Yaa Rabb 🤲 ilinde Zanzibar na maasi yamekuwa mengi sana Zanzibar yetu inapoteya...uvinusuru vizazi vyety Yarrab 🤲
@discoverzanzibar14 күн бұрын
Ameen Yaarab
@ebrahimsuleman33175 сағат бұрын
Beautiful
@maryamadam562215 күн бұрын
Thanks brother for sharing..Vizuri ikiwa utakuwa ukieleza mitaa unayotembelea huko Stone town. Mji umebadilika sana. Wengine wetu miaka tuko nje. Itatusaidia kufahamu jinsi mji ulivyobadilika. Mashallah
@discoverzanzibar14 күн бұрын
Thanks for the comments na tutawaekea majina ya maeneo kwenye video zijazo
@mahramarswad604115 күн бұрын
Thanks my brother home sweet home tunaenjoy kuona from uk 🇬🇧
@discoverzanzibar14 күн бұрын
Thanks for the comments and enjoy my brother
@alivideos415515 күн бұрын
This is beautiful, Thanks for sharing. It brings alot of memory.
@discoverzanzibar14 күн бұрын
U welcome and thanks for the comments
@muslihelbarca643515 күн бұрын
Safi sana
@discoverzanzibar14 күн бұрын
Shukran
@muzneali474715 күн бұрын
Tafadhalini Zanzibar rudisheni hadhi ya Taarab kwenye Hall kama ulivyokuwa Haile Selassie Tafadhalini