Zunguka Zunguka Official Video by St. Anthony Cathedral Choir Malindi(Vol1)
Пікірлер: 30
@turbiovictor867411 ай бұрын
Mbinguni kwa Baba, kweli kuna raha, Makerubi wote hata maserafi Malaika wote na watakatifu, Wako mbele za Mungu kila mtu na kazi yake Waimbaji tutaimbaimba, tutaimba nyimbo za shangwe Malaika watarukaruka, wataruka mbele za Mungu Watu wote (kweli) watafurahi nyumbani mwa Bwana Watacheza (wote) pamoja wakizungukazunguka Tuimbe nyimbo nzuri kama makerubi, Tuimbe kwa furaha kama maserafi Na tuchezecheze kama watakatifu, Tukirukaruka kama malaika wa Mungu Wenye moyo safi na matendo mema, Twendeni kwa Baba tupate dhawabu Tumekaribishwa Mbinguni kwa Baba Twendeni tuone, jinsi tulivyoandaliwa. Sisi tunaimba nyimbo za Mbinguni, Tena twatabiri yale ya Mbinguni Yote yalopita kwa wenye hekima, Tumefunuliwa, tutangaze kwa nyimbo hizi Fanya utafiti na upeleleze, Utafunuliwa siri za Mbinguni Waloshinda vita, wateule wa Mungu Wanatungojea kwenye raha ya siku zote
@AdamsKronicles3 жыл бұрын
This song and Onjeni mwone made me love Catholic Church.
@shereheafrikachuchu71899 ай бұрын
Moto Mwaki Fire ❤💯🇰🇪 chu chu
@josephanthonyodera60304 жыл бұрын
Awesome choir. God bless you St. Anthony Cathedral. May your Patron Saint, St. Anthony of Padua rest upon all Christians from Malindi Diocese for the good work you're doing.
@felistahmureithi5905 Жыл бұрын
😊😊
@brigidharrietmunayi891711 ай бұрын
Watu wote watafurai Nyumbani mwa Babà, NA kurukaruka.
@brigidharrietmunayi891711 ай бұрын
Nilikuea nashanga noi wapi watu wote watafurai Nyumbani mwa Babà,, etc.... Thhereeffoore congratulations for remembering typo. Come back. NA majo wazi.
@kaserekamusa2702 жыл бұрын
Malindi be bless by the Lord.God keep you all. Amen
@salikimkamaa44694 жыл бұрын
Good piece
@josephinemwanyalo36423 жыл бұрын
Blessed by this choir 🙏
@beatriceochieng57702 жыл бұрын
I love song
@vincentawour5604 Жыл бұрын
👏👏👏👏👏👏
@manyololiandrew12072 жыл бұрын
Very nice song
@ManuelT1122 жыл бұрын
Never gets old 🤗🤗🤗
@mluguludamasi6240 Жыл бұрын
#babutale#
@beatriceochieng57702 жыл бұрын
Amen
@beatriceochieng5770 Жыл бұрын
Sweet
@newtonasava36012 жыл бұрын
Newton Asava
@danielm59823 жыл бұрын
Good composition
@StAnthonyCathedralChoirMalindi3 жыл бұрын
For the GLORY OF GOD WE ARE GRATEFUL FOR YOUR COMPLIMENT
@georgeziboni2 жыл бұрын
@@StAnthonyCathedralChoirMalindi when was this album released
@OwitEyeMedia3 жыл бұрын
very uplifting
@StAnthonyCathedralChoirMalindi3 жыл бұрын
Thanks for listening be blessed as you listen and watch and remember to uplift a friend through sharing
@wellingtonokilla5579 Жыл бұрын
❤️
@brigidmunayi93952 жыл бұрын
KILA. MTU PAMOJA NAWENZAKE WATAKUSANYIKA NYUMBANI MWA BABÀ. KAMA MALAIKA NA WA TAKATIFU KILA MOJA HAKP NA KAZI YAKE MBELE YAKE MUNGU.
@georgeziboni2 жыл бұрын
When was this, it seems back in 2000s
@StAnthonyCathedralChoirMalindi2 жыл бұрын
you are very right Mr George this was our Volume 1
@georgeziboni2 жыл бұрын
@@StAnthonyCathedralChoirMalindi thanks for the enlightenment
@beatriceochieng57702 жыл бұрын
Good piece
@StAnthonyCathedralChoirMalindi2 жыл бұрын
Thanks for listening , dont forget to subscribe and share to friends to be blessed too