Mm nachoamini Mungu yupo na ataipga ccm kpgo ambacho hawataamin,mwaka ujao hautaisha mtaamin maneno yangu,nagonga muhiri haya maneno kwa damu ya yesu
@yosephatMasanyiwa-oh1rlСағат бұрын
Kaka Fanya mambo vigogo wa ccm wafe wote niko pale nitakupongeza sana
@bonifaceBuliba-c8r9 сағат бұрын
Hawa POLISI na Usalama wa Taifa ,wanapenda siasa Waunde CHAMA nawao Waingie kwenye mchakato.
@EmmaculateGembe9 сағат бұрын
Hili jeshi linatakiwa livunjwe na kuundajeshi lingine maana hawa hawafai hawana hofu ya Mungu wameharibu nchi.wametia aibu inchi yetu kimataifa.Mungu atusaidie.
@DavidBisseСағат бұрын
Poleni Sana Wapizani mm Nilishaapa sitajisubua tena kwenda kupiga kura hadi nitakapoona mabadiliko ya katba na tume huru ya uchaguzi .
Umeongea vizuri ni wapumbavu wote walio jihusisha na wizi
@davidkawesa35945 сағат бұрын
Ccm wana laana sugu Mungu wa Mbinguni atawapeperusha Muda si Mrefu
@AlhajiIssa-jb9hr2 сағат бұрын
Jeshi la police limepoteza uhalisia wake.😮
@TimotheoNtibayaga3 сағат бұрын
Acheni kulalamika sana fanyeni maamuz magum maneno yenu tumesha yachoka Sasa baada ya hapo mnachukua maamuz gani
@michaelmsambusi92872 сағат бұрын
Alaf hapo Bado kunamijitu mipumbavu inashabikia ccm.
@RashidLupatu-bg8dr3 сағат бұрын
Akili inakukaa sawa MH umeongea vzr
@edwardshartiel10885 сағат бұрын
Wakulaumiwa hapa sio police ni Amiri jeshi mkuu, kwasababu kiburi na ujasiri wote huu wanapewa na amiri jeshi mkuu, period
@salyali78079 сағат бұрын
Very powerful speech Mh
@elishuaisaya417631 минут бұрын
Zito ni takataka kama takataka zingine ni moja kati watu warafi ambao wakiongoza nchi kuna kitu kitatendeka
@atupegemwakahesya9 сағат бұрын
Hivi kweli polisi wanapiga ndugu zao bila huruma, Kwa Nini wasifunguliwe mashtaka? Au Kwa sababu wanatumwa na wakubwa wao! Lakini ipo siku mambo yatageuka.
@JocelyneMary3 сағат бұрын
@@atupegemwakahesya ss hatujitambui tunavyopelekwa rais, waziri wa ulinzi na tamisemi wote zanzibar unategemea nini hapo uzalendo utatoka wapi tulivyo wajinga tunauana watanganyika wenyewe kwao ni furaha kwetu kilioo
@communitytv5908 сағат бұрын
“ Aibu kwa nchi yetu, Mungu atatuacha! Tumrudie Mungu.
@marieconnect63893 сағат бұрын
Kweli
@frankmaige43787 сағат бұрын
Daaaa mwenyezi wetu sote hakuna kitu kisichokuwa na mwisho!!
@esterthomas139211 сағат бұрын
Strong speech...
@mkondomkondo472157 минут бұрын
GenZ Kenya oyeeeeeeee
@tsmedia.5 сағат бұрын
Kam kweli ana Nyota tatu huyo cheo chake ni Mrakibu sio Inspector(mkaguzi)
@mwasoprince34593 сағат бұрын
😂😂😂😂😂😂
@dignakanje45086 сағат бұрын
Tuko kwenye wakati magumu Sana kisiasa.Mama tunakuomba utumie busara zako kma mama.Sio Siri wananchi htupendezwi nahili linaloendelea hpa nchi kwtu.
@nikodemmwahangila33346 сағат бұрын
Huyo na kura mianne na mianane sasa waperekwe mahakamani ushahidi huo mbona mnao
@SufuMaganga2 сағат бұрын
Huku msumbiji kimewaka Bado nyinyi TU huko tunaitaji madiliko
@HamisiNguche5 сағат бұрын
Tatizo Tunawafuga na tunajenga Urafiki nao. Hawa watu hawafai
@allymansur81556 сағат бұрын
Ziko wapi hizo kura Bwana acha kujikamua mavi yatakutoka
@godfreyjulius51325 сағат бұрын
Kujigawa kwenu vyama vya siasa lazima msote hivi... Unganeni na muache kupokea wanafiki kutoka ccm
@AugustKisaka-qy7kl3 сағат бұрын
Usema kweli ni mpenzi wa mungu
@FarajiOmar-c4j59 минут бұрын
Sema baba huuniusenge wanatuletea ackali pamoja naraycwao wote wapumbavu
@HuseinMwakindole4 сағат бұрын
Sasa hapo mweshimiwa , ccm iliwahi kutamuka kipindi cha nape kama mwenezi 2015 akiwa mwaloni kilumba alisema ccm inambinu 600 za kushinda uchaguzi sasa tangu uhuru ilishatumia mbinu 3 tu, kwahiyo tangu 2015 hadi sasa inaenda kufikisha 6. Ukichukua 600-6=594 hizi bado hazijatumika kunaushindi hapo?
@KusungwaMisale5 сағат бұрын
Nashauri masanduku yaondolewe watu wapange foleni kwa mgombea wanaemtaka...
@ImaniBalankwayaСағат бұрын
hahahhahashahhahahahahahha tutauwana jamaa maan kwa nchi hiii
@kaifakilala82246 сағат бұрын
Wasiojulikana ndo utajua n kina nan
@dorothmsuya16869 сағат бұрын
Ziko wapi????
@thelivingwordchannel90274 сағат бұрын
Mlimtukana magufuli ngoja sasa muone mapichapicha.
@marieconnect63893 сағат бұрын
Kweli kabisa
@yosephatMasanyiwa-oh1rlСағат бұрын
Mwa hiyo mnafurahi au
@LAZAROSEBASTIAN-j8p2 сағат бұрын
Pesa na madaraka ni vya muda visikufanye ukaiba haki ipo siku utaukumiwa na ivo vitu havitakisaidia ukilala! Tuishi vizuri
@elishuaisaya417630 минут бұрын
Huyu zito cjawahi kumwelewa aanze kueleweka
@MarryMassawe-wr2zi9 сағат бұрын
Magu aliharibu ila yana mwisho mungu hatalala kama ni wahalali wataishi ila kama siyo wahalali watakufa moja moja kwan waliochukua kwa nguvu wako wap
@KisinzaNewton6 сағат бұрын
Sijui alikuwa hana akili vizuri
@OS-pf6op7 сағат бұрын
Hiyo ndio kazi ya hela za tamisemo
@lailafakhihaji6 сағат бұрын
Mchengerwa anatetea ugali asije pewa talaka😊
@gideonmwaweza81774 сағат бұрын
Mungu alimzalalisha polis
@ndimizarohomtakatifurichar98023 сағат бұрын
Polisi wanatiaa aibu sana njaa Zina waponza na tamaa
@ChukiMjinga-jw2ql6 сағат бұрын
Nendeni Mahakamani vielelezo vipo
@zinjibaryetu8451Минут бұрын
Nakumbuka maneno ya kinafik ya Kinana aliyoyazungumza kwenye moja ya makongamano pale Zanzibar takriban miezi 8 iliyopita, nlicheka sana nlipomskia akitoa ahadi za uongo kua ati uchaguzi wa mwakani utakua huru na haki na kama nakumbuka vizuri salamu hizo na ahadi hio alizitoa kwa niaba ya raisi wa Tanzania. Nkicheka huku nkijiambia moyoni tokea lini CCM wakatimiza ahadi na tokea lini CCM ati watake uchaguzi na wa haki. Sikuamini hata neno moja lilotoka mdomoni kwake na kwa kwa kweli zile hisia zangu hazikwenda mbali kwani leo tunajionea wazi ikiwa uchaguzi wa serikali za mitaa tu hali ndio hii jee huko twendako kwenye uchaguzi mkuu hali itakuaje.. MUNGU ISAIDIE TANZANIA NA IOKOE KWENYE KIZA KINENE CHA UTAWALA WA CCM
@YahyaNuru-v7d2 сағат бұрын
Ndio Mihimili ya dola hiyo
@alphoncewilliam43253 сағат бұрын
😂😂 tatizo uponzani amuishiwi vioja ni kulalamika tu
@ZanRozi2 сағат бұрын
Mimi nina ushahidi
@ZanRozi2 сағат бұрын
Pande tanga tanzania
@konderaeriasi62512 сағат бұрын
🎉nyoko ww kumamae
@ChijaKisenyaСағат бұрын
Katobwe mwanaharamu wewe
@DavalsonMarlonyСағат бұрын
kakojowe ukalale ukishakuwa utajuwa
@JohnJoseph-qq7owСағат бұрын
Ccm kuanzia2010 hawajawahi shinda halali huo ndio ukweli
@jalaryababilasi15628 сағат бұрын
Hata Sisi mtaan kwetu yametokea hayo hayo nimeumia xan kama mpiga Kura
@mkondomkondo472158 минут бұрын
Mwambieni mama wa kuupiga mwingi na tume yake ya uchaguzi ikiongozwa na mkwe rima wako 2025 wasiharibu pesa za kampeni,yeye ajiapishe 2025,kama ni kura tutafikiria 2030 baada ya masaune,kamiliuse wambara na mchengelya kuondoka madarakani
@ThadeiAndrea7 сағат бұрын
Hatali sana hii nchi
@kenny_magic11 сағат бұрын
inatia hasira sana
@gasperjohnson33888 сағат бұрын
Kweli moto umewasha😂
@wilsonsikahanga17613 сағат бұрын
Zito huaminiki
@salhaomar53829 сағат бұрын
Mimi nahis wana nchi woteeee. Chadema na a.c.t wazalendoo ccm.awana wanachama .maana maneno mengii
@ShesheKaoneka4 сағат бұрын
Uongo mtupu tu huo, nenda mahakamani.
@DavalsonMarlonyСағат бұрын
uwongo syo
@AlexGwihaСағат бұрын
Senge nyie ccm ilisha walisha mavii
@AlexGwihaСағат бұрын
Senge nyie ccm ilisha walisha mavii
@OctaviusFelix-lp8jt2 сағат бұрын
Kira kitu kina mwanzo na mwisho wake.
@labunaabouna61228 сағат бұрын
Nuksi noma polisi hao mnaitaje polisi
@MercyMenyansumba4 сағат бұрын
Inasikitisha mno
@samwelmachaka9362 сағат бұрын
Mwongo mjinga nizakwenu mnatengeneza uongo
@allymansur81556 сағат бұрын
Hivi ni wapi kulipatikana kura zaidi ya waliosajiliwa, acha uongo.
@ProsperReuben-fg6uh6 сағат бұрын
Sehem kubwa ya nchi nzima
@aminatanzanya74755 сағат бұрын
Nchi nzima naona nawaliokufa nawo wamehesabiwa
@allymansur81554 сағат бұрын
@aminatanzanya7475 tuonesheni ili nasi tuwaunge mkono domo kaya halitoshi
@DavalsonMarlonyСағат бұрын
jeshi lote ccm upinzan kpata urais bado safar ni ndefu labda zichapke
@regiusmasai-gb9jr3 сағат бұрын
Mtaacha lini kulalamika
@musasefu60922 сағат бұрын
acha wehu ludi shule
@MohamediOmari-nz4vv2 сағат бұрын
Tumia akili
@ImaniBalankwayaСағат бұрын
acha alalamike maana hata akikaa kimya fundo linabakia moyon acha alalamike hana nguvu na kupga acha aongee wasiojua wafaham kinachpendelea Kuna maisha baada ya siasa
@MagdalenaBeenad2 сағат бұрын
Umeona ziti tunakujua kaeni na kaka zako waliokulea tuongeze nguvu tuinyooshe ccm hakuna kulapaka kieleweke tunao tu
@EdibiliSalum7 сағат бұрын
Tena niwapumbavu kabisa
@WilliamMabanga-zl6fk9 сағат бұрын
Zito mzee ulifikiri ni utani husemwa - kusikia mpaka damu itoke masikioni
@hidayahidaya-vd3ze3 сағат бұрын
Hawaoni haya ccm nchi zoote zimestarabika ila ccm haistarabiki kila siku hawajiamini
@SostenesMabala-tt8pt8 сағат бұрын
Huu upumbavu huu unaumiza sana ila tuungane tusiende kwenye uchaguzi mkuu mwakani bila katiba mpya
@SamweliKamonga10 сағат бұрын
Wafike mahara wajuwe kila kitu kina mwanzo na mwisho wakubali tu watu tuwe na amani wajiulize tu
@GeorgeSagumo4 сағат бұрын
Unganeni muekitu kimoja
@ahmedalbalooshi85184 сағат бұрын
Maisha wataiba kura kwani wanalindwa na vyombo
@masala8099Сағат бұрын
Hatuna polisi sasa hivi ni pambo tu la ccm
@yusufmohamed8874Сағат бұрын
IFIKE WAKATI WAGOMBEA WACHANGANYE KIINGEREZA NA KISWAHILI KTK HUTBA ZAO ILI DUNIA IJUE MAMBO YA KIPUMBAVYU YA HAWA POLISI.....
@donaldbenedict57618 сағат бұрын
Zito CCM na police ndio kazi yao ni wezi tu ndio maana wanatumia nguvu kubwa sana kupambana na wapinzani ila nguvu ya uma siku moja itawafanya kitu mbaya
@EmiryAgustino7 сағат бұрын
Kira jambo Rina mwisho wak
@StephenNjau-y4y9 сағат бұрын
Mbona Zito amenyooka tu
@konderaeriasi62512 сағат бұрын
Yan ss uku uilipofka mda wakuhesabu kuratu mawakara wote wakafukuzwa wakaingia mapolis kuhesabu kura majibu yaliyokuja ccm imeshinda Yan Hawa nawaraan kwajina rayesu shenji kabisa
@AliRubeiya9 сағат бұрын
Chadema ndio wapinzani? Wahuni wakubwa na wadini nyie!
@SostenesMabala-tt8pt8 сағат бұрын
Tuungene viama vote tuwe kitu kimoja kudaikatiba bila chaguzi kwanza.
@aminatanzanya74755 сағат бұрын
CCM ni laana tupu ila yana mwisho haya Mungu yupo
@YourMoor-px1rd4 сағат бұрын
INACHOTAKIWA JESHI LA POLISI LISIJIHUSISHE KABISA NA MAMBO YA SIASA WAO KAMA WAO WABAKIE KUWA CHOMBO CHA DOLA TU
@EmanueliWildausoni7 сағат бұрын
Mm kwa sasa sioni hata kuongea kuna maana kwasababu tunaongeaaaa yanaishia hapo hapo huyo polis wala.hatafanywa lolote wala hakuna kitakachoendelea kura zimekamatwa bandia nying sana lakan hakuna kitakacho endelea watu wameuwawa hakuna kitakachoendelea majina yamekatwa hakuna kitakachoendelea sasa ina mana gani
@MenardKayange-mi8lj8 сағат бұрын
Duu polisia mpaka wameingia kwenye siasa kwel?
@FlorianKawamala5 сағат бұрын
Polisi nichama chasiasa wanatembea na rahans
@isacksimonmahungilo2 сағат бұрын
Ccm ipigwe chin madudu tu nawatu hawaon
@SimonMelon-k9p9 сағат бұрын
Ila jeshi letu hili😅😅
@caashamacalini388729 минут бұрын
Zito wewe uko pande mbili yaani kama mnafiki Fulani kwenye hiko chama maana always wewe uko kimya Ila act wa zenji wako vizuri sio wewe zito mbanaifu Tu
@dennisungonella2058 сағат бұрын
Mlidanganywa na kinana😂
@dennisezakiel33806 сағат бұрын
Ccm hawajawahi kushinda kwenye chaguzi, huyo ni mwanzo tu je mwakani itakuaje
@enziseme47122 сағат бұрын
Nenda mahakamani bro acha siasa uchwara
@JohnJoseph-qq7owСағат бұрын
Huna akili wajinga kama wewe hamtaisha
@antonjohn134Сағат бұрын
Mahakamani ndo Kuna haki
@MagdalenaBeenad2 сағат бұрын
Baba mi nilikuwa siku zote namamini nimaneno tu mwaka huu tumejionea live ukiwaambia polisi wanakujibu fungus kesi kweli jamani
@AlexGwihaСағат бұрын
Kabisa
@allymansur81556 сағат бұрын
Sasa wewe ndio kiongozi hodari
@SylvesterMakenzie9 сағат бұрын
Daa Zito Siyo CCM B nimeamini kuanzia leo wewe ni mwanamageuzi wa kweli endelea kutupigania
@JocelyneMary8 сағат бұрын
Huyo muongo mkubwa ccm b huyo muongo sans bingwa wa kuuza wenzakr
@davidkawesa35945 сағат бұрын
elyneMary mazingaumbwe
@Azimiomwangoje5 сағат бұрын
Unamfahamu zitto au unasimliwa haelewekagi huyu
@aminatanzanya74755 сағат бұрын
@@Azimiomwangoje😂😂😂
@magrethmbangama11994 сағат бұрын
Zitoooo si ccm b wewe leo kimekukuta nini siasa bwanaa unajitekenya na kucheka mwenyewe😅😅😅😅
@StephenNjau-y4y9 сағат бұрын
Zito upo vzr kaka kwanini msiungane na kufanya sayansi ya siasa yenye uaminifu kwa ajili ya mabadiliko
@dizzboss75267 сағат бұрын
@@JocelyneMarykwanini?
@JocelyneMary6 сағат бұрын
@@dizzboss7526 wakati ameuwawa mzee kibao wenzake waliweka msimamo wao awakutoa ushirikiano zaidi ya kuwa upande wa pili leo analalamika nini hiyo ndio faida ya unafiki
@aminatanzanya74755 сағат бұрын
@@JocelyneMarykwanin
@amanichaula18 сағат бұрын
Police ni policcm
@issakazi27588 сағат бұрын
Zito acha uongo
@LaizerSaitoty6 сағат бұрын
wacheni kueneza chuki jaman amani ni bora kuliko chchote
@yaronaWilliam8 сағат бұрын
We Zitto ni puliza uma, sasa unalalamika nini?,wakati Chadema wanpambana kupinga maovu wewe kimyayaya!
@selemankishema57809 сағат бұрын
We ndio mpumbavu hii nchi ya CCM utasumbuka bure
@AnociathaChuwa-cb5nk9 сағат бұрын
ACT Wazalendo msitubabaishe Hamjawahi kuwa wapinzani Nyie mmepandikizwa na mnabebwa na ccm ili tu kuudhoofisha upinzani!!! SIO WAPINZANI ni walewale ccm
@AliRubeiya8 сағат бұрын
Nyie wahuni wa Chadema muna dhida sana!ubaguzi n chuki binafsi vinawayesa sana!na mutateseka sanaaa!
@AliRubeiya8 сағат бұрын
Na ndio maana inafika pahala watu wanaona ni Bora watawaliwe na Hawa wadhalimu waliiwazowea kuliko nyie wabaguzi washenzi