ZUCHU akubali kuwa KING'ANG'A kwa DIAMOND, Mahaba yake ni MAZITO, ajiweka wazi kama mama Mjengo!

  Рет қаралды 9,040

Simulizi Na Sauti

Simulizi Na Sauti

Күн бұрын

Пікірлер: 140
@hawababy120
@hawababy120 18 күн бұрын
Huyo dada mbona kama anawivu😮team zuchu nipeni likes ❤❤
@scholamodestus9386
@scholamodestus9386 18 күн бұрын
Yani anaumia mpka anashindwa kujishikilia maskini uwiiiii😂
@mwanamisiali5712
@mwanamisiali5712 16 күн бұрын
Tena sana anaumia haswa
@OlgaAmboulou
@OlgaAmboulou 18 күн бұрын
ZUCHU FOREVER QUEEN ❤️❤❤️❤️❤️❤️❤️❤️💯💯👍🏽💋💋💋💋🇨🇬
@rajabdibwa6415
@rajabdibwa6415 18 күн бұрын
Zuchu Yuko na confidence pengine mondi amempa go ahead ya mapenzi😂
@RehemaKatana-m6l
@RehemaKatana-m6l 18 күн бұрын
Zuchu forever 🥰
@shadiwaigwa9230
@shadiwaigwa9230 18 күн бұрын
Team zuchu hooye❤️❤️❤️❤️
@SaumuNasenya
@SaumuNasenya 18 күн бұрын
Zuchu 🔥🔥🔥🔥 forever huyu dada anawivu sana 😏😏😏
@channyanjen9047
@channyanjen9047 18 күн бұрын
Safi Sana zuchu unawakomesha wasiyopendamausiyano kukuona na Diamond ❤❤❤🎉🎉
@RehemaKatana-m6l
@RehemaKatana-m6l 18 күн бұрын
❤❤❤
@MsAggie5
@MsAggie5 17 күн бұрын
Sizani kama kuna mtu hapendi mawasiliano yake ila tunamuonea huruma tu 😂 hiyo aina ya mapenzi nani anayatamani?
@MsAggie5
@MsAggie5 16 күн бұрын
@@UnicornAlw Diamond alishasema yeye hamuachi mwanamke Kwa kumwambia akichoka anampiga matukio au umesahau? Mimi nikigombana na wangu siwezi peleka mitandaoni kama tumeachana, sasa Kwa nn Zuchu akipigwa tukio anafuta picha na kutangaza amemuacha diamond akijua kama jeuri hiyo hana 😂😂! Yeye ni role model WA wasichana wengi akipigwa tukio avumilie asiwe anakimbilia mitandaoni baada ya kuhongwa hela anakuja mdogooooo oooh Sisi tunan'gan'ganiana 😂
@MsAggie5
@MsAggie5 16 күн бұрын
@@UnicornAlw Nani anampa ujasiri? Juma Lokole kaongea upuuzi juu ya Zuchu hadi mama ake diamond kashindwa hata kumkemea.
@humbleshoal
@humbleshoal 9 күн бұрын
​@@MsAggie5 Hakuna kwa kweli, yale c mapenzi ni mateso
@shamsamohamed5703
@shamsamohamed5703 18 күн бұрын
Esco mpe mwenzako nafasi ajiexpress pia,Bahati is so smart i like her way of thinking and how she’s articulating herself.
@rizikikasongo4388
@rizikikasongo4388 17 күн бұрын
Ata akimuowa atamsumbuwa sana. Kwanza Zuchu ana roho fupi kwakweli atateseka sana. Atazaraulika sana 😢
@MsAggie5
@MsAggie5 17 күн бұрын
Azaulike mala ngapi?
@yusternyirenda7231
@yusternyirenda7231 16 күн бұрын
Kwa kipi?
@humbleshoal
@humbleshoal 9 күн бұрын
​@@MsAggie5 Badoo anaitaka ndoa, tumuache atesekee ndoani
@ezechielwababili8643
@ezechielwababili8643 15 күн бұрын
ila wa ndugu zangu eti kupika ajuwi ule 😂😂😂😂😂😂
@margaretbirenge4081
@margaretbirenge4081 18 күн бұрын
Our zuuuuu ❤❤❤❤
@omranalbarwani7190
@omranalbarwani7190 14 күн бұрын
Jamani huyo dada anawivu sana kwa sababu mond haongei ni vitendo2 sasa huyo dada anataje kwa mfano wale wananganganiana hata mond anampenda saana zuchu kwa hiyo kina kaka wako sawa lakini huyo dada nimemchukia 😢😢
@humbleshoal
@humbleshoal 9 күн бұрын
Unamchukia wa kazi gani na wewe!? Wenzio wako kazini na wanatoà tu maoni yao em elewa jamani
@shadiwaigwa9230
@shadiwaigwa9230 18 күн бұрын
Zuchu so mtu wa kiki, she's real
@MsAggie5
@MsAggie5 17 күн бұрын
Mi nilikuwa najua ni Kiki nikaambiwa ni kweli Mondi huwa anampiga matukio, namuhurumia maisha hayo mpaka lini?
@ramgainmkubila1213
@ramgainmkubila1213 18 күн бұрын
Bahati nakupenda bure qn unaongea ukiwa umetulia an sio kwa mihemko ❤
@BertrandNiyomwungere-fs9xi
@BertrandNiyomwungere-fs9xi 18 күн бұрын
Huyo dada hapo ndani kunakitu sio kazi tu😂
@channyanjen9047
@channyanjen9047 18 күн бұрын
Nendeni manara TV pako interview ya diamond akimzungumziya zuchu na ku uzinduzi wa jux ku album yake alisema zuchu ni mkee wake
@daylight1707
@daylight1707 18 күн бұрын
Waliona lini
@MsAggie5
@MsAggie5 17 күн бұрын
Anamtumia aingize pesa au mke? Na hata akija kumuoa Kwa jinsi anavyompiga matukio basi waolewe tu 😂
@humbleshoal
@humbleshoal 9 күн бұрын
Alioa lini! Em tupishe
@humbleshoal
@humbleshoal 9 күн бұрын
​@@MsAggie5 Mateso ndoani inaitwa hio
@NSHIMIRIMANAMARIAMMARIAM
@NSHIMIRIMANAMARIAMMARIAM 18 күн бұрын
We dada kwani hauna macho ,acha wivu kama Diamond yuko proud kutembea na Zuchu bila shida
@WannyFuraha
@WannyFuraha 18 күн бұрын
Wewe Dada tuliya auna lolote zuchu Ana kuzida Sana acha wivu 😮😮
@RehemaKatana-m6l
@RehemaKatana-m6l 18 күн бұрын
Ana wivu😂😂
@shadiwaigwa9230
@shadiwaigwa9230 18 күн бұрын
Diamond hawezi onyesha wazi lakini action inatuonyesha Simba anampenda zuchu sana
@naimanimo4925
@naimanimo4925 18 күн бұрын
You guys didn't see the live of esma and the mum funs where asking why the dont like zuchu you can't believe mama dangote & esma love zuchu mama dangote was saying she's happy simba is happy zuchu is his love look for that live and analyse
@claudepaluku1842
@claudepaluku1842 18 күн бұрын
Bon travail mes frères et ma sœur
@PeninaAdam
@PeninaAdam 18 күн бұрын
Bahati mwanaume anafanya kwa vitendo sio maneno ,mond anampenda sana
@RehemaKatana-m6l
@RehemaKatana-m6l 18 күн бұрын
Ndio apo anataka mwaume aseme lakini Simba anampenda Sana zuuu
@MsAggie5
@MsAggie5 17 күн бұрын
Hayo ni mapenzi ya kiafrika, unayempenda humuumizi! Mondi ana mkiss mwanamke mbele ya dunia? Kwa hiyo anafanya matendo ya kumpiga matukio 😂😂, kupendana Kwa hivyo Bora nisipendwe
@humbleshoal
@humbleshoal 9 күн бұрын
Ndio amuoe sasa
@humbleshoal
@humbleshoal 9 күн бұрын
​@@MsAggie5 Yaani watu hawataki kukubali kua zuchu tu atumika tu ilo ndio shida kwao
@MetrineOmare
@MetrineOmare 18 күн бұрын
Esco anaipenda Sanaa couple ya bi zuu na diamond black keakweli zuchu ndo anasema black diamond hajawai tamka
@MsAggie5
@MsAggie5 17 күн бұрын
Ndo nashindwa 😂
@NSHIMIRIMANAMARIAMMARIAM
@NSHIMIRIMANAMARIAMMARIAM 18 күн бұрын
Zuchuuuuuu❤❤❤❤
@johnmichaellukindo21
@johnmichaellukindo21 18 күн бұрын
BAHATI te quiero ❤
@Nihadshighadi
@Nihadshighadi 18 күн бұрын
Kwahio kriss anasema wanawake wenye sio warembo ndio wanadumu kwa mapenzi😂😂😂.
@NadjmaOsmani
@NadjmaOsmani 18 күн бұрын
Atari😂😂
@humbleshoal
@humbleshoal 9 күн бұрын
Huo ni mtazamo wake tu
@CATHERINEWANZAUMUTISO
@CATHERINEWANZAUMUTISO 18 күн бұрын
Becoz of money but mondi to me no kusema kweli mondi go and watch yf
@loicebaraza
@loicebaraza 18 күн бұрын
If zuchu was a woman out there she would have bargaining power kwa diamond but she's an employee, so anachunga ugali wake,Tanasha hajalelewa kijijini,hajatembea pekupeku kama zuchu anapikaje
@humbleshoal
@humbleshoal 9 күн бұрын
Hapo sasa mbona, beyonce hajui kupika na kaolewa?
@mgenimoosa5252
@mgenimoosa5252 18 күн бұрын
Huyo dada mahusiano ya zuchu na mondi yanamuuma 😂
@RehemaKatana-m6l
@RehemaKatana-m6l 18 күн бұрын
Anaonekana Ivo ana wivu
@saadabakar7750
@saadabakar7750 18 күн бұрын
Zuchu sio mnywaji na pili Zuchu anajiheshimu mwenyewe hana sifa ya kubadilisha wanaume na ndio hio sababu ,Diamond najua hashei na mtu .
@humbleshoal
@humbleshoal 9 күн бұрын
Ila zuchu anachangia na wengine kwa mond, fyuuuu
@upendokariro4252
@upendokariro4252 18 күн бұрын
Huyu dada anaboa sana hajajuwa kuhoji akae pembeni kaharibu kipinfi
@margaretbirenge4081
@margaretbirenge4081 18 күн бұрын
Tena mnooo yuaboaaaa😮
@JeannetteManirambona-o6m
@JeannetteManirambona-o6m 18 күн бұрын
Zuchuu akuna kuacha
@Sunflower001-xt3ou
@Sunflower001-xt3ou 7 күн бұрын
Alafu weeh bahati nendeni mkaangalie video ya ya manara tv, nyinyi ni wanahabari wavivu sana
@zaharamohamed8694
@zaharamohamed8694 18 күн бұрын
Kweli kabisa
@shishgal2274
@shishgal2274 18 күн бұрын
Manara tv interview ya simba iko
@sophieburcham3399
@sophieburcham3399 18 күн бұрын
Dada anafanana na Esma Platnumz
@Sunflower001-xt3ou
@Sunflower001-xt3ou 7 күн бұрын
Hajawai mzungumzia sababu hamjawai kumuuliza maswali , ni zuchu pekee yake nyinyi humuuliza maswali na akiwajibu oooh yeye ndi anamuongelea
@m-jay2840
@m-jay2840 4 күн бұрын
Zuchu na tansha wapi na wapi!!!! Tanasha is 10/10 made for the greats only
@naimanimo4925
@naimanimo4925 18 күн бұрын
Bahati can not support zuchu ofcoz zuchu is living a dream life so girls like bahati who don't know what next they will always be negative
@MsAggie5
@MsAggie5 17 күн бұрын
She's not negative, that's her opinions I think she was living out of Tz, haya mapenzi ya kupendana huku unapigwa matukio ni kibongo bongo tu 😂
@MsAggie5
@MsAggie5 17 күн бұрын
Bahati don't know what's next? What do you mean? Hayo mapenzi ya kupigwa matukio ni kibongo bongo 😂. Bahati nahisi alishawahi ishi nje, wenzetu hata take shit za kuvumilia mapenzi Kwa boyfriend bora awe mume 😂
@omranalbarwani7190
@omranalbarwani7190 14 күн бұрын
Jamani leo nimewapenda hawa wa kaka lakini huyo mdada!!! Ana roho mbaya fyuuuuu
@humbleshoal
@humbleshoal 9 күн бұрын
Kwa kipi na anatoa tu maoni na ni msema kweli! Nimeamini ukweli unauma
@adelinatate9704
@adelinatate9704 13 күн бұрын
My dear dada mtangazaji, tulia , acha kujishikashika uso, mara pua, otherwise you are so gorgeous.
@humbleshoal
@humbleshoal 9 күн бұрын
Haya za kike
@leticiaChibaye
@leticiaChibaye 18 күн бұрын
Where is Jacob?
@svt3
@svt3 18 күн бұрын
Jacob is on leave he will be back after festivals season finish
@Theunitedeastafrica
@Theunitedeastafrica 18 күн бұрын
Diamond nimfanya biashara na katika biashara zake Zuchu nae yupo. Maana mahusiano yao ndio yana boost mziki wao kwa upande flani. Akimuacha hela inaenda kwengine 🙋🏿‍♂️
@MsAggie5
@MsAggie5 17 күн бұрын
So ana mtumia atengeneze hela 😂😂😂!
@bilolove23
@bilolove23 18 күн бұрын
where is jacob
@zaidiissa3714
@zaidiissa3714 18 күн бұрын
Yani huyu dada kamasimuelewi harafu wanawake hawataki kuku bali mwanamke ambae anafaakua mke wamtu kubali kataa anaemjua ni mwanaume tu au Wanaumetu ndio wanaweza kukuambia huyu nimwanamke matilio
@lucyfrancis9082
@lucyfrancis9082 18 күн бұрын
Kwani huyo dada yeye anataka aone nini
@RehemaKatana-m6l
@RehemaKatana-m6l 18 күн бұрын
😂😂😂ata sjui kwakwel
@MsAggie5
@MsAggie5 17 күн бұрын
Huyu ni feminist, mwanamke anayejiamini na kujielewa.
@rajabdibwa6415
@rajabdibwa6415 18 күн бұрын
Huyo dada ana mapenzi ya zamani😂😂
@mwanamisiali5712
@mwanamisiali5712 16 күн бұрын
Namshangaa nikama pia yy anaumia na zuçhu
@Lina4285baby
@Lina4285baby 18 күн бұрын
usirudi Tena huyo dada
@johanjoha5262
@johanjoha5262 18 күн бұрын
Uyu dada anataka kufanana n'a KAJALA
@justiceshelukindo
@justiceshelukindo 16 күн бұрын
Dada ameweka chuki zaidi hayuko fair. Hakuna mwanaume asiyekuwa na mwanamke mmoja
@Dalaman10
@Dalaman10 18 күн бұрын
Huyu bahati ni ndugu yake Esma mbona wamefanana
@ngendakumanajeanmarrie7490
@ngendakumanajeanmarrie7490 18 күн бұрын
Shida ikoapi zuchu kumpenda diamond wacha wivu ingekua niwewe ungempenda kiasi gani
@Salmaidriss
@Salmaidriss 17 күн бұрын
Uyo dada wann mmemleta hapo jamn anaroho mbaya mngebaki wenyewe tu bn
@MsAggie5
@MsAggie5 17 күн бұрын
Hana roho mbaya anaongea fact! Mwanamke anayejielewa hawezi kuwa anaacha na kurudi anapigwa matukio anaombwa msamaha anajirudisha ujinga huo, hata wakija oana wakazaa, bado atakuwa akiachana na kurudiana rubbish
@estherwanja5207
@estherwanja5207 7 күн бұрын
@@MsAggie5 matukio kama yapi?
@miriamvihenda7408
@miriamvihenda7408 18 күн бұрын
Kumbavu zangu mujinga mimi kumbavu zako zuchu ndio mwanaume simba ni mwanamke mujinga wewe 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪😂😂😂
@qamaryasalim9531
@qamaryasalim9531 18 күн бұрын
Wee dada uchekesha sanq show zote za love anazofanyq simba huoni
@Vivimediatz
@Vivimediatz 18 күн бұрын
Uyo dada mtoeni bora mkae wawili anatuchosha tu ata hajui kuchangia vizuri😒
@rukiyaaimee
@rukiyaaimee 18 күн бұрын
Huyo dada mbona Ana wivu plz don’t bring bias to work nah we don’t need her on sns again
@MsAggie5
@MsAggie5 17 күн бұрын
Hana wivu anaongea fact! Mwanamke anayejielewa hawezi kukubali kupigwa matukio
@MsAggie5
@MsAggie5 16 күн бұрын
@@UnicornAlw hatumuonei huruma tunamuona kama anajizalilisha tu! Kama anampenda sana Diamond anavyomvumilia asiwe anasema hadhalani, yeye aendelee kumeza jiwe yatakapo mshindwa kikweli kweli ndo atoke hadhalani. Kujitoa fahamu na kujiliza kutaka kuhurumiwa kunafanya huyo mwanamme aendelee kufanya upuuzi akijua ataomba msamaha yatakwisha Kwa hiyo hawezi kujirekebisha sasa hayo ni mapenzi au utumwa halafu bado anaongea eti tunan'gan'ganiana seriously 😒! Kama anaona hawezi kuishi bila mwanamme, ndo maana anaona bora ampende mwanamme anayempiga matukio sawa akae kimya 😂, Diamond hana kauli nzuri alisema hadhalani 'nikimchoka mwanamke nampiga matukio' Zuchu bado analilia ndoa 😂 akimuoa si ndo atampiga matukio mpaka basi, hapa urafiki haoni dhamani ya penzi lao. Well mapenzi ya kibongo bongo. Hamna anaye muonea huruma wala wivu kila mtu anatoa maoni yake
@habibamsemo6443
@habibamsemo6443 18 күн бұрын
Mtoeni huyo dada hapo wivu unamsumbua mjinga
@emmilemalewa4257
@emmilemalewa4257 18 күн бұрын
Kiukweli Zuhura ni wife material , na hata rekodi zake za mahusiano ya nyuma huwezi kupata... She is real
@Njiga-l7c
@Njiga-l7c 18 күн бұрын
Nawashauri huyo dada msimuweke tena kwenye kipindi chenu.
@humbleshoal
@humbleshoal 9 күн бұрын
Kwani kipi! Em tupishee
@marleshjimmy1972
@marleshjimmy1972 18 күн бұрын
Zari alikua Wife material ila tatizo anaishi kama Baba mwenye nyumba yani anataka yeye ndo ahukumu na Diamond ivo ivo hawawezi kuka pamoja inabidi mmoja ashuka ndio mana mume wa zari akitizam tu unaona zari ananeno kumshinda
@JonhProsper-fq5pu
@JonhProsper-fq5pu 18 күн бұрын
Huyo dada ana chuki na Zuchu
@qamaryasalim9531
@qamaryasalim9531 18 күн бұрын
Ipo manara TV interview akaitafute
@kimah9855
@kimah9855 18 күн бұрын
Si Nasibu aliongea na Manara wakati ya arusi wa Esma? Those 2 loves each other
@MsAggie5
@MsAggie5 17 күн бұрын
The one who loves never hurts
@saadabakar7750
@saadabakar7750 18 күн бұрын
Diamond alishasema kwenye event ya Jux ,Zuchu ni mke wake.
@ngendakumanajeanmarrie7490
@ngendakumanajeanmarrie7490 18 күн бұрын
Huu dada anaivu 😂😂
@margaretbirenge4081
@margaretbirenge4081 18 күн бұрын
Mie aniboaaa saaana😮
@WannyFuraha
@WannyFuraha 18 күн бұрын
Mume mtowa wapi uyo maman mjinga 😢
@RehemaKatana-m6l
@RehemaKatana-m6l 18 күн бұрын
😂😂😂
@mariyamsalalah8204
@mariyamsalalah8204 18 күн бұрын
😅😅😅😅😅waja
@JamillahMustapha
@JamillahMustapha 18 күн бұрын
anataka apewe donda aangaaike na lo
@bilolove23
@bilolove23 18 күн бұрын
zuchu is just an option, the both famous but he doesn’t call her in public. lol
@MsAggie5
@MsAggie5 17 күн бұрын
He's just using her to make money, I don't like when men disrespect and use women
@SaudaHaidal
@SaudaHaidal 18 күн бұрын
Hiki ki dada sasa kinavyo cheka kwa dharau utazani kitaolewa chenyewe na dai 😏
@MsAggie5
@MsAggie5 17 күн бұрын
Huyo sio type ya Mondi pamoja na hela zake 😂! Amekaa feminist 😂😂! Anajielewa na kujiamini
@Ruu974
@Ruu974 18 күн бұрын
Tanasha si aliwachia mume? Mnae tu mpo kama wanawake ata uyo mwanamke apo kawazidi akili mna ropoka mno
@Nihadshighadi
@Nihadshighadi 18 күн бұрын
Wanaume hawapendi mwanamke anaejielewa,wanataka wenye wanaeza manipulate
@OlgaAmboulou
@OlgaAmboulou 18 күн бұрын
​@@Nihadshighadi🤪🤪🤪🤪🤪
@JonhProsper-fq5pu
@JonhProsper-fq5pu 18 күн бұрын
Huyo dada mpumbavu na ana chuki binafsi
@Mwavi12
@Mwavi12 18 күн бұрын
Huyu Dada mtangazaji ana wivu 😏😏😏
@RehemaKatana-m6l
@RehemaKatana-m6l 18 күн бұрын
Ana wivu sana
@MetrineOmare
@MetrineOmare 18 күн бұрын
Zuchu wewe kya tu kinganga black hmm sioni ka diamond yuko tayari kua mume wako
@pengefeza2563
@pengefeza2563 18 күн бұрын
Ni mme myaka 4 ni mingi
@JoelMukulu-f4i
@JoelMukulu-f4i 17 күн бұрын
Kkkkkkkk
@Njiga-l7c
@Njiga-l7c 18 күн бұрын
Dada is a hater. Actions speak louder than words. Mpaka aseme nini?
@Mwavi12
@Mwavi12 18 күн бұрын
Huyu mdada mtangazaji na komwe lale anawivu na zuchu nimemuona
@LoveAron
@LoveAron 18 күн бұрын
Pengine ana mpensa zuchu but ataki aumizwe ww umemqelewa tofauti😂
@hirizonetz9558
@hirizonetz9558 18 күн бұрын
Ondoeni huyo mwanamke kwenye recap hana chochote cha kuongeza kwenye show
@shadiwaigwa9230
@shadiwaigwa9230 17 күн бұрын
Zuchu is wife material
@ElineMaruchu
@ElineMaruchu 18 күн бұрын
King'ang'a mjinga
@Mwavi12
@Mwavi12 18 күн бұрын
Unaumia ukiwa wapi
@RehemaKatana-m6l
@RehemaKatana-m6l 18 күн бұрын
Acha makasiriko ww...
@Happy-n5i5x
@Happy-n5i5x 18 күн бұрын
Amejioa kwa lazima 😂😂
@ElineMaruchu
@ElineMaruchu 18 күн бұрын
King'ang'a mjinga
@estherwanja5207
@estherwanja5207 7 күн бұрын
Kama mamako tu😂😂😂😂😂
BSS 2024 SE15 EP02 MWANZA | FULL SHOW
1:01:31
BongoStarSearch
Рет қаралды 290 М.
Хаги Ваги говорит разными голосами
0:22
Фани Хани
Рет қаралды 2,2 МЛН
24 Часа в БОУЛИНГЕ !
27:03
A4
Рет қаралды 7 МЛН
ZUCHU na ANKO T WALIVYOMCHAMBA GIGY MONEY JUKWAANI.
8:08
Ophoro Tube
Рет қаралды 131 М.
UNABII WA 2025 KUNA  RAIS ATAFIA MADARAKANI...
28:54
Haleluya Tv
Рет қаралды 220 М.