KOCHA - HAMAD
15:43
3 ай бұрын
CHIDI ZUNGU - KAKA HAMAD
7:25
3 ай бұрын
KIGUZO NA SOKELA
10:19
5 ай бұрын
KIGUZO & SOKELA  = FABIAIYI
3:53
Жыл бұрын
VID 20200405 WA0008
2:32
4 жыл бұрын
EID MOBARAKA
1:55
6 жыл бұрын
FAHAD FT ARCHIDUKE
4:34
6 жыл бұрын
Mganga tapeli
0:49
6 жыл бұрын
Furahi na ARCHIDUKE ft fahadi
3:26
6 жыл бұрын
King hamad
1:04
6 жыл бұрын
Harusi ya ALI kiba
1:51
6 жыл бұрын
MAU MPEMBA VS MAKAME
2:31
6 жыл бұрын
AINA MPYA YA VISPA
1:04
6 жыл бұрын
Shairi, wanasoma vizuri
0:36
6 жыл бұрын
Пікірлер
@hmdtv3119
@hmdtv3119 3 жыл бұрын
nice
@salimhamad5094
@salimhamad5094 3 жыл бұрын
Good
@nduryamwadzaya3972
@nduryamwadzaya3972 4 жыл бұрын
MAPINDUZI OYEEEE
@ahmarkaaby2581
@ahmarkaaby2581 4 жыл бұрын
Hahaha
@pastoryconrad7313
@pastoryconrad7313 4 жыл бұрын
ZANZIBAR YA 1964 IS GONE AND IT WILL NEVER COME BACK AGAIN.
@swahibal-karama145
@swahibal-karama145 4 жыл бұрын
Kwani huyu mzee mbona anapoteza time anakiongea nini?. Mbona haeleweki?. Porojo tu halina msingi wowote.
@mustayoo
@mustayoo 4 жыл бұрын
mswaliye mtume sana na allah atakutosheleza kiu yako
@user-bz9no7hs2l
@user-bz9no7hs2l 4 жыл бұрын
Shame on you to celebrate the zinzibar revolution after killing 20000 arab omani
@ismailjuma3692
@ismailjuma3692 4 жыл бұрын
Allah akbaru,Allah akbaru,Allah akbaru,jamani iko wapi zanziber yetu zanziber ambayo ilikua ya chako ni changu na changu ni chako,zanziber ilikua ikufuata sheria za Allah jamani machozi yananitoka ila nabaki kusema Alhamdulillah kwani kheri minallah washari minallah
@rizbfighter8574
@rizbfighter8574 4 жыл бұрын
Mfuate yuko uingereza😁😁😁
@maikosaga3632
@maikosaga3632 4 жыл бұрын
Sasa tunafanyaje mzee mbona hueleweki???
@ahmedalbalooshi8518
@ahmedalbalooshi8518 4 жыл бұрын
Rausa,mchango wako unautata.Allah amewaumba viumbe vyake kwa namna alivopenda.Sisi sote tumeumbwa na hatukujiumba. Jambo la kusikitisha ni mauwaji ya makusudi ya Wa Zanzibari ,baada ya Mapinduzi,na mateso ya kila aina na kupalilia chuki za ukabila ambazo mpaka leo zatumika kuwabagua wananchi.
@hijaabbas897
@hijaabbas897 4 жыл бұрын
Mmm na mbona unatutia shaka mzee wetu hukua mkewe hata sahv unadai matibabu kama mwanamke anamdai mumewe
@hijaabbas897
@hijaabbas897 4 жыл бұрын
Mmmmmm shda kwel waafrica maneno yote n kutaka kuomba tu
@abdulrahmansalim9773
@abdulrahmansalim9773 4 жыл бұрын
Majahil hawana mpya wanafik
@gangmore9091
@gangmore9091 4 жыл бұрын
Mungu awahukumu wote waliohusika na hili kuwazulumu wazanzibar kwa shindikizo la nyerere
@abdulrahmansalim9773
@abdulrahmansalim9773 4 жыл бұрын
Ameen Ya Rabi Allameen.
@gangmore9091
@gangmore9091 4 жыл бұрын
@@abdulrahmansalim9773 Amin Amin katutia shimonii
@shamsahaji6202
@shamsahaji6202 4 жыл бұрын
Amin
@TeamKRX
@TeamKRX 4 жыл бұрын
Inasikitisha kwani huyu jemshid yuko hai jamani siarudi atawale jamani kuliko hawa wanyamulenge hawakusoma hawana utu kazi kututia maradh tu wao wenyee halafu wanamisura mibayaaa sijui wameubwa hawa sayari ya wanyama hawasikii hawajali
@albahryonlinetv9319
@albahryonlinetv9319 4 жыл бұрын
Jaman vjana tusomen historia ya nchi yetu il tuje ikombowa duu jaman hali hii tata zanzibar ilpata uhuru wake mapema tuu kabla ya kupnduliwa
@albahryonlinetv9319
@albahryonlinetv9319 4 жыл бұрын
Subhana Allah Zanzibar inatoka mbali huyu karume kutunyanganya mamlaka yetu kuyapelka Tanganyika hatutokusamrhe mpka kiama
@mohammadalrawaahy4707
@mohammadalrawaahy4707 4 жыл бұрын
kweli laana ya ALLAAH juu yake
@nduryamwadzaya3972
@nduryamwadzaya3972 4 жыл бұрын
Kwenda.
@sirajimakame1972
@sirajimakame1972 3 жыл бұрын
Kumayo ww mbwa ww
@saymarsaymar4654
@saymarsaymar4654 4 жыл бұрын
Yupo uengereza mfate mbona
@saymarsaymar4654
@saymarsaymar4654 4 жыл бұрын
Kwa nn watu walikua wanakimbia wakimuona? Ujue kuna jambo hapo. Mzee maelezo yako hayajanyooka. Kila siku akufungashe ww tu.
@rayisadesigns2646
@rayisadesigns2646 4 жыл бұрын
alikimbia ili kumuita nduguye, si kwamba alimkimbia yeye labda kutokana udhalimu wake. laahasha, sikiliza mazungumzo uzuri ndugu yangu. Na isitoshe huyo ni kiongozi mkubwa anapokuja uraiani kama mtu wa kawaida lazima watu washituke. Nukta yenye mazingatio hapa alikuwa anavua sawa na raia wengine na ndiyo ikawa chanzo cha kufahamiana na huyu mzee kipindi cha ujana wao na pia ndiyo ikawa asbabu ya kujenga usuhuba kiasi cha kumfungia chombo chake ili kumsaidia kukikokota baharini, swali dogo la kidadisi angekuwa jahili na fedhuli aliyepitiliza kwa kuchupa mipaka angekuwa anawasaidia watu kama hawa kwa kukivuta chombo chao dhalili kwa chombo chake chenye thamani ya kumilikiwa na mtu mwenye hadhi ya kifalme, tena wakivua sehemu moja hususan walipokuwa wakikutana baharini kwenye uvuvi?! Hebu tuvute picha kwa viongozi wetu wa sasa barani Afrika na Ulimwenguni unaweza walau kuwasogelea kama hivi?! Almuhim, tunapoambiwa mambo nyeti kama haya ni vyema tuyachanganue kwa mtazamo chanya hususan kwa kuyapima, kuyachuja na kisha yale tutakayoyaridhia tuyachanganye na yaliyokuwepo ktk vichwa vyetu, Afuan.
@sawbaa6332
@sawbaa6332 4 жыл бұрын
Kwawatu kamass tulio soma ww unadaganya dhahir
@saymarsaymar4654
@saymarsaymar4654 4 жыл бұрын
Haaaaaa!
@mussachicha9211
@mussachicha9211 4 жыл бұрын
Umesoma lakin watu walishuhudia Sasa Nani mwenye facts
@fahmikhamis5725
@fahmikhamis5725 4 жыл бұрын
Ww si umesoma kwa ccm
@ankallypandu7648
@ankallypandu7648 4 жыл бұрын
Wacheni siasa za kisenge wewe umesoma tu boya wewe, huyu mzee mpemba alikuwepo, wewe pumbavu umesoma tu wacha ujinga
@ukhtyalpha1344
@ukhtyalpha1344 4 жыл бұрын
Ndio mume zoweya kudanganywa kweli na CCM na mmelishwa kasumba ya chuki basi mmejipiga mihuri ya kiziwai kipofu bububu ndani nyoyo zenu kina Saw baa lakini sie toloyaona mavamizi hayo haramu tunajuwa ukweli uko wapi muongo unae ndani ya chupi yako mzowea vya kunyonga vyakuchinja haviwezi
@sawbaa6332
@sawbaa6332 4 жыл бұрын
Achaunafiki mzeee ww kutunga uongo
@shamsahaji6202
@shamsahaji6202 4 жыл бұрын
Tuletee ukweli wako ww basi ..kwani unatesekaa??mxiuuuu roho dhaifu tu.
@khamissalum431
@khamissalum431 4 жыл бұрын
Wacha ubaguzi wewe huijui Zanzibar
@mukrimismail9142
@mukrimismail9142 4 жыл бұрын
Ilikuwa karume nnampenda sana lakini kumbe ametutia majangani na katupokoja uhuru wetu, karume ametutia kwenye nakama mpaka leo tunateseka
@yanayojiri1900
@yanayojiri1900 4 жыл бұрын
Hukosei
@sawbaa6332
@sawbaa6332 4 жыл бұрын
Unateseka unateseka nn achaunafiki ulita serekali ukulishe
@hafidhali3020
@hafidhali3020 4 жыл бұрын
Karume kachukua nchi yetu kawakabodhi washenzi tunastrugle mpaka leo,neema yote iliokuwepo zanzibar imetoweka umebakia ushenzi
@saymarsaymar4654
@saymarsaymar4654 4 жыл бұрын
Ukhanisi wenu, wafate basi huko Oman
@hafidhali3020
@hafidhali3020 4 жыл бұрын
@@saymarsaymar4654 tunasemea wazanzinari hatusemei wazanzibara ,kila mzanzinari halisi anaumia na huu utawala uliopo wa kishenzi maana hao wote wanaojiita maraisi hapo znzibar ni vibaraka wa tanganyika
@fugameza6011
@fugameza6011 4 жыл бұрын
Wamebaki kufa mvunguni mwa kitanda Allah atawalipa
@TeamKRX
@TeamKRX 4 жыл бұрын
Kina nani hao ebu nipe wanaokufa mivunguni hasira nao wametupeleka tanganyika mpaka Leo tushazeeka mina 44 alasijielewi
@hmdtv3119
@hmdtv3119 6 жыл бұрын
iko poa sana
@hmdtv3119
@hmdtv3119 6 жыл бұрын
iko poa sana