Zaituni - Atomic Band-Omari Omari

  Рет қаралды 31,487

Tamu za KALE

Tamu za KALE

Күн бұрын

Пікірлер: 39
@dullamtutuma1096
@dullamtutuma1096 3 жыл бұрын
Dah hatal omy omy jaman mikocheni in 1997 akumbukwe bi mjumbe kwa kuleta band ya atomic
@mwakamala
@mwakamala 3 жыл бұрын
Aisee those days watoto wa temeke ,madenge na muungano primary school, darasani wote walikuwa wanajua kupinga minanda, Sandali, veterinary, Mashada, mikoroshini, mtaa wa langáta. sitaki kumaliza, frey Kupa, Beka wa Bwimbi, chuna,Dame,Mwanyiro, Saidi Ndinga, lo ahahahahhah
@mnandamchirikutv5399
@mnandamchirikutv5399 2 жыл бұрын
Noma sana, siku hazigandi
@mariamabdullah489
@mariamabdullah489 Жыл бұрын
professor Udoro, kachala, Ali swala, machemba, full kuliaa hapa
@selemanikitema1494
@selemanikitema1494 3 ай бұрын
Dah,hii ilikuwa ndio ndio mziki haswa wa kitanzania unanikumbusha mbali sanaa pale kwa kina saidi mandwanga maarufu saidi darban,from pasnaa to topaz hadi atomic
@athumaniathumani3082
@athumaniathumani3082 2 жыл бұрын
Nikweli make wamtu sumu, , Alo Atari sana , mungu Awasamehe wapenda wake za watu,
@AllySalum-j9y
@AllySalum-j9y 8 ай бұрын
Ommmm bwanaaa wp dame dotooo seraaa digaaa kuvaaaa pindiiii irooo kaburuuuu kwaa bodaaa tuuu bodaaa
@husseinmtangwele5990
@husseinmtangwele5990 4 жыл бұрын
kiongozi tupia topaz jumba bovu, na ile nyimbo nashangaa sana kusimamishwa mbele ya mahakama na kutunguliwa kesi ya kuvunja na kuiba mieee. itakuwa nouma ukizitupia mkulungwa
@devisfabian8004
@devisfabian8004 5 жыл бұрын
Tuwekee albam ya atomic watamaliza kuni kwa kuchemsha mawe inanyimbo Kali Sana iyo
@idrissamohamed8469
@idrissamohamed8469 5 жыл бұрын
Aisee nikweli kabisaa
@musaumakusa4698
@musaumakusa4698 4 жыл бұрын
Naikubari Sana album waramaliza Kuni kwa kuchemsha mawe
@cr7salim624
@cr7salim624 4 жыл бұрын
kadidi,ashura,mama alima,watanasaa,imamu,hasila hasara,izo ndio nyimbo vilizopo kwenye albamu hiyo watamaliza kuni kwa kuchemsha mawe
@MrTouch-rm4rh
@MrTouch-rm4rh 4 жыл бұрын
1997 i was crazy for this song bro please i need that song ananiambia naitaka saa yangu atomic music
@rajabrwambo8083
@rajabrwambo8083 4 жыл бұрын
Mtoto wa udongo albamu tamu sana itupie humu kaka
@muddysangaraza7963
@muddysangaraza7963 3 жыл бұрын
Umemaliza mkuu ile albamu ni balaaa kuna ki2 cha Garry ,nalia watoto wangu , nilipo kua mdogo chai ipo vitafunio ha kuna ya an I simchezoooooo
@rajabrwambow9660
@rajabrwambow9660 Жыл бұрын
Sahihi tunaomba mtoto wa udongo zinga la albamu kaka
@musaumakusa4698
@musaumakusa4698 4 жыл бұрын
Isee kitambo Sana Tanzania dar magomeni qter muddyb tupia mtoto wa udongo
@hassanigulla2005
@hassanigulla2005 4 жыл бұрын
Hatareeeeeeeeeeeiii ibwana weeeeeeeeee mzuka mpaka basi
@ismailabdallah7853
@ismailabdallah7853 2 жыл бұрын
kiongozi tutupie natafuta mtoto nyimbo hilikua hinaniliza sana kipindi hicho coz nilikua sina mtoto
@mkongopaulo5952
@mkongopaulo5952 5 жыл бұрын
zaituni eeeh! nilikua skujua zaituni wewe kama ni mke wa mtu. iwe mwanzo leo na mwisho iwe leo........ hao viumbe wanatisha
@nassorolikoko9191
@nassorolikoko9191 4 жыл бұрын
Hiyo ndo Atomic Music....
@abdallahfunga6076
@abdallahfunga6076 4 жыл бұрын
Dah p1
@rajabrwambow9660
@rajabrwambow9660 Жыл бұрын
Mtoto wa udongo jaman please
@muddysangaraza7963
@muddysangaraza7963 3 жыл бұрын
Respect omary omary r i p
@issahassan6181
@issahassan6181 Жыл бұрын
Safi
@bakarikihonga5717
@bakarikihonga5717 5 жыл бұрын
Hatare sana Old is Gold 😊
@nassorolikoko9191
@nassorolikoko9191 5 жыл бұрын
Umeona eeeh..
@marsuk4364
@marsuk4364 5 жыл бұрын
Hivi vitu vina nikumbusha mbali ata Rafiki yangu karimu masudi wa king yasini tours anajua hii kitu
@idrissamohamed8469
@idrissamohamed8469 5 жыл бұрын
Yani hili bonge la ngoma
@TamuzaKale
@TamuzaKale 5 жыл бұрын
Hatari fire!
@athumanbakari9805
@athumanbakari9805 4 жыл бұрын
@@TamuzaKale kaka tumaini jabali kifo cha jaji mkwanda,
@idrissamohamed8469
@idrissamohamed8469 5 жыл бұрын
Aisee mbona ulituacha kitambo Mzee baba mwanaharakat Kulikon?
@TamuzaKale
@TamuzaKale 5 жыл бұрын
Masomo mtu wangu!
@nassorolikoko9191
@nassorolikoko9191 5 жыл бұрын
Pa1 mkuu
@mohamedhabibu6144
@mohamedhabibu6144 3 жыл бұрын
Wajina muddy tupe Raha itupie bundi hanamakosa uchaguwa anapotaka akichoka kuimba atakula ataondoka hisani hao
@ibraibrahim8935
@ibraibrahim8935 4 жыл бұрын
Rip homi
@kulwakisiga9730
@kulwakisiga9730 2 жыл бұрын
Yaani nyimbo nyingine ukisiliza unajikuta tuumachozi Yana kutoka ukiangalia watu wengi wametangulia mbele zahaki
@twahamtumbi7823
@twahamtumbi7823 Жыл бұрын
Guruwe, Dingu, mtipa, kado, Deo, Camel, Fuji cola, Mangi kipara, Twila Guy, Majojo, Gaudence mpanyu, kartan mpanyu, kindundusi, Idaya Ugogoro, kimbizi Joo, Malise, kiwembe, Asha Dudu, Anogile, bila kumsahau Chigalama,, mliotangulia mola awapokee
Silaha Pesa Omari Omari na Atomic Advantage (Sauti ya Utawala)
10:40
Tenda ya Kunyonyesha - Atomic
7:50
Tamu za KALE
Рет қаралды 22 М.
КОНЦЕРТЫ:  2 сезон | 1 выпуск | Камызяки
46:36
ТНТ Смотри еще!
Рет қаралды 3,7 МЛН
ATOMIC Jazz Band | SaxSoundsMagazine.com
11:38
Deme Gómez
Рет қаралды 18 М.
Mrema
9:44
Remmy Ongala - Topic
Рет қаралды 44 М.
Simba Wanyika - Mchumba Hanitaki
4:38
Power Nguzo
Рет қаралды 45 М.
Uchungu wa Mwana-Omary Omary (1996)
9:40
Tamu za KALE
Рет қаралды 53 М.
Gurumbizi - Dar Nyota
9:50
Tamu za KALE
Рет қаралды 4,5 М.
HIsani Gari Kubwa- Ni muongo
15:01
Mnanda & Mchiriku TV
Рет қаралды 24 М.
Kabla Hujafa Hujaumbika - 7 Survivors
8:45
Tamu za KALE
Рет қаралды 54 М.
Jagwa Music - Vol. 4 Liwalo Na Liwe FULL ALBUM
59:13
girl's swamp
Рет қаралды 113 М.