UKISEMA KURUANI NI KIUMBE HUWEZI KUA MUISLSMU SAHIHI
@NasriSaidi-s4h5 күн бұрын
SASA KAMA UNAMKUFURISHA MTUME WA ALLA MASHIA MNADINI NYIE
@NasriSaidi-s4h5 күн бұрын
SASA KWSNI SI ULISHAWAHI KUSEMA UKIMLAANI AISHA MARA ELFU MOJA KWASIKU INAKWENDA PEPONI
@swalehali976017 күн бұрын
Leo kwa maneno haya ndio nimemjua huyu hafai kabisa
@kadrimwingamno25818 күн бұрын
Ata punda ya bedui inaakili kulikoni hii paka.
@RanadhanHamad18 күн бұрын
Na kule kupigwa mawe Twaifu si ukweli? Au huko hakulindwa na watu?
@zuberimussa550820 күн бұрын
Mshikina yeyote hawezi kukubali mgawanyo wa TAWHIDI
@zuberimussa550820 күн бұрын
دعاة من أبواب جهنم
@Hamisjuma-u6j24 күн бұрын
maashaa allaah
@OmarySalehe-u3yАй бұрын
Hayo ni mawazo yako ewe jahili mtume kashasema uma wake utagawanyika makundi sabini na tatu yote motoni ispokuwa moja lilofuata dini kwa ufahamu wa mtume na maswahaba zake huo ndio usalafi aya hazitafsiriwi kwa mawazo yako bali kwa ufahamu wa watu wema
@AbdulkasimuaАй бұрын
بارك الله فيكم وسدد خطاكم ووسع في أرزاقكم
@hamzakimaro3764Ай бұрын
masufi ni mapunda wa MASHIA!wameshindwa kwenye aqida mayahudi na wakiristo wamewashinda!!wao wanajua na wana amini ALLAH yupo juu mbinguni MASHIA na MASUFI wanasema ALLAH (MUNGU)yupo kila mahali!!mara ALLAH(MUNGU)hana mahali!! nawauliza swali? ikiwa MUNGU hana mahali au yupo kila mahali,ile safari ya mtume صلى الله عليه وسلم kutoka MAKKA hadi Baitil muqaddas(quds)kisha akapanda MIIRAAJ kwenda mbinguni,alikwenda mbinguni kutafuta kitu gani? majahili wakubwa nyie!!!
@madrasatunnajmizzaahiral-i2478Ай бұрын
Salaamun alaykum.Samaata Shaykh Shafi, Vipi hali yako? Shaykh,vipi huko Misri,mambo yanakwenda vizuri? Tumekukumbuka sana Tanzania
@PasserbyMan-ju8ky28 күн бұрын
Haya twambie Allah munamuwekea mipaka.allah hajulikani aliko Bali yeye Yuko karibu nasi,hivyo ndivyo alivyo tufunza,mbona hajasema wajawangu wakikuuliza kuhusu Mimi wambie Niko juu.
@arafatmahmud3547Ай бұрын
Lete ushahidi kwamba asiyekuwa Wahabi haingii peponi, na mimi nakuletea ushahidi wa Jamaa zako Mashia kwamba asiyekuwa Shia haingii peponi
@ameirameir4349Ай бұрын
Wanafiki WA kishia kama wewe hawataingia peponi
@osmanmanbile9327Ай бұрын
😂😂😂😂
@AbdulAlly-o1zАй бұрын
UPO VIZURI SHAFII PIGA KAZI
@YusufuGomaАй бұрын
Ansar sugu 😁😅🤣
@SirajiAli-s5lАй бұрын
Shia na Rashid wapi na wapi
@SirajiAli-s5lАй бұрын
Sasa Shia na Rauhid wapi na wapi
@JailanRamadhanАй бұрын
Ahsantum shekh mashaallah mawahab wanakuogopa sana
@SHEIKHSHAFIIBASALIMАй бұрын
Nilazima waniogope kwasababu hawaniwezi na wamenishindwa!!🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Tunaomba darsa ya ufafanuz wa hizo shairi mbili biidhnillah. Iwe hadiyyah yetu
@ZainamavooMavooАй бұрын
We mwehu kweli
@AbdulAlly-o1zАй бұрын
MASHALLAH SAMAHTI SHEKH SHAFII ALLAH AKUBARIKI SANA WATU WANAKUCHUKIA SANA KWA SABABU YA KUSEMA UKWELI WAKO SIYE TUNAKUPENDA SANA TUPO PAMOJA NAWE NA TUNASITAFIDI SANA NA DARSA ZAKO UNAZOZITOA ALLAH AKUBARIKI SANA NA AKUPE UMRI MREFU
@AbdulkasimuaАй бұрын
وفقكم الله لكل خير
@jamalijamali6820Ай бұрын
Wewe ni Shari tunatamani hata usurudi na Ushia wako