Polepole sikuelewi je? Unatubu au unajidanganya maana wewe ni msariti wa kauli zako mwenyewe
@SalambaPeter2 ай бұрын
Watanzania tuwe macho au tuamke huyu alituaminisha ni muumini wa selikali tatu na haki nyingine za raia lkn alipo pewa madalaka sijui nini kilimbadirisha nilimwamini lkn kwa sasa siwezi kumwamini tena kwa maana alisha ikana kauli yake mwenyewe haaminiki tena
@hpolepole2 ай бұрын
@salambapeter ni kauli gani nimeikana?
@rashidmilanzi2533 ай бұрын
Nakuombea uwe rais
@rashidmilanzi2533 ай бұрын
Wewe ndie rais wa tanzania
@fransicmushenyera93023 ай бұрын
R.I.P.JPM
@JohnKitamwasolemokotio3 ай бұрын
Huyu pole pole ni tu ni ya taifa
@tynabenny75874 ай бұрын
Nimebarikiwa na neno
@injaphetjoel42304 ай бұрын
Pale kwenye sukari saivi ndio tumejua kuwa kuna watu wanapamendea
@NethrinePaul4 ай бұрын
Humfrey Mungu akubariki sana umenifundisha sana ila unakarama ya utumishi
@NethrinePaul4 ай бұрын
Pole pole ni kweli mengi yametokea me naamini kweli siku zimeisha
@benedictmrisho18005 ай бұрын
Kumbe ujana ukiisha akili na msimamo hubadilika kiasi kikubwa mno. Mungu akujalie uone zile ndoto zako za ujanani. Maneno huumba.
@MarcoPeter-y5n5 ай бұрын
Neno la Uzima MUNGU BABA WA Mbinguni Atubarikie sote
@michaelmwalimu60576 ай бұрын
Tanzania wachamungu tunahitaji mtu kama wewe kukalia kiti cha raisi.
@michaelmwalimu60576 ай бұрын
Yani Mtumishi utakuwa raisi wa nchi ya Tanzania upende usipende naisubiri hiyo siku kwa hamu sana.
@michaelmwalimu60576 ай бұрын
Amfrey polepole wewe ni raisi ajae wa nchi ya Tanzania sidhani kwamba hujui jambo hili naomba uliombee na weka moyoni haya na ukumbike
@AnaniaLesemu6 ай бұрын
Be blessed
@AnaniaLesemu6 ай бұрын
Thanks so Munch
@homeboybeyondtheborders49356 ай бұрын
Polepole kiongozi sina shaka nae
@GeorgeMhada7 ай бұрын
Ukweli nkwamba ccm wanaogipa kuruhusu katiba kwasababu mbili 1 hiii nchi hii ikiwa na katiba huru watang'oka kwasababu wao wenyewe wamegawanyika ndani na kura nisiri koo wakiwa hawaja ridhiana ndani kama kipindi chalowasa alipat kura nyingi sana zingine waliuza wenyewe koo ukichanganya na kura zawapinzani ccm hawatoboi nasiyo kwamba hatujuwi tunajuwa kuwa uraisi nitaasisi inayo chaguliwa na mfumo sisi niwawakilishi hata kwenye maamuzi hatumo nasaizi ndombaya wabunge wanaheshimu chama kuliko wananchi chama kikimtangaza ndokiongoz tunaletewa kiongozi nchi hii inamambo ya hovyo sana nchi yakifalume hii
@HassanSadick-s4v7 ай бұрын
Hizo dawa za kutoka Cuba mheshimiwa polepole, lini?
@ThomasMselle-rw5ej8 ай бұрын
Your honor the ambassador! I congratulate you very much for the efforts you have been doing in Malawi and now in Cuba as regards to health issues that will benefit Tanzanians. I humbly request you to communicate with Dr Awath of CCM secretariat on matters of my benefits arising from the noble work I did as regards to CCM assets during your term in office. The issue needs some one to proof that I am the person who reported the matter to the authority 1n 2017. Please your honour may you assist. Best regards.
@UgunjaMotorbikes8 ай бұрын
Tanzania is blessed to have you, Kaka
@KumbushoMbanga-hf3wx8 ай бұрын
Polepole nikichwa sana
@KilintonMwangoya9 ай бұрын
Hakika pole pole nimfano wa kuigwa Ili tupate viongoz Bora lazima Tupime Imani zao wanamtegemea Nini axante
@EshaHamd-ed9yv9 ай бұрын
Mlafi wa madaraka ni CCM au Wapinzani nyinyi jidaini na mulewe na madaraka iko siku mutaondoka katika madaraka na mutazofika na mutadhalilika kama muvyowadhalilisha wenzenu hamuna hata chembe ya imani na huruma wanafiki wakubwa
@ijampanzi610011 ай бұрын
Kusema Tanzania inabahati ni uongo. Tanzania ni inchi yenye madini mengi na Raiya Masikini sana. Utaitafusuti vipi hio hali. Hapo ndipo tunajidanganya wafrika.unajufikiria kua Salama kumbe taabani kana wengine. Ukisema uko salama Lazima maisha ya Raiya yawe bora. JPM KAYAONA HAYO na kuanza vita. Kwa hio Afrika Hakuna inchi inayo salimika na Upuraji.
@busarazakikuli Жыл бұрын
💪💪
@Ndu-wa.uroony2 Жыл бұрын
Kaka Polepole hongera kwa kazi unazozifanya. Kuna jambo naomba nikushirikishe. Naomba kuwasiliana na wewe
@homeboybeyondtheborders4935 Жыл бұрын
Talented leader Tanzania 🇹🇿
@homeboybeyondtheborders4935 Жыл бұрын
This is another Nyerere and Magufuli
@braystuskibassa3842 Жыл бұрын
🇹🇿🇹🇿👏🙏👍💪👏😊
@LETTO2366 Жыл бұрын
Amen
@LETTO2366 Жыл бұрын
woow
@mariamzirojuma2157 Жыл бұрын
Somo nzuri sana
@nashonigwimo4212 Жыл бұрын
Jamani kila.aliyesikia ujumbe huu asijadili chakufanya Ni kujianda kwenda mbingun
@ilampahamisi5777 Жыл бұрын
Najikumbushia tu, wakati huu ulipita ambao mambo mengi tuliyahusudu kutoka kwa viongozi wazalendo
@margarethpolepole7438 Жыл бұрын
Huyo ndiyo atakae kuwa Rais wa baadae au waziri mkuu wa Tanzania hata mama akimpiga danadana vipi huyo bado anapendwa sana na watanzania huyo ni kama hayati magufuli
@jumakapilima7295 Жыл бұрын
Wote wachumia tumbo Tu hawa,,
@nassorozawiya5778 Жыл бұрын
You Polepole whom I admire in my entire life.🔥🇹🇿
@piuskusenge-jf2ob Жыл бұрын
Lilian huna utulivu
@charlesheswa2140 Жыл бұрын
Hamfley barikiwa., kwa ufahamu mdogo ulionao juu ya uliyosema ila jifunze vizuri kwani kuna mambo hujui kuyafundisha kama yamanishwavyo kwenye maandiko, pengine ni msingi wa imani yako uliyo uliyofundishwa, ila omba sana ujifunze ujue ili uokolewe😀😀😀 nimependa ujasiri wako wa kuongea unachokijua lakini brother yangu, unania ya kuujua ukweli. Ila jifunze zaidi maandiko.
@alloys-barakaitangaja2531 Жыл бұрын
MIMI NI MTHIOLOJIA MWENYE MASTERS ULIYOZUNGUMZA HON. AMBASSADOR H.P NI MAKUBWA MNO ILA SINA COMMENT YA MOJA KWA MOJA YA KUSUPOORT AU KUTOSUPOORT. NIENDELEE KULIWEKA KATIKA MABANO KAMA ILIVYO KWA WATHIOLOJIA WOTE. BADO HAKUNA AJUAYE MWISHO
@methewbuzuruga-eg8oz Жыл бұрын
Ki akili na ksissa na kiuchumi na kiongozi haka kajamaa Kako mbali siyo yule jamaa ambae Hana degree yeyote kazi yake ni kulalamika eti oooh Mimi nimehangaika na ccm mpaka nikavunjika mkono halafu hiyo jamaa ana kisrani kibaya sana ambacho hakiishi ndiyo maana wanasemaga elimu ya mjinga ni majungu na mipasho na kutojiamini sasa mtu kama huyu akipata urais wa nchi itakuwa balaa sana Kwa sababu ana kisrani sana haiwezrkani mpaka Leo Bado unaponda mtu ambae ameshatangulia mbele ya haki madaraka yenyewe unayopewa ni Kwa ajili ya huruma tu lakini yeye bas Kwa mdomo usipime ana mipasho huyo
@franktuza232 Жыл бұрын
🫡🫡🫡
@dylankanyubi3700 Жыл бұрын
Kiswahili kiinuliwe!!
@Elimuyaufalmewambinguni Жыл бұрын
Kwa waonaji macho ya Rohoni, Huyu ni Rais wa Jamhuri ya muungano kwa nyakati zijazo .
@fredichaki3497 Жыл бұрын
Am agree with you excellent ambassador polepole we stand together with people of malawi in this critical situation and their pain is our pain
@sakandalinus3125 Жыл бұрын
It's really inspiring .Actually you're adding feasibility and popularity. Let's work and we will see impacts ahead.