i love the way diamond has control over his empire!!could see he comands total respect from the guys alafu ni jamaa ana roho safi!!big up
@dianasabu61567 жыл бұрын
daaa check hawa watu wanavyopiga kazi .....had ucku maskin alaf unakuta MTU from no where anaanza kuongea shit zake bila kujua MTU amehustle vip ....daaa WCB u are really working hard I admire u pple...Diamond daaa u are a really BOSS I salute u.......😘😘
@selinaalberto55317 жыл бұрын
Diana Sabu umeona eeeeeee kaka wa watu anajituma sana
@mamafranjovlog727 жыл бұрын
hii ni kazi kubwa kweli kweli big up to them . karibuni kwenye channeli yangu pia kupata habari za ujerumani maisha .msisahau kusubscribe
@kandilesteven78897 жыл бұрын
Diana Sabu mond is the true leader.... no room for him to chill
@mussasaidp76257 жыл бұрын
hahaha
@zuhuramagoha16987 жыл бұрын
Diana Sabu hatar sana ila huwez kumzuia mjinga asiongee ujinga aloamua kuongea
@Cyper2557 жыл бұрын
Hii ndio tofauti ya Alikiba na Diamond. Mmoja ni mfanyabiashara ya mziki na mwingine ni mwanamziki tu.
@fatiafat34757 жыл бұрын
Samson Cyper 100%true
@eliuthamangula17917 жыл бұрын
Wasafi is the beautiful TEAM ,Diamond you made all of them famous na wanalea familia zao ,you really are a good icon.
@seeyou44927 жыл бұрын
Behind the scenes always brings a taste of originality.loving it
@kiddranking91395 жыл бұрын
Leo October nimemcheki konde boy na mavoko daaah
@buchumiefremu58307 жыл бұрын
Oke mond chibu unajitahidi sana hongerasana mondi utabaki kuwa mondi big up
@jestamkumbwa97806 жыл бұрын
Daaa mungu awasaidie watu wajifunze kunyamaza hii kazi ni ngumu
@marysylvery58267 жыл бұрын
😂😂😂😂😂 nimecheka scene ya popo bawa😂😂..nomaaaa
@ianobleon30087 жыл бұрын
Aisee ona vile wanatake time kufanya scene moja... Kila wakati nikizitizama behind scenes mimi hutazama alongside the official video ili kuona how everything came to life.... Wasafi bidii yenu iko juu, the rest of your competitors are simply singing and recording, wasafi are making music, bringing it to life. big up Diamond and the team.... wish i could be in that team when doing such work just to experience the creation process...
@djryanmasawa81045 жыл бұрын
I have liked this video please continue doing behind the scenes
@YuengJi7 жыл бұрын
how I wish other half baked musicians had a glimpse of this, especially our lazy brothers from Nairobi. Video hupangwa, sio eti unaamka asubuhi na hangover zote za jana na kutaka ku shoot video.
@jumalizzyone86845 жыл бұрын
GYNERL OMAYA
@ukhtyyusrabrand59127 жыл бұрын
yaani ningepata bahati nikukute maeneo yaani Ile marapaaaaaap mond mbele yangu dah ningefurahi vibaya mnoo
@jensennashon61477 жыл бұрын
WCB you're hard worker asee...bigup
@stencyrose50887 жыл бұрын
Hahaha... Lavalava na Mbosso I love the way mnachekana. Lavalava you are as cute as a gal!
@matrixboytztv50917 жыл бұрын
watu mko makini hyo kesho cjui itakueaje patoranking x simbaa loveyoudie
@chicamoreno7 жыл бұрын
Justin chacha MATRIXBOY 👑👑👑💎💎💎
@mwajumamussa39717 жыл бұрын
Sawa WCB... hua nawaelewa saaana yaan big up!
@davidmakomelo48045 жыл бұрын
Milele nakubali wewe na natamani sana kuwa chini ya lebo yako ya wasani simbaaa 🙌🙌🙌🙌
@tracymichael65297 жыл бұрын
Noma sana ....zilipendwa. ..wcb forever. ..no kipusa
@pikolomuzik6 жыл бұрын
Man Diamond is really a HardWorking guy , he knows his roots 🙏🏽
@jeanmalilo88557 жыл бұрын
Baba yenu mond kimziki hakuna kama yeye tz simbàaaaàaaaaaaaaa
@hafijamussa91857 жыл бұрын
Ooooh hzo n zama za kale ooooh ooooh simba kufananishwa na swala
@Itrahya23057 жыл бұрын
daaaah diamond cio mbinafc jamn lkn wa tz wana chuki duuuuuh
@scholastikasweetbertmapund22327 жыл бұрын
Wanamuita simbaaaaaaaaaaa!
@daddypmalima29197 жыл бұрын
Daimaaa nasemaa WCB is the best bhanaaa wacha waongee ila moyoni waimba zilipendwaa huhuhuhuhu
@ndoremackson14776 жыл бұрын
Olah WcB mi nawachek ApA ivi bt cpend vynye mwarabu afanyia kijana wetu
@isacpoul53127 жыл бұрын
mungu awabariki kweli wcb mnanikosha
@obadialuyagaza60907 жыл бұрын
Actually Ikooo vzr,keep it up Simbaaaaaaaaa 😎😎😎
@halimambwego82877 жыл бұрын
Hii nimeiangalia mda mbaya night kali ila kicheko kimenitoka kikubwa eti 'umejiona? Mie najiona kwa kukuona ww sasa tunachekana' nimecheka sana yani. Hhhhh 😂😂😂😂😂WCB forever miaka mia 👌🙌
@NickTrickaddictedboy187 жыл бұрын
DUUH MI NILIJUA NTAKUA WA KWANZA KUCOMMENT NA KUIWATCH....KUNA WATU VIMACHO KODOOOO
@oliverfrancis38267 жыл бұрын
zilipendwa
@jumannej41817 жыл бұрын
Nick Trick k
@pasificnyionzima54047 жыл бұрын
Nick Trick
@mohamedikuboma61037 жыл бұрын
Da! mbosso na Lavalava mmenifanya ni check kutokana na nyie wenyewe mnavyo chekana WCB 4lfe
@SararaJoseph7 жыл бұрын
Nimewaaminia kwa maandalizi. Chapa kazi wakubwa
@amosntalima42767 жыл бұрын
Lion in the jungle is unstoppable , piga kazi mkaliiiiiiiiiiiiiii
@faridkibavu20287 жыл бұрын
Kazi nzuri bro
@khamisalaamri39137 жыл бұрын
nimependa munavofanya...naomba kila mukitoa wimbo mutuoneshe shooting zake....hadi rahaaa
@barakasamwel75887 жыл бұрын
Khamis Alaamri zipo video za kila nyimbo jarbu kuangalia
@james_class_tz_officeulasa23537 жыл бұрын
Khamis Alaamri sawa baba
@fridabella66205 жыл бұрын
duuu anatokea mmoja anasema san nyimbo vizuri zilipendwa
@bagazajohn4497 жыл бұрын
Yani kabisa noma maisha kazi kazi simchezo
@josephmwangi12205 жыл бұрын
Mbosso hyo manywele hadi unafurahia, lavalava huku anaboeka
@georgeogolla95445 жыл бұрын
whos here in 2019
@sarahlithoqueen16617 жыл бұрын
😂😂😂😂😂really enjoyed ila mond nataka yule babu sjui ntampata wp
@marymoses72637 жыл бұрын
Nawakubaliii kuleni jasho lenu achaneni na ma snitchers
@shijathedon54537 жыл бұрын
diamond anajua bhana
@FJstudiotz7 жыл бұрын
nakuelewa sana kiongozi..
@tittodascott9397 жыл бұрын
ebana eeh popo bawa atare anaogopeka like kama ulikuwa na wewe una amin popo bawa
@lameckplatnum6857 жыл бұрын
nawakubali sana wcb nzima
@najmagudeh2035 жыл бұрын
WCB tupo pamoja sana
@marysylvery58267 жыл бұрын
Big up..🔥🔥🔥🔥
@jaymesheynckiff9207 жыл бұрын
wapi mswahili kamili kanifunze lugha niweze kumwelewa kabisa huyu BINGWA MONDI
@bigykarim84375 жыл бұрын
Nawakubali sana WCB
@johnwachira70157 жыл бұрын
diamond penda weewe +254 nanyuki
@tida37274 жыл бұрын
Zilipedwa kweli..haha
@munaawale2537 жыл бұрын
Good work baba tee
@royaumedesartshdtv4 жыл бұрын
Nice too nice Bro
@leocardiafipeko11047 жыл бұрын
Ramsoooooo ndani ya video
@tindwatv13697 жыл бұрын
hawa jamaa wa serious funy ni tabu sana
@jumahassani58457 жыл бұрын
Tisha sanaaaaaaaaa👌👌👌👌👌✌️✌️✌️✌️
@linusrichy66397 жыл бұрын
alaf anatokea mjinga mmoja anasema nyimbo haina ubunifu ..
@davidorito17077 жыл бұрын
Linus Richy wanamuonea wivu Diamond. Yuko Juu
@jenniphermunguakutangulie74327 жыл бұрын
simbaaaaaaaa noma mungu akulinde nakazi zako
@rehemashafi48097 жыл бұрын
duuuh nimecheka sana
@daphrozakikoti8485 жыл бұрын
Aha nimecheka Leo October 2019
@abdulkadirkassim21735 жыл бұрын
pole
@ifunumzsimba30137 жыл бұрын
First to watch
@bobwangwe7487 жыл бұрын
Very disciplined...
@iddirajab59247 жыл бұрын
Namuona ramso 😆😆😆
@happynesscharles52336 жыл бұрын
Queen huo muonekano wa nywele hapana kwa kweli
@omarryiddy69977 жыл бұрын
Dah kaka chibu iko pw
@hassanovajunior69727 жыл бұрын
Hahahah safi sana team ushindi wapi part 3
@afrankayamba51937 жыл бұрын
nawapenda WCB
@prayerchamber16006 жыл бұрын
Kupata si kazi rahisi
@yusraluqman67737 жыл бұрын
First to comment
@vannyboyz7777 жыл бұрын
hapo bombaaaa simbaaaa
@cairoshampeny5 жыл бұрын
ninouma sana diamond piga kaz baba
@patriciamwende57165 жыл бұрын
Nampenda diamond ajabu
@kitengocharls60285 жыл бұрын
Nice 👍
@costaramerican49017 жыл бұрын
salute to yeah active family #wcb4life
@faridkibavu20287 жыл бұрын
Your really work #wcb
@mariamually2257 жыл бұрын
uko vzr,,,huna mpnzn
@gabrielaugustine62987 жыл бұрын
mond tunaomba na matukio ya studio
@terrykamau9027 жыл бұрын
Love😘😘
@salumleonard17547 жыл бұрын
makini xana brother simbaaaaaaaaaaa
@ptraizofficial55977 жыл бұрын
so nc video!!!!!!!!!!
@witinessaisari3507 жыл бұрын
siham wcb kamweeee
@brendaduncan81217 жыл бұрын
My people😘😘
@tatunaally15107 жыл бұрын
😅😅😅😅😅😅😅cheza popo bawa
@kizablack76677 жыл бұрын
WCB forever
@safnation55077 жыл бұрын
Fourth comment. .......ajab
@msaniimpyaBMW7 жыл бұрын
SAF NATION duh ulihisi wa nne kumbe wa kwanza!
@athumanimashango32047 жыл бұрын
+msanii mpya haha
@sammabula73597 жыл бұрын
hahaha wale jamaa wanaoogopa popo bawa
@davidorito17077 жыл бұрын
Sam Mabula sio mchezo
@halimambwego82877 жыл бұрын
Nice mond
@silverd84447 жыл бұрын
Subscribe kwenye KZbin CHANNEL yngu tuzidi kua pamoja team DIAMOND
@assajovin18324 жыл бұрын
Mondi unajua mm skupingi
@michaelhakinanza92295 жыл бұрын
Diamond new coming soon new years 2020
@alexandrinadomaino10857 жыл бұрын
Kweli kazi
@alicewenje92776 жыл бұрын
Daàa ni shida jamani
@kandilesteven78897 жыл бұрын
saanaaaaa....
@mamafranjovlog727 жыл бұрын
hii ni kazi kubwa kweli kweli big up to them . karibuni kwenye channeli yangu pia kupata habari za ujerumani maisha .msisahau kusubscribe