Ziara ya Habib Ally Jufri in Kenya

  Рет қаралды 33,600

Bin Mweri Online Tv

Bin Mweri Online Tv

Күн бұрын

Пікірлер: 79
@SaidJangoli-hr7ww
@SaidJangoli-hr7ww 10 ай бұрын
Acheni kumdhihaki Allah,hata Mtume s.a.w amekataza sauti za ala za miziki,inalillah wainailaih rajiun.Allah atuongoze
@ZAMYLFILM
@ZAMYLFILM 9 ай бұрын
Mmhh!! Upo sahihi Kwa ulivyosoma lakini usijaribu kumkosoa sheikh letu Baki na ya kwako alafu fainali Kwa Allah tutajua yupi mwenye makosa usionge kama mtume ni mjomba wako eti mtume alikataza mangapi unayafanya mtume ameyakataza Wacha ujinga
@nuhubashiramubashira7233
@nuhubashiramubashira7233 20 күн бұрын
Maashalaah mwenyeezi mungu awazidishie umli mlefu wenye manufaa duniaa na akhera
@abeliever6823
@abeliever6823 6 ай бұрын
ماشآء الله على هذا الصوت الطيب والرائع والمميز. ماشاء الله تبارك الله على هذا الحضور الراقي من العلماء والمشايخ حفظكم الرحمن ورعاكم جميعا
@SaidiMohamed-bj2wg
@SaidiMohamed-bj2wg 3 ай бұрын
Maasha allaah
@jumamohamed4808
@jumamohamed4808 Жыл бұрын
Mashaallah mashaallah
@issaalfaransi5263
@issaalfaransi5263 11 ай бұрын
Bunch of innovators. May Allah preserve the muslimins
@MwatumuMwevi
@MwatumuMwevi 4 ай бұрын
MashaAllah
@eddieeddie2755
@eddieeddie2755 11 ай бұрын
Mashekhe wa kutegemewa wa kisufi wakiimba taarabu, innalillah wainnailaih rajioun
@musakhamisi1692
@musakhamisi1692 11 ай бұрын
Hujui maana ndomana wasema taarabu
@eddieeddie2755
@eddieeddie2755 11 ай бұрын
@@musakhamisi1692 basi mnaweza mkasema ni ibada pia , kweli masharif bidaa wana balaa
@allyombele
@allyombele 10 ай бұрын
لا عقل لك
@ZAMYLFILM
@ZAMYLFILM 9 ай бұрын
Sawa. Wacha waimbe taarabu kama unavyoona kama inakuuma kamwambie babako akaimbe bongofleva, Nini kuwatukana masheikh wetu kwani mlilazimishwa kusoma maulidi acheeni ufala wahabi mnakera
@eddieeddie2755
@eddieeddie2755 4 ай бұрын
@@ZAMYLFILM mbona munakua wakali mukibainishiwa haki?
@sibawaybakar6317
@sibawaybakar6317 8 ай бұрын
Mashaallah
@Nevershot
@Nevershot Жыл бұрын
Si vizuri kitukanana katika dini au wakati wowote ule.Vile vile kuongeza Ibadaa yenye haikuwepo wakati wa Mtume S.A.W ni kuwenda kinyume na Quran takatifu na ni sawa na kusema nyinyi mwaijua dini vizuri kumshinda mtume s.a.w
@hajigahimbare579
@hajigahimbare579 Жыл бұрын
Kawauliza wanaofanyisha Misabbaqua Ya QUOR'AN, Kwanini Haikuwepo zama za Mtume wala Maswahaba" Jee Wao Wanaipenda sana QUOR'AN zaidi Ya Alivyoipenda Mtume na Maswahaba? Watakavyokujibu Swali Hilo Kisha Nawe Urudi Hapa Upewe Jibu La Swali Lako insha'allah. Kwa Njia Nzuri Al Akhy.
@hamidsalmin4810
@hamidsalmin4810 11 ай бұрын
Mwinyi baba aimba taarab ya ki masri, mpaka aliza watu, utasema asoma Aya za quraan. Lahaula wala kuwwata illa billah. Mcheni Mola wenu.
@Nevershot
@Nevershot 11 ай бұрын
@@hajigahimbare579Hili ni swali la kitoto sana. Qur'an tunapoisoma tunapata thawabu 10 katika kila herufi wewe wapata nini kupiga twari?
@smdrcll3145
@smdrcll3145 11 ай бұрын
Masya Allah❤❤❤
@yahayaabdallah-h6b
@yahayaabdallah-h6b 11 ай бұрын
Mashaa allah 🇹🇿🇹🇿🇹🇿
@abdula4014
@abdula4014 11 ай бұрын
Maasha Allah
@abdouassoumani6912
@abdouassoumani6912 Жыл бұрын
Masha allah alhamdulilah félicitations pour ❤
@sarmbadmkali6150
@sarmbadmkali6150 9 ай бұрын
Masha allah
@kassimngao2282
@kassimngao2282 11 ай бұрын
Allah awaongoze kwenye hakki
@SadamSheka-h2r
@SadamSheka-h2r Жыл бұрын
mansha Allah
@binmwerionlinetv1256
@binmwerionlinetv1256 Жыл бұрын
🙏🙏
@AsiaAa-s1d
@AsiaAa-s1d Жыл бұрын
Hakuna mwanazuoni aliebakia africa mashariki na kati kama hiko kiumbe. sasa ikiwa mwayadiriki maneno ya mtumi (s.a.w) basi waekeni watu katika madaraja yao au laa mwafata mkumbo na ushabiki basi muacheni alhabiby ahmad badawiy aingie motoni na nyie wahabia ingieni peponi😢😢😢
@AbuuSiiriin
@AbuuSiiriin 11 ай бұрын
Wewe mwendaazimu hawa washirikinaa wakina jufrii
@AbuuSiiriin
@AbuuSiiriin 11 ай бұрын
Msufi waimba taarabu
@AdijaTunda-c8u
@AdijaTunda-c8u 5 ай бұрын
Allah atunusuru
@abubakarymaulidy5681
@abubakarymaulidy5681 Жыл бұрын
Mashaaa allah
@binmwerionlinetv1256
@binmwerionlinetv1256 Жыл бұрын
🙏🙏
@mkubwamasoud2776
@mkubwamasoud2776 11 ай бұрын
Daaah Mtihani wallah Allah atuongoze kwenye haki
@eddieeddie2755
@eddieeddie2755 11 ай бұрын
Kumbe Taarabu pia inaruhusiwa ktk usufi? Duuh alhamdulillah kwa kutoka ktk uzushi.
@manturemdachi2118
@manturemdachi2118 Жыл бұрын
Mashaallah mzazi wetu na mlezi wetu Allah akujalie umri mrefu na mwisho mwema
@binmwerionlinetv1256
@binmwerionlinetv1256 Жыл бұрын
اللهم آمين يارب العالمين 🙏
@pavillioncry5241
@pavillioncry5241 Жыл бұрын
Sufiiiiiiiii
@binmwerionlinetv1256
@binmwerionlinetv1256 Жыл бұрын
Naam
@LeeySeedorf
@LeeySeedorf 11 ай бұрын
Hiyo ni ngoma ya aina gani???
@nassortrans12
@nassortrans12 11 ай бұрын
Naona sawa na Taarabu ya kimombasa juma bhalo Au kwa bongo malindi taarabu ya zanzibar
@abdouassoumani6912
@abdouassoumani6912 Жыл бұрын
12:09
@kassimngao2282
@kassimngao2282 11 ай бұрын
Jisufi kubwa😂
@ZAMYLFILM
@ZAMYLFILM 9 ай бұрын
Mashaallah Allah akuzidishie sheikh wetu sayiid ahamad ahamad badawy mwenyebaba, wajinga hawaelewi eti BIDAA
@binmwerionlinetv1256
@binmwerionlinetv1256 9 ай бұрын
Amiin Yaa rabby🙏
@eddieeddie2755
@eddieeddie2755 10 ай бұрын
😂😂😂 limekosekana veve tu hapo.
@binfarhan879
@binfarhan879 11 ай бұрын
Jaman hebu tufikirien kwanza hii ni mwana chioni Gani alitamka inafaa katika dini au tunasubir Mashekhe watukataza tusema Mawahabi wamezid kuchafua dini na je Mtu siku ya Msiba wake kama hii ni Dini Yuko tayar kufanyiwa ili watu wapate Burdan mda was Mazishi au was Dua? Huyu ni Shekhe Mkubwa sana na anapenda Maulid hauna la kumuambia. Where we are going and to whom we will return? Itaq Llah.
@ZAMYLFILM
@ZAMYLFILM 9 ай бұрын
Kama hamna lakukoment si ukae kimya Sasa kosa hapo liko wapi?? Shida yakusoma alafu usielewe mtume kafanyiwa haya yanayofanywa na hakukataza Sasa wewe ni nani? Msijifanye mtume anawajua sana.
@JumaKhamis-cw8ec
@JumaKhamis-cw8ec Жыл бұрын
Yaweza kua wamesoma ila tarabu na mnanda huo haumo katika dini na mnanda huo kharamu
@isihakambalawa8088
@isihakambalawa8088 11 ай бұрын
Mapiano yanapigwa
@kassimdaud4258
@kassimdaud4258 Жыл бұрын
Ukiwa Sufi asubuh haifik adhuhur ushakuwa mwendawazimuu Ni kama haoo
@salumnuhu9066
@salumnuhu9066 Жыл бұрын
Nini hii mbona upuuzi mtupu
@hamzabashiru4069
@hamzabashiru4069 Жыл бұрын
Ukiwa wahabi asubuhi jioni umekua mpumvavu
@hamzabashiru4069
@hamzabashiru4069 Жыл бұрын
Mwahabi someni acheni janja janja
@husseinally5550
@husseinally5550 Жыл бұрын
​@@salumnuhu9066we mtoto wa zinaa
@nassortrans12
@nassortrans12 11 ай бұрын
Huyo sheikh ndio anadai anamuona mubashara ktk bidaa ya mawlidi mtume Na anarembua macho yake huyo sheikh kuangalia juu eti anamuona mtume live live bila chenga Hamuwachiii jamani
@مبغضالبدع-ع9ص
@مبغضالبدع-ع9ص Жыл бұрын
Huyu muimbaji haswa na mapiano pia!!!! Duh kali mzee mwinyi papa 😂😂😂😂😂😂😂😂 kumbe mutrib mkubwa wewe!!! Halafu na allama qawwama!!! Na wafurahia kusifiwa kwa uongo mbele yako!!!! Uliamka usiku kufanya ibada wewe!!! 😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😂😂😂😂😂 mzee wetu wa kibajuni una tabu sanaaa....
@Khalid-mf3iu
@Khalid-mf3iu Жыл бұрын
Hakiamungu wimbo utasema wa ummu kulthum vile vile na vinanda watumiavo
@BakariMagoti
@BakariMagoti Жыл бұрын
Matusi hayafai mnapata dhambi
@MamajamesUkwamanigairotanzania
@MamajamesUkwamanigairotanzania Жыл бұрын
Nyote mnaotukana hamna hata nusu chembe ya ilmu kuwafikia hao waloketi apo mbele wala kinachosomwa apo amkijui hata chakuwashauli tafuteni mashekh msome msifuate fuate tu
@eddieeddie2755
@eddieeddie2755 10 ай бұрын
Hapo hakuna mmoja anaemfikia Ibilisi kwa ilmu, kwa hiyo tumfuate Ibilisi? Uislamu haumfuati mtu kwa sababu ya ilimu yake mtu ndio atakiwa aufuate Uislamu hata km ana ilimu.
@pavillioncry5241
@pavillioncry5241 Жыл бұрын
Mssufi ni manhaji ya kikafir
@baarutmazrui5186
@baarutmazrui5186 Жыл бұрын
We wahabi unamanhaji ya kiibilis uisilamu ni tabiya sio matus
@SugowFarah-up3db
@SugowFarah-up3db Жыл бұрын
Akhy afwan waache tu waimbe ila usiwakufurishe na pia tuzidi kuwaombea waepukane na ugonjwa huu wa bid'ah
@Khalid-mf3iu
@Khalid-mf3iu Жыл бұрын
Sasa hyo nyimbo aloanza nayo ajiitaye muft wa kenya haina tafauti na wimbo wa UMMU KULTHUM wa misri vile vile yani
@JumaKhamis-cw8ec
@JumaKhamis-cw8ec Жыл бұрын
Nuimbo ni haramu haihitaji elimu apo
@MustafaOyoo-qz7rp
@MustafaOyoo-qz7rp Жыл бұрын
Dah mumekuwa mwapiga vinanda.mwaonaje mukapiga drams pia na magita.nyie wazushi dah
@Ibrahim-st3uo
@Ibrahim-st3uo 11 ай бұрын
دجال من الدجاجلة عافانا الله والمسلمين آمين
@adnaankhanbhai7057
@adnaankhanbhai7057 Жыл бұрын
Yana onekana manaafik makubwa ki surah tu laanatullahi alayhi
@husseinally5550
@husseinally5550 Жыл бұрын
We utakuwa ni mtoto wa zinaa.ndo maana huna adabu kamuulize mama yako vzr
@adnaankhanbhai7057
@adnaankhanbhai7057 Жыл бұрын
Hakika kama we ulivo mtoto wa haramu mja laana we ka ulizie babaako kama wamfahamu wewe mwana haramu mkubwa weee
@alwysaggaf
@alwysaggaf Жыл бұрын
😂 hasira au matusi ya kazi gani? Kama haya tufanyayo sio yako si ujipe shughuli akhiy? Madrasa za Ahlul Sunnah (Twariqa/Suffii au upendavo kutuita) ziko wazi na zinafundisha kwa miaka mengi. Unakaribishwa inshaALLAH. Sisi hatutukani kama wengine. Thanks❤
@salhakhalfan6513
@salhakhalfan6513 11 ай бұрын
Huo uhabi wenu ndo umewafunza kulaani watu na kuwatusi,, yaan ww uwekwe na habib ahmad badawi na elimu yako hiyo ya kulaani waislam wenzio una nn ww
@salhakhalfan6513
@salhakhalfan6513 11 ай бұрын
We fanya uonalo sawa anaehukumu ni ALLAH mbona unaingilia kazi si yako
@jumamohamed4808
@jumamohamed4808 Жыл бұрын
Mashaallah
@abunufilaabunufila2152
@abunufilaabunufila2152 Жыл бұрын
Maashallah
@binmwerionlinetv1256
@binmwerionlinetv1256 Жыл бұрын
🙏🙏
@AdijaTunda-c8u
@AdijaTunda-c8u 5 ай бұрын
Acheni magoma
@jabirihanthu
@jabirihanthu 11 ай бұрын
Mashaallah
TAKWANDAMA | SAYYID AHMAD AHMAD BAWADY (MWENYE BABA)
13:27
Al Ihsaan Records
Рет қаралды 26 М.
Как мы играем в игры 😂
00:20
МЯТНАЯ ФАНТА
Рет қаралды 3,1 МЛН
WORLD BEST MAGIC SECRETS
00:50
MasomkaMagic
Рет қаралды 52 МЛН
Как подписать? 😂 #shorts
00:10
Денис Кукояка
Рет қаралды 7 МЛН
Nyoyo Zimefurahika Kwa Kuzaliwa Nabiya
11:59
Adil Twahir
Рет қаралды 208 М.
Tafsiri Ya Malaika Harut na Marut-Ustadh Muhammed Al-Beidh
5:25
ZIYARA YA HABIB SAYYID HUSSEIN BADAWY-MAMBRUI-KENYA PART 4
12:09
Masoud Adam Ahmad
Рет қаралды 11 М.
Habib Ali relates a story
1:47
Muhammad Jawad
Рет қаралды 13 М.
Hadha ibnu Kheiri Ibaadillah [Qaswida ya Mwenye Baba]
28:28
Khilafah tv
Рет қаралды 8 М.
Takuandama Takuandama [Qaswida]
21:21
Khilafah tv
Рет қаралды 6 М.
Как мы играем в игры 😂
00:20
МЯТНАЯ ФАНТА
Рет қаралды 3,1 МЛН