ZUCHU AMCHANA DIAMOND - "ZANZIBAR HATOKI FALA" - SHOO YAO YAJAA MAHABA

  Рет қаралды 260,598

Wasafi Media

Wasafi Media

Күн бұрын

Пікірлер: 223
@estheramisiofficiel8304
@estheramisiofficiel8304 2 жыл бұрын
Diamond please baba kamuowe zuchu kweli congo tunakupenda sana achana na watu ambao nyote tulimjuwa hamisa,zari,tanasha kukupitiya na wala hawakuongeza kitu kwenye nyota yako lakini zuu nimwakisha nyota yako baba unatafuta nini tena mke wako ni zuu achana nale wanao meza nyota yako
@yustayusuph9101
@yustayusuph9101 2 жыл бұрын
Kabisa yan zuchu ndio saiz yake sio wale wanawake zake cha wote wabadilisha wanaume kama nguo, zuchu ni mtulivu sana hana mambo mengi
@roselinebianga3439
@roselinebianga3439 2 жыл бұрын
Bien dit bro
@amanimargaret.1576
@amanimargaret.1576 2 жыл бұрын
This two understand what there funs want....so they deliver it hot..... if mondi dumps this lady today she will still shine big...the guy has invested much in her making her the best in Africa more so loving her, Mambo n open, zuchu use your time properly..akitoweka umeshiba.
@rehemachuma6928
@rehemachuma6928 2 жыл бұрын
Kila mtuna bahati yake
@minginhoathuman3361
@minginhoathuman3361 2 жыл бұрын
Diamond platnumz is big art in Africa now jitahidi kutumia mic ya kuvaa ,,tunajua unauwezo mkubwa kucheza tunapenda ucheze ukiwa una fanya show ,sema moro mmeuwa wanangu🔥🔥🔥🏟️
@yustayusuph9101
@yustayusuph9101 2 жыл бұрын
Exactly
@MrTop-wj7no
@MrTop-wj7no 2 жыл бұрын
Kabisa
@hadijakiener4700
@hadijakiener4700 2 жыл бұрын
So Lovely wallah simba please mlinde zuchu we love her
@mwambialewis6744
@mwambialewis6744 2 жыл бұрын
Diamond has been taking advantage of this beauty,,,,,, amemtumia kama kifaa na chombo Cha kutuliza hisia zake jukwaaani.
@agnesantony1193
@agnesantony1193 2 жыл бұрын
Maana wakilala unakuaga nao na una ushahidi gan au na ww ushawahi kua kifaa Cha kutuliza hisia tafuta pesa ndugu vitu Kama hivyo ni dram tyu🤷
@beatabahati9491
@beatabahati9491 2 жыл бұрын
Wivu
@monalizamomanyi8798
@monalizamomanyi8798 2 жыл бұрын
Kuna kitu Yako imetumika au ya familia Yako if she is not complain who are u to complain, tulixa matumbu nani
@germinapontian2037
@germinapontian2037 2 жыл бұрын
@@agnesantony1193 mwambie maana wanawasakama kwani huyo zuchu si mtu mzima au wanataka wawe nao waooooh people should learn to mind their own business
@daimavlog
@daimavlog 2 жыл бұрын
Wacha roho mbaya
@amanimapenzi571
@amanimapenzi571 2 жыл бұрын
Aaaah mimi ni WCB member for life. Hata wanifukuze bado nitarudi tuu huko
@rochenyambura7990
@rochenyambura7990 2 жыл бұрын
Hii love itaishi sana juu wote wanaelewana vizuri
@husnamohamed9245
@husnamohamed9245 2 жыл бұрын
Mie huwa nashangaa sana. Zuchu unapoteza heshma yako kwa watu imekuwa mnaimba kukumbatiana kugusana aibu kwa kweli mtajiharibia. Kama diamond anakutaka si owaweni sio mambo ya aibu.
@babyhamisi1437
@babyhamisi1437 2 жыл бұрын
Yaani amejidhalilisha sana zuchu, hii inaonyesha wazi hakukuwa katika maadili mazuri kwa kweli. Sijui khadija kopa amejisahau kwanini
@briindiana7306
@briindiana7306 2 жыл бұрын
Imekua too exaggerated walahi,,, n kama kutafuta kiki tu,,,
@Kangaboy..
@Kangaboy.. 2 жыл бұрын
Acha makasiriko
@beatabahati9491
@beatabahati9491 2 жыл бұрын
Ishi wewe maisha Yako .. we mmke....
@estheraimee8053
@estheraimee8053 2 жыл бұрын
acheni Wivu
@zuhuraomar667
@zuhuraomar667 2 жыл бұрын
I love them 😍😍❤️❤️❤️🔥🔥🔥🔥,much love my Namsey
@mashoplacky5582
@mashoplacky5582 2 жыл бұрын
Simba never Forgoten In Tanzania umefanywa makumbwa Sana Much Success Most Blessed I real love yuo
@malaikamgotto8414
@malaikamgotto8414 2 жыл бұрын
Nawapenda sana nyie watu,, M/Mungu awaongoze vyema na awajalie kila la kheri,♥️♥️♥️♥️
@yustayusuph9101
@yustayusuph9101 2 жыл бұрын
Yan mimi ndio usiseme ninavyowapenda diamond na zuchu mpaka naumwa walai
@kitambarahamidah2809
@kitambarahamidah2809 2 жыл бұрын
Mimi bwana tabuu tuu
@sheillahpayne5047
@sheillahpayne5047 2 жыл бұрын
Ameena
@mozzaliuleiza9288
@mozzaliuleiza9288 2 жыл бұрын
Kizazi maluuni Mungu awalinde vizazi vyetu
@antoniomiropo3976
@antoniomiropo3976 Жыл бұрын
I'm from mozambique Simba is the best from África
@aishajuma468
@aishajuma468 2 жыл бұрын
Moto mashallah
@kanyaacarolyne4639
@kanyaacarolyne4639 Жыл бұрын
Wue...hiyo imeeenda na diamond
@damasioadrianosalendi6871
@damasioadrianosalendi6871 2 жыл бұрын
Loyal is the best. Diamond is the best artist of Africa 🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿
@MugishaJaja
@MugishaJaja Жыл бұрын
Napendasana niwaone n'a zuchu kwakweli mweoye munanyota mutafuka mbali
@MrTop-wj7no
@MrTop-wj7no 2 жыл бұрын
Simba huyo ZUCHU ndo namba sahihi kabisa katoto karembo tena kabichi
@jozlinebiira6558
@jozlinebiira6558 2 жыл бұрын
Diamond is now trying to change the style mixing English in to capture non swahili and which is great. Big up uganda inlaw 🇺🇬🇺🇬
@malaquen4567
@malaquen4567 2 жыл бұрын
Umetisha na zuchu
@mainesmasebo6556
@mainesmasebo6556 2 жыл бұрын
I love Sumba ur the one
@nelvinwelcomekenyaevenasin2579
@nelvinwelcomekenyaevenasin2579 2 жыл бұрын
Napenda diamond juu hana mambo mengi jamani ❤️❤️❤️❤️
@hassanabdi187
@hassanabdi187 2 жыл бұрын
Tunawapenda sana kila la heri
@malaquen4567
@malaquen4567 2 жыл бұрын
Hongera simba
@kanyaacarolyne4639
@kanyaacarolyne4639 Жыл бұрын
You look amazing guys
@bimkubwamohd3254
@bimkubwamohd3254 2 жыл бұрын
ahsantee endeleeni kucheza tuuuu.
@mwanatz5980
@mwanatz5980 2 жыл бұрын
Watu wanataka shemegi 😂😍😍😍roho zaozime suuzika baada ya kumuona shemegi 😂
@lucywanjiru484
@lucywanjiru484 2 жыл бұрын
So bebie come let me protect you......wonder is my favorite😍
@gulainmuhindo1182
@gulainmuhindo1182 2 жыл бұрын
Simba tuna kupenda sana pamoja na muke wako zuchu mimi ni mu congomani
@edumsaficomedy9185
@edumsaficomedy9185 Жыл бұрын
Show iko lit Sana wanangu wa Tz
@xtylishsplatinumz7703
@xtylishsplatinumz7703 2 жыл бұрын
Why my Favorite song from Diamond 💞💞
@addy_boetv6005
@addy_boetv6005 2 жыл бұрын
Haronize anataman kajala apate sauti ya kuimba 🙌😂
@mammam4701
@mammam4701 2 жыл бұрын
Sana
@sarahgaula2220
@sarahgaula2220 2 жыл бұрын
😃 na a angesumbua. Mungu huyu
@hamedabashir9
@hamedabashir9 2 жыл бұрын
🤣😂😂😂😂😂😂
@Chacha-dk2fz
@Chacha-dk2fz 2 жыл бұрын
@@sarahgaula2220 Ukwel 😄😄😄
@khalekichambo1131
@khalekichambo1131 2 жыл бұрын
Mpaka Babu Tale anaona aibu kwa vituko vya Mondi na zuchu
@beatriceonyapidi894
@beatriceonyapidi894 2 жыл бұрын
I love you guys😍😍
@kimah9461
@kimah9461 2 жыл бұрын
They're cute🥰🤩❤️
@funfamily9209
@funfamily9209 2 жыл бұрын
I love I will water water I love this song is amazing 👏 sound good
@zaynabuhussein7598
@zaynabuhussein7598 2 жыл бұрын
Yan navyowapenda hawa watu Allah shahid
@RuzoOwzy
@RuzoOwzy 2 жыл бұрын
Bado sina uhakika na live performance bila playback kama zile za kina burna boy O2.
@zooz6762
@zooz6762 2 жыл бұрын
Wewe daimond yukuwapi zari unmatchable malikiya wawazuri unarukiya ako katoto hakana mwanzo wala mwisho zari nimzuri kama mauwa unalala bilayata chumbani siohuyo zuchu akiwa hana mekap anatisha
@kasimkassam9565
@kasimkassam9565 2 жыл бұрын
😃😃
@judywambui3409
@judywambui3409 2 жыл бұрын
Thy artist himselfuuuuu my fav keep winning
@jecintamuthoni7862
@jecintamuthoni7862 2 жыл бұрын
Wao uuu
@pasianodanzuruni-ii5no
@pasianodanzuruni-ii5no Жыл бұрын
big up sn
@hadiadaoman1981
@hadiadaoman1981 2 жыл бұрын
Simba yupo in love hada raha yaan
@mwarimwagakitu475
@mwarimwagakitu475 2 жыл бұрын
Siyo love hii nibiashara
@african_channel
@african_channel 2 жыл бұрын
Supper show never seen before!!!
@pendochimammy5013
@pendochimammy5013 2 жыл бұрын
Woo hit kali sana
@rahmaabdala2491
@rahmaabdala2491 2 жыл бұрын
Nzuri sana jaman
@husaikenya3503
@husaikenya3503 2 жыл бұрын
Nice
@lilianlily404
@lilianlily404 Ай бұрын
Mond❤zuuu!
@christiancrosby2295
@christiancrosby2295 2 жыл бұрын
Top one bro
@zayanaalmarjibi4254
@zayanaalmarjibi4254 2 жыл бұрын
Dunia nzima sijaona nyimbo za hivi
@zanzibarboyzanzibar509
@zanzibarboyzanzibar509 2 жыл бұрын
Kivipi? 😂😂😂
@cecilianyalusi9597
@cecilianyalusi9597 2 жыл бұрын
Kitu pekee nacho jivunia nikua shabiki yako Simba wew ni mpambanaji nakupenda Sana
@noelafabrice5283
@noelafabrice5283 2 жыл бұрын
Best Couple ❤😊😊
@yustayusuph9101
@yustayusuph9101 2 жыл бұрын
Inshallah 🙏
@angelalyimo2862
@angelalyimo2862 2 жыл бұрын
Tunataka live show no play back marudio bora mtu usikilize mziki wako home
@Blue-vk5ce
@Blue-vk5ce 2 жыл бұрын
Exactly 👏 💯 👏 💯 👏
@beatabahati9491
@beatabahati9491 2 жыл бұрын
Umelazimishwa kuangalia
@ummyyusra9978
@ummyyusra9978 2 жыл бұрын
@@beatabahati9491 hapo chacha
@adamjuma5556
@adamjuma5556 2 жыл бұрын
Respect sana
@ZeddyLion
@ZeddyLion Жыл бұрын
True love
@queenm_96
@queenm_96 2 жыл бұрын
Smiling all the way
@jacksonjackson3252
@jacksonjackson3252 2 жыл бұрын
Diamond Platnumz Short Playlist: Bonyeza muda: 0:35 WHY( The Ben Ft Diamond Platnumz) 2:14 WHY(Diamond Platnumz Verse) 3:21 FINE(Diamond Platnumz) 4:40 (SHEMEJI PANDAAAAA!!) 5:55 I LOVE YOU(Eti kamaliza show) 6:12 LOYAL (Diamond Platnumz) 7:37 WONDER (Diamond Platnumz) 9:30 BABU TALE BASI KILA MWAKA 9:57 MTASUBIRI(Diamond Platnumz Ft Zuchu) 11:27 EBU MUANGALIE BOSS TALE 11:42 ZANZIBAR HATOKI FALA(Zuchu) 12:12 MAMBO YA WAKUBWA 12:41 BINAFSI NAMPENDA KWELI KWELI. ENJOY THE GOOD VIBES FROM WCB. 💥💥💥💥💥💥💥
@lulumalima1739
@lulumalima1739 2 жыл бұрын
Couple of the year wowooo!
@OmarOmar-cj9pn
@OmarOmar-cj9pn 2 жыл бұрын
Dah uyu mwamba ameshindikana
@zanzibarboyzanzibar509
@zanzibarboyzanzibar509 2 жыл бұрын
Kivipi kaka?
@jacksonhassan2190
@jacksonhassan2190 2 жыл бұрын
Atamuseme nn kuhusu diamond platnums atumtupi mkono Kamwe tumetokanae mbali Sana toka enzi nenda kamwambie
@statecraft4922
@statecraft4922 2 жыл бұрын
Yaani kwa hao wanawake wote warembo ,wenye hela zao na wenye majina ya kueleweka...hivi ni ZUCHU tu ndio anajua kuishi na Diamond?😂🤣
@irakozemwajei2549
@irakozemwajei2549 2 жыл бұрын
Zuchu nimsani mwenzake wanasaidiana mengi mdamwengine anamuandikia nyimbo auwezi jua anampendea nini
@berthatz
@berthatz 2 жыл бұрын
@@irakozemwajei2549 kabisa..
@Blue-vk5ce
@Blue-vk5ce 2 жыл бұрын
😂😂😂😂
@unclepwechnov1381
@unclepwechnov1381 2 жыл бұрын
🤔🤔🤔🤔🤔🤔🤔🤔 Utamu wa ngoma uingie ucheze, siri ya mtungi aijuaye kata. Don't judge a book by it's cover.
@zanzibarboyzanzibar509
@zanzibarboyzanzibar509 2 жыл бұрын
Inawezekana hao wanawake wenye pesa hawampendi Jamaa kiukweli wanataka Umaarufu tu
@najmamathius3800
@najmamathius3800 2 жыл бұрын
NIce show
@christiancrosby2295
@christiancrosby2295 2 жыл бұрын
Is good job
@rasulramadhan8517
@rasulramadhan8517 2 жыл бұрын
Jamaa anajua xana
@christiancrosby2295
@christiancrosby2295 2 жыл бұрын
Top san
@BRAINYTVSHOW
@BRAINYTVSHOW 2 жыл бұрын
🇷🇼🇷🇼🇷🇼🇷🇼🇷🇼the ben 🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰
@inafustarisatcomedy2963
@inafustarisatcomedy2963 2 жыл бұрын
Noma
@mwanahkombo9496
@mwanahkombo9496 2 жыл бұрын
Best couple♥️
@richardmateo384
@richardmateo384 2 жыл бұрын
God bless
@nabatanzirinah2056
@nabatanzirinah2056 2 жыл бұрын
𝑾𝒂𝒔𝒂𝒇𝒊 𝒎𝒆𝒅𝒊𝒂 𝒖𝒓 𝒕𝒉𝒆 𝒃𝒆𝒔𝒕 𝒐𝒇 𝒂𝒍𝒍
@veithsimatwa5487
@veithsimatwa5487 2 жыл бұрын
Zuchu hujapata umepatwa hata kama kusoma hujui hata picha uzioni
@alhajimaulidi3391
@alhajimaulidi3391 2 жыл бұрын
mpe ww bs
@beatabahati9491
@beatabahati9491 2 жыл бұрын
We wajua... Hata sauti huna apo ulipo
@edmonsawa3530
@edmonsawa3530 2 жыл бұрын
Nice saaana
@rosestigeneriksson8387
@rosestigeneriksson8387 2 жыл бұрын
Kweli diamond kaishiwa hana jipya tena
@zaitunirashidi5532
@zaitunirashidi5532 2 жыл бұрын
Mh Tale anashangaa tu haelew anachoona🤣🤣🤣
@aminambwana5294
@aminambwana5294 2 жыл бұрын
Diamond for real umezima zuchu ndo anakubust haki
@vincentakhwale1428
@vincentakhwale1428 2 жыл бұрын
Na ww unabustiwa na nanoy..acha wivu
@aminambwana5294
@aminambwana5294 2 жыл бұрын
@@vincentakhwale1428 🤣😂 amezima banaa
@beatabahati9491
@beatabahati9491 2 жыл бұрын
So saw.. we una nini
@aminambwana5294
@aminambwana5294 2 жыл бұрын
@@beatabahati9491 nilichonacho.
@beatabahati9491
@beatabahati9491 2 жыл бұрын
@@aminambwana5294 human lolote....
@yasintadavid1296
@yasintadavid1296 2 жыл бұрын
Thanks
@peterjohn6097
@peterjohn6097 2 жыл бұрын
Maua Sam mpy
@sheillahpayne5047
@sheillahpayne5047 2 жыл бұрын
I like what I see men!
@malaquen4567
@malaquen4567 2 жыл бұрын
Tutakuita uje pemba ututumbuize kwa kwenye chuo chetu
@majaliwa_tz5004
@majaliwa_tz5004 2 жыл бұрын
Oyoooo🔥🔥🔥
@shawn-the-first.1643
@shawn-the-first.1643 2 жыл бұрын
THANKS FOR WATCHING
@muharrijdjemedari9693
@muharrijdjemedari9693 2 жыл бұрын
Siwafunge ndowa basi liwalo naliwe😁💋💋❤❤❤
@mesukanku6016
@mesukanku6016 2 жыл бұрын
Djemedari encore 2 ans
@beatabahati9491
@beatabahati9491 2 жыл бұрын
Ndio Ili iweje... Maisha Yao wataka kuwaamulia
@muharrijdjemedari9693
@muharrijdjemedari9693 2 жыл бұрын
Punguza shobo😏😏
@Hawa-ed2hg
@Hawa-ed2hg 2 жыл бұрын
Suruari zirizo chanika wanavaa watu na pesa zao kama huna pesa usivae
@annajaydenjayden3517
@annajaydenjayden3517 2 жыл бұрын
🤣🤣🤣
@edinakyaruzi9226
@edinakyaruzi9226 2 жыл бұрын
Utaonekana kichaaaa😁😁😁😁👍
@Chacha-dk2fz
@Chacha-dk2fz 2 жыл бұрын
😄😄😄
@annachales9623
@annachales9623 2 жыл бұрын
Utaitwa chizii...aaaahaaaj
@kaombeaimerance6440
@kaombeaimerance6440 2 жыл бұрын
Je vous aimes c super 💯💖💖💖💖🥰👍❤️💋💋💋💋
@rasulramadhan8517
@rasulramadhan8517 2 жыл бұрын
Kipajii anachooo
@jumaamartin7929
@jumaamartin7929 2 жыл бұрын
waonyeshe daimond kua saut ya kuimba unayo.ila vaibu na mzuka mzukan ukikushika ndio unafoka
@aminamayala8373
@aminamayala8373 2 жыл бұрын
Eti shemeji panda😁
@hawaniyonkuru6983
@hawaniyonkuru6983 2 жыл бұрын
Sikaimbe nyimbo zako hako ka Dai
@saidmakame7121
@saidmakame7121 2 жыл бұрын
Hi
@Gody360
@Gody360 2 жыл бұрын
Zuchu
@janethedwin8068
@janethedwin8068 2 жыл бұрын
Waooooh 🥰
@alhabib_abdulwahab
@alhabib_abdulwahab 2 жыл бұрын
SIMBA MY FAV
@hatari9591
@hatari9591 2 жыл бұрын
Ingekuwa mwingine (...........) mngesema hakuna tu....... Eti shoo imebuma.
@nicholauschupa5906
@nicholauschupa5906 2 жыл бұрын
saf sana simba
@joshuamussa3516
@joshuamussa3516 2 жыл бұрын
Simbaaa
@lispamagu5810
@lispamagu5810 2 жыл бұрын
Akiachwa aje aseme ivo ivo
@mammam4701
@mammam4701 2 жыл бұрын
Wataachqna tu nipo hapa😂👌😂hata wema halikua kam nodgad
@salamasaidi6620
@salamasaidi6620 2 жыл бұрын
Umeandika nn hapo 😆😆😆😆😆
@hamedabashir9
@hamedabashir9 2 жыл бұрын
🤣🤣😂
@mammam4701
@mammam4701 2 жыл бұрын
@@salamasaidi6620 😂🤣😂👌bod gad😂😂😂😂😂😂
@joanabartolomeu7719
@joanabartolomeu7719 2 жыл бұрын
💅💅💅💅
@yasintadavid1296
@yasintadavid1296 2 жыл бұрын
🙏🙏🙏
@djsebons1389
@djsebons1389 2 жыл бұрын
Good but some Alcohol Simba💥
JISOO - ‘꽃(FLOWER)’ M/V
3:05
BLACKPINK
Рет қаралды 137 МЛН
Жездуха 41-серия
36:26
Million Show
Рет қаралды 5 МЛН
DIAMOND AMPANDISHA ZUCHU JUKWAANI, KILICHOTOKEA NI HISTORIA...
7:12
Wasafi Media
Рет қаралды 1 МЛН
Mapoz Behind the scene Part one (1)
12:47
Diamond Platnumz
Рет қаралды 690 М.
MBOSSO - YAMAHA COME TOGETHER CONCERT SERIES | 11TH EDITION
54:30
DIAMOND ALIVYOM SUPRISE CHID BENZ NGOMA YAO / ATAKA KUMWAGA MACHOZI
6:02
Diamond Platnumz Live in Kampala (Part 1) - Comedy Store Uganda Sept 2023
41:20
Alex Muhangi Comedian
Рет қаралды 316 М.