Taifa gana duniani la kumwajinisha mheshimiwa Putin😂😂😂😂 Marekani mwenyewe anafyata mkia
@evelynemugeni23696 күн бұрын
😂😂😂
@yonathanbanyikwa18135 күн бұрын
Una uhakika?
@shammhagama25275 күн бұрын
We vipi
@msaghaaathuman41507 күн бұрын
Aache kulia lia aendelee kurusha ATACM na Storm shadow zakee
@suleimanissa93217 күн бұрын
Analia lia nn huyo pumbavuu atulie dawa iingie
@kiningashukran51777 күн бұрын
Putin ataumia mdaa mchache
@sultanbakary42927 күн бұрын
@@kiningashukran5177kupata vichekesho hv piga #
@zainajirani52967 күн бұрын
Thubutu 😂@@kiningashukran5177
@IshipalemyPasko7 күн бұрын
@@kiningashukran5177kwendraaaaa
@Awatee7 күн бұрын
@@kiningashukran5177weye kama nani pambana na hali yako 😂😂😂Kwani wakati akituma yeye alikua atapewa chipsi
@homeboybeyondtheborders49357 күн бұрын
Putin angetaka kumaliza vita angeshamaliza kitambo,ila Putin amekua mvumilivu sana kwa sababu watu(wakazi ni muhimu sana)ukiwamaliza utaongoza nani?
@mtzhalisi22327 күн бұрын
@@homeboybeyondtheborders4935 hakika unasema kweli kabisa... Inaonekana putin hataki Vita ya tatu ya dunia!
@IshipalemyPasko7 күн бұрын
@@mtzhalisi2232kabisa
@FrediBatoni7 күн бұрын
Amna kwenye ivyo vita kuna siasa kubwa mno kuna anguko ladola hapo kama hujui hapo dola lakimarekani linadondoka taratibu kama golafa la kariakoo
@patrickmukundichalamila30386 күн бұрын
Yani amepigana vita kama vile anapigana na mjomba ambaye ni kaka wa dada yake yani ina huruma ndani yake lasivyo ni bomu moja tuu kazi inaisha. Sema jamaa anahuruma tuu,na Mungu amlinde na huruma zake lasivyo tutaumia sote🙏
@yonathanbanyikwa18136 күн бұрын
Dola inaangukaje kaka? Leo hakuna pesa iliyoimarika duniani kuzidi dolla. Trump kachaguliwa aliyesema asiyetumia Dolla ataweka ushuru mkubwa.
@peterchula19907 күн бұрын
Na yeye kutumia makombora ya uingereza na USA kupiga ndani ya urusi tumwajibishe😂😂😂
@levygasper74387 күн бұрын
Zelesk hana hakili
@saleemsuleiman22207 күн бұрын
@@levygasper7438 huyo hata Tanzania hafai kuongoza bora mama mitano tena kuliko zelesky
@yusufhaji27897 күн бұрын
Mpuuzi uyu jamaa,yeye mbona hachukuliwi hatua
@MwanaHussein-s2n7 күн бұрын
😂😂😂😂
@GeraldElias-s7j6 күн бұрын
@@yusufhaji2789alie anza kuvamia nchi yamwenzake ni nani 😂😂😂
@mohamedbedui94867 күн бұрын
Chombo inatembea klm2.5 hadi 3 kwa sekunde 1
@peteremmanuelymatwimatwiem32587 күн бұрын
😅😂Hiiii I ni hatari
@stevenmabungi32457 күн бұрын
Hii hatariiii aisee haisomeki hata kwenye rada duuuh
@mtulivu-ir1nq7 күн бұрын
Omba omba nae kwaiyo yeye makombora aliyotumia kwa msaada wa NATO fresh tu na ni halali au vip😂😂🙌🙌
@saleemsuleiman22207 күн бұрын
NUCLEAR IKO NJIANI WEWE SUBIRIA 😂😂😂😂 HYPERSONIC MISSILE TU unalia hivo😂😂😂😂
@nickylyanga21397 күн бұрын
tusali .. tuombe mungu wasifike huko
@saleemsuleiman22207 күн бұрын
@@nickylyanga2139 Amen
@ABDULShq-wv6st7 күн бұрын
Kwisha tumesha pata ushindi adi sasa 😂😂😂putin Africa will love you 😂😂😂
@FranckDaniel-cc5rg7 күн бұрын
Huyu zelensky ni mtoto wa malaya
@evelynemugeni23696 күн бұрын
🤣🤣🤣🤣
@wadantz1236 күн бұрын
😂😂😂jmn mbn we mgomvi
@Kassim-o6m7 күн бұрын
Ndiyo waislamu tunawachukia mashoga wa marekani na nchi za urop na mtu yoyote anae wapenda mashoga c jui yy atakuwa nani kama c shoga na ww kama unawapenda hao mashoga c jui utakuwa nana sasa
@GeraldElias-s7j6 күн бұрын
Ila mitandao yao mnatumia sim zao mnatumia magari yao mnatumia duu warabu wa buza mnavituko 😂😂😂😂
@HamadJuma-kj5td6 күн бұрын
@@GeraldElias-s7jshoga nin na w😂
@johnmichaellukindo216 күн бұрын
Waambie wapashe😂@@GeraldElias-s7j
@bakarially2537 күн бұрын
Kuwa na Rais kama huyu wa Ukrain kiukweli bora kuhama maana juzi alicheka na kifurahi pia akatuma lake sasa Putin amejibu yeye ananza kulia
@YamunguMatamya7 күн бұрын
😂😂😂
@KS-iw7qv7 күн бұрын
Sasa si Alisema Missiles will speak them selves...... sasa ndio ina SPEAK😅😅
@cidewashington6707 күн бұрын
😂😂
@ramadhanichuma79257 күн бұрын
Hili jinga marekani na washirika wake wananufaika na matatizo yako ww unajifanya unamkomoa putin kumbe mwenzako anaona nchi yako ni sehemu ya mazoezi na majaribio ya makombora yake
@africanQueeny-u7o7 күн бұрын
Unaandika sana na akuna poit 😅 kwaiy apigwe anyamaze kama mama ako alivyo pewa kimba na jamaa akasingizia
@peteremmanuelymatwimatwiem32587 күн бұрын
,,, 😅😅😅😅😅utamuelewa ukitia akili
@SarhaSaid7 күн бұрын
@@africanQueeny-u7oww nimpumbafu mama yake amekujaje apo mshamba ww kama mama yako alikataliwa unafikili ndio ote 😏
@HassanRamadhanPashua7 күн бұрын
Ningekua mwanajeshi wa Ukraine huyu ningmpiga shaba
@SelemaniMsuya-q8n7 күн бұрын
@@africanQueeny-u7o we una point Gani mjinga mmoja
@MasanjangwesaJiganga7 күн бұрын
Hiii 🔥
@sonnyr18997 күн бұрын
Kistul ni mpumbavu kweli we juzi imepiga baruti zako ukajiona bingwa sasa umekula chuma kimoja tu unapanik na kuomba msaada dunia nzima. Kitu ulichopigwa hata hukijuwi
@mtzhalisi22327 күн бұрын
@@sonnyr1899 😂😂😂😂😂
@سعدههوام7 күн бұрын
😅😅😅 kistur tena jamaniii 😂😂
@Awatee7 күн бұрын
@@سعدههوام😂😂😂😂sijui hana msemaji huyu zelensky 😂😂😂
@africanmandetraveler28477 күн бұрын
Nouma sana😂😂😂😂😂
@HusseinSaguti-sj9nh5 күн бұрын
@@Awateeyy mwnyw urais wak kikatiba uliishia mwaka jana october
@hajjiomary23836 күн бұрын
Mungu ndo atabakia pekee
@maxozone37627 күн бұрын
Ama kweli huyu ndiye masihi dhajal
@troubleboy25907 күн бұрын
PUTIN ni PUTIN BINGWA ❤️
@StrongbowArrow20047 күн бұрын
Nilijuwa Skanka ya tz ndo kali, kumbe anayoivuta huyu jamaa ndo kali zaidi 😂😂😂 yaani juzi tu kapewa ruhusa kumdungua mwenzake kwa siraha za Nato hata wiki bado anaanza kulia 😂😂 NA APO BADOOO
@User-mo9ox7 күн бұрын
Itakuwa bado mpaka leo anasikia sauti ya hayo mabomu ndo maana analalamika
@Caltexjr7 күн бұрын
Huyu ni mburura 😂😂😂🤣🤣 wamuwajibishe Nani sasa
@africanQueeny-u7o7 күн бұрын
Mburula kiaj na amevamiwa ndy maan akili za matako aziwez kujenga nyumb
@alphamenson37847 күн бұрын
@@africanQueeny-u7oKasome history yote kitambo huko pitia hadi kitu inaitwa Minsk agreement na makubaliano ambayo Russia aliingia na NATO ndo utajua kwanini Russia kaishambulia Ukraine
@kmotivation11307 күн бұрын
Sema jamaa angekuwa ndo putin huyu angeshamaliza vita
@africanQueeny-u7o7 күн бұрын
😅😅😅😅😅 unavyo jiliwaza kwa upumbaf wetu, mkeo tu ata mimba uwez mpatia
@KassimMwembe6 күн бұрын
😅😅😅😅 punguza dozi brother utamuua huyu.
@adiaygo85467 күн бұрын
Madawa ya kulevya Ni tatio huyo anavuta Cristal hawezi kuwa Na akili😂😂😂😂😂
@AgustaZaile7 күн бұрын
Urusi ina silaha hatari sikuwa kudhania
@GeraldElias-s7j6 күн бұрын
Akapigane na wakubwa wenzake aache kuonea watoto
@mtzhalisi22327 күн бұрын
Mtoto kautaka.....kila kukicha unapewa mifumo ya ulinzi sasa u nataka nn mzee
@africanQueeny-u7o7 күн бұрын
Mfumo gan unaujua
@mtzhalisi22327 күн бұрын
@africanQueeny-u7o makombora mangapi amepigwa na urusi na ameweza kuzuia?? Au alikuwa anazuia kwa kutumia matako?? Kuwa na akili timamu
@mlelwatv58317 күн бұрын
Siku moja Putin aje bongo tumuone mwanaume huyu 😊😊
@kwisa48996 күн бұрын
Mtoto kalilia wembe
@Kassim-o6m7 күн бұрын
Kwan zile alizo piga yukrine juzi ndo ATACAM na Storm shaddow au mbona mm naona kama ni pash pash zimazo pigwa wakati wa sherehe za mapindizi jibu lake baada ya kupiga pash pash wamepelekewa moto ss wanalia
@User-mo9ox7 күн бұрын
ATACMS na STORM SHADOW ni kama baruti Tu kwa mzigo uliodondoshwa UKRAINE
@KIZAOFCHRIST7 күн бұрын
Walai zelensky ni mujinga wa hali ya juu
@AmiriNachan6 күн бұрын
Kweli huyu bwana ni comedian
@abdallahlibwela97616 күн бұрын
Mi sidhani kama zelensk yuko timamu kweli
@emmanuelShayo-dk6vf7 күн бұрын
Bongo bhana baruti yenyewe hatuwezi kutengeneza ni midomo tu
@MwanaHussein-s2n7 күн бұрын
Yaani huyu comedian akili zake Bana.. Anamshika simba ndevu.. Af anakimbilia kwa mataifaa😂😂😂😂😂
Uyu baba ata sijui yupo vipi juzi tu kasema asalimu amrii kamwee atapambana leo anaomba msaada hao walionyuma yako wanakupoteza sanaa
@hassangaddafi23476 күн бұрын
Na bado kitamramba😂😂 Good work mr Putin❤🌹 🇷🇺🇷🇺🇷🇺🇷🇺🇷🇺🇷🇺🇰🇪🇰🇪🇰🇪💪
@johnthesimba47647 күн бұрын
Si huyu alisema makombora yatasema huko urusi..Sasa mbona analia😂😂
@sammimbuta45617 күн бұрын
Hongera baba wa Dunia na una ubinadamu mkubwa umelinda heshima ya Moscow
@festohaule97167 күн бұрын
Raundi hii pameuma sanasana...Zele boy kubali yaaishe nyie ni ndugu... Mifumo ya kutungua Makombora imewaka pia!!!!!
@NafuuTaib-u8q6 күн бұрын
Yakipigwa matatu anaenda kuwa chizi moja tu mpk leo hajala pumbavu huyo ndie mtumishi wa mungu putin kajakukomboa ulimwengu
@MuhammadShariff-ji9ye6 күн бұрын
Huyo nimpuzi asilalamuke akubaliane na matokeo
@KassimMwembe6 күн бұрын
Kuna dogo! Kasema akizaliwa mtoto wake wa kwanza jina atamwita Oreshnik kama kumbukumbu kwa urusi😅😅😅😅😅
@FredrickMatiku-xf2uk6 күн бұрын
Awa majamaaa tumewachokaaaa bwana 😂😂😂😂 bora Mungu achukue roho zao tu wakapumzike hukko kuzimu putin sijui zelenski
@Mindset_99-m7 күн бұрын
Kaka sky tunamuomba Ali masubi atuchambulie hilo kombora jipy la hypersonic la Russia tuweze kulijua uwezo wake tumeskia linakimbia mara 10 ya sauti itakua ni hatari sana ilo.
@RamadhanAthuman-d4c7 күн бұрын
Huyu jamaa ni fara sana yeye akitumia makombola ya hatari sawa wengine kosa
@ndakifx83196 күн бұрын
Huyu jamaa dunia inamshanhaa... Sababu Hilo shambulio la kombora la oreshnic la urusi ni kisasi Cha yeye kutmia makombora ya masafa marefu ngoja pilton imwingiee😅😅
@DjskillsTboiyprincess7 күн бұрын
Uyu baba wamwangaliye vizuri maana sibure
@bakarially2537 күн бұрын
Shida yake ni muigizaji sasa yeye anafikilia yupo kwenye scen
@chiefndatu18957 күн бұрын
Akiba za siraha hizi kea uruei bado ni ndogo!!
@Kassim-o6m7 күн бұрын
Hahaha kitu alicho pigwa nacho ni kizito hata yy pamoja na mabwana zake hawakijui
@FrediBatoni7 күн бұрын
Hahahahaha awakijui mpaka poutin mwenyewe anakitolea mahelezo
Je wajuwa kuwa sns wamefungiwa kutoa taarifa za Israel
@AgustaZaile7 күн бұрын
Putin lazima aiangamize Ukraine Moja Kwa moja
@daslamonline46657 күн бұрын
Ukute hapo ni MITA 200 ardhini
@stevenmabungi32457 күн бұрын
Aliamua kupigana na Putin sasa analia nn? Mmepiga kombora la masafa marefu kwa ndani ya Russia ulitegemea nn mkipiga tena atajibu pigo kubwa zaidi.
@JosephAlakonya7 күн бұрын
Analamika na pia yeye anatumia ya masaa marefu
@AmaniMathod7 күн бұрын
Zelensky bado haujasema
@ARHLikominjala7 күн бұрын
Alisema makombora ndo yatasema, vipi tena????
@AyoubKhatib-p4k7 күн бұрын
Huo ni mfano salam kwa washirika wako lengo haswa wao waliokupa silaha uipige Urusi
@yusafbayu70167 күн бұрын
Huyo Raisi ana taka nin si ame sema ana itaji silaha zaku mpiga urusi amesha pewa na ame ruhusiwa na amesha shambulia sasa ana lia nin wakati ame taka mwenyewe😅 huyu raisi ni bwege sana
@zakariaabdalla-uo3nk6 күн бұрын
Ao majeshi unawaona asaa wana huzuni kama wanasukwa tu wakaabane
@africanQueeny-u7o7 күн бұрын
Safi sana lazima kila nchi iwe huru bila chuku au ushabeki wa kijinga, ingekuwa tunakubaki mtu kuvamia nchi yako uganda ingechukua kagera
@africanmandetraveler28477 күн бұрын
Kagera na ukraine ni tofauti kabisaa
@FaustinaelishaBisake-s7p6 күн бұрын
Utofauti nn
@SAYMOEKARIM7 күн бұрын
hyu chizi kashapewa Kila kitu hata apewe nini haweze kuwezi kupiga hatuwez hata 1Km . raia wake nao ni machoko cz nchi umeolew kafara na chizi
@aminiyasini72717 күн бұрын
Kwani nyinyi sielewi hamuepeweki
@hasanimkamba83777 күн бұрын
haka kajamaa Yani akili yake inakatuma kwenye vita ya tatu ya dunia kajinga kweli haka
@kidatokassim76167 күн бұрын
Huyu jamaa anataka vita lakini anatafuta huruma kwa nchi zengine si alipiga mwenzKe juzi subiri upewe sawa na Putin very soon 😂
@AziziSalimini7 күн бұрын
Sijaona nchi ya kumuwajibisha putin duniani right now na nato + marekan hawana aman kabisa vikao kila siku coz wanajua fika hii game ikaishia hapo ilipofikia russia auto will be a superpower. (vita ya uchumi ni hatariiii san)
@allymbaruku47107 күн бұрын
Us na Europe wanatumia vita hii kuona uwezo wa Russia kisilaha pamoja na uwezo wa kujilinda Ukraine ni kama Israel awezi pigana peke yake hadi awe na back up...
@flashbreezytz74727 күн бұрын
Yy c aliyaanzshaa wenzake wamejibu
@fakijecha5 күн бұрын
Yan huyu jama nimeamini huyu kenge kwenye msafara wa mamba mara nitapambana hadi kieleweke saiv tena anaza kulialia kapewa vikombora vya maji vike akaona kashamaliza kazi kumbe watu wanabajeti hata haijaguswa
@anny199887 күн бұрын
Si alisema makombora yataongea maneno ya nini tena . Tunataka makombora😂😂😂😂.
@Kassim-o6m7 күн бұрын
Huyu jamaa angekuwa putin kweli angekuwa kashapiga nuclia maana hana akili yy akipata silaha mpya anarusha tu wala hafikirii chochote sema ananiketa anataka wenziwe wasitumie atumie yy tu
@FrediBatoni7 күн бұрын
We ahushangae walirusha vyao wanavyo tegemea ila moja tu moja tu duninzia kilio nawala silo lasumu je ange hunganisha nayale ya sumu ingekuwaje ? Nahamani hatabom zao zasumu wamarekani namagaribi yoye bom zao urusi zinaweza ongezwa speed zikaenda kudema kungineko
@JosephNjiloi1276 күн бұрын
Zelenzki ahisi kama yeye ndie anaye pigana na Putin,laiti ange achwa wiki tatu bila msaada,asinge fikiri kushindana na putin