Zuchu - Nisamehe (Official Music Video) Sms SKIZA 8549161 to 811

  Рет қаралды 20,547,915

Zuchu

Zuchu

4 жыл бұрын

Get #IamZuchu EP Now 👇🏼
zuchu.lnk.to/iamzuchu
SKIZA - Sms 8549161 to 811
TIGO TZ - Sms RB kwenda 15050
Song Written By Zuchu & Produced By Lizer Classic
Video Shot & Directed By Director Kenny From Zoom Extra
Contacts: +255718546547 | directorkeny1@gmail.com
Book Zuchu Now:
Contacts -- bookzuchu@gmail.com
Connect With Zuchu On:
Instagram: / officialzuchu
Facebook: / officialzuchu
Twitter: / officialzuchu
#Zuchu #Nisamehe #Wasafi
Copyright ©2020 WCB Wasafi. All rights reserved.

Пікірлер: 7 700
@user-gt1so2ew9y
@user-gt1so2ew9y 2 ай бұрын
Nahii wimbo nikali bado nani yuko hapa 2024❤🎉❤🎉
@user-td3um1bz4v
@user-td3um1bz4v Ай бұрын
Mimi hapa
@user-no3hu6vt1r
@user-no3hu6vt1r 25 күн бұрын
❤️❤️❤️❤️🔥🔥🔥
@user-wi6uk1vz1h
@user-wi6uk1vz1h 23 күн бұрын
❤❤❤❤❤🎉
@True20137
@True20137 15 күн бұрын
Me too 🎉🎉🎉
@MaulineAmecha-eq9ku
@MaulineAmecha-eq9ku 13 күн бұрын
Mimi😂
@franklinakiba7880
@franklinakiba7880 4 жыл бұрын
Kenya twakupenda Zuchu..mmmhwaah💕 nipate likes za bongo
@austejasan7518
@austejasan7518 8 ай бұрын
I'm an Indian..I heard this song from my coworker. I couldn't understand any single word but I liked this song...music has no language ❤❤
@emmanuelmasoko1013
@emmanuelmasoko1013 5 ай бұрын
that's is Swahili language, she is singing about her boyfriend whom he betrayed her and and go to marry another girl.
@Dasombaby
@Dasombaby 2 ай бұрын
Actually zuchu was the one who treated the guy wrongly so the guy decided to move on to someone better and now she is regretting but it is too late​@emmanuelmasoko1013
@Lumbapa
@Lumbapa 14 күн бұрын
Huyu ndiye msanii nimpendae kwa sasa kwa upande wa wanawake
@Galgallo_
@Galgallo_ 4 жыл бұрын
Kutoka Kenya 🇰🇪 Leo Nimefika mapema. Wapi likes zangu jameni
@hasmasalum7901
@hasmasalum7901 4 жыл бұрын
Mashaaah Allah
@adelavictor9844
@adelavictor9844 4 жыл бұрын
Safi
@julietwaswa2190
@julietwaswa2190 4 жыл бұрын
Tuko wengi kutoka🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@wadadumushi7748
@wadadumushi7748 4 жыл бұрын
Bango kubwa mji umetulia.... Na Kunafanya issue gani
@winniestephan9816
@winniestephan9816 4 жыл бұрын
FRONTIER TV nice
@vicentgazirebby6249
@vicentgazirebby6249 4 жыл бұрын
Mbona watu wote mnaomba like zinanini ndani yake kilamtu like like jmni mnashidwa ku commt....ngoma kali video kali maneno kayapatia vizuri mnaweka kelele za like like ebu tuwe na utulivu basi🙌🙌🙌aya ssa nipeni like zangu nione nitapata shingi ngapi😂😂😂😂😂zuchu mom umeweza nilipo ongea na burna boy sijuwi itakuaje na msani wake😂😂
@mtawalaanimation5354
@mtawalaanimation5354 4 жыл бұрын
Na we umeongea point ili upate like 😅😅😅😅😅😅 like for life
@annajmwalukali6924
@annajmwalukali6924 4 жыл бұрын
Zuchu mam unaniuwa mm iyo ndio tabia yangu ngoja nibadilik ncje nikalia mm kama zuchu
@chichinongara8669
@chichinongara8669 4 жыл бұрын
Ahaha nawewe unataka like
@siriyamafanikiotv2894
@siriyamafanikiotv2894 4 жыл бұрын
Duuuuh m mwenyew nashangaaa hawa vipi like like☺️☺️☺️☺️ sijui zinafaida gani acheni bana ngonga like kama unaungana na mm kuwadis wapenda like
@FIDELBALUMEJOSEPH
@FIDELBALUMEJOSEPH 9 күн бұрын
munaotazama huu wimbo 2024 nipeni like nyingi tujuwane
@karenngala350
@karenngala350 Жыл бұрын
The pain of seeing your ex moving on 🥺 when you still love him /her😭I feel this song💔
@MaulineAmecha-eq9ku
@MaulineAmecha-eq9ku 13 күн бұрын
Uzuri aliachwa tena😂
@snagaboytv3847
@snagaboytv3847 4 жыл бұрын
WEUWEEEEEEE 🚴🚴NGOMA YANGU PENDWA IMETOKA. Gonga likes kama unaikubali Kama Mimi🌈🌈🌈🌈🌈🌈
@ktravel3527
@ktravel3527 4 жыл бұрын
Unajua maana ya hiyo rangi ulioweka? Au wewe ni shoga?
@benedictwilfred4727
@benedictwilfred4727 4 жыл бұрын
SnagaBoy @Richwhozuu apa tutakutana instergram mzeee😂😂💣⛽
@snagaboytv3847
@snagaboytv3847 4 жыл бұрын
@@benedictwilfred4727 awoooooteeeeeee 🔥💪 💪
@budakassim2191
@budakassim2191 4 жыл бұрын
Sinaga tabia za kukoment, na wala sijawahi coment huku youtube ila hii nyimbo na video yake nafisi imenisukuma kukoment 🔥🔥
@iammusic3404
@iammusic3404 4 жыл бұрын
Hkn namna😂😂😂😂🔥😔
@philipmchina6919
@philipmchina6919 4 жыл бұрын
We'll said bonge la ngoma
@leylahassan8791
@leylahassan8791 4 жыл бұрын
Kweli
@dj4realbboydj4realbboy9
@dj4realbboydj4realbboy9 4 жыл бұрын
hahah
@chichinongara8669
@chichinongara8669 4 жыл бұрын
Karibu chamalao
@zabibuluvuno9891
@zabibuluvuno9891 3 жыл бұрын
Napenda huuwimbo hongera, mashabiki mupowapi tu bonyeze huu wimbo2021Congo DRC... Kamana wewe vile waipenda like like.....
@arnoldngei5719
@arnoldngei5719 5 ай бұрын
I feel ashamed to have heard this song today 3 years after it was released. I'm gonna hear it 100 times today to compensate for those lost years,,,it's so 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@kirupyseleman582
@kirupyseleman582 4 жыл бұрын
Ibrah umeuliwa na dada etu huku🤣🏃‍♂️🏃‍♂️✌
@bejamusic6367
@bejamusic6367 4 жыл бұрын
UNATAFUTA KESI
@anthonykamkolwe5766
@anthonykamkolwe5766 4 жыл бұрын
Ngoja tusubiri.....
@leonardmillanzi4480
@leonardmillanzi4480 4 жыл бұрын
Acha kufananisha Ibraah na vitu vya kijinga
@hamiskengwa5869
@hamiskengwa5869 4 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣(+_+)🔥🔥
@Matayohamis0784
@Matayohamis0784 4 жыл бұрын
@@leonardmillanzi4480 we unaumwa Sasa uyo nae ibraah ni nan,
@mixerdreamscreater6618
@mixerdreamscreater6618 4 жыл бұрын
Sijawahi comment kwa ngoma yoyote ile,, ila hii nyimbo nimeielewa, huyu mdada ni tishio aisee, kweli unaweza aisee,, aliyekupika amekupika umepikika
@mpuwanyahamza9762
@mpuwanyahamza9762 4 жыл бұрын
WCB4LIFE ndio chuo
@benjaminwerema8758
@benjaminwerema8758 4 жыл бұрын
Yani huu ndio wimbo wakwanza kuusikiliza huku mwili unasisimka
@ibrabofubofu8763
@ibrabofubofu8763 4 жыл бұрын
Mpuwanya Hamza 👏👏
@uwimanauwimana7303
@uwimanauwimana7303 4 жыл бұрын
naam mtt ni mzima kabisa 🙏🏾
@chichinongara8669
@chichinongara8669 4 жыл бұрын
Aya karibu wazee wa kucoment na kulike tupo
@mjombashali1051
@mjombashali1051 3 жыл бұрын
Zuchu east African Queen! Wenye Valentine imetupata hapa pita na like 🇰🇪
@betyfavoured6808
@betyfavoured6808 3 жыл бұрын
😭😭
@piuskiamba8490
@piuskiamba8490 Жыл бұрын
Ushairi umeenda shule... Gonga kidude Cha like iwapo wapenda uandishi mzuri ulio katika wimbo huu...
@edsonhilary7492
@edsonhilary7492 4 жыл бұрын
Nisameheni nime chelewa jamani Nipeni like zenu 😭😭😭😭😭
@emmanuelwilley728
@emmanuelwilley728 4 жыл бұрын
Y
@morineakinyi1116
@morineakinyi1116 4 жыл бұрын
Y
@charleskija9867
@charleskija9867 4 жыл бұрын
Y
@duamishako4682
@duamishako4682 4 жыл бұрын
Balaa LA zuchu pekee linaizid konde gang na viongoz wao.....zuchu ni motooo, gonga like kwa zuchu akee
@marywangui6037
@marywangui6037 4 жыл бұрын
😂😂😂 lol
@udithabibu3968
@udithabibu3968 4 жыл бұрын
Yaani huwezi kusabikia zuchu kama hujataja kondegang
@yakwetutv8525
@yakwetutv8525 4 жыл бұрын
Sasa huu ni ugomvi
@kassimrajabu7805
@kassimrajabu7805 4 жыл бұрын
Hahahahahahha
@jacksonmtaswa2885
@jacksonmtaswa2885 4 жыл бұрын
haya matumizi mabaya ya pesa na akili hii ni asara
@OsmanK699
@OsmanK699 8 ай бұрын
It's two years and it still hits me like the first time. Zuchu is just phenomenal. No wonder women hardly apologize. If they did, it would offset the cosmos. 😅😅😅
@Aishabdull2024
@Aishabdull2024 7 ай бұрын
I love this too✨️Buh women are amazing😁😫💛
@furahaafrika7964
@furahaafrika7964 7 ай бұрын
Me too 😫😫 this is my favorite song from Zuchu akii 🫶🏾🫶🏾
@yohanashiganga9756
@yohanashiganga9756 2 жыл бұрын
Daaah huu wimbo unaniliwaza Atari yaan Kama unaendelea kuusikiliza gonga like za kutoshaaa apoo💪💪💪
@aadam722
@aadam722 4 жыл бұрын
Zuchu amezua nyimbo ya kumtoa chozi mwanaume. wapi likes zake.
@florencedaisy8609
@florencedaisy8609 4 жыл бұрын
Namkubali zuchu 💯 lionness
@iammusic3404
@iammusic3404 4 жыл бұрын
Yeah😔😭😍
@edsonhilary7492
@edsonhilary7492 4 жыл бұрын
Tuzidii kuangaliya
@elishamwitula1565
@elishamwitula1565 4 жыл бұрын
Nimemkubare huyu mwanamkee
@radhiadaffa6251
@radhiadaffa6251 4 жыл бұрын
Me namkubali sanaa Zuchu... kama wewe pia unamkubali gonga like
@miftahbinarytradingacademy
@miftahbinarytradingacademy Жыл бұрын
The girl's voice absolutely Amazing!!! I didn't understand a single word but i admired her voice. From Somalia🇸🇴🇸🇴
@iddykisome3126
@iddykisome3126 Жыл бұрын
Nisamehe means forgive me
@nuruabdulrahman111
@nuruabdulrahman111 3 жыл бұрын
Can't get tired listening to zuchu songs Kama uko pamoja na mm ngonga like
@dncmovado9958
@dncmovado9958 4 жыл бұрын
Embu kwanza naomba like nyingi sana maana hii ngoma inanihusu kabisa yani
@chichinongara8669
@chichinongara8669 4 жыл бұрын
Eti kwani hizi like huwa mnazipeleka wapi??
@dncmovado9958
@dncmovado9958 4 жыл бұрын
Nazipeleka ikulu raisi magufuli anashida nazo
@alexmutua3297
@alexmutua3297 4 жыл бұрын
I felt it for zuchu😭🤒who else felt it for zuchu
@eliamwakimage5389
@eliamwakimage5389 11 ай бұрын
Moja kati ya nyimbo nzuri za Bongo za muda wote.
@elijahimbukwa8018
@elijahimbukwa8018 3 жыл бұрын
likes za wakenya zikuje hapa tuonyeshe wa tz kwamba twawapenda na tunapenda miziki yao pia
@gracesistykyara8918
@gracesistykyara8918 4 жыл бұрын
Msinicheke katika videoa Za sister Zuchu niliopenda ni hii jamani? Na kweli ni wajehuri sana no msamaha hii song imeniingia mno😊
@peterreuben1788
@peterreuben1788 4 жыл бұрын
Umeona we,, akizingua oa mwingne t
@alihaji7201
@alihaji7201 4 жыл бұрын
Real
@alihaji7201
@alihaji7201 4 жыл бұрын
@@globalsport360 tiki taka mateke ama
@alihaji7201
@alihaji7201 4 жыл бұрын
@@globalsport360 Sina helaa ya kusakribe ya futar inashida
@alihaji7201
@alihaji7201 4 жыл бұрын
@@globalsport360 wapi chato
@cynnier9815
@cynnier9815 4 жыл бұрын
Yaan WCB yetu, director wetu, msanii wetu Yaan soon na nchi itakua chini ya WCB 😂😂 WCB4LIFE like zenu jaman.....
@iammusic3404
@iammusic3404 4 жыл бұрын
Lol😂😂😂🔥👍
@hellyally4395
@hellyally4395 4 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣
@wesleybetson3878
@wesleybetson3878 4 жыл бұрын
Producer wetu
@ramadhanahmed1141
@ramadhanahmed1141 4 жыл бұрын
Studio yetu,producer wetu,camera yetu😁😁😁😁
@bunny_dailylife
@bunny_dailylife 4 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣I diee
@ramiamisanya1561
@ramiamisanya1561 3 жыл бұрын
Eeetii.leo tarehe 24/11/2020 ,nimerudia kuangalia,,,,kuna mwingune zaid yangu?????
@shariffaabdalla2170
@shariffaabdalla2170 3 жыл бұрын
Nani anaangalia hadi leoo mwaka mpyaa1/1/ 2021🥰🥰🥰
@scoviariziki4105
@scoviariziki4105 3 жыл бұрын
@Salima Adolphina me
@zarinazenazarinazena2168
@zarinazenazarinazena2168 3 жыл бұрын
Mim pia
@LUJIGA_PODCAST
@LUJIGA_PODCAST 4 жыл бұрын
Bonge la wimbo Dah mpaka nimelia Jamani usiombe yakukute
@edsonhilary7492
@edsonhilary7492 4 жыл бұрын
Endeleya kutazama
@immanuelchacha2537
@immanuelchacha2537 4 жыл бұрын
Wa KWANZA NAOMBA LIKE ZA #ZUCHU😜✌ #W.C.B for life
@Petermulili
@Petermulili 4 жыл бұрын
Ww si wakwanza 254 tuko mbele
@Johnnyboitech2023
@Johnnyboitech2023 4 жыл бұрын
My favorite
@edsonhilary7492
@edsonhilary7492 4 жыл бұрын
Endeleya kutazama
@edsonhilary7492
@edsonhilary7492 4 жыл бұрын
Endeleya kutazama
@jackkamonyo4264
@jackkamonyo4264 3 жыл бұрын
Sauti ya Zuchu yafaa kuuzwa kama dawa ya stress za maisha.. Yatuliza😅😅
@Swahili14
@Swahili14 3 жыл бұрын
Absolutely 👌😘🇹🇿 but it's POWERFUL too it changes a lot how versatile 🙌
@nelsonprosper5847
@nelsonprosper5847 3 жыл бұрын
Mudame anaimba kwa hisia hongera Sana
@yohanashiganga9756
@yohanashiganga9756 2 жыл бұрын
Tuendelee kussaport mziki wa zuchu jmn hii ngoma Hadi ifikishe vws ml 20 kwa umoja tunaweza 💪💪💪
@manofgodbabazero9237
@manofgodbabazero9237 4 жыл бұрын
wangap warudia Mara2, tujuane plz.... 💪
@rosemarynorbert9016
@rosemarynorbert9016 4 жыл бұрын
Mi ya4 hii nairudia
@manofgodbabazero9237
@manofgodbabazero9237 4 жыл бұрын
Rosemary Norbert ......hahha....... pamoja Sana Mkal... endelea kuangalia
@hancyplatinumz52
@hancyplatinumz52 4 жыл бұрын
Wakwanza Leo like kama zote🇹🇿🇹🇿🇹🇿
@aloniandasoni7223
@aloniandasoni7223 4 жыл бұрын
Hatar
@kahasharapha4296
@kahasharapha4296 Жыл бұрын
Nyimbo iyi nime hamuwa kuitizama tena mana ni kama faraja kwangu ma some time🇨🇩🇨🇩🇨🇩
@hafsahamadi1631
@hafsahamadi1631 26 күн бұрын
Zuchu wa enzi hizi alikua mtamu ila wa sasahivi diamond anamuharibu
@rashidtuwere5003
@rashidtuwere5003 4 жыл бұрын
Kama umepaona TAZARA STATION gonga like twende pamoja!!!!
@husseinmashaka7997
@husseinmashaka7997 4 жыл бұрын
Hahahhaa
@michaelmagira4417
@michaelmagira4417 4 жыл бұрын
oooh zuchu nakubali video bora ya mwaka mond#keny#wasafi# chama lao
@neychannel5645
@neychannel5645 4 жыл бұрын
Ayee ndomana tren haziendi wamekodi tazara 😂😂😂
@rosemarynorbert9016
@rosemarynorbert9016 4 жыл бұрын
Ubunifu wa hal ya juu wallah🙌😂😂😂
@nganemajunior7535
@nganemajunior7535 4 жыл бұрын
Akina Godfather,MoeMussa na director Q.kwa sasa Mutatusamehe kidogo.WaTz tumeamua Kubaki Na Akina director Kenny,Hanscana Na khalfan Couse Tumechoka Kutupa Nauli Trip south Trip Nigeria inaboa...Nice videos Zuchu Akeee🇹🇿
@hamzamoshi8275
@hamzamoshi8275 4 жыл бұрын
Ooooh yeeeaaah✊🏻
@mussanassoro790
@mussanassoro790 4 жыл бұрын
Nice comment bro
@mrfirstborn2839
@mrfirstborn2839 4 жыл бұрын
Bado tutawatumia tu kina moe musa
@mrfirstborn2839
@mrfirstborn2839 4 жыл бұрын
Moe musa na q wanafanya uingereza ingawa ni wanigeria
@seraphinefabian4176
@seraphinefabian4176 3 жыл бұрын
Kweli sasa hivi tunafetua madude makali sana
@annemuchoki3374
@annemuchoki3374 2 жыл бұрын
I just discovered this song and am literally in love! My fellow Kenyans, who else had to look up the lyrics 😅
@peterjuniour4695
@peterjuniour4695 2 жыл бұрын
Àà
@kawandiazakayo729
@kawandiazakayo729 Жыл бұрын
Kabisa
@zuhra480
@zuhra480 Жыл бұрын
Lyrics na kamusi mkononi🤣
@samuelndungu8117
@samuelndungu8117 Жыл бұрын
Hii ngoma ni 🔥
@liliangladysoduor4091
@liliangladysoduor4091 Жыл бұрын
Sijui kiswahili tena🙌
@sheemugo5597
@sheemugo5597 Жыл бұрын
Nisamehe lakini yeye ataki kunisamehe na tena amepata mwingne 😭😭😭
@gerdmosler3180
@gerdmosler3180 4 жыл бұрын
Wangapi mnarudia km mm , nko raundi ya 10 sasa hivii
@beatricesichalwe4991
@beatricesichalwe4991 4 жыл бұрын
Best song ever
@richarddominick3172
@richarddominick3172 4 жыл бұрын
Umenizidi mi ya 7
@amina18saidi8
@amina18saidi8 4 жыл бұрын
Ni 🔥🔥🔥
@reubensackson1685
@reubensackson1685 4 жыл бұрын
6
@hellyally4395
@hellyally4395 4 жыл бұрын
8
@chichinongara8669
@chichinongara8669 4 жыл бұрын
Wale team wcb ambao hua tunaangaliaga nyimbo za wcb tu yutube atuangalii nyimbo za team jirani gonga like tujuane
@iammusic3404
@iammusic3404 4 жыл бұрын
Bora tuangalie X.... Kuliko nymbo za korosho
@chichinongara8669
@chichinongara8669 4 жыл бұрын
Big up sana
@jamalahmed797
@jamalahmed797 4 жыл бұрын
Hahaha bro mm moja wao siangalii nyimbo zengne zaidi ya wasanii wa wcb
@chichinongara8669
@chichinongara8669 4 жыл бұрын
@@jamalahmed797 team wcb for real
@jacksonwanga4788
@jacksonwanga4788 4 жыл бұрын
Nilijua pekeangy
@kingkevin442
@kingkevin442 Жыл бұрын
Black Africans are very Talented people from East,To South, To Central To West Africa!!.. 😲 WOW! AFRICA TO THE WORLD.
@brownbbydoll1777
@brownbbydoll1777 Жыл бұрын
💜💜💜
@user-xo1dv4kb6o
@user-xo1dv4kb6o 9 ай бұрын
You should know that East Africans are not pure Africans. They are a mix of so many but the base is mainly African Nilotic.
@aminata3702
@aminata3702 8 ай бұрын
@@user-xo1dv4kb6o Stop we are all Africans
@qerysir4410
@qerysir4410 2 жыл бұрын
Dame wangu aitwaye Salma ndiye aliye-dedicate huu wimbo niusikilize baada ya yeye kusepa na boya fulani. Ni wiki mbili alinitumia jumbe kuniomba msamaha, leo ndio nimeusikiliza huu wimbo! Nawauliza, nimsamehe?!!
@edsonhilary7492
@edsonhilary7492 4 жыл бұрын
Trending # 1 Kama ume pitiya kwenye mapenzi Una elewa maumivuu ya mapenzi Gonga like apa 😭😭😭tujuwane 😭😭😭
@taufiqkimpa1652
@taufiqkimpa1652 4 жыл бұрын
Yesss good
@chugagirl4094
@chugagirl4094 4 жыл бұрын
Daaah 😭 😭 😭 😭
@edsonhilary7492
@edsonhilary7492 4 жыл бұрын
@@taufiqkimpa1652 😭😭😭
@edsonhilary7492
@edsonhilary7492 4 жыл бұрын
@@chugagirl4094 You
@edsonhilary7492
@edsonhilary7492 4 жыл бұрын
😭😭
@iluminathawilliam6549
@iluminathawilliam6549 4 жыл бұрын
Jaman tunaurudia huu wimbo Mara nyingi tujuane kwa like zuchu fundi et
@edsonhilary7492
@edsonhilary7492 4 жыл бұрын
Tuzidii kuangaliya
@lovenessloveness1109
@lovenessloveness1109 4 жыл бұрын
Iluminatha William mungu akutie wepesi
@qarshliy6794
@qarshliy6794 4 жыл бұрын
@@edsonhilary7492 ehk
@hesbonrasiene720
@hesbonrasiene720 4 жыл бұрын
Hii song ina cover yake?
@herimallya3385
@herimallya3385 4 жыл бұрын
Mimi sikomi,nimekuja huku kwenye coments
@emmagcee9251
@emmagcee9251 3 жыл бұрын
Can't understand anything but am addicted no matter how sad I am zuchu 🇹🇿 is my medicine 🇳🇬💓💓💓💓💯💋
@musicapprentice6682
@musicapprentice6682 3 жыл бұрын
We wish a collabo ft simi😍 Both have powerful and angelic voices👌💥🙌 🇹🇿🇹🇿🇹🇿
@mercymospelle
@mercymospelle 3 жыл бұрын
Who esle don't get enough of this song?
@uni3801
@uni3801 4 жыл бұрын
Wenye nia ya kuipeleka one on trending WAP likes zenyuuuuuu
@captainabimelek140
@captainabimelek140 4 жыл бұрын
Tupooo
@collinskaburu1250
@collinskaburu1250 4 жыл бұрын
Wapi likes za Kenya 😊🇰🇪♨️😇
@maureenreons6155
@maureenreons6155 3 жыл бұрын
How many times should I watch it.... 🔥 🔥
@moraamartineli7513
@moraamartineli7513 3 жыл бұрын
😭😭 gives me memories of my baby daddy...too late I can't say sorry now but I wish him well Love from 🇮🇶 to those in love cherish your lovers when u can
@susanatieno931
@susanatieno931 3 жыл бұрын
This song is 😚can relate with reall life because ukiwa na kitu cha maana you don't know it's worth until it's gone😔
@florakiai6317
@florakiai6317 3 жыл бұрын
Kweli tena
@susanatieno931
@susanatieno931 3 жыл бұрын
You can relate
@edgarrutahindurwa3867
@edgarrutahindurwa3867 4 жыл бұрын
Kama umeona nyimbo imeingia three on trending like zenu hapa
@amanibadru5842
@amanibadru5842 4 жыл бұрын
Mnmnh ya kwel hayo??
@edgarrutahindurwa3867
@edgarrutahindurwa3867 4 жыл бұрын
@@amanibadru5842 kabsa yan
@mohamedalattas8982
@mohamedalattas8982 4 жыл бұрын
Duuuu mmejua kutula bando zetu unatizama kila mara huchoki haswa lisauti mimi sielewi goma kali sana
@othmanfarijalla4518
@othmanfarijalla4518 4 жыл бұрын
Lakini haitopita ya konde kaa ukijaua mpaka zipite siku tatu
@chibdtanziayetu549
@chibdtanziayetu549 4 жыл бұрын
Mtoto wanyoka
@chancekadume3415
@chancekadume3415 4 жыл бұрын
Wa Kenya wa ngapi wanapenda zuchu like zikam through
@marywangui6037
@marywangui6037 4 жыл бұрын
Tuko rada sana
@kibibiyusuf5156
@kibibiyusuf5156 4 жыл бұрын
Chonjo kama kawa
@iammusic3404
@iammusic3404 4 жыл бұрын
Some correction my neighbor: it's "Wangapi wanampenda zuchu"👌🙏😘
@mwanahamismgana2838
@mwanahamismgana2838 4 жыл бұрын
nice song
@ttv_noor_pro5227
@ttv_noor_pro5227 4 жыл бұрын
THE LAST AIRBENDER some correction it’s neighbour not neighbor
@phelgonaamondi7251
@phelgonaamondi7251 2 жыл бұрын
How did I miss this song for a whole year? It’s touching my heart n makes me feel guilty as a woman for not always saying sorry
@anchourahamada5321
@anchourahamada5321 2 жыл бұрын
Ey Jjuiy7 Uuuu 7 u u
@Rrun4AC
@Rrun4AC 2 жыл бұрын
Tell me about it. Just chanced on it a month ago and now on repeat!
@joycewanjikukanyi4511
@joycewanjikukanyi4511 3 жыл бұрын
Nimelike huu wimbo ❤💖👑💝👝💟💌,iko fiti Inafanya mtu a feel poa
@joycewanjikukanyi4511
@joycewanjikukanyi4511 3 жыл бұрын
Nisamehe its good
@amarshaban1754
@amarshaban1754 4 жыл бұрын
She is now the reason I see queen Darlene in a wrong place 🤣🤣🤣 yani nasema hafai kua wcb ❤❤zuchuu u so blessed and talented
@kukujuma1743
@kukujuma1743 4 жыл бұрын
amar shaban Zuchu nisha kusamehe mimi ndo baba huruma
@saadakiyungi6437
@saadakiyungi6437 4 жыл бұрын
Queen dalin hana kipaji 😂 anabebwa tuu
@bigbossmanbossman6946
@bigbossmanbossman6946 4 жыл бұрын
@@saadakiyungi6437 😂😂😂kweli kabsa kwa kipaji hana kabisa
@bigbossmanbossman6946
@bigbossmanbossman6946 4 жыл бұрын
@@saadakiyungi6437 😂😂😂kweli kabsa kwa kipaji hana kabisa
@Mr_Highlights360
@Mr_Highlights360 4 жыл бұрын
QUERN DARLIN ni DADA AKE MOND....i mean wanaundugu wale
@lazaroenorck3941
@lazaroenorck3941 4 жыл бұрын
Jaman sijawahi pata like wakati mi member wa WCB
@hadijakunduwa2256
@hadijakunduwa2256 4 жыл бұрын
Iko poa sana
@emoriquesdopeboy2588
@emoriquesdopeboy2588 4 жыл бұрын
Lazaro Enorck hapa ni Konde gang
@lazaroenorck3941
@lazaroenorck3941 4 жыл бұрын
@@emoriquesdopeboy2588 wew ndo umepotea njia
@eliyaombayemko7312
@eliyaombayemko7312 4 жыл бұрын
Niambie
@yusuphidrisa9328
@yusuphidrisa9328 4 жыл бұрын
Iko poa sana
@sharifabahar9905
@sharifabahar9905 Жыл бұрын
Leo ndonimejuwa kumbe tazara
@bensonsinino5055
@bensonsinino5055 3 жыл бұрын
This song just touches my heart. I wish the Ladies of this generation can lie low and say sorry. Well done zuchu
@ibraaism
@ibraaism 2 жыл бұрын
I wish too my brother.
@joanmideva9220
@joanmideva9220 2 жыл бұрын
Sorry
@rehemajuma3714
@rehemajuma3714 4 жыл бұрын
Leo nimejikuta nampenda zuchu ww fundi mungu akuzidishie in Sha Allah ngoma Kali saaaaaana
@yusufukitambulio8382
@yusufukitambulio8382 4 жыл бұрын
Dah asee nyimbo inachoma hii. Kuna mstari unasema AAH KUMBE WW, UNAFANYA BIASHARA GANI?? daah 😁😁 sie wanaume sie, halaf ukimwangalia zuchu ndo anaumia kweli kwel yan. Wasiokuwa kwny mahusiano kaaeni chonjo maan hutokuwa na feeling kali kam sisi wenzio. Gonga like apah. 💪👍
@blaqmontaner3217
@blaqmontaner3217 4 жыл бұрын
ngoma kali video kali👏
@viviannjau9910
@viviannjau9910 4 жыл бұрын
Mmh!! Kukaa chonjoo ni mtihani hataree bhasi tu sijui yalishaumbiwa nn haya mapenz maan mmh!!!
@azizasaid5014
@azizasaid5014 2 жыл бұрын
Wimbo mzur mpaka mwanang anapenda kuimba
@azizasaid5014
@azizasaid5014 2 жыл бұрын
Ok
@bosibori911
@bosibori911 3 жыл бұрын
Just learnt about her a few weeks ago and I can't get enough of her songs😍..Her voice❤️❤️Yaani lazima niwatch daily..Mob love from the 254🇰🇪
@viviannad1270
@viviannad1270 3 жыл бұрын
❤️❤️
@lucynanjala7638
@lucynanjala7638 3 жыл бұрын
Me too
@sabastianodhiambo6598
@sabastianodhiambo6598 3 жыл бұрын
good and nice
@khadijaismail7469
@khadijaismail7469 3 жыл бұрын
@@viviannad1270 wewjwp
@lydiahwambui4513
@lydiahwambui4513 3 жыл бұрын
I learnt about her, after I listened to the small boy , Dogo
@dogosaint771
@dogosaint771 4 жыл бұрын
Director Kenny anajua sana gonga like Kama unamkubar👍
@maggybirenge7395
@maggybirenge7395 4 жыл бұрын
He's ma no. One director
@ibrabofubofu8763
@ibrabofubofu8763 4 жыл бұрын
Atari tupuuuu
@yassirhashim8568
@yassirhashim8568 4 жыл бұрын
Hamna kitu w mzgo one night stand
@dogosaint771
@dogosaint771 4 жыл бұрын
Mzeeh ataanza ooh nimeongea na burna boy 😂😂😂
@yasinikibarangia8709
@yasinikibarangia8709 4 жыл бұрын
Umeona ee
@josephinamarijan5567
@josephinamarijan5567 4 жыл бұрын
JAMAN HUU WIMBOO WA DADA UMETUFANYA TUSIWE MAJEURII......bonyeza like kama Umeeuelewa..
@wanjikuwarukira7026
@wanjikuwarukira7026 3 жыл бұрын
This song makes me want to call up my imaginary ex who recently had an imaginary wedding. Gaddamn 😍 jamani msichana kaweza 🇰🇪 much love
@andyphotography_ke7651
@andyphotography_ke7651 3 жыл бұрын
Wiina wana 😅
@marymary260
@marymary260 3 жыл бұрын
😂😅😅
@manjonjow8402
@manjonjow8402 Жыл бұрын
@@andyphotography_ke7651 oosoaeo of ßiozosodoodod9 oosoi no oo2 pp paeo of ßiozosodoodod
@DayanaSuphian
@DayanaSuphian 26 күн бұрын
nisamehe 🎉❤huna baya dada zuchu kwako ata bila ya mondi inawezekana
@nadranadra5287
@nadranadra5287 4 жыл бұрын
Walahiii hii nyimbo kama umeniimbiya mm mana mdamwengine najiona hasa na fanya jeurii zangu za kipemba hem mm nijirekebishe nsije achwa mm Asante kwa ujumbe zuchu nimeipenda buree❤️
@mariamleonce2001
@mariamleonce2001 4 жыл бұрын
😅😅😅😅😅😅
@mwajeyommy4668
@mwajeyommy4668 4 жыл бұрын
😂😂😂😂😂😂
@bintyally7387
@bintyally7387 4 жыл бұрын
😭😭😭😭
@chrissjoel7752
@chrissjoel7752 4 жыл бұрын
*Kazuri saana haka kanyimbo japo Mimi sio muumini mzuri wa nyimbo za mademu* *🔥🔥🔥🔥🔥 ila nisikose like za huyu manzi zuchu*
@AbdulhakimAmer
@AbdulhakimAmer 3 жыл бұрын
Nikimpigia kusudi zake akipokea eti hellow wewe nani (iiih) Na namba kakupa nani (iiih) Mara aahh kumbe wewe unafanya issue gani (siku hiziii) Nimsanii anajua inamana hanioni (kwenye Tv) Aah ai wewe Aah ai wewe
@palmcopycentre6750
@palmcopycentre6750 Жыл бұрын
Nisamehee is ma phone ringtone
@donomar6876
@donomar6876 4 жыл бұрын
ZUCHU NAKUITA MARA TATU...Hii ngoma aisee inanikumbusha sana mbali daaah 😢😭😢😭 Nai Feel na nashindwa vumilia 😭😭😭😭😭😭 ...Daaaaah !!! Huyu demu nyimbo hii ya hisia sana yani unaweza jikuta unalia tu mwenyewe.. katika usajili huu mkubwa sana WCB mmefanya🔥🔥🔥 #NISAMEHE
@khadijahomankweliyamjahaya7421
@khadijahomankweliyamjahaya7421 4 жыл бұрын
😭😭😭ni kweli yaan acha tu
@upendopipi3890
@upendopipi3890 4 жыл бұрын
Amin kwamba hii wimbo ni mkasa wangu wa kwalii zuchu kanitonesha kidonda 😭😭😭
@uncleelly4543
@uncleelly4543 4 жыл бұрын
*DON OMAR* 🔥😂😂😂
@mariampembe604
@mariampembe604 4 жыл бұрын
Ni kweli kabisa
@athumanindyema2302
@athumanindyema2302 4 жыл бұрын
Da jaman mwenye namba ya Hadija kopa naomba anitumie jaman ili niongee nae nikatoe mahar at gar ntauza huyu mtoto noma
@rashidnasoro1065
@rashidnasoro1065 4 жыл бұрын
Msaa Bora yuko kwnye Lebal Africa mashariki "WCB4life"!!
@lillyjane5576
@lillyjane5576 2 жыл бұрын
This song reminds me of my ex. We broke up two months and I apologized but he didn't accept my apology. Then we broke up for real. It has been 2 years since we broke up. This song reminds me of our past
@philchoreographykenya5750
@philchoreographykenya5750 Жыл бұрын
This song deserves a billion views ❤❤😢😢@zuchu🎉🎉🎉great piece
@idrisasalim5435
@idrisasalim5435 4 жыл бұрын
Ivi izo like munapeleka wap maana kila mtu gonga like km unampenda zuchu achen ujinga angalien muondoke au comments neno la kumpongeza sio kuomba like au comments 🙏
@saidimoshi9138
@saidimoshi9138 4 жыл бұрын
Fact
@RuzoOwzy
@RuzoOwzy 4 жыл бұрын
Inabidi hili suala limfikie Naibu Waziri Shonza. Limezidi
@stevenmaketa8051
@stevenmaketa8051 4 жыл бұрын
😁😁😁😁jaamama umenifurahisha kinom hzo gonna like sijui hua wanazipeleka waapi
@abdallahhussein5997
@abdallahhussein5997 4 жыл бұрын
Labda wanaingiza mkwanjwa kwa like waulize
@angelapius7526
@angelapius7526 4 жыл бұрын
Bora ulivyouliza namim sielewagi
@babaz_musa
@babaz_musa 4 жыл бұрын
Director Kenny,!! Director Kenny!!!. Director Kenny,, director Kenny,, director Kenny, director Kenny,, director,, Kenny, how many times have I called you meeen...... Umetishaaa sanah kwa hilii dude aiseeeee, big up yourself man.....
@faunamaua394
@faunamaua394 4 жыл бұрын
Kenny..love from Kenya.keep doing what you do
@stantz1798
@stantz1798 4 жыл бұрын
he is dope ,but piano?not wbc levels
@mailachristopher9773
@mailachristopher9773 4 жыл бұрын
Kenny n level za kimataifa
@thuogtsteels286
@thuogtsteels286 Жыл бұрын
Am contemplatin on how we are remaining with only two female artists on the African continent Zuchu and Tiwa we wengine are just their fans .
@OmariNindi-ub7bi
@OmariNindi-ub7bi Жыл бұрын
zuchu wew fundi sana jmn sio p hii nyimbo nakumbuka nikiwa safari bc nahic nipo nyumbn hongera sana endlea kutupa burudani
@othumanempire872
@othumanempire872 4 жыл бұрын
Nikisema nipite bila ku comment ntakua mnafki ZUCHU we sio wakuchezeachezea ila directorkenny ni Noma na nusu
@NehemiahRotich
@NehemiahRotich 4 жыл бұрын
Zuchu making Queen Darling look like she has been joking in all those years. .Just came the other day and she has caught up with her so fast
@tetyootornado1598
@tetyootornado1598 4 жыл бұрын
UNACHOMAA NDUGU YANGU
@NehemiahRotich
@NehemiahRotich 4 жыл бұрын
@@tetyootornado1598 ni ukweli 😂
@albanbros6705
@albanbros6705 4 жыл бұрын
Halina akili lile.
@dianaroserusimbi6003
@dianaroserusimbi6003 4 жыл бұрын
hahaha
@billnemess9369
@billnemess9369 4 жыл бұрын
Nehemiah Rotich Darleen hana kipaji acha Zuchu amuonyeshe maana huu Zuchu amekuja nanjaa nyingi ya ustar Pia anakipaki cha hali ya juu sana!
@lukman534
@lukman534 3 жыл бұрын
I have no idea what you’re saying but your music touch my soul maybe my soul understand that’s why I cry 😢
@nderirhoda
@nderirhoda 3 жыл бұрын
that's all that matters, right
@mulkibaby2641
@mulkibaby2641 3 жыл бұрын
Hi
@nderirhoda
@nderirhoda 3 жыл бұрын
@@mulkibaby2641 heEy
@omarmuballe1913
@omarmuballe1913 3 жыл бұрын
Cry some more if u have ever lost a lover Bse of negligence
@djsebons1389
@djsebons1389 8 ай бұрын
The one Zuchu I know please back on this style of music much respect
@benjaminkimaro6361
@benjaminkimaro6361 4 жыл бұрын
Mm Nakubalii Lyrics .... Nisamehee😢😢 Nouma sana Bongee LA song WCB for Life Mtotoo zuchuu Nouma sana Kim's B Papa###
@husnayahya175
@husnayahya175 4 жыл бұрын
Lazima tuiangalie tuuu anaimba bana wanaomponda wana choyo....
@big2558
@big2558 4 жыл бұрын
Sana dada ujue zuchu Bora na ni mtunzi
@graceomollo9782
@graceomollo9782 3 жыл бұрын
I thought I was the only one...... Haya yote ni machungu kweli......angekusamehe
@graceomollo9782
@graceomollo9782 3 жыл бұрын
Thanks for the like.............appreciated
@sadamhassan2873
@sadamhassan2873 3 жыл бұрын
WCB Queen Zuchu ❤❤❤ Lyrics ndo hii hapa 😍😍😍 Kukuhini kusokwisha umeangukia pemani Roho yanidadarika kashanitoka sheitwani Nimeumbiwa makosa mwanadamu na mimi Moyo umekunja ndita nimekumiss jamani Ngumu safari ilifanya njiani ushukie Ukakosa siti miliki gari lako mwenyewe Nikajiveka mashati nikajiona me ndo mie Kweli mbaya halisi nawema hakosi ye Nisamehe Nisamehe Nisamehe Nisamehe Chozi dibwi dibwi nachanganikiwa navilio sishikiki Niko magharibi lizamapo jua wewe upo mashariki Zawadi vipochi vijuice vipipi nazimiss chocolate Nimekoma dear nilivyo nyongea hubba zako sizipati Tabibu kunikomesha umepata toto la kitanga Sababu umeichoka jeuri yangu ya kipemba Lile gubu limeniisha kabisa baby halimanga (aibu) Wananicheka wajinga rudi nakuomba Ngumu safari ilifanya njiani ushukie Ukakosa siti miliki gari lako mwenyewe Nikajiveka mashati nikajiona me ndo mie Kweli mbaya halisi na wema hakosi ye Nisamehe Nisamehe Nisamehe Nisamehe Nikikaa nawaza nimuingie kwa style gani? Nimlilie niseme nnamimba kasahau t-shirt nyumbani Nashindwa kujizuia uvumilivu unanishinda kwanini Nikimpigia kusudi zake akipokea eti hellow wewe nani (iiih) Na namba kakupa nani (iiih) Mara aahh kumbe wewe unafanya issue gani (siku hiziii) Nimsanii anajua inamana hanioni (kwenye Tv) Aah ai wewe Aah ai wewe Thank You ❤❤❤
@careenpaul2328
@careenpaul2328 3 жыл бұрын
💋❤️♥️❤️💞😂💝👩‍❤️‍💋‍👩
@Msnaima85
@Msnaima85 2 жыл бұрын
KZbin now translates 💁🏿‍♀️
@NeemaNicky
@NeemaNicky 2 ай бұрын
zuchu mchafu lakini ana sura nzuri 😢😢
@yusuphabinala4120
@yusuphabinala4120 4 жыл бұрын
This is why director Kenny awarded the best director in Africa
@iammusic3404
@iammusic3404 4 жыл бұрын
Absolutely👌🔥
@djgthehotstepper
@djgthehotstepper 4 жыл бұрын
🔥🔥🔥
@nelsonalfred40
@nelsonalfred40 4 жыл бұрын
I agree
@adbellar338
@adbellar338 4 жыл бұрын
Besides that I haven't seen a young singer who plays her emotions like Zuchu in Tanzanian music videos. She is it. Na bado. Damn!
@skubidubi2456
@skubidubi2456 4 жыл бұрын
kzbin.info/www/bejne/qIewqHSrZZmgjrs
@kennybinsd6883
@kennybinsd6883 4 жыл бұрын
Ngoma kali gonga like kama unamkubali zuchu 🥰❤️🔥🔥
@benito3799
@benito3799 2 жыл бұрын
The Taylor Swift of Tanzania, Pure Poetry... Wow Zuchu is a Queen, Mob Love from 254
@OsmanK699
@OsmanK699 2 жыл бұрын
Why do you Africans have to compare your people with those in the west? She is her own woman: Zuchu, and not in any way to be compared to a mzungu as a measure of achievement or greatness.
@ondiekiemmanuel8360
@ondiekiemmanuel8360 3 жыл бұрын
She poured her soul in this🇰🇪🇰🇪🇰🇪❤ and its really rare for a woman to say sorry...
@mwanawishemapendo2391
@mwanawishemapendo2391 4 жыл бұрын
I love the song 😍😍🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩 anyone from congo?
@godfreysanga6091
@godfreysanga6091 4 жыл бұрын
Congo mobimba
@mwanawishemapendo2391
@mwanawishemapendo2391 4 жыл бұрын
@@godfreysanga6091 mistik yy
@kanole.x6389
@kanole.x6389 4 жыл бұрын
Wahuni tunajifungia getho afu tunaskiliza nyimbo za zuchu
@mpashoafrika1153
@mpashoafrika1153 4 жыл бұрын
Kabisa Oldson💥 kzbin.info/www/bejne/ap3Ci6OHmrxomqc
@amazing_life696
@amazing_life696 3 жыл бұрын
🤣🤣🤣, Duh! Wabongo 🙌🙌🙌
@joelngugicomedy187
@joelngugicomedy187 Жыл бұрын
Aki zuchu unaenda far in jesus name.
@charitynyambura5961
@charitynyambura5961 Жыл бұрын
Though naelewa kidogo but when am down this song takes me to heaven I even feel to call all my ex boyfriends 😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭
@emeldaonyango6906
@emeldaonyango6906 Жыл бұрын
😭😭😭😭
@celebmemoirs
@celebmemoirs Жыл бұрын
Waiting for the call 😂😂😂
@akramaxmedcabduqadir4148
@akramaxmedcabduqadir4148 Жыл бұрын
😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭
@charitynyambura5961
@charitynyambura5961 Жыл бұрын
@@celebmemoirs 🙄🙄🤔😳🤙
@charitynyambura5961
@charitynyambura5961 Жыл бұрын
@@akramaxmedcabduqadir4148 😭 walai
Rayvanny Ft Zuchu - I Miss You (Official Music Video)
6:41
Rayvanny
Рет қаралды 29 МЛН
Zuchu - Wana (Official Music Video) Sms SKIZA 8549163 to 811
3:18
Chips evolution !! 😔😔
00:23
Tibo InShape
Рет қаралды 42 МЛН
Como ela fez isso? 😲
00:12
Los Wagners
Рет қаралды 27 МЛН
Normal vs Smokers !! 😱😱😱
00:12
Tibo InShape
Рет қаралды 119 МЛН
Tanzania All Stars - Lala Salama (Magufuli) Official Video
11:01
Wasafi Media
Рет қаралды 12 МЛН
Zuchu - Naringa (Official Instrumental ) prod PizzoBeatz
1:43
Pizzo Beatz (Binia)
Рет қаралды 37 М.
Zuchu - Hasara (Official Audio)
3:52
Zuchu
Рет қаралды 1,7 МЛН
SONAA _ Episode 14
19:01
kp wa Aquino
Рет қаралды 44 М.
Zuchu - Raha (Official Music Video) Sms SKIZA 8549162 to 811
3:24
Buki, Yammy - Sio Vibaya (English Subtitled Video)
3:33
Buki tz
Рет қаралды 1 МЛН
Lava Lava Ft Mbosso - Basi Tu (Official Video)
4:18
Lava Lava
Рет қаралды 18 МЛН
BABYMONSTER - 'LIKE THAT' EXCLUSIVE PERFORMANCE VIDEO
2:58
BABYMONSTER
Рет қаралды 12 МЛН
Kalifarniya - Hello [official MV]
2:54
Kalifarniya
Рет қаралды 3,7 МЛН
POLI - Mama (Official music video)
1:18
POLI
Рет қаралды 4,1 МЛН
Jaloliddin Ahmadaliyev - Yetar (Official Music Video)
8:28
NevoMusic
Рет қаралды 3 МЛН
Alisher Konysbaev - Ol Aru (Official Music Video)
2:40
Alisher Konysbaev
Рет қаралды 7 МЛН