Zelensky akiri wanajeshi wengi wa Ukraine wamekimbia vita

  Рет қаралды 12,872

Simulizi Na Sauti

Simulizi Na Sauti

Күн бұрын

Пікірлер: 75
@dicsonbiko-wz7ym
@dicsonbiko-wz7ym 17 күн бұрын
aingie akapigane mwenyewe 😅😅😅😅😅
@kmotivation1130
@kmotivation1130 17 күн бұрын
Nani abaki sasa , unapigana ujui unapigania nini no mission and mission no weapons
@FatumaMuya-w5h
@FatumaMuya-w5h 15 күн бұрын
Yani wewe😅😅😅
@AllyNzisabira
@AllyNzisabira 15 күн бұрын
Kuficha koootee leo wamekiri😂😂😂😂😂
@FadhiliAlly-fy2tx
@FadhiliAlly-fy2tx 17 күн бұрын
Wameficha ficha sasa wanasema kweli
@mussahsalihd9602
@mussahsalihd9602 17 күн бұрын
😂😂😂😂😂aminia bloody
@AllyNzisabira
@AllyNzisabira 15 күн бұрын
😂😂😂😂
@omondiowino7875
@omondiowino7875 17 күн бұрын
Kila mtu anataka kuishi...hata wanajeshi pia ni wanadamu tu
@HorebuKasuku-zz8cj
@HorebuKasuku-zz8cj 16 күн бұрын
Kabisa
@wadantz123
@wadantz123 17 күн бұрын
Vaa gwanda baba uingie mwenyew mzigoni😂
@adiaygo8546
@adiaygo8546 17 күн бұрын
Paka ukapigane Na dubu wapi Na wapi😅😅😅😅
@anny19988
@anny19988 17 күн бұрын
Watu wenyewe wanakamatwa wakiwa barabarani,sokoni, nyumbani n.k wanapelekwa kwa lazima kupigana kwa nini wasikimbie😢😢😢
@ezekiambise2595
@ezekiambise2595 17 күн бұрын
Bado ajasema,mpaka aseme😂,mnamchukulia mrusi poa sio!😂
@ngadumbishi1405
@ngadumbishi1405 17 күн бұрын
Mafuta na maji yashaanza kujitenga sasa😂
@salumabdallah2990
@salumabdallah2990 17 күн бұрын
Asa wale walio kuwa wakisema putin ni zaifu ilikuwa anataka waseme wenyewao😂
@Visionofeagle9689
@Visionofeagle9689 17 күн бұрын
Kasongo yeye mobali nanga, kasongo mbona wewe zonga libala mbona wewoooo.😂
@SeifJuma-l8t
@SeifJuma-l8t 17 күн бұрын
😂😂😂
@BonLove-j1c
@BonLove-j1c 16 күн бұрын
😂😂😂😂
@adamhashim3352
@adamhashim3352 16 күн бұрын
Mbona wewooooo😅
@ABDULShq-wv6st
@ABDULShq-wv6st 14 күн бұрын
😂😂😂😂😂 we shenzi sana 😂😂😂😂
@SeifJuma-l8t
@SeifJuma-l8t 17 күн бұрын
Putin 👍 achek na yoyoe Niko pamoja na wew Putin wapigi ivyo ivyo mpak awo marekani piga wote
@hassangaddafi2347
@hassangaddafi2347 17 күн бұрын
Na bado kitawaramba wote😂😂
@Shaa2213
@Shaa2213 17 күн бұрын
Zele😂 mzee wa selfiii Anajitajirisha kupitia vita comedian huyu
@MathewNathan-yb2bz
@MathewNathan-yb2bz 17 күн бұрын
Yaani ww mjinga sana
@anny19988
@anny19988 17 күн бұрын
Hii vita imempa utajiri balaa. Kanunua majumba huko Marekani. Mke wake anafanya shopping za maana anavyopenda
@MathewNathan-yb2bz
@MathewNathan-yb2bz 16 күн бұрын
@@anny19988 sio kweli.Huyu alikuwa tajiri mkubwa sana hata kabla hajawa rais.kama angekuwa anaiba marekani na nchi za ulaya wangemuanika hadharani.Hebu ona majumba yake ya kifaharinyaliyoko crimea iliyotekwa na urusi ni kufuru.
@HamisiJob
@HamisiJob 17 күн бұрын
Kama wanaona wanakufa na huku maslah yanarejea kwako kutoka kwa mmarekan kwanini waendelee kupigania maslai yako na wao wanapoteza maisha
@hudumablack9339
@hudumablack9339 16 күн бұрын
Hata kama asingekiri hivyo, ulimwengu unajua undani wa kile kinachoendelea kwenye uwanja wa vita kwa sasa.
@fxmarkettz
@fxmarkettz 17 күн бұрын
Bado hajasema
@OmmyMagari-jn7ez
@OmmyMagari-jn7ez 17 күн бұрын
Hata hvo wamesaidiwa saana na Nato.. lkn walichoka tangia mda saaana Zerewsky asiwasikilize Marekani na ushirika ,, aangalie alipokosea tuu vita iishe
@MichaelMathew-j3f
@MichaelMathew-j3f 17 күн бұрын
Kweli kabsa
@SabihaibrahimRajabu
@SabihaibrahimRajabu 17 күн бұрын
Hata mimi nakimbia mbona yeye hafi na familia yake
@AFRICA_D669
@AFRICA_D669 17 күн бұрын
Ogopa sana mitikisiko ya makombora takribani kilometa 4 kusogea uliko ...hata mimi mwenyewe nayeya aki
@jaffjeff6912
@jaffjeff6912 17 күн бұрын
😂Phantom
@AFRICA_D669
@AFRICA_D669 17 күн бұрын
@jaffjeff6912 😂solder
@jaffjeff6912
@jaffjeff6912 17 күн бұрын
@@AFRICA_D669 balaa mzazi moto unawaka
@UzalendoAsili-g8s
@UzalendoAsili-g8s 16 күн бұрын
Kasongo is now going to give up ooh sorry mr kasong
@fakijecha
@fakijecha 17 күн бұрын
Apo ndo utajua ubaya wa nato na marekani wazuri wakuongea lakin ukishaingia kwenye mfumo wao wanaka pembeni saivi anaza kusema ukwel si alikua anajivuna maisha maji na mafuta hujitenga tu
@MohamedyMsagati
@MohamedyMsagati 16 күн бұрын
Sasa aliwaua vp wanajeshi laki nne wa urusi kama wanajeshi wake wanakimbia vita huu ni uhuni huyu kibaraka shoga anatuletea huyu mbwa
@mwenebatuetabo5515
@mwenebatuetabo5515 16 күн бұрын
Nami najihuliza hivyo anajidai saaana mwishowe yeye mwenyewe kajihumbuwa
@zaramuneer3257
@zaramuneer3257 17 күн бұрын
Maskini 😢hyu baba namuonea huruma sana jmni Mungu ihurumie 🇺🇦
@AmaniMollel-yj9vo
@AmaniMollel-yj9vo 17 күн бұрын
Ushindwe.Urusi itashinda
@MACHOYATAI-jk6fu
@MACHOYATAI-jk6fu 16 күн бұрын
Alilazimishwa akapigane nsiujinga wake tuu
@FxL_47
@FxL_47 17 күн бұрын
Disadvantage of SENDING GAY AND LESBIANS TO REAL MEN'S WAR 😂😂😂😂
@chancellornicholaus6545
@chancellornicholaus6545 17 күн бұрын
Badoo yeye tu akimbilie Uingereza
@donaldmgunda4970
@donaldmgunda4970 16 күн бұрын
Ni myahudi huyoo ataenda kwa kaka yake Benjamin netanyauu 😅😅😅
@hajimaruzuku6583
@hajimaruzuku6583 17 күн бұрын
Moto huo
@mussabukarasha5775
@mussabukarasha5775 16 күн бұрын
kisha mnatwambia Russia amepoteza ninyi mnaakili kweli
@نجمهجمعه-غ8ق
@نجمهجمعه-غ8ق 17 күн бұрын
Aende yeye mwenyewe sasa
@zanzibarbikelife9815
@zanzibarbikelife9815 17 күн бұрын
Zelechizi mshamba halafu hana akili sasa raia wa Ukraine wataishi vipi bila ya gesi ya mrusi
@MathewNathan-yb2bz
@MathewNathan-yb2bz 17 күн бұрын
Wao hawategemei gesi ya urusi ww mjinga
@alphoncewilliam4325
@alphoncewilliam4325 16 күн бұрын
Zelenksi mpuuzi
@AwadhiKibindu
@AwadhiKibindu 17 күн бұрын
Daah dog ana zeheka
@hassanabdallahjienga9196
@hassanabdallahjienga9196 17 күн бұрын
😂😂😂Dah
@mapundarajabu5416
@mapundarajabu5416 16 күн бұрын
Uyu jamaa si alikataa thuma za wanajeshe wake kikumbia
@Greatamir
@Greatamir 16 күн бұрын
eti wanajeshi wanakimbia hali c nzuri🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@JacksonKivuyo-b1v
@JacksonKivuyo-b1v 16 күн бұрын
Gord bless puttin🇷🇺🇷🇺🇷🇺🫡🫡🫡🫡🫡
@RamaSimbila
@RamaSimbila 17 күн бұрын
Washushe hadi 13 miaka 😂😂😂
@alimkumbukwa8363
@alimkumbukwa8363 16 күн бұрын
Zelsk anawaponza wenzie
@banajuliana758
@banajuliana758 17 күн бұрын
Vita ni biashara sasa wanao faidika wakapigane wenyewe😮
@MichaelMathew-j3f
@MichaelMathew-j3f 17 күн бұрын
Ahhh vita sio vitamu aiseee hivi hata kama ni mimi unafikiri ningebaki? Nasepa tena mapema sana!!! Weee dunia bado tamu duhhh chips mayai na kuku pamoja na kachumbari niache mapema eti kwasababu ya vita ohoooo siwezi!!! Chips tamu jmn ohooo😂😂😂😂😂😂
@Brunotarimo10
@Brunotarimo10 17 күн бұрын
Tunataka makala 350
@CalliamKayechikwindi
@CalliamKayechikwindi 16 күн бұрын
Watiye adi myaka 12
@T.i.sI.d.s
@T.i.sI.d.s 16 күн бұрын
Siwamesema wameuwa wanajeshi wengi sana WA urusi
@abdalahngozi5455
@abdalahngozi5455 16 күн бұрын
😂😂😂
@HusseinSaguti-sj9nh
@HusseinSaguti-sj9nh 17 күн бұрын
Kiburuta cha nato
@JafariNyallu
@JafariNyallu 17 күн бұрын
neto wakuacha peke yako wanja wa vita
@ShedrackShedrack-c2b
@ShedrackShedrack-c2b 17 күн бұрын
Mbona. Hata wa urusi wanakimbia vta
@salumabdallah2990
@salumabdallah2990 17 күн бұрын
Wapi
@MichaelMathew-j3f
@MichaelMathew-j3f 17 күн бұрын
Hamna kitu cha namna hiyo
@lexq-sm6lq
@lexq-sm6lq 17 күн бұрын
Maliza vita pimbi wewee
@Shaa2213
@Shaa2213 17 күн бұрын
Zele😂 mzee wa selfiii Anajitajirisha kupitia vita comedian huyu
@MathewNathan-yb2bz
@MathewNathan-yb2bz 17 күн бұрын
Ww mjinga kupitiliza
@Brunotarimo10
@Brunotarimo10 17 күн бұрын
​@@MathewNathan-yb2bz wewe ndo boya
Support each other🤝
00:31
ISSEI / いっせい
Рет қаралды 81 МЛН
Cheerleader Transformation That Left Everyone Speechless! #shorts
00:27
Fabiosa Best Lifehacks
Рет қаралды 16 МЛН
Мясо вегана? 🧐 @Whatthefshow
01:01
История одного вокалиста
Рет қаралды 7 МЛН
How Strong Is Tape?
00:24
Stokes Twins
Рет қаралды 96 МЛН
The Match That Made Real Madrid Buy Cristiano Ronaldo
12:19
Moon Ball
Рет қаралды 4,9 МЛН
Support each other🤝
00:31
ISSEI / いっせい
Рет қаралды 81 МЛН