Wazanzibar mpo wapi jaman kaja kuwaonyesha km mmeshindikana kukaa uchi live😂😂😂
@zenahmugo19743 ай бұрын
Wewe nawe kwani Yeye ndo wa kwanza kuvaa Ivo 😏unataka wajae sound check ama 🤔
@YahyaMakame3 ай бұрын
Huyo sio mzanzibar
@Official836403 ай бұрын
@@YahyaMakame Wa wapi kumbe?🤣
@Official836403 ай бұрын
@@zenahmugo1974 Jiulize ww sasa kwa nn mnawakataa wa Bongo
@saumbliz89833 ай бұрын
Mbona hakuna watu
@lucia202403 ай бұрын
Ushaambiwa rehearsal (mazoezi)show usiku
@tanzcanmediatv44733 ай бұрын
Umesugua masikio?toa inta hiyo
@MUSEROJanet3 ай бұрын
@@tanzcanmediatv4473😂😂😂
@user-it2tr7ny8d3 ай бұрын
Msenge tu😂😂😂
@rosemwaka29243 ай бұрын
❤❤❤
@ShufaaOmary-rl7nq2 ай бұрын
kimekulamba
@LUCAS_LUMBASI_SIMULIZI3 ай бұрын
Kumekucha
@user-lf9qf9gz8k3 ай бұрын
Hata bado
@user-kv4cw9ei9s3 ай бұрын
❤❤❤❤
@user-vy6st5ki2v3 ай бұрын
😂😂😂😂
@muzafarsharif94653 ай бұрын
kama kijini vile😂😂😂
@user-jv2rb8kk1r3 ай бұрын
Cy kama ni kijijini
@user-uc8ei8kn3l3 ай бұрын
Zenji
@mariamfritsi49433 ай бұрын
Wimbo huu wa zawadi, kuna sauti kaiingiza, ya muimbaji mmoja aliitwa Sophia George wimbo wake uliitwa Girlie Girlie, pale alipoimba young man you too Girlie Girlie, hicho kipande ndio zuchu ameingiza hiyo sauti. Utafuteni huo wimbo wa sophia mtasikia hiyo sauti. Ni wimbo wa 1986.
@soundmale3 ай бұрын
Kulanina😂
@mariamfritsi49433 ай бұрын
@@soundmale nanilaku wewe mara 1,000 😅😅😅😅
@user-wg8hs4tu7w2 ай бұрын
Kama kaingiza haya kuhusu we kikubwa burudika ya ngoswe mwachie ngoswe, usilete ujuaji kwny Sanaa ya mtu bro😂😂
@mariamfritsi49432 ай бұрын
@@user-wg8hs4tu7w zumbukuku ulimwengu uko huku, ndio yanahusu kila mmoja, kaiba sauti za watunzi wengine kwani uongo? Kwa kuwa nyie ni bendera hufuata upepo, mkipelekwa mashariki haooo, kusini 🤣🤣🤣😂😂😂 sauti ya sophia George 1986.Uongoooo?
@user-zg4dr8gn6y3 ай бұрын
Akukubal mnoo
@user-vj1ek5us4r3 ай бұрын
0vyo
@abdulkarimabdallah95363 ай бұрын
Nauliza2 Hivi huyu nimzanzibar kweli mbona nimalaya hivi alafu kakosa haya Hivi
@khadijachacha31563 ай бұрын
Sio hivyo unavyo fikiria ww anavaa hivyo kuttokana na kazi yake ww unataka avae madira
@user-xl3xy6db2g3 ай бұрын
Mh! Tayari... iv malaya anakuaje kwan? Mbona unamwita malaya mtu ambaye haujawahi na wala haitotokea wewe kumvua chupi au umesimama kutuaminisha husda na choyo chako kwa mafanikio ya mtu acha upuuzi tafuta pesa we kijana usije ukawa mchawi maana mkikosa pesa waswahili tunawajuw 😂😂😂