ZIFAHAMU SIFA KUU ZA MUNGU BABA, MUNGU MWANA NA ROHO MTAKATIFU-SEHEMU YA TATU-EV.MGOMBA

  Рет қаралды 259

MASOMO YA KARNE

3 ай бұрын

Mungu ni nani ( who is the God?)
Huwezi kujibu swali hili ikiwa hufahamu tabia za Mungu. Ni swali gumu na zito. Kwa sababu Mungu ni zaidi ya unachojua sasa,hata kama utamweleza Mungu ni nani lakini nataka nikuambie huwezi ukamweleza Mungu na kummaliza. Na ndio maana sote tueleza Mungu ni nani kwa kujaribu na kujitahidi kwa kulingana na ufahamu tulionao wa kibinadamu tukiongozwa na neno lake.

Пікірлер