Tulioko nje ya nchi tumechoka kusumbuliwa na mafundi. Hawa mafundi wanadai hawana wateja, sababu kubwa ni matapeli. Watu wengi wanakuongelea kuhusu bei yako nzuri na kazi safi. Wacha hao matapeli wafe kwa njaa. Utapata kazi nyingi kutoka kwetu inshallah na hatutampa mchina tena kazi,
@upendowakwelinaamani10602 жыл бұрын
Mashallah mungu ni mwema mkandarasi wetu akiwa kazini kazi iendelee nguvu mmoja hadi kieleweke haina kwere hiyo!
@bahatiagape7312 жыл бұрын
Zahir naomba number yako nam nikutumie hela ya ujenz
@ashashaban64842 жыл бұрын
MASHALLAH MASHALLAH ALLAH AKULIPE KILA LA KHERI KAKA
@kadijahajali39182 жыл бұрын
Asalamghaikum vip habari zenu
@mwanatz59802 жыл бұрын
Kazi nzuri 😍😍🔥 .
@shamzone3882 жыл бұрын
Mash allah zahir unastahili sifa zoote juu yako Pongezi kwa woote wa maximun team
@mizesuleiman18342 жыл бұрын
Muna raha kwetu mukichoma ivyo mamwera n.a. pingu mkononi
@nahyialetomia92842 жыл бұрын
MashaAllah, mkenya anaweza kununua hapo Bagamoyo?
@shailabushiri45782 жыл бұрын
Kuna Sheria akizifata anaweza kununua
@nahyialetomia92842 жыл бұрын
@@shailabushiri4578🙏, nielekeze tafadhali
@zuhurayassini27142 жыл бұрын
Viwanja viko vingi sana tena bei rais kwaiyo fuata sheria utapata ti
@hanifatanzania72582 жыл бұрын
Maashallah
@fauziaahmed9747 Жыл бұрын
Vikindu viwanja vikumbwa kama chamama batuli beingani