ZUCHU "DIAMOND UNANIUMIZA KICHWA MWANAUME WEWE ACHA UMALAYA"

  Рет қаралды 155,562

BONGO 24

BONGO 24

Жыл бұрын

#diamondplutnumz #zuchu #bongo24

Пікірлер: 228
@gracemunthali7945
@gracemunthali7945 Жыл бұрын
Zuchu ni mzuri wa tabia na presentesion yake ni nzuri.
@azizamaumba8377
@azizamaumba8377 Жыл бұрын
Yaani bongo bhn camera inaacha kuchukua wahusika inalenga kwa diamond na zuch 😂❤ simbaaaaa
@imanibakili8028
@imanibakili8028 Жыл бұрын
Haya ndiyo matatizo yakualika watu maarufu kwenye shughuli watu wana concentrate na wao kuliko maharusi Wamependeza mashallah
@rukkysayid6613
@rukkysayid6613 Жыл бұрын
Sana mpaka inakera maana maharusi hawaonekani kabisaaaa😢
@fatimahwazir9179
@fatimahwazir9179 Жыл бұрын
Yani we acha tu.. Hila uyo amera man mshamba tu naye mana ame focus kwa wawili tu utasema wao ndio maharusi ovoooo
@christianmbappe8900
@christianmbappe8900 11 ай бұрын
Truth be told.....I just love the picture of Diamond and Zuchu dancing!!! It's just priceless!!! My prayer is always that may these two soulmates overcome the obstacles on their path towards lifelong union. I know Zu is ready but Di should gather the requisite courage. Amen!!!
@user-wi6uk1vz1h
@user-wi6uk1vz1h 2 ай бұрын
AMEN
@pa7650m
@pa7650m Ай бұрын
AMEN 🙏🏿
@dadaamwazewe1299
@dadaamwazewe1299 Жыл бұрын
Mashaallah zuchu umependeza sana mpaka mondi habanduki afandali iyo shuuli ingelikua yunu😂😂❤❤❤
@user-jf8yk8yq3m
@user-jf8yk8yq3m Жыл бұрын
Nampenda sana Zuchu,mondi fanya unuoee huyoo dad jaman anakupendaa
@jaberjohn7556
@jaberjohn7556 Жыл бұрын
Am not a fun of diamond but when l see him with Zuchu l start feeling comfortable trying to like him though l love Zuchu
@mariayegela239
@mariayegela239 Жыл бұрын
Zuchuuuuuuuuuuuuu na modiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii pokeeni maua yenu
@papaamukulu7166
@papaamukulu7166 11 ай бұрын
Mondi umenifurahisha sana kumuhendo zuchu na kumpa mapenz ya kweli wengne wameumia walitarajia utambwaga walibert mkeka wao umechanikaaa😮😮😮😮
@naomiemoraa4143
@naomiemoraa4143 Жыл бұрын
Aki zuchu roho kama yangu 😢😢 kumsamehe mwanaume roho safi ...mungu awajalie mond settle with our lady please 😢
@AminaShite-ub5kf
@AminaShite-ub5kf Жыл бұрын
Mashaallah zuchu na diamond mmependeza sn mwenyez mungu awaepushie vijicho
@hildarwebangira1085
@hildarwebangira1085 Жыл бұрын
Zuchu Hongera sana Binti yetu tunakuombea na wewe siku yako no hivi karibu Mungu Awatunze. Umependeza Zuchu. ❤
@anisawahyi2940
@anisawahyi2940 Жыл бұрын
Amiin yaraab Amiin
@user-wi6uk1vz1h
@user-wi6uk1vz1h 3 ай бұрын
Amen
@elizabethcosmas7852
@elizabethcosmas7852 Жыл бұрын
Aliekuvalisha hatareeeeee pendeza sana👌
@user-pr1uy3sh3o
@user-pr1uy3sh3o Жыл бұрын
Diamond fanya mpango umuoe zuchu mumependezana sana mimi Nawapenda oaneni ❤
@mikey2247
@mikey2247 Жыл бұрын
Uyu Diamond anatafutaka nini jamani mbona haka ka Zuchu ni kazuri sana
@bintalibent4657
@bintalibent4657 Жыл бұрын
Mashallah zuchu na diamond ❤❤❤ huu wimbo waitwaje vile
@godslovemarcus403
@godslovemarcus403 Жыл бұрын
All camara is on this two people, diamond and zuzu ❤❤
@rechaelmabruk6547
@rechaelmabruk6547 Жыл бұрын
Zuzu ni ww unae fatilia yasiyo kuhusu
@azizamaumba8377
@azizamaumba8377 Жыл бұрын
​@@rechaelmabruk6547hamna amekosea tuu kuandika jina la zuchu si unaona ameweka emoji za love halafu amesifia kwamba camera zote zinalengwa kwa watu wawili ambao mond na zuch kukosea kawaida ila ww ndo hujaelewa my❤ tunapenda hii couple jaman
@llucylful
@llucylful Жыл бұрын
Haiya zuchu au zuzu jamani???
@agbordorothy4901
@agbordorothy4901 6 ай бұрын
As if they were the once getting married 😅
@constanciapeter2497
@constanciapeter2497 Жыл бұрын
Ka Zuu kumbe kana mgongo mzuri... Mashallah 🎇
@jamilaathumani5481
@jamilaathumani5481 Жыл бұрын
Nakumbuka enzi zile daimond na wema,,mala zari,,mala hamisa ,mala tanasha Sasa zuchu ,,duu maisha ni safar ndefu,,Aya daimond muoe Sasa zuchu mnapendana na mnaendana xana
@Mimi-wf7mb
@Mimi-wf7mb Жыл бұрын
Umesahau fantana🤣
@rizikichamosi7551
@rizikichamosi7551 Жыл бұрын
Mashallah daa zuchu leo umetishaa sana sasa kilia siku uvae mavazi kama haya unapendeza sanaaaa
@kantai737
@kantai737 Жыл бұрын
Zucchini no msaniii hawezi shinda amevaa hivo kila siku.
@EdinaNgusa-zs4dg
@EdinaNgusa-zs4dg Жыл бұрын
Da zuhura umependeza sn jmn❤️❤️
@RabiaWahadh
@RabiaWahadh Жыл бұрын
Zuchuuuuuu Mashaallah Kuchez Unajua Kuimba Ndo Usiseme❤❤
@mariammuslim2987
@mariammuslim2987 Жыл бұрын
Hongera kwao zngu Dua Kwa mondi Allah amsahaulishe na uzinifu ailinde ndoa
@MwanaishaHemed-xi6rj
@MwanaishaHemed-xi6rj Жыл бұрын
Zuchu na diamond Mumependeza kwa kweli ❤❤❤
@omarswaleh6082
@omarswaleh6082 Жыл бұрын
Dadangu muogope molaa wako wewe ni mwanamke waki islam una ushabikia uchafu anao ufanya zuchu na anvyo udhalilisha dini yake na family yake
@rahimaaaaa5682
@rahimaaaaa5682 Жыл бұрын
😊😊😊😊
@roudhamahmoud763
@roudhamahmoud763 Жыл бұрын
Zuche na dai alowapamba leo ndo wakuwqpqmba siku ya harusi yenu.ameweza sana
@user-wi6uk1vz1h
@user-wi6uk1vz1h 2 ай бұрын
Très très compétent 🎉
@roudhamahmoud763
@roudhamahmoud763 Жыл бұрын
Leo zuchu na dai mmependeza mno hongera kwa alowavalisha na mekap.tafadhal daimond muoe zuchu ndo mkeo.
@productivityprogressprince5156
@productivityprogressprince5156 Жыл бұрын
Yaani zuchu na mpenzi wake utafkiri wao ndo wenye sherehe jamani!! Walivyopendeza! Afu mahaba kibao kuliko hao wenye shughuli🤦🏾‍♀️🤦🏾‍♀️❤️❤️❤️😂😂😂
@imanibakili8028
@imanibakili8028 Жыл бұрын
Kumbe nawewe umeona
@productivityprogressprince5156
@productivityprogressprince5156 Жыл бұрын
@@imanibakili8028 nimeona my. 😂😂❤️
@ggfwtgg1652
@ggfwtgg1652 Жыл бұрын
Zuchu wwe ni kiboko yangu leo wakagupamba vizuli haswa umependeza sana ❤❤❤
@nellyndayisenga8429
@nellyndayisenga8429 Жыл бұрын
Mwenye halusa walimusahau😂😂😂😂
@JamalKhan-le9ud
@JamalKhan-le9ud Жыл бұрын
Wamependeza Sana zuchu huyo alie kupamba Leo ❤❤❤❤
@stellamsokwa6785
@stellamsokwa6785 Жыл бұрын
Z&D Nyota hizi kali sana naona zimewafunika mpaka maharusi aiseee mi nikajua harusi ya zuchu na daimond duuuhhh🤣🤣🤣🤸🤸🤸
@CatherineAmos-zw8dx
@CatherineAmos-zw8dx Жыл бұрын
Umependeza sana Leo Zuchu
@katarinawilliam9960
@katarinawilliam9960 Жыл бұрын
Uchawi upo jamani. Huyo ni Zuhura??????? MASHALAH!!!!!!!!!
@teychriss3248
@teychriss3248 Жыл бұрын
Kuna watu humu wanachukia kweli kuiona hii couple! Kwani matarajio yao makubwa yalikuwa zuchu angeachwa baada ya lile tukio la TANANA sijui 😢!! Kejeli zilikuwa nyingi, vicheko na dhihaka!! Haya leo limewashuka!! Mmesahau kuwa mapenzi ni hisia!! Mungu ndiye anaejua hatima yao!! Acheni chuki zisizo na maana!! Tafuteni hela!! Mfyuuuu😏😏
@azizaissa4010
@azizaissa4010 Жыл бұрын
Yaani umeongea kweli na limewashuka shuu wamebaki kuweweseka tu kama mijibwa koko
@user-wi6uk1vz1h
@user-wi6uk1vz1h 2 ай бұрын
Vraiment vous avez dit toute la vérité 🎉
@Noro-pf7et
@Noro-pf7et 4 күн бұрын
q​@@user-wi6uk1vz1h
@sureiamboo
@sureiamboo Жыл бұрын
I love to see Zuchu na Diamond. They are sooo natural together ❤❤
@mozamagaya8618
@mozamagaya8618 Жыл бұрын
Bi arusi Kawa kama kizibao kazubaa kweli
@user-gr7vl3zt4l
@user-gr7vl3zt4l Жыл бұрын
Zuchu na Diamond mmependeza sana❤❤
@cecilesonie7165
@cecilesonie7165 Жыл бұрын
My favourite couple zuchu n diamond❤❤❤
@mukoahvictorinah5794
@mukoahvictorinah5794 Жыл бұрын
Mtu akiangalia utadhani ni harusi ya zuu na mondi jamani halafu bado kuna mtu anabisha kuwa hawqpendezi hawq❤❤❤❤❤❤❤
@selmesaid7405
@selmesaid7405 Жыл бұрын
Zuchu inatakiwa mapenz ya hali ya juu uwapende wote michepuko ya chibu na familia yake utashinda my hadi ndowa
@appsplay4324
@appsplay4324 Жыл бұрын
Zuchu n mondi mmependezana ❤❤❤
@akonje4575
@akonje4575 Жыл бұрын
Zuchu ❤❤❤❤❤leo umetokelezea
@MwanaishaHemed-xi6rj
@MwanaishaHemed-xi6rj Жыл бұрын
Mbona mumewafunika maharusi jamani 😂😅mumependeza
@ruqqaiyaalmas
@ruqqaiyaalmas Жыл бұрын
Wanavyojitanua kama harusi yao Hadi bibi harusi kakosa pozi la kucheza jaman
@user-hd5rn8fh5b
@user-hd5rn8fh5b Жыл бұрын
Mond&zuchu fungen ndoa haraka jaman
@user-ki4sg8yz9j
@user-ki4sg8yz9j Жыл бұрын
Zuhura umemfunika biharusi
@tegemeakyangenyenka6111
@tegemeakyangenyenka6111 Жыл бұрын
Ametokelezea sana Zuchu mnaendana na Diamond
@abby-xf5ow
@abby-xf5ow Жыл бұрын
Yani nawapenda D/z❤
@wardamohamood
@wardamohamood Жыл бұрын
Zuchi pambe tu biarusi ajapendeza kwa kwelii
@antoniadudus7917
@antoniadudus7917 Жыл бұрын
Wow zuchu umependeza MashaAllah ❤❤❤❤❤❤
@channyanjen9047
@channyanjen9047 Жыл бұрын
Yani mimi sisemagi Tena kuhusu nyinyi Saidi tu yakuwambiya nawapenda na kuwaombeya dua kila laheri zuchu na Diamond
@lucymtuka3199
@lucymtuka3199 Жыл бұрын
Nawapenda mno Nasibu na Zuhura mnaendana
@aminabilali-5941
@aminabilali-5941 Жыл бұрын
Zuchu apewe maua yake ❤😅
@judithandembwisye-zg4gu
@judithandembwisye-zg4gu Жыл бұрын
Mwana WA rafiki yangu umependeza sana
@christianmbappe8900
@christianmbappe8900 Жыл бұрын
Congratulations Bwana na Bi Fumbwe. Na pia shukrani kwa Mondi na Zu. I hope and trust that one fine day WE WILL WITNESS DI AND ZU CELEBRATING THEIR OWN.
@user-wi6uk1vz1h
@user-wi6uk1vz1h 5 ай бұрын
Vraiment espérant le
@user-wi6uk1vz1h
@user-wi6uk1vz1h 2 ай бұрын
ET AMEN
@youngzubelyzubely2288
@youngzubelyzubely2288 Жыл бұрын
Hili group la WASAFI ni kubwa mno na wanaushirikiano.. ukimtus mmoja wanakuja wote .. napenda ushirikiano wao kwakwer.
@yusrairakoze3966
@yusrairakoze3966 Жыл бұрын
Kweli mnependeza ❤❤❤❤❤❤fanyeni mpango na nyiye
@omarswaleh6082
@omarswaleh6082 Жыл бұрын
Kweli nimeambiwa wanawake wengi ndio wataingia moto kuliko wanaume swadakta leo nyinyi wanawake wakiislam mwampongeza zuchu kwa uchafu anao ufanya pole sana mungu awasemehe
@amelinahgetange946
@amelinahgetange946 Жыл бұрын
Kiss my comment please 🥺💋 I love zuu and mondi❤️☺️
@CatherineAmos-zw8dx
@CatherineAmos-zw8dx Жыл бұрын
Kwakweli Mmendeza sana Diamond na Zuchu utafikiri nyie ndo Maharusi tena jaman hahahahaha
@Zaynabuomy-zl3ck
@Zaynabuomy-zl3ck Жыл бұрын
Bibi kharus kapoa huyu All in All Amenoga ty mwenyw, Ila Couple y Z$D ipen maua yake ❤
@rahmaomary5045
@rahmaomary5045 Жыл бұрын
Km mmegundua mond na bwana harus wameua kucheza kuliko wadada gonga like...?
@martinehussein7261
@martinehussein7261 Жыл бұрын
Zuchu siyo siri umependeza 🥰🥰🥰
@lindambilinyi6253
@lindambilinyi6253 Жыл бұрын
Bas hapo Mond wenzie wanaooa anawaona km mafala,moyoni anawaambia mtadanga saa ngp me sioi ng'oooo😅😅😅😅😅😅
@aminahmega4168
@aminahmega4168 Жыл бұрын
Mond fanya umuoe dada e2 zuhura mnaendana knoumer noumer
@shokishoki-de1io
@shokishoki-de1io Жыл бұрын
zuchu mashaallah
@aminabakari8383
@aminabakari8383 Жыл бұрын
Nawapa baraka zangu Mond na Zuchu mshike mwanangu usimuache
@edina1929
@edina1929 Жыл бұрын
Zuchu munapendeza sana na daimond
@lindambilinyi6253
@lindambilinyi6253 Жыл бұрын
Hapo hamkwenda kusaport ila kuharibu harus ya watu,maana kila anawafatilia nyie😅😅
@kazushkmilly3635
@kazushkmilly3635 Жыл бұрын
Ni ma staa jameni sikupenda kwao.
@user-xq4ee5mq8g
@user-xq4ee5mq8g Жыл бұрын
Tunasubiria ndoa yenu sasa zuchu na mondi❤
@user-cd5by9vc5i
@user-cd5by9vc5i Жыл бұрын
Kapendeza jamani zuuu
@zainabumartin9520
@zainabumartin9520 Жыл бұрын
Zuchu nahuyo malaya mwenzi wanafiki sana
@user-ek2ti2yx6e
@user-ek2ti2yx6e Жыл бұрын
Nawapenda sana zuu na mondi
@fatumamahoiga3978
@fatumamahoiga3978 Жыл бұрын
Zuu umependeza sana
@JamalKhan-le9ud
@JamalKhan-le9ud Жыл бұрын
Kwakweli nimeangaria mbaka mwisho kwasababu ya zuchu na mond mmmmh mmejua kupendeza mbaka raha
@rhodasidi1752
@rhodasidi1752 Жыл бұрын
Wow you look cute 😘😘😘😘😘
@zenawahindi2425
@zenawahindi2425 Жыл бұрын
wamependeza sana zuchu na huyo dada in white ila urembo kazi hizi nguo zimewabana sana tumbo nikaa kuhema ni shida wa dada tunakazi
@justicegevula9921
@justicegevula9921 Жыл бұрын
Dy Na zuchu km nyiee Ndio maharusi mlivyo pendeza
@user-xd9ye7wk6c
@user-xd9ye7wk6c 5 ай бұрын
Cameraman mwenye harusi mrimsahau kabisaa yaani hapo naona diamond and zuchu
@mabulamabala3053
@mabulamabala3053 Жыл бұрын
Diamondi na zuchu wameitawala sherehe kama ndo wahusika!!!!!!!
@aishambagi7371
@aishambagi7371 Жыл бұрын
Kila Siku ukivaa maronyaronya ila leo umependeza sana zuchu jifunze kuvaa nywele nzuri Léo ila siku zingine unakuwa Kama kikatuni
@ghayamjombo6582
@ghayamjombo6582 Жыл бұрын
😂
@asuminisimiyu4889
@asuminisimiyu4889 Жыл бұрын
😂😂
@aishafrancis7714
@aishafrancis7714 Жыл бұрын
Kwa kweli😂😂
@naimarishedy1523
@naimarishedy1523 Жыл бұрын
Bwana na bibi harusi hongereni sana❤❤❤❤❤❤❤pia Daimond mungu akubariki ktk kazi zako pia Zuchu mwanangu mungu awafanyie wepesi mfunge ndoa❤❤❤❤❤
@asiamerey9081
@asiamerey9081 Жыл бұрын
Ameen Inshaallah
@mishimwinyi3
@mishimwinyi3 Жыл бұрын
These two look good I wish diamond can settle down haki
@rosehaule6765
@rosehaule6765 Жыл бұрын
Mashallah. Mm nahisi kama tayari hawa ila ni siri zuchu mtoto wa kiislam Sema awataki kutangaza diamond wanahisi wakisema wamedunga ndoa watapoteza.mashabiki
@rosehaule6765
@rosehaule6765 Жыл бұрын
Na diamond ndio mambo anayapenda mtoto aliyelelelewa kiswahiki mwende.mafundooo kama zuchu si mambo ya uzunguuu nooooo❤❤😂😂
@maryamhamad3485
@maryamhamad3485 Жыл бұрын
Yaani watu hapo wana mabwana zao lakini wanajiona kama mafala,zuchu alivyopendeza😅😅😅😅
@yusternyirenda7231
@yusternyirenda7231 Жыл бұрын
Zuchu sio kupendeza tu kuna watu wapo hapo na mabwana zao lakini wanatamani mapenzi ya zuchu na diamond 😂 😂 😂
@fatumamahoiga3978
@fatumamahoiga3978 Жыл бұрын
Z na D mmewazidi wahuzika nmependeza sana
@RabiaWahadh
@RabiaWahadh Жыл бұрын
😂😂😂😂
@RabiaWahadh
@RabiaWahadh Жыл бұрын
​@@yusternyirenda7231😂😂😂
@yusternyirenda7231
@yusternyirenda7231 Жыл бұрын
@@RabiaWahadh Eee! ulishawai kuona upo na bwana ako sehemu lakini unatamani mapenzi ya watu wengine waliopo pembeni yenu au kando yenu hiyo ipo kabisa, kuna siku mimi na mume wangu tulienda club yan eneo tulikokuwa tumekaa watu wote na wapenzi zao walikuwa wanatuangalia sisi tu, vile tunacheza, vile tunakula, vile tunakunywa, vile tunaongea yan tulikuja kushtuka watu wote wanatuangalia sisi tu mpaka kuna couple moja litufata nikiwa natoka chooni mume wangu amenisindikiza wakatuambia duuu nyinyii watu wawili tumewanyanyulia mikono sio kwa mahaba hayo yan sisi wengine tumejiona mayatima wa mapenzi mbwa nyie mna mahaba ya kizungu walai mnatuvuruga hatari 😂 😂
@aminamusa9174
@aminamusa9174 Жыл бұрын
😂😂😂zuchu hoyeeeer
@GloryShirima-vb7mp
@GloryShirima-vb7mp Жыл бұрын
Waooh wamependezaa atar cyoo pouah🥰❣️
@tibaijukaolevarez6257
@tibaijukaolevarez6257 Жыл бұрын
Zuch kavaa kigodoro leo
@sylviembirize
@sylviembirize Жыл бұрын
Munapendeza sana zuchu 💯🥰 daimond
@RabiaWahadh
@RabiaWahadh Жыл бұрын
Amependeza Sana Zuch❤❤
@BakariMwanguo
@BakariMwanguo Ай бұрын
Alafu mond yuko careful na nguo ya zuu,,,wallahi kupendwa raha jamani,,,wametishaa,,,bikharus kapoa
@susankitila2898
@susankitila2898 Жыл бұрын
Sasa hata maarusi hawaonekani. Ni diamond na zuchu tuu sio vizuri wa wape nafasi maharusi
@naswiheart5687
@naswiheart5687 Жыл бұрын
Jamani mwamsifia Zuchu na Mondi. Lakini bibi na babu harusi hamuwaoni jamani😅😅😅😅😅
@irakozediane-fv5cl
@irakozediane-fv5cl Жыл бұрын
😂😂😂😂 macho hayapo uko tuko kwa Z na D basi wengine siwaoni😂😂😂
@RabiaWahadh
@RabiaWahadh Жыл бұрын
​@@irakozediane-fv5cl😂😂😂
@magrethyeremia2279
@magrethyeremia2279 Жыл бұрын
Aliyekuvalisha Leo nampa kongole,zuchu umependeza saaan kuliko siku zoteer
@subirajohn728
@subirajohn728 Жыл бұрын
Sana🔥🔥🔥
@nameno8608
@nameno8608 Жыл бұрын
Na tako kapata ama alienda UTURUKI
@subirajohn728
@subirajohn728 Жыл бұрын
@@nameno8608 kuhusu tako hata wewe unalo!
@tonygee5680
@tonygee5680 Жыл бұрын
Kabisaa
@agneslozi867
@agneslozi867 Жыл бұрын
Sanaa
@agneslozi867
@agneslozi867 Жыл бұрын
Muoane basi Jamani cvo mlivo pendeza zuu na mondii
@estamilihashimu5072
@estamilihashimu5072 Жыл бұрын
Mungu awafunike na damu yayesu
@nininahazwedonavine3349
@nininahazwedonavine3349 Жыл бұрын
Amen
@user-wi6uk1vz1h
@user-wi6uk1vz1h 3 ай бұрын
Amen
@sarahkeivaly3351
@sarahkeivaly3351 Жыл бұрын
wenye ndoa yao wamesahaulika huko, hapo wanahangaikiwa hao wageni waalikwa wawili tu, mitihani hii ni migumu kwakweli
@estamilihashimu5072
@estamilihashimu5072 Жыл бұрын
Yaani wewe d na z nawapenda sana mnanimalizia data sana
@roudhamahmoud763
@roudhamahmoud763 Жыл бұрын
Daimond soma koment zote ktk hii peji watu wote wanawasifu uwezo unao huna sababu usiowe tena kumuowa zuchu tafadhali owanene muone baraka zitavowashukiya
@pendochimammy5013
@pendochimammy5013 Жыл бұрын
Wooow
@meemmeem8
@meemmeem8 Жыл бұрын
Saiz yake mondi mtt lakini mondi kicheche mno anakera bwana
@sanurazubeir5122
@sanurazubeir5122 Жыл бұрын
Hakuna alo notes zuchu akisema tukimaliza. Tende zetu nyumbani 😂😂😂🎉
@Zaynabuomy-zl3ck
@Zaynabuomy-zl3ck Жыл бұрын
Nmeiskia hyo 😂
@edsonjrtz7676
@edsonjrtz7676 Жыл бұрын
Amini kwa unacho kiona ndio uhalisia usifwate ushabiki
🔴LIVE: DIAMOND AFUNGUKA MAZITO KWENYE NDOA YA DON FUMBWE
38:10
NETAFRICA WEDDING
Рет қаралды 69 М.
Is it Cake or Fake ? 🍰
00:53
A4
Рет қаралды 20 МЛН
Stupid Barry Find Mellstroy in Escape From Prison Challenge
00:29
Garri Creative
Рет қаралды 20 МЛН
A pack of chips with a surprise 🤣😍❤️ #demariki
00:14
Demariki
Рет қаралды 52 МЛН
Sprinting with More and More Money
00:29
MrBeast
Рет қаралды 191 МЛН
GENZs THE COUNTRY IS YOURS‼️MESSAGE UHURU KENYATTA TO GENZs
10:42
Azibest Media tv
Рет қаралды 25 М.
ANGALIA BUSU LA ZUCHU KWA DIAMOND UTAPENDA /FULL MAHABA
8:52
BONGO 24
Рет қаралды 151 М.
Zuchu - Utaniua (Official Music Video)
4:01
Zuchu
Рет қаралды 21 МЛН
1 or 2?🐄
0:12
Kan Andrey
Рет қаралды 13 МЛН
“Айбек бейтаныс қызбен көлікке мініп кетті”
25:04
QosLike / ҚосЛайк / Косылайық
Рет қаралды 235 М.
Technical error 🤣😂 Daily life of a couple #couple #shorts
0:25
9 сынып оқушылары: ЖАЛАҢАШ МАССАЖ/ KOREMIZ
46:23
Көреміз / «KÖREMIZ»
Рет қаралды 420 М.
1❤️ #shorts
0:17
Saito
Рет қаралды 17 МЛН