No video

NYAKATI ZA MWISHO NA HUMPHREY POLEPOLE - WASAFI TV

  Рет қаралды 276,552

Amb. Humphrey H. Polepole

Amb. Humphrey H. Polepole

Күн бұрын

Haya ni Mahojiano niliyofanya na Wasafi TV katika kipindi cha Wasafi Sunday Worship kuhusu Nyakati za Mwisho na kurudi kwa Bwana wetu Yesu Kristo ili atuchukue ili alipo na mimi na wewe na yule tunaomwamini tuwepo. Karibu kusikiliza na Mungu akakupe kibali cha kuelewa. Amina.
Zingatio: Maudhui haya ni yangu binafsi kama Muumin wa Dini, Mkristo, Niliyeokoka, Ninampenda Yesu na Ninakwenda Mbinguni.

Пікірлер: 686
@mwanyongamama4407
@mwanyongamama4407 Жыл бұрын
Utukufu kwa Bwana Mwema Hongeleni kugundua Polepole ana kitu mbarikiwe Sana Abarikiwe kujua Neema Hii ya Yesu Kristo Aliyehai Imependeza Sana Glory to God In Jesus Name.
@mtumishiwambwana5564
@mtumishiwambwana5564 3 жыл бұрын
ni kweli nimeamini MUNGU anavyovifaa amejisazia. usilete kiburi kwa YESU ana watu wengi kwa ajili ya kazi yake.
@thawabuunique9154
@thawabuunique9154 3 жыл бұрын
Yan KIPINDI hiki nimekipenda Sana ila nyie watangazaji msimtangulie my polepole anapokuwa anaelezea, muwe wapole kumsikiliza misidakie maswali just KWA juu mnamfanya mtu hata asahau alichotaka kumalizia
@heavenlight5084
@heavenlight5084 3 жыл бұрын
It's true
@leticiakato478
@leticiakato478 3 жыл бұрын
H. Polepole asante kwa ufafanuzi, ubarikiwe.
@birazenomasanamarco621
@birazenomasanamarco621 3 жыл бұрын
Amakweli duniani tunapita kila mtu kaka tunapaswa kufanya mema2 maana hapa dunia twapita tuheshimiane na kutendeana mema2 usifanyie mtu unaya ukaona utafaidika mungu akusimamie kaka upo sawa sema ukweli hata kwenye siasa simama hivyo
@nasrahassanmasesa3745
@nasrahassanmasesa3745 3 жыл бұрын
Nimekuelew mh pole pole asante kwa neno la mungu miaka 120 ukifanya mema hapa funiani kwahiyo maneno ya hayati jpm na matendo yake yote yapo kwenye bibilia asante jpm mi pia nampenda mungu wangu
@lwitikomwakalinga3798
@lwitikomwakalinga3798 Жыл бұрын
Mungu akubariki mh nilimuomba Roho mtakatifu anifundishe nisiyoyajua nashangaa huku nako nimeongeza maarifa
@mwanyongamama4407
@mwanyongamama4407 Жыл бұрын
Wonderful Safi Sana Atukuzwe Kristo
@denilsondenis3990
@denilsondenis3990 3 жыл бұрын
HUMPHREY UNA JICHO LA KUONA KWENYE NENO LA MUNGU, UNA NURU YA MAANDIKO! I appreciate you brother.
@stratega03
@stratega03 3 жыл бұрын
Gotchaaaaa😂😂😂😂....kumbe huku pia upooo
@denilsondenis3990
@denilsondenis3990 3 жыл бұрын
@@stratega03 Nipo sana....mti uliopandwa kando ya maji lazima uwe Kijani hahahaha
@pst.mathewnestory4201
@pst.mathewnestory4201 3 жыл бұрын
Weeeeeee huyu kuna mwalimu kahusika mambo haya yapo vyuoni msitudanganye kwamba ni Roho
@denilsondenis3990
@denilsondenis3990 3 жыл бұрын
@@pst.mathewnestory4201 kama ni hivyo pia anastahili kupongezwa kwasababu tuna watu wengi makanisani na madhabahuni ambao wameikataa knowledge na hata mwalimu hawako tayari kumsikiliza.....so kama mtu amejifunza to this level then he's teachable
@pst.mathewnestory4201
@pst.mathewnestory4201 3 жыл бұрын
Kweli kabisa unachokisema,wengi wao hawawezi hata kuelezea pamoja na kwamba wamejifunza
@gaudencemihungo4348
@gaudencemihungo4348 3 жыл бұрын
Somo kuhusu unyakuo ni kweli, lakini kurudi kwa Bwana Yesu kati ya 2035 au 2042 haitakuwa exactly. Kwa sababu hata muda wa waisraeli kukaa Misri ktk utabiri ni miaka 400,lakini wakakaa huko miaka 430. Mwanzo 15:13. Lakini ikaongezeka na kufika miaka 430. Kutoka 12:40. Kwa hiyo hatakuwa ktk hesabu hizo, lakini ktk kipindi hiki cha kutoka mwaka 2000- na kuendelea unyakuo utatokea. Ndugu Polepole amejitahidi ktk kuwaandaa watu kwa ajili ya unyakuo, ila asiwaaminishe watu kuwa ni kati ya 2035 au 2042, Bwana Yesu anaweza kurudi hata sasa. Thanks Wasafi.
@melikkatwiga1081
@melikkatwiga1081 3 жыл бұрын
Nauliza swali kwanini kati ya wanafunzi wa yesu 12 wote walikuwa wanaume
@juliethhouseofdesigns147
@juliethhouseofdesigns147 3 жыл бұрын
@@melikkatwiga1081 wanafunzi walikuwa wanaume ila pia wanawake manabii walikuwepo na walimfuata kama Maria magdalena, Martha. Aligawa kazi kulingana na ilivyompendeza.
@zephaniazacharia519
@zephaniazacharia519 3 жыл бұрын
Comment yako nmeona we ndo umejarbu kua against nmekuelewa lakn pia neno linasema hakna aijuae SKU wala SAA kwaio hyo ya 2042 mm skubalian nayo
@gabrielnyenye6964
@gabrielnyenye6964 3 жыл бұрын
Sawa umetoa hoja ya kupinga, ingekuwa vema utoe na somo la wapi imani yako imesimamia katika maandiko.
@airbus380a6
@airbus380a6 3 жыл бұрын
@@zephaniazacharia519 hamtajua siku wala saa lakini unaweza kujua season au mwaka....kutokana na Yesu aliyosema yatatokea kabla ya siku ya mwisho. mbaka sasa 99% yametokea ina maana rapture/ unyakuo ni anytime from now. Ukisoma bible with the help of holy spirit utafunuliwa calculations zilivyokaa.
@user-cs2ud6id9e
@user-cs2ud6id9e 2 ай бұрын
Humfrey Mungu akubariki sana umenifundisha sana ila unakarama ya utumishi
@rudovickmajimaji7116
@rudovickmajimaji7116 3 жыл бұрын
Kaka Humphrey polepole, Nimeamini Mungu yupo kazini. Tunashukuru kutukumbusha kuhusu kujiweka tayari. Hakika Mungu anatupenda, mweye sikio na asikie.
@theonestrenatus954
@theonestrenatus954 3 жыл бұрын
Sikujua kuwa mh.wewe ni mtumishi mzuri WA BWANA kiasi hiki,,hakika umefundisha vyema Somo ambalo ata watumishi waliosomea huwa hawalifundishi vzr kama ulivyofundisha,,taji yako utaikuta Kwa BABA..Barikiwa Sana...
@congressmr8594
@congressmr8594 3 жыл бұрын
Mungu atusaidie kuimarisha Imani zetu na mafunuo ya neno lake. Asnte kwa Neno mtumishi.
@user-cs2ud6id9e
@user-cs2ud6id9e 2 ай бұрын
Pole pole ni kweli mengi yametokea me naamini kweli siku zimeisha
@rogatiusscarion726
@rogatiusscarion726 3 жыл бұрын
Namshukuru mungu taifa letu limepata viongozi werevu ,wanaojua nyakati vizuri
@kambaragekambarage4586
@kambaragekambarage4586 3 жыл бұрын
Kaka
@Tino_Official_tz
@Tino_Official_tz 3 жыл бұрын
Hizi dakk 42 nimeziona kama dakk 5 zimeisha ghafla. Hili ni muhimu sana kuliko jambo lolote lile.
@alexezekiel5280
@alexezekiel5280 3 жыл бұрын
Sasa nimeelewa hekima YAKO inakotoka!! Hongera Sana.
@injilihalisitv2023
@injilihalisitv2023 3 жыл бұрын
Ni Kweli Kabisa!! Ndugu!! 🙏🙏🙏 Nimeelewa Piah
@gracebuyuya4349
@gracebuyuya4349 3 жыл бұрын
O
@michaelemmanuel7089
@michaelemmanuel7089 3 жыл бұрын
Kwanza kabisa nina kila sababu ya kusema, MUNGU asante kwa sababu unatupenda watoto wako ndio mana unaleta hawa watu waseme,pili nawashukuru kwa dhati wasafi waliomwita mtumishi huyu,na mwisho kabisa Shukrani za kipekee kwa polepole, ninakusihi ulio tufundisha amina naomba uyaishi hayo mpaka YESU atakapokuja kutunyakua tulio watakatifu,amen.
@charlesdaniely4656
@charlesdaniely4656 3 жыл бұрын
Amen Amen Amen ukiachilia mbali na siasa ana karama ya utukufu wa MUNGU hakika kiongozi wa kuigwa na MUNGU akuinue kwa huduma yako Amen
@eddyjuniortz2234
@eddyjuniortz2234 3 жыл бұрын
Binafsi nampenda Sana Yesu ,,ni kweli hakutaja siku maalumu ya kurudi maana alisema hatujui siku wala SAA ,,lakini dalili zote za kurudi kwake aliziainisha ,,asomaye na atambue ,,Mambo haya wamrgichwa watu wenye akili na hekima wakafunuliwa watoto wachanga, ila si wachanga wale unaowajua wewe,,Groly to God
@dannychagana3019
@dannychagana3019 3 жыл бұрын
Mbona nabii Daniel alioneshwa siku za mwisho ni lini?
@eddyjuniortz2234
@eddyjuniortz2234 3 жыл бұрын
@@dannychagana3019 okay alisema ni lini?
@dannychagana3019
@dannychagana3019 3 жыл бұрын
@@eddyjuniortz2234 soma Daniel 12:1 - 13 utaona aliambiwa ni lini mwisho wa mambo haya. Ila kumbuka siku moja kwa Mungu ni sawa na miaka 1,000 kwa mwanadamu Pia ni kweli kabisa kusema; hakuna ajuaye siku wala saa ya siku ya mwisho. Ila kwa mujibu wa Daniel mwaka unajulikana. Tuendelee kutafakali kwa amani mambo haya bila kuogopesana
@chrismassawe326
@chrismassawe326 3 жыл бұрын
Hahahaaa msipofaham ni kwamba siku ya mwisho ishafika na kazi zilishapimwa kwa moto
@eddyjuniortz2234
@eddyjuniortz2234 3 жыл бұрын
@@chrismassawe326 mmmmh chriss kweli?
@kataninyido962
@kataninyido962 3 жыл бұрын
Mungu akubariki sana mtumishi wa Mungu kusimama katika haki ya Mungu, wewe nikiongezi imara usieteteleka umeonyesha ushupavu kama Gwajima, nyinyi mnafaa mmebeba watanzania wengi sana natutaendelea kuwafuata mawazo yenu tumewaona nyinyi ni viongozi wazuri mnafaa na tutawapa kura za ndio tena zakutosha, sisi tunawafuatilia sana kwenye mitandao mko makini mno mnamapenzi mema na watanzania wengi Ahsante 🙏🙏🙏
@mwanyongamama4407
@mwanyongamama4407 Жыл бұрын
Mmependeza kwa Bwana barikiwa.
@margarethpolepole7438
@margarethpolepole7438 3 жыл бұрын
Hubiri sana baba mungu atakubariki sana
@chedielmbwambo4385
@chedielmbwambo4385 3 жыл бұрын
Kaka polepole una maarifa mazuri sana ya Biblia. Hongera hiyo ni hazina na ni neema ya MUNGU kwako. Umenibariki mno mno 👏👏👏
@barakaelisha6175
@barakaelisha6175 3 жыл бұрын
Huo msanii, kusoma hio bb kawaida
@glorykibona3761
@glorykibona3761 3 жыл бұрын
Nimejikuta2 nalia baada yakuskiliza kipindi hiki kuanzia mwanzo had I mwisho hongera sana mh polepole kuna kitu nimejifunza kutoka kwako MUNGU akubaliki pamoja na wote mliopo kwenye hii injili
@shalomizrael667
@shalomizrael667 3 жыл бұрын
Bwana Yesu nitenge na dunia nikauone uzima wa milele. barikiwa mtu wa Mungu Polepole.
@peaceofmind7036
@peaceofmind7036 2 жыл бұрын
Kaka Hamfey kiukweli. Umenifanya nimgeukie Mungu tangu sasa maana kila ulichokisema ni kweli tupu. Binafsi umenifanya kua na wivu sana na wewe kwa namna unavvo mjua Mungu ungali bado u kijana. Nakuombea kwa Mungu tamanio lako la kuingia Mbinguni litimie kwa Jina la yesu kristo. Amen
@hamnajipyadicksoni4007
@hamnajipyadicksoni4007 10 ай бұрын
Wewe taira kweli kweli
@mwanyongamama4407
@mwanyongamama4407 Жыл бұрын
Ni kujiandaa yuko Karibu Yehova Ema neno halibadiliki usiongeze usipunguze ufunuo
@selemsigala4771
@selemsigala4771 3 жыл бұрын
Sasa nime tambua kwanini ulikua pamoja na hayati Magufuli, hakika taifa tunayo hadhina ya kutosha. Mungu tupe njia ilio bora pekeetu hatuwezi 🙏
@dayanakassanga944
@dayanakassanga944 3 жыл бұрын
Pole pole ndo anaongea wokovu halisi ambao haujachakachuliwa wokovu wa ukweli ukifuata haya ukaacha dhambi zote na ubaya wa kila namna hakiyanani mbinguni lazima uende.amina
@merryeduward3028
@merryeduward3028 3 жыл бұрын
Mungu uliye juu Nakupenda sana mungu barikiwa mtumishi wa mungu
@mzalendowakweli5312
@mzalendowakweli5312 3 жыл бұрын
Haya mahubiri ni ya kweli?
@eunicebukokhe6805
@eunicebukokhe6805 3 жыл бұрын
Asante sana kwa kujenga kiroho ni mekusikiliza vizuri sana katika mafundisho haya naubarikiwe sana
@simonibonifacemwakaniki3357
@simonibonifacemwakaniki3357 3 жыл бұрын
Asante mtumishi tukopamoja
@christinewomanoffaith5479
@christinewomanoffaith5479 3 жыл бұрын
Hubirini watu waokoke, wamjue Kristo,kina masanja na wahubiri wengine Tuache mahubiri yasiyowaandaa watu! Ushajiuliza kwann miaka hii kuanzia 2019 mpk sasa Mungu anachukua watumishi wake waliomtumikia kwa uaminifu,hataki watu wake wauone huu uharibifu
@redempthatheobard6344
@redempthatheobard6344 3 жыл бұрын
Na kwel
@iuem5792
@iuem5792 3 жыл бұрын
Aisee Yesu Kristo ni mwema sana.Ndio maana watu wanaonyeshwa sana unanyakuo sasa hivi Nyie chanjeni tu
@elebencoltd8649
@elebencoltd8649 3 жыл бұрын
Mungu wa mbinguni akubariki Kaka Polepole kwa Kazi njema uliyoifanya
@bonifacebeatrice8077
@bonifacebeatrice8077 3 жыл бұрын
Amina,Hakika Tusilete kiburi kwa Mungu anawatu wengi
@rosenamilia4140
@rosenamilia4140 3 жыл бұрын
Mh Polepole Asante kwa kutufunulia hayo maneno yenye hekima kwa wale wamwaminie Mungu alietuumba. Tunaomba uwe na kipindi cha kuwaelimisha wana wa Mungu ili hata wale wasiomwamini wajue ipo siku na saa ambayo kila wanadamu awe tayari kuyapokea hayo mapito.
@josephatdubi6038
@josephatdubi6038 3 жыл бұрын
Hongera Mtumishi wa Mungu Polepole kwa ujumbe wa siku za mwisho! Wee,umenibariki Sana! Mimi Ni Mchungaji na Mwalimu wa vyuo vya Biblia,nimefurahia, wewe Ni mtafiti Kama Waberoya
@yohanalazaro4973
@yohanalazaro4973 3 жыл бұрын
Polepole hongera Sana wewe kumbe ni mtumish wa mungu
@israelmtega1886
@israelmtega1886 3 жыл бұрын
Napenda sanaaa kusikiliza maneno ya Mungu
@nabwikeswedy346
@nabwikeswedy346 3 жыл бұрын
Yesu atusaidie sana hakikaaa, ubarikiwe kutukumbusha
@tithomtitu32
@tithomtitu32 3 жыл бұрын
Ivi Yesu akija sasa kuna mtu atajitetea kuwa hakusika neno maana Mungu anajaribu kutumia kila aina watu maadamu akufahamishe kuwa wakati umekaribia ni wakati wang na wako wa kujutakasa na kujianda kwaajir ya unyakuo Mungu akubariki sana mheshimiwa pole pole hakika umetumika vyema sana na Mungu pia azidi kukutumia zaidi katika kutimiza kusudi alilo kuitia hatimae heanda tukapata neema ya Yesu kristo katika unyakuo wake tukawa miongon mwao watakao nyakuliwa Amen......🙏
@hekimarichard1088
@hekimarichard1088 3 жыл бұрын
Amina barikiwa Sana perepore
@washindionlinetv9315
@washindionlinetv9315 3 жыл бұрын
Kaka polepole, wewe ni mtumishi wa Mungu. Tumika tumika. Ni nyakati za Mwisho
@bugalubahezwa6198
@bugalubahezwa6198 3 жыл бұрын
Kaka barikiwa Sana Mungu akubariki sana
@richardsanga1711
@richardsanga1711 3 жыл бұрын
Mungu ndo mwema atuongoze katika mema yote asant yesu kwa kunifia msalabani nifutie jina langu kwenye kitabu cha huku ameni
@alexandershayo6026
@alexandershayo6026 3 жыл бұрын
Kweli kabisa nimejifunza kitu
@frankcheba2185
@frankcheba2185 3 жыл бұрын
Nimefurahi sana kusikia kaka yangu polepole unakijua vzur kile nilichokuwa nakifahamu,kiukweli nimebarikiwa na umenitia nguvu upya... Mungu ni mwema sana
@eppiemodest
@eppiemodest 3 жыл бұрын
Mungu ni mwema sana. Humphrey Polepole uendelee kufundisha. 🙏
@rosemarymgalula8939
@rosemarymgalula8939 Жыл бұрын
Mtumishi uko sahihi siku zimeisha tujiweke tayari tumtafute zaidi Mungu na kutengeneza mahusiano yetu Yesu Kristo yuko mlangoni sana
@eliyagikaro6426
@eliyagikaro6426 3 жыл бұрын
Polepole, nimemkubali!hakika ni mtumishi wa Mungu.
@frolawihenge2078
@frolawihenge2078 3 жыл бұрын
Haaa!!kumbe Mh.Polepole ni mhubiri mzuri namna hii!!!!!!Barikiwa sana baba.
@bellimarwa5454
@bellimarwa5454 3 жыл бұрын
Atukuzwe mungu aliye. Umba mbingu na nche tazama alivyo wainua watumishi wake wanatangaza habari njema. Kuhusu kurudi kwa kwa yesu wateule tuwe macho
@stevenkahabi2600
@stevenkahabi2600 3 жыл бұрын
Ubalikiwe sana na MUNGU aendelee kuku pigania na kukulinda zidi ya hila na vita dhidi ya muovu ibilisi shetani . U so inspired me 🙏👏
@loishiyesamwel1374
@loishiyesamwel1374 3 жыл бұрын
Neno la MUNGU ni kweli kabisa. Na litahubiriwa popote mahali popote na yeyote atakaetakiwa kufanya hivyo. AMEN
@japhetnzunda99
@japhetnzunda99 3 жыл бұрын
Kweli jina lako lipo sawa polepole kweli wewe nitumishi wa mungu
@keeptimenimrod3770
@keeptimenimrod3770 3 жыл бұрын
Safi sana, kweny siasa upo na kwa Yesu upo!!!. Mwingne akishaingia kweny mambo ya kidunia Mungu anamweka pembeni!!. Utawala huu wa Mh. J.P.Magufuri ni utawala ambao Mungu anatukuzwa sana kuliko tawala zingine zilizopita!!. Hongera mtumishi kwa ujumbe mzuri
@charlessospeter4826
@charlessospeter4826 2 жыл бұрын
Sawa polepoe Uko sawa mtume Charles sospeter
@dorisselembo1225
@dorisselembo1225 3 жыл бұрын
Ubarikiwe sana mtumishi wa Mungu kweli tuwetayari kwa unyakua Jesus Christ yuko mlangoni 🙏🙏🙏
@yahsavechassala1037
@yahsavechassala1037 3 жыл бұрын
SHALOM ALEICHEM MR. POLEPOLE YOUR SCRIPTURE EXACTLY IS TRUE AM IN JUDAISM FAITH IN MY COUNTRY TANZANIA NOW I DEEP IN JEW FAITH AND WAS PAST CHRISTIAN FAITH BUT NOW THIS MASSAGE IT'S UR SAY IS VERY DEEP THANKS MR POLEPOLE ABBA YHWH ELOHIM BLESS YOU.
@nasrahassanmasesa3745
@nasrahassanmasesa3745 3 жыл бұрын
Tumrudie mwenyezi mungu kwa mema ili muda ukifika tunyakuliwe wote kwenda binguni
@mariamsebogo9816
@mariamsebogo9816 3 жыл бұрын
Amini mtumishi wa Mungu ni wakati wa maandalizi.
@johnbernad3407
@johnbernad3407 3 жыл бұрын
Barikiwe sana mh pole pole Kumbe Mungu anawatu wengi sana awamu ya tano Mungu aliipa tunu kubwaga sana iliyo shehen watu watumishi wa Mungu
@tynabenny7587
@tynabenny7587 2 ай бұрын
Nimebarikiwa na neno
@vailethpeter7209
@vailethpeter7209 3 жыл бұрын
Yesu anarudi ndugu zangu nikujiweka tayari ndokilichobaki hali inatishasana sana wapendwa asaukiangalia waubiri waleo wanaojiita manabii badala wawaambie watu ujiowa Yesu kurudi wao wanapambana kusema pokeaaa uyoanaeambiwa pokea ndokwaza unaishi na mume wa mtu au anadaiwa na damu zisizo kuwa na hatia kwa kutoa mimba hakika Mungu atusaidie lkn hali ya sasa inatisha mwenye masikio na asikie
@deviskaliare5420
@deviskaliare5420 3 жыл бұрын
Barikiwa sana mheshimiwa kwa ufafanuzi mzuri na kwa unyenyekevu mkubwa kama kawaida yako, I have lent a lot, Mungu wetu wa mbinguni aendelee kukulinda.
@ezraniwemjuni4475
@ezraniwemjuni4475 3 жыл бұрын
Kwa kweli mtumishi wa Mungu hamphle. Polepole, Ahsante kwa tafakali ya neno la Mungu ni kwa uweza wa roho mtakatifu, barikiwa Sana
@emmanuelmziray1073
@emmanuelmziray1073 3 жыл бұрын
Excellent. Ubarikiwe Polepole mdogo wangu
@janethmwihumbo1289
@janethmwihumbo1289 3 жыл бұрын
Viongozi wote wangekuwa hivi nimependa
@mhojamsafiri2273
@mhojamsafiri2273 3 жыл бұрын
Nimebarikiwa sana mtumishi polepole🙏🏻🙏🏻🙏🏻🙏🏻🙏🏻🙏🏻
@boazmandago2381
@boazmandago2381 3 жыл бұрын
Umenishangaza sana Mkuu polepole, sikujua kama na huku uko tena zaidi ya kule!
@gugainukaentertainment85
@gugainukaentertainment85 3 жыл бұрын
AMINAAA KUBWAAA'SAANA SAAAANA AISEEE NIMEPOKEA HUU UJUMBE MAHUSUSI KWAAJILI YA KANISA LA KRISTO NA WANADAMU WAKAAO JUU YA USO WA NCHI. TUCHANGAMKE TUKAINUE VICHWA VYETU KWASABABU UKOMBOZI WETU UMEKARIBIA
@marrysauli8455
@marrysauli8455 3 жыл бұрын
Jina la Bwana Mungu lihimidiwe kwa ajili yenu Mr Pole pole
@mpelienock
@mpelienock 3 жыл бұрын
Asante Humphrey pole pole, kaa huko yachunguze maandiko na utukumbushe kujiandaa kwa unyakuo.
@charlesheswa2140
@charlesheswa2140 Жыл бұрын
Hamfley barikiwa., kwa ufahamu mdogo ulionao juu ya uliyosema ila jifunze vizuri kwani kuna mambo hujui kuyafundisha kama yamanishwavyo kwenye maandiko, pengine ni msingi wa imani yako uliyo uliyofundishwa, ila omba sana ujifunze ujue ili uokolewe😀😀😀 nimependa ujasiri wako wa kuongea unachokijua lakini brother yangu, unania ya kuujua ukweli. Ila jifunze zaidi maandiko.
@peterntora5041
@peterntora5041 3 жыл бұрын
Amina kamanda kazi yako no njema ubarikiwe sana mtumishi wa Kristo Muokozi wetu! Hakika Mungu ana vifaa!!!!
@ebenezernnko8251
@ebenezernnko8251 3 жыл бұрын
Huyo polepole mnafiki wa dunia mwenye ndimi mbili amesha poteza waTanzania wengi
@Jastus100
@Jastus100 3 жыл бұрын
Unafiki wake nini?
@nuruyauzimachurch
@nuruyauzimachurch 3 жыл бұрын
Daaah balikiwe Sana mtumishi wa MUNGU kumbe na kwenye uchungaji ipo Safi Sana mungu akupe neema ya kuuona ufarume wa MUNGU
@jofreykivambe6520
@jofreykivambe6520 3 жыл бұрын
Asante saana Mtumishi wa MUNGU" Pole pole...
@stelamkane9775
@stelamkane9775 3 жыл бұрын
Kweli Mungu ana watumishi wengi ,naomba Mungu akutie nguvu pamoja NA watumishi wengine wamhubiri Yesu kuwa ni Bwana NA Mwokozi wetu , nasiku tusiyoijua atakuja kulichukua kanisa lake
@eunicebukokhe6805
@eunicebukokhe6805 3 жыл бұрын
Asante sana Ndugu tuna kuhitaji hapa Kenya western Lugar i
@tilifozakikoti5046
@tilifozakikoti5046 3 жыл бұрын
Ubarikiwe sanaa polepole wewe ni mtumishi hasaa Mungu akutunze
@nicksonmbaga7698
@nicksonmbaga7698 3 жыл бұрын
Sasa kama miaka saba ya dhiki ya yako inaanza wakati watakatifu wameshanyakuliwa, hiyo hakuna kuuza wala kununua mpaka uwe na chapa ya mnyama yani 666, hawa wote waliobaki ni waasi hiyo chaps ni ya nini sasa?
@sijalikifunyo912
@sijalikifunyo912 3 жыл бұрын
Ndo maana Prez Dar wetu yuko vizuri anazungukwa na wacha Mungu kama hawa. Good sana.
@robbiesingisa4543
@robbiesingisa4543 3 жыл бұрын
Usilewe sio kila atajae jina lake yu kamili
@nabwikeswedy346
@nabwikeswedy346 3 жыл бұрын
Ubarikiwe sana mtumishi wa Mungu 🙏
@mariamwakabuta1034
@mariamwakabuta1034 3 жыл бұрын
Yaani MAGUFULI kaondoka kama Yesu katuonyesha viongozi wabaya wako vipi na viongozi Wema wako vipi 😭😭 tunakushuru Mungu Baba 🤲🙏
@richardkaswalala780
@richardkaswalala780 3 жыл бұрын
Sasa hv tumebaki na anayeabudu shetani.ndio maana anatuambia nawasalim kwa jina la jamuhuri
@noelkamundi1602
@noelkamundi1602 3 жыл бұрын
Nampongeza ndugu Humphrey Pole pole Yuko vizuri Sana kimaandiko na haya ndio yanayopaswa kuelekezana kila siku.
@kaijagejustinian8198
@kaijagejustinian8198 3 жыл бұрын
Hongera Polepole kwa kuyachunguza maadishi.
@priscajohn6090
@priscajohn6090 3 жыл бұрын
Nimefurahi sana' Masanja anavyopiga mahesabu' H....umenifurahisha sana
@prijoseph4665
@prijoseph4665 2 жыл бұрын
Polepole sijui niseme nini juu yako ila you're so smart.
@martinchadulaga5745
@martinchadulaga5745 3 жыл бұрын
Uko vizuri sana polepole ila umekosea kidogo sana unabi unasema hivi baada ya Yesu kuja Dunian kwa mara ya pili watakatifu watamlaki Yesu hewani kwa waovu wote ule utukufu wa yesu kwa kuwaangazia watakufa ila watakatifu wataenda zao mbinguni hakuna unyakuo Yesu atapokuja kila jicho litamwona hata wale waliomtesa watamwona
@wemajoashi3549
@wemajoashi3549 3 жыл бұрын
Daah mungu awabarki xana watumishi azdi kuwapa maono kila kukicha
@christinewomanoffaith5479
@christinewomanoffaith5479 3 жыл бұрын
Nimegundua kuwa watu wengi walioitwa kutumika wame diverge na kuingia kwenye masuala mengine kabisa! Shetani mjanja sana,lkn Yesu ni Bwana itafahamika tu
@user-pi1st6pj3w
@user-pi1st6pj3w 3 ай бұрын
Neno la Uzima MUNGU BABA WA Mbinguni Atubarikie sote
@gracemashauri1617
@gracemashauri1617 3 жыл бұрын
Mungu awabariki Sana Sana mwisho u karibu
@petromwakyalabag9484
@petromwakyalabag9484 3 жыл бұрын
Uko sahihi Sana nijua wewe ni mwanasiasa tu kumbe hata kristo unjua sana
@praygodjohn5221
@praygodjohn5221 8 ай бұрын
Huyu Ni SDA
@Mtumishkapinga
@Mtumishkapinga 3 жыл бұрын
Angalia sana usiipungukie Neema ya Mungu maana Yesu yuko karibu mno kuliko unavyo fikilia
@erickwilson5698
@erickwilson5698 3 жыл бұрын
Aise Mungu atusaidie
@MS.independent8934
@MS.independent8934 3 жыл бұрын
Ndugu Mh. Polepole kumbe umekuja Hadi humuu safi sana mkuuu 🇹🇿❤️🙏🏽
@kalumbugideon4159
@kalumbugideon4159 3 жыл бұрын
Ubarikiwe Sana Ndugu Pole Pole....nimeota kuhusu cheo chako cha Katibu Mwenezi CCM Taifa.....Mungu pekee akutetee.... Ubarikiwe Sana....
@raphaelalbogast7464
@raphaelalbogast7464 3 жыл бұрын
Tunawaza kunyakuliwaa we unawaza vyeo vya kidunia tumia akili basi
@kalumbugideon4159
@kalumbugideon4159 3 жыл бұрын
@@raphaelalbogast7464 Sawa.... Mungu pekee ndiye ajuaye Maisha yangu na yako Raphael
@gabrielnyenye6964
@gabrielnyenye6964 3 жыл бұрын
Ubarikiwe Humphrey. Umeonyesha msimamo wako kimaandiko, nimekuheshimu kwa hilo. BWANA akubariki.
@herieliyesaya2086
@herieliyesaya2086 3 жыл бұрын
Kaka hamphrey mafunzo yako yamenifundisha roho wa mungu awe pamoja nawe
@gabrielnyenye6964
@gabrielnyenye6964 3 жыл бұрын
BWANA akubariki Humphrey. Umeonyesha msimamo wako kimaandiko, nimekuheshimu kwa hilo.
@victoriarwerengera4831
@victoriarwerengera4831 3 жыл бұрын
Ndugu Pole Pole huwa yuko vizuri kwenye nyanja zote...hata siasa, usanii, kuhubiri Kristo , muziki...aaaah! Kajaliwa aisee...Namshukuru Mungu kwa kuwepo kwake....hivyo Mama yake kabla yamkumzaa alimcheki kwanza ndo akatuletea...
@vincentmiruka664
@vincentmiruka664 3 жыл бұрын
I am very inspired by Hon Bro Humphrey, He is a very articulate politician in Tanzania and a very good orator who has a very good understanding of his subject matter whenever he stands to speak. Now i know, divinity is at work in him. God bless you Sir, and its my prayer that God open for you door beyond boarders of Tanzania to speak the oracles & mystery of God with boldness. I had no any other option but to subscribe and give a thumps up. Shukran Sir.🙏
@issacknnko7919
@issacknnko7919 3 жыл бұрын
Kweli pole pole upo vizuri pia kwenye Scripture karibu Zion
@KhadijaMushi
@KhadijaMushi Жыл бұрын
Thanks
USIYOYAJUA KUHUSU NYAKATI ZA MWISHO | With Mch.  Abihud Misholi | SEMINA |
46:33
Bishop Michael Kilasi
Рет қаралды 19 М.
MAHOJIANO YA NDG. POLEPOLE NA WASAFI TV
1:01:18
Amb. Humphrey H. Polepole
Рет қаралды 8 М.
Parenting hacks and gadgets against mosquitoes 🦟👶
00:21
Let's GLOW!
Рет қаралды 13 МЛН
Get 10 Mega Boxes OR 60 Starr Drops!!
01:39
Brawl Stars
Рет қаралды 19 МЛН
Underwater Challenge 😱
00:37
Topper Guild
Рет қаралды 42 МЛН
这三姐弟太会藏了!#小丑#天使#路飞#家庭#搞笑
00:24
家庭搞笑日记
Рет қаралды 105 МЛН
AIC Chang'ombe Choir (CVC)  -  UKUU NI WAKO   (Official Live Video)
9:35
AIC Chang'ombe Choir (CVC)
Рет қаралды 14 М.
MCH. MSIGWA ATOA SHARTI LA KUHAMIA CHAMA KINGINE
7:00
NURU DIGITAL TV
Рет қаралды 4,3 М.
PAT5)FREE MASON WANACHUKUWA WENYE SIFA HIZI TU BILA HIZO HAWAWEZI EV PASCHAL CASSIAN
26:49
PASCHAL CASSIAN OFFICIAL YOUTUBE
Рет қаралды 423 М.
DAKIKA 10 ZA MCH. HANANJA ZINAZOPENDWA ZAIDI NDANI YA UDSM CCT MEDIA.
9:47
Parenting hacks and gadgets against mosquitoes 🦟👶
00:21
Let's GLOW!
Рет қаралды 13 МЛН