Mzee wa minyama au kaka maulidi wa kitenge,ana maswali magumu sana.
@mbaruku59428 күн бұрын
Mwisho wa siku tunachanganya kati ya profesionalism ya michezo na burudan hawa wasemaji ni sehemu tu ya burudani ya michezo na maranyingi mihemko huwa inashambulia nafasi ya ubongo kufanya kazi yake katika kuleta habari stahiki
@JustinMwakalukila8 күн бұрын
Kabsa umetisha kaka
@emanuelmartin-ub1od7 күн бұрын
Kama yanga imeshtaki hata simba wamshtaki ali kamwe tofauti na bwana sandalend
@NyasanaTv-ol4ix8 күн бұрын
kama wabisha wakapimwe tuone wakibainika yanga ifungiwe maisha kucheza hawa yanga tuone
@ashamkesa9798 күн бұрын
Unaota ndoto za mchana
@LucyVictor-c9c8 күн бұрын
Na wasipo kutwa na hatia, Simba ifungiwe kwa kuchafua Yanga, na mpira wa miguu Tanzania....
@LucyVictor-c9c8 күн бұрын
Na wasipo kutwa na hatia, Simba ifungiwe kwa kuchafua Yanga, na mpira wa miguu Tanzania....
@DolofinaChiza7 күн бұрын
Kama yanga wakipimwa wakikutwa hawana shida yasidano simba wafungiwe
@aminaomari23127 күн бұрын
Yanga hawatumii hizo sindano kuweni makini sana na hii kashfa nyie mnahisi mnaichafua yanga ila sio kweli hili suala ni zito sana kuliko watu wanavyolipamba.
@hassanmwallimu57678 күн бұрын
Ambangile ndie mchambuzi ambae ana IQ ya hali ya juu kabisa
@NyasanaTv-ol4ix8 күн бұрын
kikubwa tim zote zipimwe
@anithawidambe75438 күн бұрын
TFF MI BINAFSI NAOMA WACHEZAJI WAWE WANAPIMWA WAKIGUNDULIKA WANATUMIA MADAWA BASI WAFUNGIWE MAISHA. NCHI ZA WENZETU WANAFANYA HVYO
@ZawadiMoris7 күн бұрын
Huyo Ahmed ally kawakosea mpaka hao tff maana mchezaji anapoenda kupimwa afya mwakilishi wa tff lazima awepo kwahiyo wanakula rushwa hao tff?
@TM.Sullusi7 күн бұрын
Sidhani, inategemea anamhoji nani😂😂😂
@errydeo88657 күн бұрын
Basi kama hujui uliza,Wachezaji Wote hupimwa Randomly na vyombo husika! Mchezaji hajui lini na wapi atatakiwa atoe sample mbili za mkojo! WANAWEZA wakatiko popote caf
@errydeo88657 күн бұрын
Kasema ukweli, KITENGE IS FOOLISH
@ChristinaWengae-ps5jr7 күн бұрын
Simba wananjaa hawana hela
@ramadhaniharuna54417 күн бұрын
Ina tajiri wa kwanza Tanzania.
@WivinaFrance-xn3mk7 күн бұрын
We unazooo?
@mgendihdellicy62107 күн бұрын
akili ina wadudu hii
@hillarymuhidini50306 күн бұрын
Kaka sema timu zote za lig kuu hazina hela, ni wawekezaji tu ndo wana push timu
@LucianaSintufya7 күн бұрын
Huyo aliyeandika simba hawana hela sasa je yanga wanazo. Wangedaiwa na wachezaji mpaka fifa angedaiwa na mganga wa kigamboni tatizo nyie machoko
@DhahiriHamisi7 күн бұрын
Pinguz unaz k ww
@ramadhaniharuna54417 күн бұрын
Mimi nina miezi kibao, Hawa wasafi wapuuzi tu.
@louisisd10906 күн бұрын
Wapuuzi wapi toa hoja acha upuuzi
@faisaloaljabry64006 күн бұрын
Zaka wewe ni mwaminifu mkweli nakupa sifa zote hizo kwa sababu uliyoyasema ni ya kweli fitna uchonganishi dharau kinyaa vinasababishwa na waandishi wa habari. Mtu unamuuliza coach kwanini leo matokeo hayakua mazuri kwenye kikosi chako? Swali kama hili si swali la kitaalamu kwa sababu ikiwa team imecheza vibaya au imecheza vizuri ndiyo matokeo ya siku hiyo na hio ndiyo mpira. Pamoja na pongezi hizo lakini pia tunawaomba waandishi wa habari waache kuchochea na kufitinisha watu kwa maswali .