Makini zaidi kzbin.info/www/bejne/jYezqpx6l8l9pc0 Jiandae vyema kwaajili ya Ujio wa Pili wa Yesu Kristo. Amen
@Coco-nu4of
@Coco-nu4of 2 ай бұрын
Amen 🙏

@JescaWilliam-mg2vn
@JescaWilliam-mg2vn 16 күн бұрын
Améen🙏
@RachelEmid-jq6eo
@RachelEmid-jq6eo 4 ай бұрын
Ameeen 🙏🙏
@bibliatakatifu5723
@bibliatakatifu5723 3 ай бұрын
kzbin.info/www/bejne/baa5gYeGhbyWe6s
@aneboythefirstdj
@aneboythefirstdj 6 ай бұрын
Ameeeeena
@bibliatakatifu5723
@bibliatakatifu5723 5 ай бұрын
Bwana Yesu Asifiwe, Mungu akubariki na akuwezeshe kumjua yeye na kufika katika mbingu yake. Endelea kujifunza na kusikiliza maneno yake na kuwashirikisha na wengine. Usisahau kulike, share na kusubscribe.
@marylongway9282
@marylongway9282 2 жыл бұрын
Ee Mungu nijengee imani katika neno lako.
@bibliatakatifu5723
@bibliatakatifu5723 Жыл бұрын
Tujifunze wote kupitia Kitabu hiki cha Zaburi, kina hekima, maonyo, mafundisho na maelekezo katika maisha yetu. Karibu sana. Share kwa wengine Tujifunze pamoja. kzbin.info/www/bejne/rYO4h5SLbb-VocU
@ladymacollection
@ladymacollection Жыл бұрын
I connect this prayer for all my life 🙏🏻🙏🏻 adui ajawai kulala
@bibliatakatifu5723
@bibliatakatifu5723 Жыл бұрын
Tujifunze wote kupitia Kitabu hiki cha Zaburi, kina hekima, maonyo, mafundisho na maelekezo katika maisha yetu. Karibu sana. Share kwa wengine Tujifunze pamoja. kzbin.info/www/bejne/rYO4h5SLbb-VocU
@adophine1063
@adophine1063 Жыл бұрын
Amen wahaibike aduwi wa nafsi zetu.
@bibliatakatifu5723
@bibliatakatifu5723 9 ай бұрын
Amen Mtu wa Mungu, Usiache Kushare na wengine walisikilize neno la Yehova kzbin.info/www/bejne/gaTWoH6Mdt95ipI
@nirereuwimana4454
@nirereuwimana4454 11 ай бұрын
Amen wahaibishwe warudishwe nyuma adui zetu
@bibliatakatifu5723
@bibliatakatifu5723 9 ай бұрын
Amen Mtu wa Mungu, Usiache Kushare na wengine walisikilize neno la Yehova kzbin.info/www/bejne/gaTWoH6Mdt95ipI
@janemagutusinda8092
@janemagutusinda8092 2 жыл бұрын
Amina
@bibliatakatifu5723
@bibliatakatifu5723 9 ай бұрын
Amen Mtu wa Mungu, Usiache Kushare na kusubscribe channel hii, Hakika Mungu atakubariki na share link kwa wengine walisikilize neno la Yehova kzbin.info/www/bejne/gaTWoH6Mdt95ipI
@tamrahrestaurant6473
@tamrahrestaurant6473 2 жыл бұрын
Ameen
@bibliatakatifu5723
@bibliatakatifu5723 9 ай бұрын
Amen Mtu wa Mungu, Usiache Kushare na kusubscribe channel hii, Hakika Mungu atakubariki na share link kwa wengine walisikilize neno la Yehova kzbin.info/www/bejne/gaTWoH6Mdt95ipI
@marykisiangani2470
@marykisiangani2470 Жыл бұрын
Amen amen
@bibliatakatifu5723
@bibliatakatifu5723 9 ай бұрын
Amen Mtu wa Mungu, Usiache Kushare na wengine walisikilize neno la Yehova kzbin.info/www/bejne/gaTWoH6Mdt95ipI
@pilimwana310
@pilimwana310 Жыл бұрын
AMen AMen 🙏🙏🙏
@bibliatakatifu5723
@bibliatakatifu5723 9 ай бұрын
Amen Mtu wa Mungu, Usiache Kushare na kusubscribe channel hii, Hakika Mungu atakubariki na share link kwa wengine walisikilize neno la Yehova kzbin.info/www/bejne/gaTWoH6Mdt95ipI
@aminaagnita6757
@aminaagnita6757 2 жыл бұрын
Aamen
@bibliatakatifu5723
@bibliatakatifu5723 9 ай бұрын
Amen Mtu wa Mungu, Usiache Kushare na kusubscribe channel hii, Hakika Mungu atakubariki na share link kwa wengine walisikilize neno la Yehova kzbin.info/www/bejne/gaTWoH6Mdt95ipI
@gracelunyili6517
@gracelunyili6517 2 жыл бұрын
AMEEN
@bibliatakatifu5723
@bibliatakatifu5723 9 ай бұрын
Amen Mtu wa Mungu, Usiache Kushare na kusubscribe channel hii, Hakika Mungu atakubariki na share link kwa wengine walisikilize neno la Yehova kzbin.info/www/bejne/gaTWoH6Mdt95ipI
@MaceyWangoui
@MaceyWangoui Ай бұрын
😂😂amen 🙏🙏 amen
@user-fd4hc8zv4v
@user-fd4hc8zv4v 8 ай бұрын
Ameen🙏🙏
@bibliatakatifu5723
@bibliatakatifu5723 7 ай бұрын
Tujifunze wote kupitia Kitabu hiki cha Zaburi, kina hekima, maonyo, mafundisho na maelekezo katika maisha yetu. Karibu sana. Share kwa wengine Tujifunze pamoja. kzbin.info/www/bejne/rYO4h5SLbb-VocU
@joycekarondo2472
@joycekarondo2472 3 жыл бұрын
Zaburi 30
@bibliatakatifu5723
@bibliatakatifu5723 3 жыл бұрын
Unaweza kuendelea kusikiliza vitabu mbalimbali vya biblia. usiache kulike, comment & subscribe & kushare. Mungu atubariki sana.
@lucylucy2327
@lucylucy2327 3 жыл бұрын
Ameeen
@bibliatakatifu5723
@bibliatakatifu5723 3 жыл бұрын
unaweza kuendelea kusikiliza vitabu mbalimbali vya biblia. usiache kulike, comment & subscribe & kushare. Mungu atubariki sana.
@m0llyachieng514
@m0llyachieng514 Жыл бұрын
Ameeeen
@bibliatakatifu5723
@bibliatakatifu5723 9 ай бұрын
Amen Mtu wa Mungu, Usiache Kushare na wengine walisikilize neno la Yehova kzbin.info/www/bejne/gaTWoH6Mdt95ipI
@BensonMarani
@BensonMarani 8 күн бұрын
Amen
@aneboythefirstdj
@aneboythefirstdj 6 ай бұрын
Ameeeeena
@bibliatakatifu5723
@bibliatakatifu5723 5 ай бұрын
Bwana Yesu Asifiwe, Mungu akubariki na akuwezeshe kumjua yeye na kufika katika mbingu yake. Endelea kujifunza na kusikiliza maneno yake na kuwashirikisha na wengine. Usisahau kulike, share na kusubscribe.
@elizamfanga562
@elizamfanga562 4 жыл бұрын
Amina
@bibliatakatifu5723
@bibliatakatifu5723 3 жыл бұрын
Unaweza kuendelea kusikiliza vitabu mbalimbali vya biblia. usiache kulike, comment & subscribe & kushare. Mungu atubariki sana.
@user-cl4xd3du1d
@user-cl4xd3du1d Жыл бұрын
Ameen
@bibliatakatifu5723
@bibliatakatifu5723 9 ай бұрын
Amen Mtu wa Mungu, Usiache Kushare na wengine walisikilize neno la Yehova kzbin.info/www/bejne/gaTWoH6Mdt95ipI
@patriciamulokozi5703
@patriciamulokozi5703 17 күн бұрын
Amen
@kayajaexpress8313
@kayajaexpress8313 3 ай бұрын
Amen
@bibliatakatifu5723
@bibliatakatifu5723 Ай бұрын
Mungu ni Mwema kwetu, Unaweza kuangalia video hii na kuisikiliza kwa Makini zaidi kzbin.info/www/bejne/jYezqpx6l8l9pc0 Jiandae vyema kwaajili ya Ujio wa Pili wa Yesu Kristo. Amen
@judithilunda5973
@judithilunda5973 6 ай бұрын
Amen
@bibliatakatifu5723
@bibliatakatifu5723 5 ай бұрын
Bwana Yesu Asifiwe, Mungu akubariki na akuwezeshe kumjua yeye na kufika katika mbingu yake. Endelea kujifunza na kusikiliza maneno yake na kuwashirikisha na wengine. Usisahau kulike, share na kusubscribe.
@user-ym6rc8tp5i
@user-ym6rc8tp5i 9 ай бұрын
Amen
@bibliatakatifu5723
@bibliatakatifu5723 9 ай бұрын
Amen Mtu wa Mungu, Usiache Kushare na wengine walisikilize neno la Yehova kzbin.info/www/bejne/gaTWoH6Mdt95ipI
@elizahmulwa3606
@elizahmulwa3606 Жыл бұрын
Amen
@bibliatakatifu5723
@bibliatakatifu5723 Жыл бұрын
Tujifunze wote kupitia Kitabu hiki cha Zaburi, kina hekima, maonyo, mafundisho na maelekezo katika maisha yetu. Karibu sana. Share kwa wengine Tujifunze pamoja. kzbin.info/www/bejne/rYO4h5SLbb-VocU
@mwanashagladys4581
@mwanashagladys4581 Жыл бұрын
Amen
@bibliatakatifu5723
@bibliatakatifu5723 9 ай бұрын
Amen Mtu wa Mungu, Usiache Kushare na wengine walisikilize neno la Yehova kzbin.info/www/bejne/gaTWoH6Mdt95ipI
@mechmary8413
@mechmary8413 Жыл бұрын
Amen
@bibliatakatifu5723
@bibliatakatifu5723 9 ай бұрын
Amen Mtu wa Mungu, Usiache Kushare na kusubscribe channel hii, Hakika Mungu atakubariki na share link kwa wengine walisikilize neno la Yehova kzbin.info/www/bejne/gaTWoH6Mdt95ipI
@irenembura8045
@irenembura8045 Жыл бұрын
Amen
@bibliatakatifu5723
@bibliatakatifu5723 9 ай бұрын
Amen Mtu wa Mungu, Usiache Kushare na wengine walisikilize neno la Yehova kzbin.info/www/bejne/gaTWoH6Mdt95ipI
@fatumatandika6220
@fatumatandika6220 Жыл бұрын
Amen
@bibliatakatifu5723
@bibliatakatifu5723 9 ай бұрын
Amen Mtu wa Mungu, Usiache Kushare na wengine walisikilize neno la Yehova kzbin.info/www/bejne/gaTWoH6Mdt95ipI
@miriammutemi5670
@miriammutemi5670 4 жыл бұрын
Amen
@bibliatakatifu5723
@bibliatakatifu5723 3 жыл бұрын
Unaweza kuendelea kusikiliza vitabu mbalimbali vya biblia. usiache kulike, comment & subscribe & kushare. Mungu atubariki sana.
@sabrinasamwel5481
@sabrinasamwel5481 3 жыл бұрын
@@bibliatakatifu5723 ameen
@Preciousamaya
@Preciousamaya 11 ай бұрын
Amen
@bibliatakatifu5723
@bibliatakatifu5723 9 ай бұрын
Amen Mtu wa Mungu, Usiache Kushare na wengine walisikilize neno la Yehova kzbin.info/www/bejne/gaTWoH6Mdt95ipI
@Alice-vl2kn
@Alice-vl2kn 3 жыл бұрын
Amen
@bibliatakatifu5723
@bibliatakatifu5723 3 жыл бұрын
Unaweza kuendelea kusikiliza vitabu mbalimbali vya biblia. usiache kulike, comment & subscribe & kushare. Mungu atubariki sana.
@nellykitti1214
@nellykitti1214 2 жыл бұрын
Amen
@bibliatakatifu5723
@bibliatakatifu5723 9 ай бұрын
Amen Mtu wa Mungu, Usiache Kushare na kusubscribe channel hii, Hakika Mungu atakubariki na share link kwa wengine walisikilize neno la Yehova kzbin.info/www/bejne/gaTWoH6Mdt95ipI
@monicamlingi360
@monicamlingi360 3 жыл бұрын
Amen
@bibliatakatifu5723
@bibliatakatifu5723 3 жыл бұрын
unaweza kuendelea kusikiliza vitabu mbalimbali vya biblia. usiache kulike, comment & subscribe & kushare. Mungu atubariki sana.
@songambeleincharge1543
@songambeleincharge1543 3 жыл бұрын
Amina
@bibliatakatifu5723
@bibliatakatifu5723 3 жыл бұрын
unaweza kuendelea kusikiliza vitabu mbalimbali vya biblia. usiache kulike, comment & subscribe & kushare. Mungu atubariki sana.
@tamimafailler2786
@tamimafailler2786 3 жыл бұрын
Amen
@bibliatakatifu5723
@bibliatakatifu5723 3 жыл бұрын
unaweza kuendelea kusikiliza vitabu mbalimbali vya biblia. usiache kulike, comment & subscribe & kushare. Mungu atubariki sana.
@abigaelmasha9786
@abigaelmasha9786 3 жыл бұрын
Amen
@bibliatakatifu5723
@bibliatakatifu5723 3 жыл бұрын
Unaweza kuendelea kusikiliza vitabu mbalimbali vya biblia. usiache kulike, comment & subscribe & kushare. Mungu atubariki sana.
@valentinaulotu1416
@valentinaulotu1416 3 жыл бұрын
Amina
@aminamuhando4815
@aminamuhando4815 3 жыл бұрын
Ameeeeen
@leahayoti86
@leahayoti86 3 жыл бұрын
Amen
@bibliatakatifu5723
@bibliatakatifu5723 3 жыл бұрын
Unaweza kuendelea kusikiliza vitabu mbalimbali vya biblia. usiache kulike, comment & subscribe & kushare. Mungu atubariki sana.
@fatumatandika5849
@fatumatandika5849 2 жыл бұрын
Amen
Kitabu cha Zaburi - Sura ya 1 Hadi 150
4:15:34
Biblia Takatifu
Рет қаралды 25 М.
A little girl was shy at her first ballet lesson #shorts
00:35
Fabiosa Animated
Рет қаралды 9 МЛН
Playing hide and seek with my dog 🐶
00:25
Zach King
Рет қаралды 33 МЛН
39kgのガリガリが踊る絵文字ダンス/39kg boney emoji dance#dance #ダンス #にんげんっていいな
00:16
💀Skeleton Ninja🥷【にんげんっていいなチャンネル】
Рет қаралды 8 МЛН
BEAUTIFUL MORNING DUA | For Protection| Blessings| Rizq | Tasbih | full | Omar Hisham|
27:31
EthioQuran اثيو القرآن
Рет қаралды 2,5 МЛН
Psalm 35 Prayer To Break The Bonds
8:56
Before Sunrise PRAY
Рет қаралды 453 М.
Zaburi 37 - Kufanikiwa kwa waovu kusikufadhaishe
4:05
Biblia Takatifu
Рет қаралды 5 М.
Zabbuli Ey'asatu mu Musaavu
5:10
The Luganda Audio Bible
Рет қаралды 1,2 М.
7 Fatiha 7 Ayetel Kürsi 7 İhlas 7 Felak 7 Nas Kur'an-ı Kerim Rukye
24:23
fussilet Kuran Merkezi
Рет қаралды 77 МЛН
أذكار الصباح بصوت الشيخ العفاسي | Morning Athkar | Les invocations du matin
23:25
MAOMBI YA KUOMBA UTULIVU WA MOYO - Innocent Morris
1:45:50
Holy Spirit Connect
Рет қаралды 6 М.
Gym belt !! 😂😂  @kauermtt
0:10
Tibo InShape
Рет қаралды 16 МЛН
Dad made juice from watermelon pulp for his son.
0:32
Valja & Maxim Family
Рет қаралды 9 МЛН
Заботьтесь о любимых❤️🫶🏾 инст:sarkison7
0:58
SARKISONCHIK.OFFICIAL
Рет қаралды 7 МЛН
Самые крутые игрушки
0:48
veloloh
Рет қаралды 1,8 МЛН
ДОМИК ИЗ АРБУЗА #юмор #cat #топ
0:40
Лайки Like
Рет қаралды 2,4 МЛН
не так кладёшь #карелия #рыбалка #природа #сегозеро
0:13
Север - Родина смелых
Рет қаралды 2 МЛН
CAA Conversion kit at ZAHAL 🎯
0:14
Zahal Youtube
Рет қаралды 66 МЛН