Ep 155.0 2024 Yohana 5 - Furaha Chamba
14:38
Ep 154.0 2024 Luka 7 - Furaha Chamba
14:36
16 сағат бұрын
Ep 153.0 2024 Nguvu ya Mungu - Furaha Chamba
15:23
Пікірлер
@opembetitus1131
@opembetitus1131 2 күн бұрын
Lakini sabato ni amri ya Mungu? Kama iliisha kwa maana gani tuwe wakristo?( Tunaweza iba, zini, tamani au tuwe na sanamu Kwa kuwa hazipo tena)
@DaimonMwapelele-g1d
@DaimonMwapelele-g1d 3 күн бұрын
Watu wote wa jihadhal na wewe Kama wanataka kuokolewa unatumia nguvu nyingi kutetea uongo siku ya Saba ilibarikiwa na ikatakaswa na MUNGU mwenyewe mwanzo 2:1-3 kutoka 20:8-11 tukifika mbingun tutaitunza sabato isaya 66:23 shetan alikataa kumtii MUNGU aliwadanganya Adam na Hawa wasimtii MUNGU mpaka leo anaendelea na kazi yake ya kuwadanganya wanadam wasitii kauli za mwenyez MUNGU, MUNGU habadilik neno lake halibadillik zaburi 89:34
@DaimonMwapelele-g1d
@DaimonMwapelele-g1d 4 күн бұрын
Yaan wewe unachekesha wasabato wanafundisha kushika amri kumi kwa uaminifu maana ukvunja moja umekosa juu ya yote yeye aliesema usizin ndie aliesema usiue yakobo 2:10 wewe unafundisha watu washike 9
@jovinalex8690
@jovinalex8690 Ай бұрын
Kazi nzuri sana watumishi wa MUNGU, Mbarikiwe sana
@injilinjeyakutazakanisa
@injilinjeyakutazakanisa 26 күн бұрын
Tunakushukuru sana Mtu wa Mungu kwa kututia Moyo. Barikiwa nawewe
@fabianmainchanyangachika5017
@fabianmainchanyangachika5017 Ай бұрын
kzbin.info/www/bejne/n6THlaeLqK58gNUsi=qnBOb59QcsShIxyZ amen 🙌✋
@Shomariamuri1
@Shomariamuri1 Ай бұрын
Mmepotea ninyi, kwa nini msikubali ukweli wa Biblia? Yesu ni mwana wa Mungu. Yohana 3:16 = Mungu alimtuma mwanawe, Mungu hakumtuma Mungu mwana 😮
@injilinjeyakutazakanisa
@injilinjeyakutazakanisa Ай бұрын
Tunashukuru kwa maoni yako. Barikiwa
@mtimkavu6600
@mtimkavu6600 5 ай бұрын
Safi sana nenó
@injilinjeyakutazakanisa
@injilinjeyakutazakanisa 5 ай бұрын
Barikiwa. Karibu
@HAM998
@HAM998 10 ай бұрын
Ameni mtumishi umefafanua vizur
@injilinjeyakutazakanisa
@injilinjeyakutazakanisa 10 ай бұрын
Barikiwa Mtu wa Mungu. Panapo makosa, kosoa
@sellahmwakabuta8246
@sellahmwakabuta8246 11 ай бұрын
Kamanda wangu ubarikiwe
@injilinjeyakutazakanisa
@injilinjeyakutazakanisa 10 ай бұрын
Amina dada Sellah, Mungu akuinue sana. Una Kazi nzuri na bora katika Ufalme wa Mungu
@helenamwashivyala3315
@helenamwashivyala3315 11 ай бұрын
Hakika ushirika wa itete chunya mkowa wa mbeya tulimua Mungu Jimbo kusini maghalibi Yesu alitembea laivu
@injilinjeyakutazakanisa
@injilinjeyakutazakanisa 11 ай бұрын
Baraka nyingi kwenu, salimia wote huko
@sellahmwakabuta8246
@sellahmwakabuta8246 11 ай бұрын
Barikiwa
@devotajulius7572
@devotajulius7572 11 ай бұрын
Amen na mtafika mbali ninawapenda munaimba vzr sana
@sellahmwakabuta8246
@sellahmwakabuta8246 11 ай бұрын
Mungu awe nawe
@injilinjeyakutazakanisa
@injilinjeyakutazakanisa 11 ай бұрын
Baraka nyingi kwako Mtu wa Mungu
@saimonjackson3102
@saimonjackson3102 11 ай бұрын
Nimebalickiwa mungu akupandishe viwango vya juu pastor 👏🏽👏🏽👏🏽👏🏽
@injilinjeyakutazakanisa
@injilinjeyakutazakanisa 11 ай бұрын
Amepokea kwa Jina la Yesu. Barikiwa
@helenamwashivyala3315
@helenamwashivyala3315 Жыл бұрын
Pekeako Mungu unaweza kubadilisha ifumbo na itete sisi wanaa itete tumebyamaza kimya tunakutengemea wewe Mungu wetu,kwamaana roho baya zinazotafuna ifumbo wewe Mungu unaweza kukomesha
@helenamwashivyala3315
@helenamwashivyala3315 Жыл бұрын
Kwakweli Mungu alitembea kwa kila kona ,
@helenamwashivyala3315
@helenamwashivyala3315 Жыл бұрын
Mkutano wa ifumbo itete chunya kwakweli tulimuona Mungu usokwa uso
@helenamwashivyala3315
@helenamwashivyala3315 Жыл бұрын
Chunya hiyo
@injilinjeyakutazakanisa
@injilinjeyakutazakanisa 11 ай бұрын
Baraka mingi kwako pia. Karibu
@helenamwashivyala3315
@helenamwashivyala3315 Жыл бұрын
Ushirika wa itete upo juu,Mungu awabariki sana kwaya ya ushiri
@helenamwashivyala3315
@helenamwashivyala3315 Жыл бұрын
Ameen mtumishi gradines
@sellahmwakabuta8246
@sellahmwakabuta8246 Жыл бұрын
Neema ya Yesu iwe iu yakila mtumish
@HamdanNatosa
@HamdanNatosa Жыл бұрын
kzbin.info/www/bejne/g5Skf6Sqodp9iKssi=evOdBmN5Hj4WlIkP
@HamdanNatosa
@HamdanNatosa Жыл бұрын
kzbin.info/www/bejne/g5Skf6Sqodp9iKssi=evOdBmN5Hj4WlIkP
@HamdanNatosa
@HamdanNatosa Жыл бұрын
kzbin.info/www/bejne/g5Skf6Sqodp9iKssi=evOdBmN5Hj4WlIkP
@GB-Mafuru
@GB-Mafuru Жыл бұрын
KUHANI AFUNDISHAYE DR
@MinistriesU
@MinistriesU Жыл бұрын
Ubarikiwe sana
@injilinjeyakutazakanisa
@injilinjeyakutazakanisa Жыл бұрын
Emen, baraka mingi kwako pia Mtu wa Mungu
@ombeniswai152
@ombeniswai152 Жыл бұрын
Ndugu yangu hongera Sanaa kwa Kazi ya MUNGU 💕🌹
@injilinjeyakutazakanisa
@injilinjeyakutazakanisa Жыл бұрын
Amina, baraka nyingi kwako @ombeniswai152
@sellahmwakabuta8246
@sellahmwakabuta8246 Жыл бұрын
Ubarikiwe sana
@injilinjeyakutazakanisa
@injilinjeyakutazakanisa Жыл бұрын
Amina, yako nadhani nitaipandisha leo
@evanskip1
@evanskip1 Жыл бұрын
I am really happy that only a few watch lies! /we are in Gen Z generation anyways!
@tanzanianews2558
@tanzanianews2558 Жыл бұрын
Keep going..... Kazi ya Mungu iendelee....... Injili ienezwe Mbarikiwe
@injilinjeyakutazakanisa
@injilinjeyakutazakanisa Жыл бұрын
Baraka nyingi kwako
@gashkanay4870
@gashkanay4870 Жыл бұрын
Kazi nzuri sana mwalimu 🙏🙏🙏🙏🙏
@injilinjeyakutazakanisa
@injilinjeyakutazakanisa Жыл бұрын
Barikiwa sana Mtu wa Mungu 🙏🏾
@injilinjeyakutazakanisa
@injilinjeyakutazakanisa Жыл бұрын
Moja wa Wainjilisti mahiri mnooo. 🙏🏾
@halimandinde2853
@halimandinde2853 Жыл бұрын
👏👏👏
@mtimkavu6600
@mtimkavu6600 Жыл бұрын
Kongole Sana kaka mungu akubariki tuko pamoja mungu wetu na atusikie
@injilinjeyakutazakanisa
@injilinjeyakutazakanisa Жыл бұрын
Barikiwa Mtu wa Mungu. Karibu
@jvega1793
@jvega1793 Жыл бұрын
😓 Promo>SM
@elipendonyalandu6552
@elipendonyalandu6552 Жыл бұрын
AMEN🙏🏻
@elipendonyalandu6552
@elipendonyalandu6552 Жыл бұрын
🙏🏻🙏🏻
@elipendonyalandu6552
@elipendonyalandu6552 Жыл бұрын
🙏🏻🙏🏻
@elipendonyalandu6552
@elipendonyalandu6552 Жыл бұрын
🙏🏻🙏🏻🔥🔥🔥🔥
@jamesnyaore8583
@jamesnyaore8583 Жыл бұрын
Very good
@injilinjeyakutazakanisa
@injilinjeyakutazakanisa Жыл бұрын
Thank You James, we are planning for something bigger than this.
@elipendonyalandu6552
@elipendonyalandu6552 Жыл бұрын
MUNGU akuinue kwa viwango vingine tunabarikiwa 🙏🏻🙏🏻🙏🏻🙏🏻🙏🏻🔥🔥🔥🔥❤️
@injilinjeyakutazakanisa
@injilinjeyakutazakanisa Жыл бұрын
Nawe karibu ufundishe
@elipendonyalandu6552
@elipendonyalandu6552 Жыл бұрын
AMEN mtumishi Wa MUNGU
@elipendonyalandu6552
@elipendonyalandu6552 Жыл бұрын
🙏🏻🙏🏻
@elipendonyalandu6552
@elipendonyalandu6552 Жыл бұрын
Amen mtumishi wa bwana
@injilinjeyakutazakanisa
@injilinjeyakutazakanisa Жыл бұрын
Karibu nawe utumike
@elipendonyalandu6552
@elipendonyalandu6552 Жыл бұрын
@@injilinjeyakutazakanisa AMEN🙏🏻
@Peter-is8vt
@Peter-is8vt Жыл бұрын
☺️ p̴r̴o̴m̴o̴s̴m̴
@rosamundlopez7216
@rosamundlopez7216 2 жыл бұрын
𝓅𝓇o𝓂o𝓈𝓂
@paulmilley3882
@paulmilley3882 2 жыл бұрын
Nimpenda sana lnjili YAKO Paul
@injilinjeyakutazakanisa
@injilinjeyakutazakanisa 2 жыл бұрын
Kdg Mtumishi, tunajaribu jaribu. Barikiwa sana na karibu
@emmanueldeah3950
@emmanueldeah3950 3 жыл бұрын
Mhngu akubariki mtumishi
@injilinjeyakutazakanisa
@injilinjeyakutazakanisa 3 жыл бұрын
Nawe pokea Baraka
@emmanueldeah3950
@emmanueldeah3950 3 жыл бұрын
Barikiwa mtumishi kwa somo zuri
@injilinjeyakutazakanisa
@injilinjeyakutazakanisa 3 жыл бұрын
Amina, Baraka kwako pia Mtu wa Mungu