Naomba mumrudie tena zuchu ziara nyengine kwa kweli dada ana nyota kali mashallah Lov u Zuchu From🇺🇸🇺🇸
@marthahenry54754 жыл бұрын
anaweza mambo
@nurumanyota4164 жыл бұрын
Mambo
@marthahenry54754 жыл бұрын
@@nurumanyota416 safi vip
@aminayusuph26273 жыл бұрын
@@marthahenry5475 aa
@oluwaburundi6983 жыл бұрын
Yaani #Zuchu nimetokeya kumpenda kwasababu ya hiki kipindi kwa jisi alivyo mpole🥰🥰🥰 Love from BURUNDI🇧🇮🇧🇮
@faridaiddi1044 жыл бұрын
Tatizo nyota zuchu nakupenda Sana wangu 😘 nakuombea ukaze usiwe km wakina ray c Zuchu napenda nyimbo ya mauzauza wee lkn wabongo kwa fitna tutasema wamepangwa
@Latiifahjeeyofficialhalyne2 ай бұрын
Naipenda Sanaa hii content...and zuchu is my best singer ever...not only best singer but also my mentor
@ProssyPatra-fk4oq Жыл бұрын
Zuchu nakupenda xana hongera dada poah
@Lydia-ot7lc Жыл бұрын
Huku kenya tunakupenda na mimi namkubali zuchu nampenda sana na nyimbo zake zote Yani mtoto amebarikiwa
@bimaisarankamia41534 жыл бұрын
Zuchu kwenye kuvaa tu.nampenda Hana mambo mengi.pia nikwa kuwa tu ndio ustaa ila anapenda kuishi maisha ya kawaida sn kujichang'anya Kama kote.mashaallh mungu akusimamie ufike unapopataka.
@cutenaa69844 жыл бұрын
W
@barakanicholaus91314 жыл бұрын
mamb
@bimaisarankamia41534 жыл бұрын
@@barakanicholaus9131 p
@valleyfront44624 жыл бұрын
Me pia namkubali mrembo nikiwa apa valley front studios,,,, Love you ZUCHu napenda kazi yako
@AaAa-dd1qu2 жыл бұрын
Eti nimemurambisha ananambia compeza nayenyewe nayipenda sana zushuu l lovu😘😘😘😘🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮
@nickiedwin77692 жыл бұрын
Anachosema uyo kaka nikwel yn akuna pkpk ety ishindwe kupiga nyimbo yake nampenda zuchu 🥰🥰
@iddybabylone4 жыл бұрын
Zuchu anapendwa sana huu ni wakaT wake na tunamuombea asipote abaki up awe mfano wa kuigwa kwa wasichane wenGine Go far zuchu💕
@sulubumrambakakorogo90844 жыл бұрын
✔✔
@abdulyyassin89104 жыл бұрын
Daah zuchu noma
@innomchaga4 жыл бұрын
Akuna kabisa pindi ninalo lipenda❤️❤️❤️ na kulifuatilia kama hili #hivinikweli🔥🔥🔥🔥🔥
@latifamoshi8464 жыл бұрын
Ni lini kwa tv my
@yunyun7994 жыл бұрын
🔥🔥🔥
@innomchaga4 жыл бұрын
@@latifamoshi846 kila jumanne saa tatu kamili usiku,ndani ya wasafi tv
@robbinsonwater42064 жыл бұрын
@@latifamoshi846 jjjjjjk I'm j Kim mmm m
@allanaluma203 жыл бұрын
much love Zuchu.....from Zimbabwe and we are expecting to have you in Zimbabwe one day..
@Pray-z2j4 жыл бұрын
I love you zuchuu endelea kuimba hivyo hivyoo unaweza na pia siku moja pangaea show arusha jamanii tunakupenda 😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍uzidi kuongeza muziki asante sanaa
@aboubakarmasinda84764 жыл бұрын
Tz kunavitu vizuri sana duuh!napenda sana zuchu ongera sana nakufatiliya nikiwa congo Drc
@sakinaabdallah76774 жыл бұрын
Nampenda sana zuchu❤ from Oman🇴🇲🇴🇲
@salmamussa7864 жыл бұрын
Pamoja
@massimilianoraffadali54824 жыл бұрын
Zuchu big talented sana mimi sio shabiki wa msanii yoyote wa kike yule ila Zuchu mimi shabiki yako damu damu
@nashoambokile79354 жыл бұрын
SEMA mwanangu mosanya umeuwa Sana nawakubali Sana wote watangazaji pamoja na wcb nzima wote by mbeya sil
@Atijanfalume-q9n3 ай бұрын
Mimi nakumba sana zuchu na Mimi Niko moçambeque zuchu nakupenda sana mungu hambariki kazi yako ❤❤❤😊
@kizelyrutta7774 жыл бұрын
zuchu anaonekana anapenda Sana mashabiki zake sana
@joymsupagladysijeya83844 жыл бұрын
Sijawai ona watu wana njaa uyu zuchu ni star 🌟🌟🌟🌟🌟🌟
@aksamayuni9114 жыл бұрын
kwan weunaon nini au mwezi
@maratvonline4 жыл бұрын
Mambo za huko kenya
@joymsupagladysijeya83844 жыл бұрын
@@maratvonline poa sana dear
@aksamayuni9114 жыл бұрын
pwa vip za masiku sikunying
@chrismuganwa86344 жыл бұрын
Thank you bro for bring Zuchu!!. Love from Burundi 🇧🇮🇧🇮
@priscajohnson35754 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣😂😂😂😂😂🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣uyo bonge kaniacha owi
@AllqaabaTv2 жыл бұрын
We love you so much from wcb fans Tanzania
@jumaamanandi43294 жыл бұрын
Malkia Wa Bongo Flava 🔥👏Ametisha sana
@AaAa-dd1qu2 жыл бұрын
Mimi murundi 🇧🇮🇧🇮 zushuu nagupenda sana sana yani unaimba vizuri dada naomba nikuone basi sikumoja jamani napenda irenyimbo inasema namupatiya shogasukari naire uriimba kama wazuru ninyingi sana napenda dada kurajeee atahivi nasikiaa uzuni😭😭😭😭😘😘🤩🤩🤩🤩🙏🙏🙏🙏👌👌👌🤝🤝🤝🤝🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮
@mucussete7944 жыл бұрын
Aqui em Moçambique ZUCHU só teu fã number one... te amo.
@medmohjutotz53634 жыл бұрын
Nakubar sanaaa nembo ya mtaa, Classic juto Tz 🤝🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿
@ottomanmwarabu67714 жыл бұрын
Si ndo huyu au..au si huyu,,ndo mwenyewe, huyu si ndo Zuchu huyu au, ndo yeye..bro kanifurahisha sana
@restutaeliezery71184 жыл бұрын
Hahahahha nimeipendaaa hiii
@safiambaroukkhamis4394 жыл бұрын
Mimi narudia mara kama zote nacheka wallah
@kamaratsalimsafari88384 жыл бұрын
Kidogo nilie machozi kwa furaha tu! Watoto kwa wakubwa wanavyo Mpenda #Zuchu ka Ninavo Mpenda mie tu Moyoni Mwangu Big up #Zuchu from Mombasa 🇰🇪
@deborahmwakatoga71924 жыл бұрын
Waooooo
@alfanm.82214 жыл бұрын
Acha urongo bana
@alibell52464 жыл бұрын
Zuuuuchuu ww unatisha saaaana nakupend kwakweli
@nurunurudini30334 жыл бұрын
Mm nimelia kabisa ,,,,,Yule mtt wa shule alivokuwa surprised baada ya kumuona zuchu ❤😍😘😋
@sharonmunyiva98652 жыл бұрын
zuchu aweza adi Kenya twakupeda
@jabalimarwa44044 жыл бұрын
zuch ilike you my dear you sing very well congraturation
@davidalengairagro72953 жыл бұрын
Zuchu vous êtes on fort en chanter.
@mystars29654 жыл бұрын
Hello to ZUCHU, YOU'RE THE BEST. CONGRATULATIONS DEAR YOUNG LADY YOU'REON THE TOP OF THE LOSERS!, would you try even though once, make a Live show in USA so that we can see you too.? We are your funs an we support you thanks.🇺🇲🇺🇲🇺🇲🇺🇲🇺🇲💝
@nirhamzerish91314 жыл бұрын
Mweee mweee zuchu nyota kama yotee Mungu tu akuwekee in sha Allah🥺🥺🥺🥺
@cardinal00164 жыл бұрын
Jamani zuchu anapendwa sana tena sana
@derrickaladwamwore91433 жыл бұрын
Pia nami nipewe namba ya zuchu nina ushauri pia😂😂😂.....I loved that guy he had guts 😂😂
@jinjendricksnanjala2493 жыл бұрын
Love you soo much zuchu. Love from kenya
@djlevito24323 жыл бұрын
Kazi nzuli sana kwa wasafi tv ,,,huku kenya artist kupatikana mtaa ni balaa atleast kuinteract n mafans big up love from 🇰🇪
@selinaselin89284 жыл бұрын
Hakika bi khadija kazaa chema mashallah mwenyezi mungu akuwekee❤❤
@mohanoor1533 жыл бұрын
For giving out that phone , it really teach me so much , she is great women
@burnarobate81842 жыл бұрын
Zuchu Allah abençoe com teu trabalho forças ajuda tua família...foi Allah escolher esse teu trabalho faça bom trabalho Thank you
This girl is really rocking, all digital platforms are talking about her. I hope she'll keep the 🔥🔥🔥 burning
@nancyulomi10104 жыл бұрын
Exactly
@zabronadamsony8704 жыл бұрын
dhaaaa fulaha tunayopata kwenye hiki kipindi dahaaa fulaha yanguu sio kifanooooo
@sakinaabdallah76774 жыл бұрын
Nampenda sana zuchu from Oman🇴🇲🇴🇲
@guccimauzo36314 жыл бұрын
Much Love from Nairobi (Kenya)
@romeobaziyaka56884 жыл бұрын
I love u zuchu LAkini wananiambiyaya nafanana na wewe Abby from Kampala
@berthabaika34082 жыл бұрын
I love zuchu I wish ningekuonapo thatha🥰🥰
@hydratz97504 жыл бұрын
Jaman km ume enjoy Show km mimi gonga like,ila mwshon big dady #vaileth 😂😂😂😂😂😂
@elizabethkangula5154 жыл бұрын
Jamani mtukubuke na sisi mikoani jamani wsf sumbawanga muje
@joycefrank38634 жыл бұрын
@@elizabethkangula515 mwaaa
@janettesha7313 жыл бұрын
Had machozi yamenitoka alivyofurah huyo mtoto
@janethedwin80682 жыл бұрын
Zuchu wa simba
@kunojengo4 жыл бұрын
Dah! Huyo big kwny gonga beat kavunja xn mbavu aisee.
@personcriticalthinking71623 жыл бұрын
Zuchu n safi hata moyo. Nakupenda sana
@rajuabdou82934 жыл бұрын
All thé way from Lyon, France 🇫🇷 love this nyembo yamtaa much love for wcb safi
@5facts604 жыл бұрын
It's nembo you tried well broo
@rajuabdou82934 жыл бұрын
@@5facts60 thankx bro ✌🏿
@elialova45933 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣nembo ya mtaa
@FatumamusakonadiMusakonadi9 ай бұрын
Nakupenda sana zuchu hinge wezekan hata na mm nikukumba tiye yani llovo you somach ❤❤❤
@AAa-xv2mw4 жыл бұрын
Hata namimi pia napenda zuchuuu kweli aswa ile ngoma nisame
@lucyhussein71263 жыл бұрын
Walio vaa mafon. Kabilagan heeee?? Wanaimbaje!!?
@erikarome72903 жыл бұрын
Safi
@juliusphabian63364 жыл бұрын
Daaah! hata sisi mashabiki zako umetufanyia suprise hatukutegemea kabisa....komaa sana SANYA
@mfaumemuki8654 жыл бұрын
Ivi hii sanya ni jina lake au ni kule home kwetu
@maujanjatv24h414 жыл бұрын
Baraka Mtoi anaitwa mo town sanya
@sallynemsi65604 жыл бұрын
N wewe ulikuwa unaingia youtube kila saa kuangalia kama hii show imeshapostiwa kama kweli like
@issakhamisnassir62934 жыл бұрын
Yaan ww ni km mm
@florencekaranja87364 жыл бұрын
kumbe sikua peke yangu
@sallynemsi65604 жыл бұрын
@@issakhamisnassir6293 maana haijawahi kuboa hii show wala sijawahi kujutia kutumia MB zangu
@halimarashidmbwego91904 жыл бұрын
Nimechungulia sana na sikuona nikalalazangu...ila morning nikaiamkia vema tu
@khadijaomari93444 жыл бұрын
weacha tu
@adamhasani64684 жыл бұрын
Me demu mwenzie cio mwanaume jmn nampenda sana zuchunyo nampenda from my heart
@PaskaliBayyo-ge7ht8 ай бұрын
Mwenyezi mungu akutangulie katiki mzik wako. Afany mangumu kuwa mepes 💓💕💕💕💕💕❣️
@lucasjoseph14074 жыл бұрын
Show ni kali na ubunifu ni mkubwa sana but ni vizuri mkawa mnabadilisha location kwa7bu usafiri mnao yaani ni km vile mlivyofanya na chid benz {Lucas MJ5 kutoka Italy}
@winfredkisigo94024 жыл бұрын
bro upo Italy kwel lakn 😂
@eddyshembilu98864 жыл бұрын
@@winfredkisigo9402 yuko Italiiiiiia
@winfredkisigo94024 жыл бұрын
@@eddyshembilu9886 aha kumbe.. bc nakubal mwamb
@lucasjoseph14074 жыл бұрын
Ndio nipo Italy , kwani vp kuna tatizo ?
@alvinsmith98084 жыл бұрын
Nembo ya mtaa ww noma nakubali sana Naombeni like zako hapa💪🏻💪🏻
@rsmile62ps4 жыл бұрын
God them 😃😃😃😃😃😃😃😃😃😃😃😃😃 the guy singing that song,really finished me the last show was 👏🏻👏🏻👏🏻👏🏻😃😃😃😃😃
@sadomagg5770 Жыл бұрын
Mimi niko kongo/drc. Nakubali na napenda nyimbo zake, unazidi wengi:lady ladee, Queen wa Diamond, nandi... Jina langu ni Mufariji -Kitolano
@OSCARKONGA-p1p17 күн бұрын
A mimi nimemkubali Sana zuchu a mimi bwana niitenitu ibrah fofana ❤❤❤
@mahmoudaziz47174 жыл бұрын
Zuchu anajua sana.big up sanya🤙🤙🤙✌️✌️✌️🇹🇿🇹🇿.
@romakoko22924 жыл бұрын
Sanya leta kipindi Kenya #zuchu to the world
@warrensantana15704 жыл бұрын
Inafaa pia wailete hii pande za Kenya uswailihini Kama Mombasa,,pia supporters wa Bongo Fleva wengi mno Mimi miongoni mwao💪💪💪
@johnmwadime45904 жыл бұрын
True. Brow
@swalahuomar96542 жыл бұрын
Umeshuta point bro
@kautharsuleiman98124 жыл бұрын
Ooo my god.. My favor girl.. I love her Anatuwakilisha wanaake jaman .. nampenda sanaaa Wish ningekuwa japo nacht nae on whsp😭😭😭😭😢😢😢.. I feel so blessed
@beatriceochanda85162 жыл бұрын
Zuchu kiukweli twakupenda.....nyimbo zako kali karibu Mombasa
@azizakenny71544 жыл бұрын
Tuletee mbosso ao Rayvanny jamanii😍😍😍nina imani iy siku tutaona maajab km ay zuchu😃😃😃☺☺
@irinemmasy83872 жыл бұрын
Tena na zaidi
@aminahhuawei11333 жыл бұрын
Nakupenda sana zuchu mungu akubariki sana 🙏🙏❤️❤️❤️🇹🇿
@amiintotoboss98154 жыл бұрын
Nakupenda toka moyoni ❤frm NAIROBI KENYA @totoBOSS🦁 SIMBA ,zuchu na KUNDI NZIMA 1❤
@BiubwaAmour3 ай бұрын
Jamani zuchu nakupenda sana sana mungu akuwongoze ❤❤❤❤
@abdillahyabdilkadir46703 жыл бұрын
Montown sanya msalimie zuchu
@goefryshayoo31224 жыл бұрын
Zuchuuuuuuuu kama zuchu unapendwa sana mdogo wangu heshima busara na kazi poa tutakusapot
@shantalismailhassan98784 жыл бұрын
"Samahani nimekushika mkono bila ridhaa yako" umetisha kijana unaheshima kwa kweli hongera kwa mama na Baba yako.
@yunyun7994 жыл бұрын
Gonga beat ni kixangaaa 🔥🔥😂😂wakitoka hapo wakijiangalia kwenye tv cjui wana jixikiaje maana c kwa kuno ng'ona huko 😂big katixhaaa 🔥
@valentinesyekeye68464 жыл бұрын
😃😃😃😃😃🥳🥳
@dullydullahsenior7564 жыл бұрын
Hahahahahahahahahaha umeona eeeeeh 😂😂😂😂😂😂
@mwanasanaa754 жыл бұрын
Masha Allah mungu akujalie kila la heri mumy umefanya waxanzibar wajivunie kuwa na msanii kutoka Zanzibar
@danielmkama244 жыл бұрын
Hii ndio show ya kwanza naangalia mala mbili 🔥🔥🔥
@leonardkambona36082 жыл бұрын
Unyama kak
@heriholder29374 жыл бұрын
Zuchu tena ndani dah Aiseeh!! Sanya unatisha kama njaa.
@ntirampebaodila52374 жыл бұрын
Jaman zuchu anapendwa 🥰
@mosesmazigo38154 жыл бұрын
Mo town kaz nzurii sana
@OmarAli-zp6yu4 жыл бұрын
Katika maisha unaweza kuchagua chaguo lako la maisha yako kwaiy unaweza kumkubali yoyyt yule
@ybonline84974 жыл бұрын
Ukweli hyo ngoma nisameh naipenda Sana Tena Zaid ya sana skujua kumbe weng Sana Hadi watoto wanaipenda kupitiliza
@onesterabayo90674 жыл бұрын
This program is the best. Keep it up guys..you made my day
@johnjean26524 жыл бұрын
Mlete @nandy nae wizala nyingine .hiki kipindi nicha moto 🔥🔥🔥🔥niko America nawapata vizuli 💪💪💪💪
@jacklinemkandala32014 жыл бұрын
Jaman zuchu kama Michael Jackson sasa we love you
@frankphiri1113 жыл бұрын
You guys are doing great job And I wish I was in Tanzania I'd love to meet her. She really is my favorite
@abdallahomary95814 жыл бұрын
Namkubali sana uyo dogo zuchu ninge pata bahati ya mm kukutana naye ninge furah sana
@suleshm46274 жыл бұрын
Zuchu katuharibia show 😂😂😂😂😂😂😂. She's international huu uwanja mdogo kwake 🔥🔥🔥🔥🔥🔥
@sontv17514 жыл бұрын
amna kitu hapo🚮🚮
@beautyibrahim84284 жыл бұрын
@@sontv1751 😂😂😂😂matumiz mabovu ya roho mbaya
@robinapatrick84794 жыл бұрын
@@beautyibrahim8428 😅kwakwel yan hayo ni matumizi mabaya ya roho😅
@beautyibrahim84284 жыл бұрын
@@robinapatrick8479 umeonaaa
@خسنموس4 жыл бұрын
Who is the best? Zuchu _ like Nandy_ reply
@salamagat47844 жыл бұрын
Both of them
@heriholder29374 жыл бұрын
🤣🤣🤣
@iporasta14294 жыл бұрын
Nandy
@adijaniyonkuru97314 жыл бұрын
Zuchu 🔥🔥🔥
@ushersnoopkid21224 жыл бұрын
No one anymore
@sophiajoseph26304 жыл бұрын
Mo town Sanya wewe Ni mtu mbad Sanaa,,,Yani Ivo unavocheza wewe mtu anajua anaimba vizuri kumbe Wala gonga beat😂😂😂💪💪💪🤭
@abuumaryam16284 жыл бұрын
Ni mwaisa kabisaaaaaa MTU MBADI 😅😅
@fatmazullu49334 жыл бұрын
Yaani mbavuuuu zangu jamaniii
@khadijabiushy24094 жыл бұрын
Njooni na kenya bs mombasa Nampenda Sana zuchu na wasanii wengine pia
@lilianbinji54594 жыл бұрын
Nakupenda Bure zuchu from Kenya
@ramadhanminani3144 жыл бұрын
anaye tizama show uku akisoma comment agonge like tuendeleye ku enjoy
@janembawala60094 жыл бұрын
kzbin.info/www/bejne/eZCWdIybYrmgjNU
@tedylaswai85634 жыл бұрын
Wcb
@wahiduitsverycommentmane54214 жыл бұрын
Ok
@wahiduitsverycommentmane54214 жыл бұрын
Dr by
@lucyhussein71263 жыл бұрын
Yaan. Huyu kachoook namaisha yake unazid kunchaaangaya ha ha ha ha
@fredyjoseph83704 жыл бұрын
Wasafi media for every body ! Napenda sana gonga beat
@sarahkyando1894 жыл бұрын
Watu tungekua naham ya kumwona Mungu kuliko wasanii ingependeza sana
@davidcurtis85564 жыл бұрын
Kuna nabii au mteme au anaeswali sanaaaaa alishawahi kumuona Mungu? Na kama ndio nipe ushahidi unaotoka kwenye Msaafu au Biblia, nikuweke sawa ni bora ungesema hivi ~ watu tungekuwa na hamu ya kuiona pepo kuliko wasanii na anasa
@mansa_islam98984 жыл бұрын
Ilo nalo neno
@injilichoiraicnjiru34074 жыл бұрын
Safi
@adamnasib79284 жыл бұрын
Kumuona mungu ni ndoto
@abdallahturoley43244 жыл бұрын
Exactry
@emmanueliclever64874 жыл бұрын
Jamn ata mim nampenda nataman aje mbeya mniuliz mim penda Sana kipenzi chake Khadija kop😍😍🤗🤗
@huthub87973 жыл бұрын
Yani huyu Zuchu vile amefanya mtoto wangu wa mwaka mmoja na nusu akiskia nyimbo ya Sukari mtoto huruka kuruka na kulamba mikono na kuimba sukari #Zuchu Sukari yako nitamu #lovefromDaughterAsmah Mombasa twakusalute
@mwanamisiramadhan47734 жыл бұрын
Mimi napenda litawachoma sana hususani mstari ya mwanzo yani imenikaa sanaa❤❤❤😘😘
@محمدبنسعيدمشاوي4 жыл бұрын
Litawachoka???
@mwanamisiramadhan47734 жыл бұрын
@@محمدبنسعيدمشاوي 😂😂😂😂😂😂😂😂😂hivyo hivyo but thx
@2PAClife14 жыл бұрын
zuchu is the best singing
@erickepimack94174 жыл бұрын
Daaa ninampenda saaana Zuchu Mungu ampe Maisha marefu saaana na yenye Baraka
@jamalisaid4314 жыл бұрын
Respect kwako zuchu, mwenzio alikataa mkono wa mwanafunz tangu apo simfagilii kabisa
@ahmedmalick28623 жыл бұрын
Ebwana asilimia 90 wahoji wahuni nainyoy sana majibu yao👍👍👍