ZAWADI YA WHOZU KWA WEMA SEPETU/ HAMISA MOBETTO AFANYA KUFURU TAZAMA TUKIO ZIMA, BARITHDAY PARTY.

  Рет қаралды 182,418

BinaTv

BinaTv

Күн бұрын

Ahsante kwa kuwa mwana familia,(BINA Tv) kwa habari murua utazipata hapa, Ungana nasi kwa kila update zitakazo jitokeza.. Subscribe Channel yetu ya BINA TV ili usipitwe na habari zetu.
#alikiba, #ayotv, #block 89, #bongo #chapchap, #bunge, #bungeni, #burnaboy, #ccm, #chadema, #davido, #diamondplatnumz, #diamondplatnumz, #good #morning, #habarizaleo, #habarizamillard #ayo, #harmonize, #lavalava, #lavidavi, #live, #magufuli #makonda, #mbosso, #mgahawa, #millard, #millardayo, #millardayo, #millardayotv, #rayvanny, #refresh, #serikali, #sportsarena, #sportscourt, #spots, #sundayworship, #tanzanianews, #thestorybook, #theswitch, #tiwasavage, #trending, #uchaguzi, #wasafi, #wasafifm, #wasafimedia, #wasafi tv, #wizkid, #yope, #yope #remix, #zuchu
#BinaTv #WasafiTv #ManaraTv

Пікірлер: 141
@agnesjohn9382
@agnesjohn9382 Жыл бұрын
Starehe mwafanya nyie mkiumwa michango twatoa sisi ambao hatukumbuki hata siku ya kuzaliwa 😂😂 anyway happy birthday chimama wa chibaba
@Anisha-p8p
@Anisha-p8p Жыл бұрын
😂😂😂😂😂😂😂nachekea njoooni😂😂😂😂😂hiiii iiimeeenda😂😂😂😂😂😂😅😅😅
@radhiakuyawa
@radhiakuyawa Жыл бұрын
Wala ujakosea wallah upo sahii😂😂
@safiyamajidi5388
@safiyamajidi5388 Жыл бұрын
Hii imeenda hahahahhaahhahahahahhahahahahahahahahahahahahhahahahahahahahha
@majomamajoma8776
@majomamajoma8776 Жыл бұрын
😂😂😂umesema kweli kabisa yaan Hawa watu wanajuana kwenye Raha tu
@mariamnjama3963
@mariamnjama3963 Жыл бұрын
Ndio maana diomond kasema Kuna rafk wakulia nae msban na wakusherekea nae kwa party 😅mm nachangia mtu mwenye historia yake ya huzunsha😢hzi watu Bora nkanunue bundles 😅
@CatherineJohnson-y2h
@CatherineJohnson-y2h Жыл бұрын
Qwene party mnamwaga mihela ..akiumwa mtyu mnatoa efu 17500😢
@jackymmbando7550
@jackymmbando7550 Жыл бұрын
🤔🤔🧐 Yani birthday kama harusi 🤔 🤔🧐😊
@BakariJuma-cf6ye
@BakariJuma-cf6ye Жыл бұрын
Fanyeni kufuru muweke Na akiba lkn sawaa eee msituchangishe mkiumwa🏃
@ndolepeter2770
@ndolepeter2770 Жыл бұрын
Hamisa ww ni mzr sana unapendeza
@alecheconradninje6183
@alecheconradninje6183 Жыл бұрын
Ni jambo zuri sana kwa madam wa taifa ila umoja wenu muunganishe na kwenye swala mtu akiwa na matatizo ya kiafya au hata mengine ndo tutawafuraia zaidi coz nyie wadada mna nguvu kubwa kwa sasa kwenye taifa letu…….mkipata hata10 kuweka misingi i hope wengine mkiwapa ujumbe watatii na kufata my self nawapa big up na Wema Mungu amzidishe kwenye upendo na iyo ndo nguvu ya upendo inayoinekana…..happy new age Chimama 🎉
@JoanMponda
@JoanMponda Жыл бұрын
Wanaume wanavaa vizuri sasa sisi wanawake robo uchi
@rosemahenge9071
@rosemahenge9071 Жыл бұрын
Huyo Dida sasa si mzee kabisa anavaa vinguo kama under 20
@HabibaHassan-t2u
@HabibaHassan-t2u Жыл бұрын
Kwanini wanaume hamumuoi wema mnafeli wapi jamani mrembo mpole mcheshi wema shida iko wapi😢
@irenepaul3110
@irenepaul3110 Жыл бұрын
Happy birthday wema,Mungu atakubariki na mtoto wako
@VictoriaSospeter-o1n
@VictoriaSospeter-o1n 10 ай бұрын
Congrants my dear popote pale ulipo
@joycesamwely7896
@joycesamwely7896 Жыл бұрын
Hamisa kajua kupendez kapendeza mpak kapendez tena❤❤❤
@bebicutecute2648
@bebicutecute2648 Жыл бұрын
hata ant ake pia kapendeza haraiii🇦🇪
@GloryMrema-v7v
@GloryMrema-v7v Жыл бұрын
😅😅😅kumbe tatzo lilianzia hapa ndo maana mama akachamba vilee
@HalimaSalym-jl2ui
@HalimaSalym-jl2ui Жыл бұрын
Hongera kwa kuikaribisha tarehe yako ya KUFA Yataonyeshwa tena baada ya kuondoka DUNIANI. sasa sijui kaburini utakua katika hali gani ALLAH ATUJAALIE MWISHO MWEMA AMMYN
@NajmahSwaleh
@NajmahSwaleh Жыл бұрын
Mungu ndo hakimu wa kila mtu stop judging her
@Minjum-j5m
@Minjum-j5m Жыл бұрын
Happy birthday madamu m.mungu akubariki
@afsarazia831
@afsarazia831 Жыл бұрын
Huwa nikifurah sana nikimuona wolper akihuzuria sherehe zawema ❤awo wema pia akihuzuria zake wolper 💕wema we love so much Afsa form Kigali
@ruquiajuma8405
@ruquiajuma8405 Жыл бұрын
Happy birthday madam wetu nakupenda bure umependeza sana
@estamilihashimu5072
@estamilihashimu5072 Жыл бұрын
Nakupenda wewe dida nandi na chibu tafazali naomba niwaone uso kwa uso
@kekiplus1andonly
@kekiplus1andonly Жыл бұрын
MashaAllah 🎉🎉🎉happy birthday Tz sweetheart
@jenipheraron3566
@jenipheraron3566 Жыл бұрын
🎉 happy birthday madame
@AMINASAIDI-mx7rs
@AMINASAIDI-mx7rs Жыл бұрын
Kwa dada yetu wema hapo ni busiwa tu .
@scolasticasimon-je6cy
@scolasticasimon-je6cy 9 ай бұрын
Mimi Huwa nampenda tu wema sijui kwann
@rosekadzokillian9700
@rosekadzokillian9700 Жыл бұрын
Wa Tz simunapendana jamani, all ladies, you brilliant and ferbulious
@angelrichard899
@angelrichard899 Жыл бұрын
Hbd
@NaswahaHashim-ef6pt
@NaswahaHashim-ef6pt 10 ай бұрын
😢Hbd🎉 madam wem❤
@saliathnassoro9864
@saliathnassoro9864 Жыл бұрын
Happy birthday chimamaaaa
@wennceslausmushi2356
@wennceslausmushi2356 Жыл бұрын
Happybirthday to her
@janekazungu1467
@janekazungu1467 Жыл бұрын
Happy birthday daa wema
@wemakalama6458
@wemakalama6458 Жыл бұрын
So amazing
@lynnafula9334
@lynnafula9334 Жыл бұрын
Happy birthday
@AminaArafat-m1g
@AminaArafat-m1g Жыл бұрын
Ahh jamn Kwan maisha SI kutegemea jamn🥰🥰kusaidian muhm
@linahmmassy3439
@linahmmassy3439 Жыл бұрын
Happy birthday kipenzi cha wengi
@nancyg8664
@nancyg8664 Жыл бұрын
Wema anapenda kubusuna mdomoni na wanadada wenzie jaman ndo uzungu ama😆
@rizoibrahimovich605
@rizoibrahimovich605 Жыл бұрын
Afadhal wambust kidg wema arudi kweny ubora wake aisee
@beatrice3675
@beatrice3675 Жыл бұрын
Happy birthday 🎂 wema chimamy ❤❤❤
@azharrtxj8773
@azharrtxj8773 Жыл бұрын
Watu mna kufuru ya pesa nyiee
@HalimaSalym-jl2ui
@HalimaSalym-jl2ui Жыл бұрын
Wapo maskini, mayatima, na wajane wote wanahitaji misaada. Kwanini pesa zenu munazifanyia ISRAFU kiasi icho😢😢😢😢😢😢
@rosemahenge9071
@rosemahenge9071 Жыл бұрын
Ww ulishasaidia wangapi tuanzie hapo,hao masikini na yatima wataisha lini ili watu wafanye mambo yao🥴
@rhodahleopord2581
@rhodahleopord2581 Жыл бұрын
Nandy kaua balaa❤️❤️❤️
@wennceslausmushi2356
@wennceslausmushi2356 Жыл бұрын
More life,moresuccess
@JanetAhmad-v3h
@JanetAhmad-v3h Жыл бұрын
Happy birthday wema
@Evelinweek
@Evelinweek Жыл бұрын
Hbd to wema❤❤❤🇹🇿
@nilmadaudi9358
@nilmadaudi9358 Жыл бұрын
Happy birthday ❤❤
@jumajay8496
@jumajay8496 Жыл бұрын
Alivyo onshwa na mamake nafikiria hii itakua mara ya mwisho kusherehekea siku ya kuzaliwa yakinamna hii,tunataka ma mama sampuli hii kuweka mambo wazi na upumbavu kama huu.
@wwrr803
@wwrr803 Жыл бұрын
Kwaiyo mwafanya bash mkijua pesa yenu itarudi
@AishaMuhammad-l2v
@AishaMuhammad-l2v Жыл бұрын
Whozu ameongea kiume bana mpende chimama wetu
@DorcusMaftah
@DorcusMaftah 11 ай бұрын
Hbd Wema Sepetu nakupenda bure,kupendwa raha Jamani,nimependa chibaba alivyoongea
@peninachikoti2078
@peninachikoti2078 Жыл бұрын
Happy birthday wema🎉
@ZANURALANGU
@ZANURALANGU Жыл бұрын
Happy birthday wema
@IreneMwanaa-zo2wz
@IreneMwanaa-zo2wz Жыл бұрын
Nakupenda
@NASRARAJAB-m8x
@NASRARAJAB-m8x Жыл бұрын
🎉❤❤ happy birthday madam mzuri wema sepetu
@sophianyamvula7080
@sophianyamvula7080 Жыл бұрын
❤❤❤❤
@aishasalim2878
@aishasalim2878 Жыл бұрын
😂😂sasa huyu dida kavaa nini jamani vituko
@ukhtyrayyan7884
@ukhtyrayyan7884 Жыл бұрын
Dida mtumzima kavaa kituko kweli vo nduguyangu😅😅
@faizaally347
@faizaally347 Жыл бұрын
Happy birthday 🎉🎉 wema ❤❤
@Sajda-j8c
@Sajda-j8c Жыл бұрын
Heshima kwa wolpa hana mchezo mchafu wa pesa amekaa kama hakuna kinachoendelea
@linahmmassy3439
@linahmmassy3439 Жыл бұрын
Mchaga
@claudialupimo7614
@claudialupimo7614 Жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣
@walizanasiri4963
@walizanasiri4963 Жыл бұрын
Sana ndo watu niwapendao
@asianyamvula-wo4mk
@asianyamvula-wo4mk Жыл бұрын
Alichangsha but hapa hajaonyeshwa
@bennamush4616
@bennamush4616 Жыл бұрын
Gigii nguo iyo kidogo tako libaki wazi 🤣🤣
@user-gb3fk1yt8n
@user-gb3fk1yt8n Жыл бұрын
Happy birthday daa wema nakupenda bure
@joharimloge4088
@joharimloge4088 Жыл бұрын
Hongera sana wema kwakumbukizi yako 🎉🎉🎉siku yakuiona Dunia,Asante kwa mama mzaz pia
@lovierlion-vs9rn
@lovierlion-vs9rn Жыл бұрын
Sherehe mmetumia hela nyingi ila imeboaaa,,wema ana kiherehere anaongea sana utazani yy ndio MC mara ajichukulie hela kwa pochi za watu mara amlazimishe anti kufanya hivi na vile ,,hizo n mbwembwe za MCs sio mwenye shuli
@zainurkiluasha2127
@zainurkiluasha2127 Жыл бұрын
Wema umependeza sana ila jawa wamama wa sasa wote wana shepu jasmin mnazipata wapi
@mamamushimushi6100
@mamamushimushi6100 Жыл бұрын
Tuseme kumbukeni ni miss Tanzania 2006 kama ni 90 kazaliwa aligombea umiss na miaka 15 shikari hair usually chini ya 18 kila mwaka wanarudishanyuma😮
@samiramawby1257
@samiramawby1257 Жыл бұрын
Whooozuuu the songggg mwaaaaa
@agnesclement6305
@agnesclement6305 Жыл бұрын
Gigy kanifanya nicheke
@samiramawby1257
@samiramawby1257 Жыл бұрын
Dida unabore kutangaza na nguo zako za watoto wa primary english medium,,,better Mai matha wa Jessw asingeaibika na kuaibisha soko la watangazaji kwa shilizi za mtumba na vikoti bubu
@samiramawby1257
@samiramawby1257 Жыл бұрын
Ant na wema your good best friendss na kubwa zaidi huwa hamchukuliani mabwana nyie ndo marafiki hao wanafiki kina CK stealler waendelee kuishi kwa buku la nyuma ya magorofa ya washa moto zima taa kuku na kifaranga na yai nani katangulia kuiona taa ya chemli???Be best friendsss ever you look good together as good respects lovers
@sawasuleimanmwambungo9706
@sawasuleimanmwambungo9706 Жыл бұрын
Mbna shem ajafunga vifungo ama swag
@Jasminiomary
@Jasminiomary Жыл бұрын
Mama ake anaxema hamxikilizi why😂
@AllyWaziri-jn7gt
@AllyWaziri-jn7gt Жыл бұрын
mkiumwa hazionekani hzo hela
@khadidjaabdi-hd8py
@khadidjaabdi-hd8py Жыл бұрын
Hapa mama mkwee alikuwa bado ajaanza kulopokaaa au😅😅😅😅
@AljudFeisal
@AljudFeisal Жыл бұрын
Gigy ona alivo mfurahia hamisa km sio yeye
@jumamiraji3081
@jumamiraji3081 Жыл бұрын
Kuna mijitu mijinga sana
@EddahBure-te7ft
@EddahBure-te7ft Жыл бұрын
Sijaelewa nini maana ya wema kuvaa gauni jeusi !!??
@getrudewilliamtzmallya5250
@getrudewilliamtzmallya5250 Жыл бұрын
Jamni dida kajuw kupendeza
@hamisasaid3286
@hamisasaid3286 Жыл бұрын
Huy n dd wa Taif happy birthday to her
@mwanaidikhamis5430
@mwanaidikhamis5430 Жыл бұрын
Mnashangwe nyieeee,badala mfanye ya maana mnapumbazika tu
@mariamnjama3963
@mariamnjama3963 Жыл бұрын
😅olewa basi khaaaa au mnatafuta rzq hvi😅
@RaysMerige-cn6xg
@RaysMerige-cn6xg Жыл бұрын
Kwa hii siku Yako mungu Kuna jambo atakutendea da wema
@marthasonia5005
@marthasonia5005 Жыл бұрын
Nice 😂
@gabbyhenrgy1157
@gabbyhenrgy1157 Жыл бұрын
Km ilikua hivo ndo maana mama kawa mkali km muarobaini
@hadijayusuph6208
@hadijayusuph6208 Жыл бұрын
Kwenye kuvaaa Dida jamni yupo nyuma
@elalikamala9760
@elalikamala9760 Жыл бұрын
Kwani wema c alikuwa na mimba kwenye harusi ya Baranaba
@SuraiyaSadick
@SuraiyaSadick Жыл бұрын
Sumaiya sinde 2:50
@uwasesifa7563
@uwasesifa7563 Жыл бұрын
Mnajua kutafuta pesa kabisa.
@RosemaryLema
@RosemaryLema Жыл бұрын
Dida nae ndo kavaaje hvyo
@aminaakombo2710
@aminaakombo2710 Жыл бұрын
Hajataka kufanya awe special
@ashaali7154
@ashaali7154 Жыл бұрын
Anti Ezekiel mbona kafutuka futuka kama balloon tena ile surgery imekwendaje makubwa haya.
@incredibledanceteam8425
@incredibledanceteam8425 Жыл бұрын
Nime cheka
@UmayyaNkya-ze3ri
@UmayyaNkya-ze3ri Жыл бұрын
Nimesabukraibu😄😄😄🖐️🖐️happy birthday de sweetheart wema♥️♥️
@NR-ll4sr
@NR-ll4sr Жыл бұрын
❤❤❤
@shaniasameer
@shaniasameer Жыл бұрын
dida katuangusha khaaah nguo gani hizi kavaa
@samiramawby1257
@samiramawby1257 Жыл бұрын
Misa mke mwenza hatunzwi kidogooo mtunze nyingi tujue ulimzidiiii ndo maana ukampokonyaa otherwise huna kete bado kwa chibu dii chibu denga
@rosemahenge9071
@rosemahenge9071 Жыл бұрын
Hamisa alishapita huko usimrudishe hebu😂😂
@salomewandya7257
@salomewandya7257 Жыл бұрын
Bulaza K jmn😅😅😅😅
@alhabsi6430
@alhabsi6430 Жыл бұрын
Sasa huyu wema amekomaa lini ataolewa au ndio haya maisha kuna uzee bado unakuja
@halimahbwelele694
@halimahbwelele694 Жыл бұрын
Huyo na kajala 😂
@LizyMsemo
@LizyMsemo Жыл бұрын
❤happy birthday madam wem mungu akup furha siku zot ktk maish
@Yness-vh4yy
@Yness-vh4yy Жыл бұрын
Gigi naye!
@ROZITHOMAS-y4q
@ROZITHOMAS-y4q Жыл бұрын
Whozu anajielewa
@happinesskamera-4197
@happinesskamera-4197 Жыл бұрын
❤❤❤
@estermahenge-ks3dr
@estermahenge-ks3dr Жыл бұрын
hapo mama wema alikuwepo ao kashaondoka😅😅😅😅😅
@rosemahenge9071
@rosemahenge9071 Жыл бұрын
🤣🤣🤣hapa itakuwa bado alikuwa hajanyanyuka mana alinyanyuka baada ya zawadi
@ashachitemo7816
@ashachitemo7816 Жыл бұрын
Inamaana hamisa ni mrefu kuliko WEMA ana kupiga mchuchumio wakwenda?)
@rosemahenge9071
@rosemahenge9071 Жыл бұрын
Hamisa ni mrefu kidogo
@ashurahatibu5069
@ashurahatibu5069 Жыл бұрын
Gigi with amisa waooo
@rosemarymwakitwange6257
@rosemarymwakitwange6257 Жыл бұрын
Ushamba wa Hali ya juu
@kiya0910
@kiya0910 Жыл бұрын
Jamana mama nono mzur ana shepu nzur nambasa
@chimpayachimpaya5644
@chimpayachimpaya5644 Жыл бұрын
Uturuk hyo
Win This Dodgeball Game or DIE…
00:36
Alan Chikin Chow
Рет қаралды 39 МЛН
Please Help This Poor Boy 🙏
00:40
Alan Chikin Chow
Рет қаралды 23 МЛН
ДЕНЬ УЧИТЕЛЯ В ШКОЛЕ
01:00
SIDELNIKOVVV
Рет қаралды 2,9 МЛН
Bolo Bespoke Traditional Wedding In Ukambani
13:04
Bunge La Mwananchi Kenya
Рет қаралды 1,5 М.
Win This Dodgeball Game or DIE…
00:36
Alan Chikin Chow
Рет қаралды 39 МЛН