Twakufuata kutoka mji wa wajir ,kaskazini mashariki ,kenya
@haarunsaidabdillahi40823 жыл бұрын
Ĺeo nimesikia sauti ya sheikh hapa You Tube anamkosoa na kumponda Sheikh Msellem Ally. Nimesikitika sana. Kumezuka tabia ya masheikh kuwadhalilisha masheikh wengine hapa You Tube. Ameweka audio tu,anaogopa kuweka sura yake.
@AdilTvOnline3 жыл бұрын
Allah atuongoze kwenye njiya iliyo nyooka Inshaallah
@ummuhassan10893 жыл бұрын
Niandike nami nimsikie
@ummuhassan10893 жыл бұрын
Niandekeje
@talibmuhsin52212 жыл бұрын
Hao ni wasio jielewa wafitinoshaji tu na wasengenyaj wanataka wafatwe wao kwenye kupotosha ila tunawambia waje wasome kwa sheikh wetu mselem bin Ali wasikae wakiropokwa tu
@subiraomary70002 жыл бұрын
Anaogopa nini kuweka sura Kama yupo sahihi? Ndio hao vibaraka wanaopenda kuleta magomvi na farka katika uislam
@muhammadkipangatv26743 жыл бұрын
Jifunze quran kusoma kuandika gusa picha yangu hapo kama hautojali
@captioncapition25743 жыл бұрын
Haya matangazo na mawaidha yana maana gani? Yanakera
@kinyutatonha88313 жыл бұрын
kwani wewe kuingia you tube unamaana gani jibu swali nitakupa maana na ya mawaidha mpumbavu
@humanitydensity89743 жыл бұрын
Asiye jua maana haambiwi maana...kwani wewe uko hapa duniani kwa maana gani!?
@fakisuleiman80382 жыл бұрын
Katika watu wajinga niwale wenyekuchukia mawaidha na yoyote atakaechukia huyo hasara iko kwake
@fakisuleiman80382 жыл бұрын
Halaf tuweni naadabu katika hidunia ukichukia mawaidha hunadabu ww wataka upew adabu sawa ww
@phelisiawakio92462 жыл бұрын
Have respect Mimi ni mkristo lakini haya mawaidha waweza kujipata umebadilsha dini... Fanya kazi ya mungu umalize vizuri dunian ..mungu akubariki.