Benroyol naomba nafasi na mie napenda sana kujiunga pamoja nanyi .nina upendo mkubwa na sanaa ya uwigizaji
@CynthiaWangechi-k9t4 ай бұрын
Love U so much Peter.Mungu awabariki benroyal film producers
@DeogratiusElias-l4r6 ай бұрын
Miss you guys nilikuwa najiuliza mmeenda wapi wanangu
@MwalaTheentertainer6 ай бұрын
Kazi nzuri Sana tumetoka mbali. Salimika Sana Modesta love you
@abdullahmapesa6 ай бұрын
Daaah jamani ongereni Sana kwa hiyi movies Kali Sana big un sana
@gabrieladolph6 ай бұрын
Mlipotea sana wazee ijue cc tupo dar akin tunawafuatilia sana kazi zur ongezen juhudi
@azizahamisi37126 ай бұрын
Jaman benroyar munaweza Hadi munaweza Tena mungu awajalie mufikie malengo❤❤❤❤❤
@djsally93585 ай бұрын
Huwezi amini niliacha kuwach movie mwamba iz back respect
@SaidMohamed-d9k6 ай бұрын
❤❤❤mlikua wapi wanangu,mbona mlipotea hivyo tunawapenda sanaa 2 mtupewendelezo wa zile mlizo acha basi
@athmanhassan24995 ай бұрын
Benroyal wana kazi nzuri tatizo ni wanachelewesha kazi...much love from kenya 001
@SaidiJuma-k4p6 ай бұрын
Kaka benloyalty hii movie nzur sana maana mmeelezea changamoto ambazo tunazipitia mitaani kwenye mahusiano na maisha ya kawaida
@AminaBakary-n1i4 ай бұрын
Ila wewe kaka upo vizuri sana 🤗
@suleymanimixkatafighter26696 ай бұрын
Movi zenu ni nzuri saaana tu tunapenda kufuatiria kwa mfurulizo mzuri A to z
@NionzimaJonathan4 ай бұрын
Nawakubali sana wadau
@ram-babubakta15626 ай бұрын
Wakwanza Leo hapa... I really love this channel. Thanks 🙏 on the behalf of Ugandans who missed this 😊
@Benroyalmovies6 ай бұрын
Thanks for watching
@obby-M6 ай бұрын
ntatupia kakofia kangu na kakiatu kangu hapo, ntakusanya watoto, kumbe hunijuagi. My favourite part❤❤
@husseinallyshego49155 ай бұрын
Huwa nawafuatilia sana movie zenu mko vzuri na mpo tofauti sana ❤
@suleOficialtz84516 ай бұрын
Nawakubali sanaa. Jitahidini kupandisha kaz kwa wakati
@ombenidanieli18526 ай бұрын
😂😂😂😂Nafurahi ombilangu limejibiwa maan nilikuwa napenda san hawa jama wataweza movie pamoja
@DommyAbasy-cn5nc6 ай бұрын
niliwamiss sana alafu nawapenda sana Ndiyo mnafanya kazi nzuri sana🌹♥
@Mchelsi-ke6 ай бұрын
Benroyal my best channel in Tanzania huwa mnaangusha vitu Kali Kali sana ila tu mnatufanya tungoje sana
@Benroyalmovies6 ай бұрын
Karibu sana
@MwanyiluTz5 ай бұрын
Leoo nime muona class mate humuu, jescaaa mambo vp
@SamsonFundi.J6 ай бұрын
Bora mmetuletea, maana tulihitaji sana kazi kama hizi
@AbuuKaoneka6 ай бұрын
Mnaish maish ya furah san good job Big ap san
@SwalehAthuman-b5s6 ай бұрын
Yup well cme back
@ndongoropwii48356 ай бұрын
Kazi kazi bila kuchoka mzigo ni wamoto 🔥🔥🔥
@samwel_laurent6 ай бұрын
Duh, niliwamiss sana asee. Kazi nzuri 🎉🎉🎉🎉🎉
@Raphaellameck6 ай бұрын
Napenda sanaa movie zenu naomba nitoe kama ushauri tunaomba muwe mnatuwahishia pls
@EstherSalym6 ай бұрын
nzuri sanh lkn mwakaa sana bila kutuletea vitu watu wagu❤ bonny nakupenda banh
@NabalegwaAhamad6 ай бұрын
Wow, this movie is so amazing, it made my day. Watching from Uganda
@mwinyijuma65676 ай бұрын
Alafu @mbanga napenda sana hip-hop zenyu + nala mzalendo🎉🎉
@Sululumedia6 ай бұрын
Safi brother kazi nzuri rafiki
@jameskimongi17596 ай бұрын
BP mmekimya sana watunguyaz...watching from Mombasa
@TinTin-xh6xo6 ай бұрын
Saaafiiiii, Yan nimefurahi atari, Kama kuna comedy fran hivi, ❤❤
@ElishaMaduhu6 ай бұрын
kitu kikali sana❤❤
@AmaniRazalo6 ай бұрын
Nimefurahi sana kumuona bavo humu ndani
@JescaTapule-ln9qu4 ай бұрын
Nawapenda
@ABC004826 ай бұрын
Alooh me sijawahi kuwapinga 🙋♀️ May God Bless You For what You doing♥️♥️ Congratulations sana Tulimic Kitu kutoka kwa benroyal picture hatimay You are back 🙌🏽🙌🏽
@Doreen_ONLINE6 ай бұрын
sema nampenda uyu dada paula dah bas tu
@ottomanmorand80876 ай бұрын
Hatimaye mmeludi watu wa mungu, mwasamola miss you ❤
@canjamossi6 ай бұрын
Aisee turikua tumewamiss saana kaka bonny
@gerryjusty65946 ай бұрын
Nmecheka sana 😂😂 kazi nzuri sana
@AllyBabu-kr6lg6 ай бұрын
Ila barnaba na mona.mona sauti kama katoto❤❤❤.barinba pacha wa luka sura mpaka sauti mpaka tabasam naisi ndungu🎉🎉🎉🎉🎉🎉
@AnahSwahili6 ай бұрын
daaah nikajua mmedata na bunji mmetukosea sana 😂😂😂😂😂