Sawa sawa lindeni fuo zenu musingojee serikali ishazembea mashaallah Kazi nzuri mumefanya
@yussufvavo18 ай бұрын
Gesi haiharibu mazingira na wala kama hawatowahi kuisha baharini, kwanza mwenye kutumia tupa havui majii madogo hao jama munawaonea huo uvuvi unatumika karibia kenya nzima kwa sahivi. Waapeni mipkaa ya kutoma na tupa lkni sio kuwakataza riziki hutoka kwa mungu
@AbdirahimIbrahim-sh6sl8 ай бұрын
Chupa zatumika kwa uvuvi kote Duniani.Hasad is real
@omodesigner8 ай бұрын
Ruto should see thos news bana
@salimbilali51748 ай бұрын
Kwani si marine wa administration police wanafnya nn uko
@frerickmadede99888 ай бұрын
But mumejiuliza kua iwapo mwenye ameekeza kiwango hicho cha uvuvi anajuana na mamlaka ya uvuvi na police kiwango gani ,, ninachojua n kua mumenasa mtoto wa fisi ambapo fisi police itamufungia asiwinde chakula ,, na ngojeni mtajionea
@erickanyugo32538 ай бұрын
Ruto 2027. Gachagua 2032. Murkomen 2042. Tupatane kwa debe!!!!