No video

DR.SULLE: NI MTOTO YUPI ALIE TAKIWA KUCHINJWA KATI YA ISMAIL NA IS-HAQA || KUPITIA VITABU VYA KALE.

  Рет қаралды 41,943

ZVP ONLINE TV

ZVP ONLINE TV

Күн бұрын

#DrSulle #VitabuVyaKale #Zvponlinetv

Пікірлер: 152
@mpetaamarijani2656
@mpetaamarijani2656 Жыл бұрын
Shukrani sana Dr Sulle nakupenda Kwa ajilii ya Allah❤
@hamadhilal2997
@hamadhilal2997 3 жыл бұрын
Asalamu alaikum warahmatu llah..Shukran dcr sule kwa kutuelimisha,,samahn dct sule hio aya unayo isoma hapo inayo husiana na miezi 12.. haipo katka suratu israil, bali ipo katika suratu Atauba aya ya 36 kama sijakosea, lakn zaidi tusaidianen kukumbushana..Allah ndo mjuzi zaid..
@JamuhuriIsaya
@JamuhuriIsaya 2 ай бұрын
Acha uongo Ismaeli hakuzaliwa na Sara
@kaxhovizoking5256
@kaxhovizoking5256 3 жыл бұрын
Mwenyezi mungu akufanyie wepes sheikh suleh
@zvpOnlineTv
@zvpOnlineTv 3 жыл бұрын
Amiin Shukran Mtazamaji Wetu Kwa kutuamini na Kukubali Kua mwanafamilia Wa Zvp Online Tv
@francisjoseph1074
@francisjoseph1074 3 жыл бұрын
Cjakuelewa amfanyie wepesi kwakupotosha watu au? Tengua kauli
@amaizingjoetz
@amaizingjoetz 3 жыл бұрын
@@francisjoseph1074 hahaaaa bila kudanganya mambo hayaendi kabisa
@AlhajiSaidi-uo8zl
@AlhajiSaidi-uo8zl 10 ай бұрын
mungu ukuruzuku zaidi
@osmankabete2493
@osmankabete2493 3 жыл бұрын
Mwenyezi Mungu akupe wepesi katika daawah.....
@zvpOnlineTv
@zvpOnlineTv 3 жыл бұрын
Amiin Shukran Mtazamaji Wetu Kwa kutuamini na Kukubali Kua mwanafamilia Wa Zvp Online Tv
@fadhilikawambwa5159
@fadhilikawambwa5159 3 жыл бұрын
amina
@editrudesmbonde9051
@editrudesmbonde9051 Жыл бұрын
Mwenyezi Mungu akupe uzito kwenye dawaah. Iwe giza kama usiku.😎😂
@fadhilikawambwa5159
@fadhilikawambwa5159 3 жыл бұрын
DR SULLEY mwenyezi mungu akuhifadhi unatupa maarifa makubwa sana.familia yangu inakupenda sana.
@zvpOnlineTv
@zvpOnlineTv 3 жыл бұрын
Mashaallah Shukran Mtazamaji Wetu Kwa kutuamini na Kukubali Kua mwanafamilia Wa Zvp Online Tv
@Simulizitulivuu
@Simulizitulivuu 3 жыл бұрын
MASHA'ALLAH DR SULE KMA INAWEZEKAN TUPE NA HISTORY YA YESU KUBATIZWA KWAKWE JE KWELI ALIBATIZWA AU!! INSHA'ALLAH
@hamisimgosi564
@hamisimgosi564 3 жыл бұрын
anataka mistake lini ya haki ni uislam ndio iliyo andikwa kama ni dini wap biblia sehem iliyo andikwa ukristo ni dini
@stephenmnkande8192
@stephenmnkande8192 Жыл бұрын
@@hamisimgosi564 Dini zote zilianzishwa na Binadamu. Mungu hana dini bali anataka watu wote wamwabudu yeye. Vitabu vyote vimeandikwa na wanadamu tu inawezekana ikawa ni kwa uwezo wa mungu au kwa utashi wao tu kutegemeana na imani ya mtu mmoja mpaka mwingine
@hasaniabdalah6148
@hasaniabdalah6148 10 ай бұрын
@@stephenmnkande8192 hebu andika na wewe tuone utashi wako vitabu vya mungu
@aminikingazi273
@aminikingazi273 3 жыл бұрын
Tunajifunza mengi sana kupitia channel hii na Dk. Sule Allah akulipeni kila la kheri
@zvpOnlineTv
@zvpOnlineTv 3 жыл бұрын
Amiin Shukran Mtazamaji Wetu Kwa kutuamini na Kukubali Kua mwanafamilia Wa Zvp Online Tv
@fadhilikawambwa5159
@fadhilikawambwa5159 3 жыл бұрын
ni kweli kabisa.amin
@sharomdguda
@sharomdguda 9 ай бұрын
Swali km uislam ni dini ya kweli kwa Nini duniani kote kwa Sasa mjadala ni mkubwa sana haiaminiki km mtume Muhammad ni nabii kweli kweli. Km Muhammad alitumwa na Mungu hakika yesu hakuja duniani. Km Yesu kuja duniani basi Muhammad hakuja.
@vimkhamis2794
@vimkhamis2794 10 ай бұрын
Allah akuhifadhi
@nassorhemed782
@nassorhemed782 3 жыл бұрын
Inshallah
@saidmwatela8811
@saidmwatela8811 Жыл бұрын
Allah akbarik
@vedastusngaiza5960
@vedastusngaiza5960 Жыл бұрын
Briliant
@benedictmrisho2361
@benedictmrisho2361 3 жыл бұрын
Yaonekana utimilifu wamaandiko matakatifu ni agano Jipya. Haijalishi dini gani lakini vigezo vya kupima ukweli juu ya Mungu vipo. Mungu hajifungamanishi na wazinzi na waabudu ama wenye ushirika na majini.
@fadhilikawambwa5159
@fadhilikawambwa5159 3 жыл бұрын
kwa hiyo maneno ya mungu ya amendment ya mwanadamu.nabii gani kaleta agano jipya
@editrudesmbonde9051
@editrudesmbonde9051 3 жыл бұрын
Bravoooo!!👍 Mr.Benn. Sema kweli ili kweli ituweke HURU tena HURU KWELI KWELI🙏🙏🙏
@hamzaswaibu9470
@hamzaswaibu9470 2 жыл бұрын
Benedict Chuki wala hazisadii chochote
@stephenmnkande8192
@stephenmnkande8192 Жыл бұрын
@@fadhilikawambwa5159 hii ni kuonesha ni jinsi gani elimu yako ilivyo ndogo juu ya imani za watu wengine. AGANO JIPYA sio kitabu kimoja bali ni muunganiko wa vitabu vingi (27) ambavyo vinajumuisha Injili, Matendo ya Mitume, Nyaraka za Mitume pamoja na Ufunuo.
@flova7022
@flova7022 10 ай бұрын
@@fadhilikawambwa5159 wechenga Sana..kitu kama hukijui fyata kia
@sawdaasawdaa7903
@sawdaasawdaa7903 3 жыл бұрын
Walimu wa duniyani jamani masha Allah huwa sipiti nikiona mabingwa wa elim
@zvpOnlineTv
@zvpOnlineTv 3 жыл бұрын
Mashaallah Shukran Mtazamaji Wetu Kwa kutuamini na Kukubali Kua mwanafamilia Wa Zvp Online Tv
@zaiduissa3712
@zaiduissa3712 3 жыл бұрын
Na kiebrania Ishmaell maana yake mungu amesikia yaani ishma'a na isma'a maana yake ckia ell ni mungu yani mungu amesikia dua ya Ibrahim ya kuomba mtoto
@nicholouskavindi8512
@nicholouskavindi8512 3 жыл бұрын
Km wewe n muislamu soma wagalatia4:22-31 ndipo utaelewa alichokizungumza Dr sule tulia vizuri soma ukiwa huna papara halafu rudia kumsikiliza Dr sule utanishukuru Bwana Yesu asifiwe
@fadhilikawambwa5159
@fadhilikawambwa5159 3 жыл бұрын
ukisoma wewe inatosha.
@mustaphabinsuleman6743
@mustaphabinsuleman6743 3 жыл бұрын
Unajua maana ya bwana yesu asifiwe ?
@mustaphabinsuleman6743
@mustaphabinsuleman6743 3 жыл бұрын
Tatizo unamfuata yesu alaf haumuelewi yesu ngoja nikufundishe salaam ya yesu aliyokua akiwasalimia watu na wewe ujifunze kusalimia watu Yohana 20:19
@francisjoseph1074
@francisjoseph1074 2 жыл бұрын
Unatumia nguvu kuutetea uislam
@user-qg2sw9bj2i
@user-qg2sw9bj2i 3 жыл бұрын
Doctor sule popote ulipo Allah atujaalie kila la kheri,kuna dawa ulielezea mtu akifanya ivyo itamsaidia wallah nimejaribu kweli imefanya kazi kwa uwezo wa Allah
@zvpOnlineTv
@zvpOnlineTv 3 жыл бұрын
Mashaallah Shukran Mtazamaji Wetu Kwa kutuamini na Kukubali Kua mwanafamilia Wa Zvp Online Tv
@user-qg2sw9bj2i
@user-qg2sw9bj2i 3 жыл бұрын
@@zvpOnlineTv afuan
@mawazojafary
@mawazojafary Жыл бұрын
Yes on
@bigmanfish6346
@bigmanfish6346 5 ай бұрын
Mashekh mbona hamufati Sunna. Mnavaa vishati na visuruale hamueki ndevu mnanyoa kila kitu kunani????
@benedictmrisho2361
@benedictmrisho2361 3 жыл бұрын
Maandiko yanasema ni kwa neema tu utafunuliwabl siri kuu za Mungu. Bila kufunuliwa na Roho Mtakatifu ni bure tu. Mtayasoma kama wapima vitu duniani ama orodha lakini hayataeleweka. Endapo Mungu angependezwa sana mf naya Suleiman hakika hadi leo lile hekalu lingekuwepo na malaika wakililinda. Ikiwa kweli alishirikisha majini hata ule mchanga tu hautakuwepo. Muogopeni Mungu. Msimfungamanishe na mapepo, majini, fahari za dunia na hasa zinaa. Nabii alikengeuka Mungu huweka mbadala wake. Kila nabii alikuwa na mema na mapungufu kama mwanadamu kasoro nabii mmoja . Nani huyo? Endelea kusoma "maandiko matakatifu"
@saidsuleiman1753
@saidsuleiman1753 3 жыл бұрын
Hivyo ndivyo mlivyo ongopewa na kuwa brain washed tumia akili ya kizaliwa na fanya utafiti. Hao wazingu waliokufundisha huo uongo wenyewe hata makanisa hawayajui.
@Simulizitulivuu
@Simulizitulivuu 3 жыл бұрын
Et kuelewa mpka uwe na roho mtakatifu dah yan hapo ndio mnavyodanganywa yan maandish yapo wazi kabsa lakin kuelewa mpka roho mtakatifu dah wakristo amken wazee
@Arishafa547
@Arishafa547 Жыл бұрын
Wakiristo dawa inapenya mahali pake
@stephenmnkande8192
@stephenmnkande8192 Жыл бұрын
@@saidsuleiman1753 Wazungu hawayajui Makanisa lakini wakati huo huo mnadai Ukristo umeletwa na wazungu. Tuwaeleweje sasa ninyi watu?
@saidsuleiman1753
@saidsuleiman1753 Жыл бұрын
@@stephenmnkande8192 sasa ndio akili ya kuambiwa changanya na yakwako utapata majibu , ni kweli wamewaletea Ukristo na kweli wenyewe hawaendi Makanisani sasa hapo jiulize mwenyewe why kisha utapata majibu.
@benedictmrisho2361
@benedictmrisho2361 3 жыл бұрын
Wapi ushahidi wa dini kutoka bibilia ambako Yesu anajifungamanisha na uislam na hata ushaidi kutoka katika quran unaofungamanisha ahadi( malaika Gibriel na Mariam, kuzaliwa Isa, makuzi yake uttoto hadi kuteswa, kifo, ufufufuko, kupaa na pentekoste. Wapi katika qurani kunaeleza wasifu wa mitume wa nabii Yesu?
@fadhilikawambwa5159
@fadhilikawambwa5159 3 жыл бұрын
maswali ya kitoto.yesu na muhammad ni ukoo mmoja.inatosha.baki na ujinga wako milele
@mustaphabinsuleman6743
@mustaphabinsuleman6743 3 жыл бұрын
Ushaidi ktk biblia Soma Mathayo 26:39 yessu anasujudu Je ? Wakristo Kama mnamfuata yessu mbona hamsujudu ?
@stephenmnkande8192
@stephenmnkande8192 Жыл бұрын
@@mustaphabinsuleman6743 hata Muhammad aliyekuja miaka 600 baada ya Kristo aliiga Wayahudi kusujudi. Ndio tusemeje sasa?
@sarastephano3409
@sarastephano3409 10 ай бұрын
mbona unaruka sehemu zingine Kuna sehemu Ibrahim alizungumza na mungu kuhusu wanawake zake mungu akamwambia msikilize mke wako wafukuze
@sethmdj
@sethmdj 9 ай бұрын
Refer 43:15 kwenye video hii, Dr. Dulle anasema kwenye Kitabu cha Mwanzo kuna mahali imeandikwa kuwa Nuhu alizini na binti zake. Ni Aya gani na msitari gani haya maandiko yanapatikana?
@Khatib-xp6fp
@Khatib-xp6fp Ай бұрын
Name nda dr sule ni mtu mwenye kujiamini na alichonacho
@MAPETEE
@MAPETEE 3 жыл бұрын
Asant sanaaa
@gaomaiko2859
@gaomaiko2859 3 жыл бұрын
Shuklan kwa mafundisho
@zvpOnlineTv
@zvpOnlineTv 3 жыл бұрын
Amiin Shukran Mtazamaji Wetu Kwa kutuamini na Kukubali Kua mwanafamilia Wa Zvp Online Tv
@Khatib-xp6fp
@Khatib-xp6fp Ай бұрын
Tunakupt sh sule hufundsh watanzania tu ata sisi tulioko mbali na tz tunajifunza
@mobigo2unlocker-iv7kn
@mobigo2unlocker-iv7kn 9 ай бұрын
😢mh Uongo mtupu maana Israel ni mfano tu.izo lawama tu
@speriussimba6717
@speriussimba6717 2 жыл бұрын
Dr sure uelewe kuwa smail alizaliwa kwa mapenzi ya mwili yaan kwa matakwa ya Sarah Ila mtoto aliezaliwa kwa mapenzi ya Mungu ni Isack ndo maana mpk leo isack anaonekana ni mtoto wa kwanza kwa Ibrahim alafu unavyosoma unaona Sarah yeye ndo alimpa ibrahim mjakazi lkn taratibu za kuoa kipindi icho hakuna iliyofutwa na je kwan huyo kijakazi hakuwa na wazaz?
@mussachichajr
@mussachichajr 10 ай бұрын
Muongo
@hassanisaidi5422
@hassanisaidi5422 2 ай бұрын
Kwa hyo wale Wana wa Israel,yaan watoto 12 wa yakobo walizaliwa kw namna ipi?
@francisjoseph1074
@francisjoseph1074 3 жыл бұрын
Haahaaa ,ila waislam wanachekesha kweli ,ivi Ismail unabii aliutolea wapi na huo unabii aliufanyia wapi?
@saidsuleiman1753
@saidsuleiman1753 3 жыл бұрын
Tafuta walimu wakufundishe usiamini mistari michache anayokusomea mchungaji, Tafuta walimu wakusomeshe Bible utajua utajua mambo mengi.
@fadhilikawambwa5159
@fadhilikawambwa5159 3 жыл бұрын
@@saidsuleiman1753i unajua hao jamaa sijui kama vichwa vyao viko sawa.wanalaana kweli .kwanza kusema tu nabii alizini ni kosa.
@hamzaswaibu9470
@hamzaswaibu9470 2 жыл бұрын
@@fadhilikawambwa5159 Yaani ni mtihani
@stephenmnkande8192
@stephenmnkande8192 Жыл бұрын
@@saidsuleiman1753 yaani Uislamu uliokuja miaka 600 baada ya Kristo ndio uje unifundishe Biblia? Wewe kasome Historia vizuri elmu yako ndogo
@stephenmnkande8192
@stephenmnkande8192 Жыл бұрын
@@fadhilikawambwa5159 acha kutusi watu wewe elimu yako ni ndogo sana hata hiyo dini yako mwenyewe unayoiamini huijui vizuri. Soma acha kuamini kukaririshwa
@barakambura1362
@barakambura1362 10 ай бұрын
Na kama kuoa wake wengi ni kutimiza utakatifu, kwanini Sara na Hajri walishindwa kuishi pamoja na wajibu wa Baba wa Imani Abraham juu ya kudumisha amani juu ya wake zake ulikua wapi? Kama Hajri ni mke halali wa pili wa Abraham, kwanini baada ya kulalamikiwa na mke mkubwa Sara akarudisha mpira kwa Sara yeye mwenyewe ndo afanye maamuzi juu ya Hajra? Naomba ufafanuzi na ikiwezekana nipate direct contact za Dr Sulle nimevutiwa na mafundisho yako sana
@robertlyimo636
@robertlyimo636 2 жыл бұрын
Kama Ismail alikuwa mweus kwa nini waarabu so weusi
@stephenmnkande8192
@stephenmnkande8192 Жыл бұрын
Bado pia hakuna uthibitisho wa moja kwa moja kwamba Waarabu wote ni uzao wa Ismail. Huo haupo ni uongo na ngonjera tu.
@francisjoseph1074
@francisjoseph1074 3 жыл бұрын
Bible inaeleweka na iko wazi kwanzia primary mpaka secondary, na kila mahali wanagawa free unaposema tunasomewa unaonekana kituko, na imetafasiliwa kwa kila lugha na kila kabila zote duniani ili kila mtu anaposoma aweze kuelewa swali ayo makorokocho ya Qur'an ulishaona wanagawiwa watu kwajili ya kujifunza? Au mnaogopa sili zitafichuka?
@Arishafa547
@Arishafa547 Жыл бұрын
Unaongea sana kukaribi bila kusoma acha ushabiki soma siyo kuropoka tu
@editrudesmbonde9051
@editrudesmbonde9051 3 жыл бұрын
Ishmail,alizaliwa kwanza kabla ya Isaack,so Hajra alifukuzwa na Ishmaill mwanae,lakini hakutakiwa kuchinjwa. Isaack alizaliwa baada ya Ishmail kuondoka nyumbani kwa Ibrahim . Maana Mungu alimtaka Isaack kwa ahadi zake na si Ishmail. Hakuna mtoto alitaka kuchinjwa kati yao. Sule kasome tena unadanganya watu.🙏🙏🙏
@nooraallahuakibarumwenyeez3079
@nooraallahuakibarumwenyeez3079 3 жыл бұрын
Na ww kasome vizury ismayr alitaka kuchinjwa ndiyo mungu akamleta mnyama wa fidiya kutoka mbingun
@editrudesmbonde9051
@editrudesmbonde9051 3 жыл бұрын
@@nooraallahuakibarumwenyeez3079 Yaani we ndo hujui kitu,mimi naona wewe ni mmoja wa wale wanaojiita waislam lakini maana ya Islam hawa jui,pole sana Nora. Ngojea nikusaidie,mtoto wa Ibrahim ambaye alikuwa anaitwa Isaack,ndiye aliyetakiwa kutolewa sadaka ya kuteketeza pale mlimani. Hii ilikuwa ni kupimwa kwa IMANI ya Ibrahim,Mungu akaleta Kondoo instead ok. Bado unatakiwa kusoma tu dear,utake usitake kasomeeeeee!!🐱
@nooraallahuakibarumwenyeez3079
@nooraallahuakibarumwenyeez3079 3 жыл бұрын
@@editrudesmbonde9051 ss tusibishane lete andiko au aya au hadithi siyo uzungumze tuu
@stephenmnkande8192
@stephenmnkande8192 Жыл бұрын
Jamaa ni mwongo kweli. Anaunganisha imani yake na kusoma vitabu vingine kwa anavyoona yeye na kutaka kudanganya watu.
@stephenmnkande8192
@stephenmnkande8192 Жыл бұрын
@@nooraallahuakibarumwenyeez3079 andiko gani kwenye Biblia Ismail alikuwa anataka kuchinjwa?
@Mzimba36
@Mzimba36 10 ай бұрын
Bibria inrivyoandikwa na wanayo itafsiri ni tofaiti wanapotea wakristo
@vailethmarack374
@vailethmarack374 3 жыл бұрын
Bado una uwezo kuihubili biblia. Uku unasema ni wazungu uku unasoma maandiko hayohayo. Mnawapotosha wasio jua maandiko ila kwa wenye kufaham. Wataelewa namna unavyo changanya mada.
@fadhilikawambwa5159
@fadhilikawambwa5159 3 жыл бұрын
haya tupe hayo yako yasiopotoshwa.wewe ndio unachanyikiwa sio kuchanganya mada.dr sule ni bahari ya elimu.ukiwa mbumbumbu umuelewi.kama wewe
@Simulizitulivuu
@Simulizitulivuu 3 жыл бұрын
Vai mama kuwa na mtazamo chanya utaelewa tu
@davidgasper1045
@davidgasper1045 2 жыл бұрын
Unamaanisha muhamad alikuwa mtu nyeusi😉
@louisejeanne8306
@louisejeanne8306 Жыл бұрын
😂😂😂😂😂😂😂 yahani maneno ya kumtetea Ishmaeli ndio yaliyochungwa hayakuharibiwa! Lakini maneno mengine yaliharibiwa 😅Kweli unachekesha! Mungu akuhurumie sana kwa kuendelea kupotosha watu 😢
@California9451
@California9451 9 ай бұрын
Huyu anaujua ukweli Ila anahofia kuyengwa na Waislamu wenzake
@madagascar8873
@madagascar8873 Жыл бұрын
Quran/ Kuran imeeandikwa kwa lugha gani?
@janepherjackson9693
@janepherjackson9693 10 ай бұрын
Hajiri alikuwa kijakazi wa sarah sio bibi mwenzake
@deodatuskanyata4142
@deodatuskanyata4142 8 ай бұрын
Babako
@stephenmnkande8192
@stephenmnkande8192 Жыл бұрын
Wazungu ni kweli wanatubagua watu weusi lakini hii sio kwa wazungu tu bali na watu wengine pia. Mbona hata Waarabu wenyewe walituuza watu weusi kama watumwa huko Zanzibar na Oman? Na hawa hawa ndio walioleta Uislamu Tanzania? Hebu Sule acha kuwashambulia Wazungu ilhali wewe mwenyewe unatumia vifaa na teknolojia walizotuletea hao hao wazungu. Mimi nasema ubaguzi wa rangi upo pengine zaidi kwa watu wengine kuliko hata hao wazungu. Leo hii kumuoa mzungu ni rahisi kuliko hata kuoa Mhindi, Mwarabu au watu wengine wowote.
@editrudesmbonde9051
@editrudesmbonde9051 Жыл бұрын
Kaka Steph,mimi YESU kanipa mume Mhindi,hawana shida hawa. Ila kwa kweli Waarabu ni majanga na matendo yao ni balaa,leo wanautesa ulimwengu na issue ya Ushoga,waanzilishi ni wao. Kweli hawakutakiwa kuwepo duniani🙏
@barakambura1362
@barakambura1362 10 ай бұрын
Kuna hoja chache nimekuelewa ila sehemu nyingi umenichanganya Natamani niwe mwanafunzi wako
@stephenmnkande8192
@stephenmnkande8192 Жыл бұрын
Wewe sule ni mwongo. Ibrahim hakuwa Mwarabu bali alikuwa ni Mwebrania. Hiyo Uri ya Ukaldayo unayosema ni IRAQ ya leo hawakuwa wanaishi Waarabu kipindi hicho. Waarabu waliingia hizo nchi unazozitaja sasa hivi baadaye kabisa Karne ya 7 baada ya Kristo wakati wa Khilafa. Unapofundisha watu jitahidi kutowadanganya. Kuwa mkweli.
@benedictmrisho2361
@benedictmrisho2361 3 жыл бұрын
Mbona nabii Suleiman aliyatumia majini kuj8enga hekalu? Hebu fafanua kama nabii Ibrahimu hawezi kuzini.iweje Daudi na Suleiman na Yakub walizini kwa nyakati.tofauti? Hebu fafanua zaidi tuelewe. Zinaa inatafsirowa vipi katika qurani na biblia? Kama suleimani alikuwa na wake na masuria mbona dini zote mbili hazijaruhusu wake wengi kama wa nabii wa Mungu Mfalme Suleiman? Hamuoni kuwa mnajichanganya wahubiri ? Maandiko huenda kwa tafakari , uvuvio na ufunio kutoka kwa Mungu sio kwa mizania kama kupima nyama!
@fadhilikawambwa5159
@fadhilikawambwa5159 3 жыл бұрын
ueleweki maswali yako.waislam tunaheshimu manabii.ktk uislam hakuna nabii muovu au mzinifu labda kwenu.wewe ndio utufafanulie huo upuuzi wako sio dr sulley.hivi nyie nani kawaloga.mna uwezo wa kutakana manabii kweli.
@Mchora_tz
@Mchora_tz 3 жыл бұрын
Kwahyo kk unabishana na maandiko ya biblia yenu? Maana hapo sheikh anasoma yaliyo kwenye biblia tu hajagusa quran hapoo
@jaharaoman6478
@jaharaoman6478 2 жыл бұрын
Black is originally yes
@nooraallahuakibarumwenyeez3079
@nooraallahuakibarumwenyeez3079 3 жыл бұрын
Ni ismayri ndiyo aliyetaka kuchinjwa na baba yake nabii ibrahim kamwambiya mwanawe kwamba nimeota eti nakuchinja ismayri akakubar ndiyo Allah akamleta kondoo kutoka mbinguni ndiyo nabii ibrahim akamuacha mwanawe akamchicha yule mnyama wa fidia
@stephenmnkande8192
@stephenmnkande8192 Жыл бұрын
Hii ni kutokana na Koran lakini sio BIBLIA iwe kwa Wayahudi ama Wakristo. Pia hakuna uthibitisho kwamba ISMAIL ndio Baba wa Waarabu wote.
@editrudesmbonde9051
@editrudesmbonde9051 Жыл бұрын
Acha uongo soma vizuri hicho kitabu chako na kama hukielewi tafuta watu wakueleweshe,ni Isaack alitakiwa kutolewa sadaka iliyo hai na Mungu ili kumpima imani Ibrahim. Maana alimpenda sana lsaack,mtoto wa ahadi ya Mungu na si ya mwanadamu,hebu amka ulikolala kaka,ndio maana Wakristo ni uzao wa lsaack ni watoto wa shadi. Acha wivu😎😂😀
@davidgasper8821
@davidgasper8821 3 жыл бұрын
Kumbe hata Malaika wa Bwana anatambua kuwa hajri ni kijakazi wa Sara ss hyo ndoa imetoka wap na kama alikuwa mke halali wa Ibrahimu mbona mwenyewe hakumzuia asifukuzwe na Sara 😂😁🤣acheni kulazimisha uongo kuwa ukweli na kuamini visivyo aminika mtateseka san na hyo mamayenu kijakaz hajri mpaka YESU anarudi hamwez kubadilisha chochote kile kweny maandiko
@fadhilikawambwa5159
@fadhilikawambwa5159 3 жыл бұрын
unajua maana ya kijakazi lakini.sijui unashangaa nini sasa
@mustaphabinsuleman6743
@mustaphabinsuleman6743 3 жыл бұрын
Yesu hawezi akaludi kwako kwa kuwa yeye alitumwa kwa ajiri ya Wana wa israel waliopotea tu Mathayo 10:5-6 Je wewe ni mwana wa israel uliyepotea ?
@rajabumrope8732
@rajabumrope8732 2 жыл бұрын
chicken head
@user-fi5cu8oo4n
@user-fi5cu8oo4n 10 ай бұрын
Kwahiyo kwa upeo wako mdogo unamaanisha ibrahimu amedhini na kijakazi wake?
@husseinkonde7348
@husseinkonde7348 9 ай бұрын
Halali ya ndoa hutolewa kwa kinywa ndugu
@francisjoseph1074
@francisjoseph1074 3 жыл бұрын
Dah! Nimecheka kweli eti mtu wa kwanza adam alikua mweusi ivi hiyo Qur'an iliokotwa wapi mana CIO kwa uogo huu
@mariamngadoa7808
@mariamngadoa7808 3 жыл бұрын
Usilolijua ni kama usiku wa giza
@saidsuleiman1753
@saidsuleiman1753 3 жыл бұрын
Tatizo lenu hamsomi Bible yote ila mnachaguliwa baadhi ya aya na wachngaji sasa utaelewa vioi. Ndio maana Waislam wanapowasomea Bible mnaona ni uongo sabubu hamsomeshwi na walimu wenu. Acha kufata dini kwa mazoea fanya utafiti wa kutosha bila kuogopa ukweli.
@saidsuleiman1753
@saidsuleiman1753 3 жыл бұрын
Dr Sule anatoa maandishi kutoka kwenye Bible sasa wewe unaebisha tupe aya kutoka kwenye Bible usibishe tu kimazoea.
@francisjoseph1074
@francisjoseph1074 3 жыл бұрын
@@saidsuleiman1753 ivi ww unajua unachekesha tena utafanya na mawe yacheke Bible IPO kila kona na kwa rugha nyepesi inayoeleweka mpaka mashuleni wanagawa buree nyie ndo mnakaririshwa hamtaki kosoma na kama mgekua mnasoma hayo madudu yaliomo kwenye Qur'an nakuyaelewa uislam usingekuepo
@nicholouskavindi8512
@nicholouskavindi8512 3 жыл бұрын
@@saidsuleiman1753 sasa km alivyofundisha sule hapa tafuta biblia fungua wagalatia4:22-31 soma nawewe ndo utajua
@francisjoseph1074
@francisjoseph1074 3 жыл бұрын
Ivi huyo muhamadi mnaemwita nabii mala mtume huo unabii na utume aliutolea WAP? Na alifundisha mafundisho yapi swali ? Sote tunajua mitume na manabii hutufunulia maono na kutuletea utabiri 1} Muhammad ilishawahi kutabili nn na kikatokea kweli? 2} au muhamadi ili awe nabii alifanya muujiza UPI ?, likipatikana andiko mi naritadi
@fadhilikawambwa5159
@fadhilikawambwa5159 3 жыл бұрын
uislam unauogopa utamjuaje mtume wetu MUHAMMAD SAW.quran hata kuigusu utaki utajuaje utume wake.maswali yako hata mwanangu wa chekechea anakujibu.
@francisjoseph1074
@francisjoseph1074 3 жыл бұрын
@@fadhilikawambwa5159 swali ili muhamadi awe mtume alifanya unabii UPI? Ukatimia Au alifanya miujiza IPI? Nijibu kama we mwanaume
@mustaphabinsuleman6743
@mustaphabinsuleman6743 3 жыл бұрын
Yesu alitabiri atakuja mtume baada yake naomba nitajie Mtume aliyekuja baada ya yesu kuondoka
@francisjoseph1074
@francisjoseph1074 3 жыл бұрын
@@mustaphabinsuleman6743 yesu alikuja kupigilia msumari wa mwisho na ndo alietabiriwa na kusubiriwa na mitume na manabii karne na karne na alipokuja alichagua mitume wake 12 hakuna mwingine zaidi yao ,tena usimsingizie lete andiko kwenye Qur'an au Bible hakuna kitu kama hicho
@rajabumrope8732
@rajabumrope8732 3 жыл бұрын
@@francisjoseph1074 you are a sickperson
@davidgasper8821
@davidgasper8821 3 жыл бұрын
Swal muhamad ni mtu mweusi!!😉🤣😂 sule unaongea mpaka unaharibu mada huna alikwambia Adam mtu mweusi nani!!
@fadhilikawambwa5159
@fadhilikawambwa5159 3 жыл бұрын
sasa wewe aliyekwambia adam mzungu nani.
@saidathumani7543
@saidathumani7543 3 жыл бұрын
Kwani misri si africa
@mustaphabinsuleman6743
@mustaphabinsuleman6743 3 жыл бұрын
Yessu ni mwarabu Mathayo 1:1-17. Mathayo 10:5
@editrudesmbonde9051
@editrudesmbonde9051 3 жыл бұрын
Davi,That is big bang!!👍👍 Sule eleza hapo ieleweke🐸🐸
@amaizingjoetz
@amaizingjoetz 3 жыл бұрын
Taqiya kazini hahaaaaaa
@zvpOnlineTv
@zvpOnlineTv 3 жыл бұрын
Mh
@amaizingjoetz
@amaizingjoetz 3 жыл бұрын
@@zvpOnlineTv acheni uzushi
@dorcaskarago2876
@dorcaskarago2876 Жыл бұрын
The Bible! Ni kiboko ya history ya dunia
@osmankabete2493
@osmankabete2493 3 жыл бұрын
Ebu mchunguze huyu Chaka tafadhali
Running With Bigger And Bigger Feastables
00:17
MrBeast
Рет қаралды 166 МЛН
ROLLING DOWN
00:20
Natan por Aí
Рет қаралды 11 МЛН
NANI ALIKUSUDIWA KUTOLEWA KAFARA KATI YA ISMAIL NA ISAKA
1:12:29
BIBLIA NURU YA DUNIA
Рет қаралды 4 М.
KIJANA MWINGINE ALIYEATHIRIWA NA SHK OTHMAN MAALIM KWA NAMNA YA TOFAUTI KIDOGO
20:54
Dr:Sule , Mada: Password ya qur'an
39:53
Markaz Swalihinal- islamy Mombasa Kenya
Рет қаралды 99 М.