Kp & Zebuu _ UTAJUA HUJUI

  Рет қаралды 327,504

Dibozi Manuva

Dibozi Manuva

Күн бұрын

Пікірлер: 445
@LenanaKomoi
@LenanaKomoi 23 күн бұрын
Zebuu hongera sana Kwa kazi mzuri unayofanya wewe na k p pongezi sana❤❤❤
@NadhiaMuyya
@NadhiaMuyya 7 ай бұрын
Wao kaz nzur inafundsha na kuburudisha
@KarenYeri
@KarenYeri 7 күн бұрын
Zebuu hongra Sana kwa kazi yenu nzuri 😂😂 ongezeni zaidi ya hapo ❤
@GroliaJonathan
@GroliaJonathan 7 ай бұрын
Daa zebuu mwenyeww kwnye ubora wake pamoja na kp nawapenda ✋❤️🍎
@eliphasethobias1133
@eliphasethobias1133 7 ай бұрын
Hahaaaa ❤❤❤ Nimejikuta nacheka Kwa sauti Mko vzr sana Hongeren sana Timu ya kp
@Marim-q4d
@Marim-q4d 7 ай бұрын
Kazi nzuri team kp hongereni sana ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤ match love from Saudi
@ZainaboSalumu
@ZainaboSalumu 7 ай бұрын
Wa kwanza hapo leo like hata 20 guys, kp noma sanaaa
@Phoebenafula
@Phoebenafula 7 ай бұрын
Daa zebuu kazi nzuri sanaaaaaa gonga🤜🤛
@zenasalumu8570
@zenasalumu8570 7 ай бұрын
Kumbe mkiwa mnapendana sana mnaweza fanana kama kp na zebuu wanafanana mnoo kama ndugu hasa pua na makomwe😜😜😜
@ChantalNkundwa
@ChantalNkundwa 7 ай бұрын
Weee zebu unamupango bwana nakupenda sana🇧🇮😂😂😂😂😂
@EsterBala-q7z
@EsterBala-q7z 5 ай бұрын
Zeeb we nkiboko mama maua yako ase🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
@JeanPaulNiyobuhungiro-bg1ms
@JeanPaulNiyobuhungiro-bg1ms 6 ай бұрын
Zebuu dada wangu nakupenda Sana kutoka kwenye filam Ya biti nyoka Wamangushi Last card Sonaa. Nimekuwa nawafata sana wew na kp mpenzi wako nikweli nawapenda alfu pia nyinyi nitaendeleya kuwafatilia mimi chabiki kutoka 🇧🇮
@amadimbappe5376
@amadimbappe5376 7 ай бұрын
Aise kp wew kiboko kwa kutunga adithi Kama hiyo
@protusmakokha1028
@protusmakokha1028 7 ай бұрын
🎉🎉🎉🎉❤❤❤ zeb congratulations, weeeeh n big lesson for men's.
@BerthaMwajuma
@BerthaMwajuma 6 ай бұрын
Hahahaha Adi nakupenda bure wewe dada zebuu 😅😅😅❤❤❤
@DavidMarash-su6eu
@DavidMarash-su6eu 4 күн бұрын
💯💯💯💯💯💯unajua kucheza mission 🇧🇮🇧🇮
@LenanaKomoi
@LenanaKomoi 23 күн бұрын
tunawapenda sana zebuu na k p❤❤❤
@angelmollel2002
@angelmollel2002 7 ай бұрын
Wa Kumi na tatu Leo.....❤ Team KP on 🔥🔥
@elizabethcatherine-jm8fr
@elizabethcatherine-jm8fr 7 ай бұрын
😂😂😂😂😂akih nmecheka weeeh hiyo kali sana zebuu chukua maua yako ❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉kutoka kenya
@Daestoto
@Daestoto 7 ай бұрын
Wapendanao najua hata mfanyiane.vituko hamuwezi achana.,kazi nzuri sana..guys nawapenda nyote kwa jumla
@CollisBill-mu3zp
@CollisBill-mu3zp 7 ай бұрын
Hii Channel ya Zebuu ❤Ndio itakao waii kupata viewer 1M ..Aminii Nawaambia
@kpwaaquino
@kpwaaquino 7 ай бұрын
Amen
@CollisBill-mu3zp
@CollisBill-mu3zp 7 ай бұрын
@@kpwaaquino Ninayo bahat ya kupata like Zako❤️🙏😂🌹. Asante sana Kp ..My dream siku moja nionane na Norah..Japo nipate picha nae
@KulthumJamal-e1d
@KulthumJamal-e1d 7 ай бұрын
​@@kpwaaquino❤
@KulthumJamal-e1d
@KulthumJamal-e1d 7 ай бұрын
​@@kpwaaquino❤❤
@KulthumJamal-e1d
@KulthumJamal-e1d 7 ай бұрын
​@@kpwaaquino🎉❤❤
@FaridaMoses
@FaridaMoses 7 ай бұрын
Wamempeleka wap,Mzee wa mkia asije akamkata sikio maana mkia hana😂😂😂😂
@CathrineMlialia
@CathrineMlialia 7 ай бұрын
Iyo ni Kali sana Leo nimechoka sana Kp na Zebuu ❤ nawapenda sana ♥️
@sikudhanimohammad7692
@sikudhanimohammad7692 6 ай бұрын
Zebu ametumia njia nzuri. Hakutaka kukurupuka
@Judithkadzo-t6q
@Judithkadzo-t6q 7 ай бұрын
Waaaaa😂😂😂 kazinzuri sana zebuu nakupenda tu bure
@PostineYesare
@PostineYesare 7 ай бұрын
Aaaah zebuu c vizuri😅😅😅 wamcheka mhubiri akiomba😂😂
@mwajumalubuva
@mwajumalubuva 3 ай бұрын
Zubuu ww noma Safi 😂😂😂😂❤❤❤Kp ujanja kwasha
@AngelineSidi
@AngelineSidi 6 ай бұрын
Haaaaaa 🎉🎉🎉zb hiii kali umecheza kama wewe hakupigani mtu hapa unatafuta mbinu tuu
@BlessedLady-r8x
@BlessedLady-r8x 7 ай бұрын
Maupendo tu❤❤❤❤❤❤Kutoka kenya
@gaddafi47
@gaddafi47 7 ай бұрын
BIG UP KWA WALE WOTE AMBAO TUNA LIKE NA KUCOMMENT KABLA YA KUANGALIA👊👊👊👊
@Thepoulfamily
@Thepoulfamily 7 ай бұрын
😂😂😂😂😂
@MerryBallet-lj9cz
@MerryBallet-lj9cz 7 ай бұрын
😅😅😅😅😅😢😢😢😢😢😢😢
@حليمهالبلوشي-ز5ث
@حليمهالبلوشي-ز5ث 7 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂❤❤❤❤❤❤❤❤
@AnthonyNdinah9142
@AnthonyNdinah9142 7 ай бұрын
Tunajua uhakika ni nzuri ndo maana tunaanza kucoment and like😂
@Phoebenafula
@Phoebenafula 7 ай бұрын
🤜🤛
@AishaSalome-c1t
@AishaSalome-c1t 6 ай бұрын
Nimecheka paka Nimechoma nyama zangu 😂😂😂😂hapo sawa zebuu
@gaf9874
@gaf9874 7 ай бұрын
NImechekakwa😂😂😂😂😂😂😂😂😂 sanaa zebuu❤❤❤❤❤❤ &kp unaweza
@rukiahassan7001
@rukiahassan7001 7 ай бұрын
Nimeipenda hiyo hongereni sana
@philohmutua2968
@philohmutua2968 7 ай бұрын
Nawapenda sna kp na group yako waaaw❤❤
@RehemaSaid-r4h
@RehemaSaid-r4h 7 ай бұрын
Kazi zuri kp na zebuu❤❤❤😂🎉
@abdullahburu2984
@abdullahburu2984 7 ай бұрын
Wakwanza ❤tz kgoma
@MaluguSikule
@MaluguSikule 7 ай бұрын
Naijua hyo daaah umetisha san zebuu nawapenda san
@officia_morning_star
@officia_morning_star 7 ай бұрын
Pia mimi nimsanii wa bongo flavour naombeni sapot mni sabusciraibu jmn msikilize nyimbo zangu pia moment naitaji mnikosoe kama nimekosea ili nilekebishe makosa yangu pindinitakapo toa kazi nyingine 🙏🙏🙏🙏
@FarajaNziku
@FarajaNziku 7 ай бұрын
Jina lako unalotumia
@salmamipawa7338
@salmamipawa7338 7 ай бұрын
Ila we zebuu mungu anakuona jmn kumsalisha mwenzio bila kutegemea
@EzekiaKwimba
@EzekiaKwimba 6 ай бұрын
Hongera kp kwa kazi nzuri
@bahizirenoella5234
@bahizirenoella5234 7 ай бұрын
Yani nacheka karibu nife. Nikazurieeeee❤❤❤❤❤❤
@JohnMasaite
@JohnMasaite 6 ай бұрын
❤❤❤❤ nzuri sana
@PaulineNasoro
@PaulineNasoro 7 ай бұрын
🎉🎉🎉🎉 Kwa kp na zebuu kazi nzuri
@Thenoiseboy045
@Thenoiseboy045 7 ай бұрын
Kazi Safi,,,,kp endelea kunaswa😂😂😂😂
@LucyChengo
@LucyChengo 7 ай бұрын
Hapo sawa zebuu umemshikisha kisunzi kp😂😂
@ArafaHassan-qv2xm
@ArafaHassan-qv2xm 7 ай бұрын
😂😂😂😂😂 zebuu wewe mwisho chukua maua 🎉🎉🎉🎉🎉
@BuckraniMuhibu
@BuckraniMuhibu 2 ай бұрын
Nawapenda buree♥️♥️
@clintoneijeji1054
@clintoneijeji1054 7 ай бұрын
Kumwoto Sana 😂😂😂😂😂😂😂❤❤❤❤ nazidi kuwafatilia kabisa
@casemirojunior-n8k
@casemirojunior-n8k 5 ай бұрын
❤❤❤ nawapenda sana kp na zebuu
@CarolineShadrack
@CarolineShadrack 7 ай бұрын
Hahahahahahaha zebuu nimekukubali kinomaa, umetumia akili kubwa sana kama ni mimi ningeanzisha vurugu nikaambulia patupu😂😂😂😂❤
@angelmtoka8184
@angelmtoka8184 6 ай бұрын
jaman zebuu ❤❤❤❤ ongera sana
@eliminajohn
@eliminajohn 3 ай бұрын
Baba katika jina la Yesu ninawakataa mademu wanaokata vinyambwililo😅
@SandeIbrahim-l8i
@SandeIbrahim-l8i 7 ай бұрын
Ila zebuu umejua kumkonesha chukua maua🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤
@NayraLimbega
@NayraLimbega 7 ай бұрын
Kumbe ndo dawa yao eee 😂😂😂nimeipenda hiii 😂😂
@Emily-k98
@Emily-k98 7 ай бұрын
Hii kiboko jamani Zebu ametuweza leo❤❤❤❤❤
@BlaitonKitiga
@BlaitonKitiga 7 ай бұрын
Daaaaaah we zebuuu hongera sana nakupenda sana
@geturude-ce7tn
@geturude-ce7tn 7 ай бұрын
ak zebuu maua yako 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤❤
@kevy254
@kevy254 6 ай бұрын
What amazing content? Hii centent ni mpya kuskia wakuu. Hii kolabu yenu vijana mtaenda mbali Bora tu mwuweke mapenzi kando. Nawafuatilia kazi yenu vizuri nikiwa Kenya Nairobi, kazi nzuri wakuu KP kanaswa hadi akabadilika kua shehe 😂😂😂
@rashidiOmari-gn2nz
@rashidiOmari-gn2nz 7 ай бұрын
Zebuu acha nicheke tu jaman umejuwa kunifraisha
@gogoloveofficial5666
@gogoloveofficial5666 7 ай бұрын
Love from GOGO LOVE OFFICIAL TO BURUNDI 🇧🇮
@BeatriceNanjira-u8x
@BeatriceNanjira-u8x 7 ай бұрын
Big up zebu unajuwa umenifunza kitu hapo
@biba2552
@biba2552 7 ай бұрын
Ila zebu wewe kiboko sana 2 ❤🎉❤😂😂😂😂😂
@PendoLeonardi
@PendoLeonardi 3 ай бұрын
Hahahah 😂😂😂 akili kama hizi ndio zinatakiwa kutumika😄
@AzamJuji
@AzamJuji 7 ай бұрын
Duuuh ❤zebuu hicho ndicho nakupendea unajua kubadirisha mtu bila yeye kugundua love u😅😅😅
@OueenCynthia
@OueenCynthia 7 ай бұрын
Zebu kazi nzuri sana nakupenda ❤❤
@RaheemaOmani
@RaheemaOmani 2 ай бұрын
Kwakweli nimecheka sana hii movie ni nzuri
@EuniceVureze
@EuniceVureze 7 ай бұрын
😂😂😂😂anaitwa Zebuu na Kp big up 🎉🎉🎉🎉
@aliyasaid21
@aliyasaid21 7 ай бұрын
Hapo sawa zebu wi love you ❤❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
@Yahilwa
@Yahilwa 6 ай бұрын
We zebuu bwana umetisha I say 😂nimechekaaa 😂 hivii hizo mbinu unazitoa wpi😂😂😂
@MarthaSamola
@MarthaSamola 5 ай бұрын
Zebuu umecheza vzr ap nmependa
@Philohmutua-bc4jk
@Philohmutua-bc4jk 7 ай бұрын
Haleluya😢😢😢😢 kp makangari itaenda
@HidayaSelemani-m2q
@HidayaSelemani-m2q 7 ай бұрын
hongern san team ya kp n zebuu❤❤🎉🎉
@VenasiaEmmanuel
@VenasiaEmmanuel 6 ай бұрын
Hakuna kupambana kwa ngumi ni vitendo😂😂 nice
@eugidekitumainiluburha4006
@eugidekitumainiluburha4006 7 ай бұрын
🎉🎉 Hongera sana Zebuuu🎉🎉
@Khadija-ys5op
@Khadija-ys5op 4 ай бұрын
Zebuu unajua kukomesha mwanaume😂😂😂
@officia_morning_star
@officia_morning_star 7 ай бұрын
Jamani namimi naitaji kuigiza k p na zebu naombeni kuigiza nanyie naweza
@GilbertSambaya
@GilbertSambaya Ай бұрын
Kp umejichangany bn
@Zena-oq8fc
@Zena-oq8fc 7 ай бұрын
Zebuuu umejua kunifurahisha haki nmecheka adii machozii.umejua kmweza Kp
@zainzain1163
@zainzain1163 7 ай бұрын
Wee zebuu ❤❤❤❤❤nawapenda sana
@obedisaitoti3678
@obedisaitoti3678 6 ай бұрын
Ila Zebuu ni mnafki sana😂😂😂😂 Anyway hii nzuri sana
@noreennafula-zj8zp
@noreennafula-zj8zp 2 ай бұрын
Zebuu wewe noma sana😂😂😂
@sikudhanimohammad7692
@sikudhanimohammad7692 6 ай бұрын
Wanavyoigiza hv mara paap inakuwa kweli. Sheila na Kp wanadate
@franciscakija1702
@franciscakija1702 6 ай бұрын
Hii lazima ipo siku itatokea si kwa maandiki ila live bila chenga. Siku hizi hakuna ushosti
@jeremyberry8703
@jeremyberry8703 6 ай бұрын
❤kazinzurisana❤ yakuerimisha jamii❤ asenteni sangu ❤
@Irine-n4c
@Irine-n4c 7 ай бұрын
Wow zebu umezingua❤❤❤❤
@hamzaIlunga
@hamzaIlunga 6 ай бұрын
From zambia lusaka 🇿🇲🇿🇲
@Hajra-oe7te
@Hajra-oe7te 7 ай бұрын
Naipendan tim hiix💓💓
@ashamwanganzi6400
@ashamwanganzi6400 7 ай бұрын
😂😂😂😂wow good job zb nimecheka n yng yote wallah
@Naomisimiyu-tb2fm
@Naomisimiyu-tb2fm 20 күн бұрын
Zebuu wewe acha kucheka bana😂😂😂😂😂
@NDAYISABAJeremie
@NDAYISABAJeremie 7 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂😂😂Zebuu Mungu anakuonaa😂😂😂
@FatmaImran-n6i
@FatmaImran-n6i 7 ай бұрын
Zebuu umenifundisha njia nzuri sn
@mlongo1170
@mlongo1170 7 ай бұрын
Zebuu ww mwenzako anakiri ww unamcheka😂😂😂😂😂
@alfredtebeka2497
@alfredtebeka2497 7 ай бұрын
😅😅😅😅 et sina yakunilipa mungu wangu 😂😂😂 dah KP
@joycemaregesi18
@joycemaregesi18 7 ай бұрын
😂😂😂😂😂zebuu umenipa bonge la bunu yani😂😂😂😂😂
@Privia-s8s
@Privia-s8s 7 ай бұрын
😅😅😅
@Ayanda_actress
@Ayanda_actress 3 ай бұрын
Hahahahaaaa anakata ikulu hiy😅😅😅
@victoriaedrick6833
@victoriaedrick6833 6 ай бұрын
Kazi nzuri sana❤
@FatimaFatima-bk4np
@FatimaFatima-bk4np 6 ай бұрын
😂😂😂😂jamn kp kinyambulilo kipone nawapend san nmechek mpaka mbav zin uma
@TatuHusseni-hs7mu
@TatuHusseni-hs7mu 5 ай бұрын
Nimecheka sana 😂😂😂😂😂 mbinu kali sana
@StevenKasereka-ov8qh
@StevenKasereka-ov8qh 3 ай бұрын
Zébuuu ongeraa yaani wewe ni mwanamuke mwenye hekima
@Irankundasadiki-yx1vf
@Irankundasadiki-yx1vf 3 ай бұрын
😂😂😂 uyu mwanamuke anaakili kbs nimemukubali
@MaduhuMhuli
@MaduhuMhuli 6 ай бұрын
Hatar sana katumia hakl za ziada 😅😅😅 naipenda hyo
@HelenaMkenga
@HelenaMkenga Ай бұрын
Zebuu nakupenda sana❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
@HelenaMkenga
@HelenaMkenga Ай бұрын
Kp na zebuu munaendana sana mungu awabariki kz yenu❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
AMEYABANANGA | Kp Na Zebuu.
18:23
Dibozi Manuva
Рет қаралды 255 М.
KING WA MADEM |15|
18:44
BHAILAM
Рет қаралды 17 М.
Что-что Мурсдей говорит? 💭 #симбочка #симба #мурсдей
00:19
Beat Ronaldo, Win $1,000,000
22:45
MrBeast
Рет қаралды 150 МЛН
黑天使被操控了#short #angel #clown
00:40
Super Beauty team
Рет қаралды 56 МЛН
小丑女COCO的审判。#天使 #小丑 #超人不会飞
00:53
超人不会飞
Рет қаралды 13 МЛН
WAONGO | Kp Na Zebuu
20:05
Dibozi Manuva
Рет қаралды 318 М.
KITU KIZITO FULL VIDEO HD
22:31
kisaitz
Рет қаралды 651 М.
NDARO NA STEVE MWEUSI WALIVO KULA CHAKULA CHA MGENI UTACHEKA
15:51
KIMEUMANA:(MZEE LIKOMA,DIBOZI,SHEILA,KP &ZEBUU)
9:55
LIKOMA
Рет қаралды 364 М.
GUBU LA MAWIFI_Ep_01
20:28
kijiti media
Рет қаралды 213 М.
EBITOKE /BABY LEO TUFANYE KWAKO
5:08
EBITOKE COMEDY
Рет қаралды 64 М.
Kp na zebuu _ Pata potea
8:36
kp wa Aquino
Рет қаралды 253 М.
Kp Na Zebuu | MZUSHI.
19:25
Dibozi Manuva
Рет қаралды 422 М.
KP & ZEBUU _ FUNGU LA KUKOSA
7:16
kp wa Aquino
Рет қаралды 104 М.
Что-что Мурсдей говорит? 💭 #симбочка #симба #мурсдей
00:19