Kabisa ndio hiyo tawheed perfect mungu ni mmoja na hakuna anaefanan nayeye
@KhamissBaluti8 күн бұрын
Wallaah shekh othmaani maalim umeonyesha ukomavu Allaah azidi kukuongoza mana wapuuzi wanaropokwa lakin wew busara imekutawala wallaah hii nd sifa yamtu mwenye elim
@ghostreaper94867 күн бұрын
Busara gani ya kukubali kua Allah ni kama Mawahhabi wanavyo itakidi kua ni Kijana kidogo handsome asie kua na ndevu na ana nywele za kusokotana na huva suti ya kijani kibichi Ukafiri ulio fanana na wa Baniani na Nasara..Tena Sheikhul Wahhabiya asema Allah hubembea kwa kamba kama Spiderman kuenda mahali Busara ya Chooni hiyo
@abuuzahran96499 күн бұрын
Shaitwani sahii Hana kazi ngumu Tena maana mawaziri wake wafanya kazi nzuri sana
@MwalimJecha9 күн бұрын
Mashetani watu wanapotosha watu kuliko mashetani majinni ktk zama hizi
@kasimukhamisi805211 күн бұрын
Acheni kuraddiana mitandaoni tokeni muende vijijini huko kunawatu bado wanauhitaji wa kusoma dini nendeni mkasomeshe dini huko acheni kurumbana mitandaoni hii dhima siku ya kiyama tutaulizwa na ALLAH uliitumiaje elimuyako
@abeliever68239 күн бұрын
Sadakta
@MwalimJecha9 күн бұрын
Kweli
@ghostreaper94868 күн бұрын
Kisha Majahala watajuaje wanapo pelekwa kama Kondoo kichinjioni...Ni wasomi wa kweli wa kupenda Haki waweza kulinda Umma kutokana na Maulamaa bandia (mamluki) ambao lengo lao kukokota watu kwenda Jahannam Huko kijijini unapo sema kwani ndipo penye Kondoo wanaotaka Jahannam?
@ramadhaningoda35247 күн бұрын
Huyo ni msaka tonge
@jamalkishangu3 күн бұрын
Waambie wanauza sura mtandaoni
@ndayikezaoscar346710 күн бұрын
MI NI MKRISTO: Ila kwakua umemsema vbaya Sheikh Othman Maalim UMEKOSEA sana tu
@PrincessMaryam-c1r8 күн бұрын
Shukran all habb
@shadadiswalehe39974 сағат бұрын
Othmani maalim ktk hili yuko sahihi tauheedi ipo kwenye qur aani Lakin usiseme eti anaheshma zake akienda kinyume anarekebishwa hii ni dini dini haiangalii vyeo vya mtu ikiwa ataenda kinyume, ila ktk hili othmaan maalim yuko sawa huyu shekh anakosoa aschokijua
@Yayouselim7 күн бұрын
Shafii upon sahihi maalim
@MohammedJuma-d2w11 күн бұрын
Sh othman kasema yy cio kigezo cha kutolew mfano anawza kupatia au kukocea hajakamilika kwa hyo uc mtafutie sababu
@kasimukhamisi805211 күн бұрын
Wewe huna elimi ya kumkosoa shekhe OSMAN MAALIM
@ghostreaper94867 күн бұрын
Elimu ya wapi? Kisauni Mombasa?
@jumabeja9569 күн бұрын
ALLAH AWALAANI WOTE WANAO WATUKANA MASWAHABA WA MTUME SWALALLAHU ALAYHI WASAALAMA
@lacroquetalacroqueta68137 күн бұрын
Sabahlala💯
@SaidJuma-ru7vm11 күн бұрын
Shukran akhui,Allah barik
@Fatma99-ve7ys7 күн бұрын
Mashekhe nyiy ndio wa mwanzo mungu kuwachoma moto kutokana na mambo yenu kuzalilishana mitandaoni
@amaniamokachielmorisho100711 күн бұрын
Weye uko mpoteshadji weye unasema yenye hudjuwi mungu akuongoze kbs
@abiabi935311 күн бұрын
Wewe wahabi jibu hoja za sheikh kielimu.siyo unaleta propaganda.
@JumaBinAbdallah11 күн бұрын
Kutajana majina si sawa, sheikh Othman maalim ako na heshima yake, zungumza na yeye ukiweza.
@abeliever68239 күн бұрын
Sadakta. BaarakallaHu feeka.
@NeemAmianaMramiFamily4 күн бұрын
Kwani wawapi huyu Embu aanzisha mada yako kama vile uzinifu usengenyaji uchonganishi Au unataka kiki kupitia Sheikh Othman maalim Embu Toka hapo we mpiga tarumbeta tu
@idrissamsilagi99783 күн бұрын
Inaonyesha kuwa ni mtu wa sungu masange
@NMJAsaid2 күн бұрын
Huyu naye katoka wapi?
@kasimukhamisi805211 күн бұрын
Alafu awa mashekhe wengine wamichongo wanatafuta Kiki tu mitandaoni.
@milanozanzibar8 күн бұрын
unatafta umaarufu kupitia masheikh wakati hujui ata unachokisema sheikh othman maalim humfikii ata thumni ww
@abeidbinissaissa68485 күн бұрын
Wewe ninafiki mkubwaa unatafuta kujulikana kwa kuchafua masheikh uwe na adabu ukiona kosa funga safar mfate mwenyewe sio kuleta kweny mtandao ili uonekane unajua saaaana huo ni unafiki unafiki
@saidyussuf2291Күн бұрын
Hili shia nalo liseme halafu lisikilizwe ?
@mahmoudhamisi6737 күн бұрын
Yani kila sheikh anatafuta umaarufu kupitia othman maalim
@shuaibabdullahi754411 күн бұрын
Sh Allah akupe afiya
@mohdkhatib2234 күн бұрын
Vita kati ya: kafiri la kishia vs sheikh wa kisufi
@salimuiddi2756Күн бұрын
Munajifaghrisha kuradiana Mbona masheikh wazamani hawakuwa na tabia hii jitambueni acheni kuitumia mitandao vby Ningewaona wamaana mkajikita kufundisha elimu sio kutafuta watu . Masheikh badilikeni tumieni mitandao kueleza swala sawadka zaka hija namengine sio kutuchosha na maneno
@KhamisiOmari-yo7jx9 күн бұрын
Jamani mbona kumshambulia maalim othmani hizo Kanda ni za kitambo maalim othmani kwanza alisoma chuo Cha mawahabi kwa ujumla hizo clip ni za zamani na mawahabi wamezitumia kwa sasa baada ya mawahabi kushindwa hojjah.
@jumarajabu68276 күн бұрын
Kwan alivyosema , wahuwa ssamiiyul adhwiim... si mfanano pia ktk kusikia?
@timermedia35093 күн бұрын
Sio adhwiim. Soma vizuri ndo u comment.
@SalimHaji-y6kКүн бұрын
Kumbe wewe shehe ni mjinga kuliko wajinga wengine...
@MwalimJecha9 күн бұрын
Vijana wanaojifanya mashekhe saivi hawana malezi Ndo mana wanawatusi mashekhe wa kwelii
@Al.habeebAl.habaaib6 күн бұрын
SURA YA KAMA KINYAGO LIKAFIRI LA KISHIA
@MbaroukAbdallah-k8h2 күн бұрын
Sheikh ikiwa una ki2 umekiona hakipo Sawa bc mfate umuambie SHEIKH OTHMAN umefny kadhaa sio sawq sio kutafta umaarufu mitandaoni sio dini hyo
@mwinyihaji44008 күн бұрын
Sheikh umma unamalizwa philistine,wewe hujawahi hata kuongea lakini kufanya radd kwenu imekuwa MaashaAllah ndio izza na utukufu kwenu. Nyinyi mashekhe watanzania muko na ilmu iliojaa uchache ya hali za waislamu ulimwenguni. Sijui ni cheo ndio kina wasumbua au ni nini
@mwajohari43859 күн бұрын
Ulikuwa na ham ya kumuongelea othman maalim,,,,,,inaelekea mlikuwa mnatafuta sana sana,,,,yaan mkisema kwa mtu mmoja haitoshi?,
@abeliever68239 күн бұрын
Waktati ambao tuko Kuwacha kazi ambao ya kunufaisha watu Na kuingia milango ya kutaja wenzetu na kudharau Hapo sina lakusema ispokuwa انا لله وانا اليه راجعون لا حول ولا قوة إلا بالله
@HusseinRashidi-u7o7 күн бұрын
Wewe umesomeawapi hatajina la maalim uwezi kulisoma barabbara
@SalehRamadhani11 күн бұрын
Kasome kwanza mwenyezi mungu anasikya namwanadamu anasikya Haina maana anamasikio kasome kwanza
@MakameShame10 күн бұрын
Kwani hamuwezi kukosoana kwa kumuita mtuu
@AmisseSalimoSalimo2 күн бұрын
Shkhe wewe auna maana utapata dhambi acha kuwakashifu mashe uko siyo kusoma kasome tena auna hishma. Shekhe othman ajakoseya isipokuwa ww aukumuelewa maana aujasoma kasome tena.
@KhalfanMakota10 күн бұрын
Yaan wallah uyu jamaa mm binafs simpend sana kwa kuwa ni shia
@sadammakaka455910 күн бұрын
Kumbe ni shiaaa doooooh maajabu waongo hawaaa
@Ramadhaniomarykibeku9 күн бұрын
Mh Hadi othmaan maalim mnamkosoa!!! Duh
@rajanyoussuph15138 күн бұрын
Watu watafuta attention mtandao. Sijaona sheikh kama Othman Maalim East Africa
@HanifaOman-oo4pl8 күн бұрын
@@rajanyoussuph1513kasomekwanza
@PrincessMaryam-c1r8 күн бұрын
Shukrani my love mm ndo mmezidi
@rajanyoussuph15137 күн бұрын
@@PrincessMaryam-c1r Princess. ❤️
@abdallaabudi569711 күн бұрын
Ahsanti Sheikh Shaafi !!!!!
@vikindumushrooms24616 күн бұрын
Firaauni mkuraish?
@HdMshighaty3 күн бұрын
Kasom.mamburui.shehe.osuman.maalimu.muach.kachot.
@ghostreaper94868 күн бұрын
Nilimdharau Athman Maalim wala siwezi kumuita Sheikh kwa ukafiri wake wa kumpachika Mtume (saww) ila za Umar ibn Khattab za kupitikiwa na usingizi katika Swala ya Alfajiri na eti Mtume akaweka neno *Assalatu Khairu Mina Nawm* jambo ambalo ni Umar alie fanya Yote hayo kutaka kumlinda Umar na upungufu na kuchukua huo upungufu wake kumpachika Mtume (saww) Na Kondoo wameketi tu wamsikiliza bila kujua lolote..Tangu hapo afadhali nimsikilize Kasisi wa Kibaniani kuliko huyu mtu
@rajanyoussuph15138 күн бұрын
Pole sana ndugu. Naomba nikufundishe kitu kama hutojali: Sheikh Othman Maalim kabla ya kutaja msimamo wake katika ikhtilaf yoyote huwa anazitaja ikhtilaf zoote kwanza, baada ya hapo ndipo atataja msimamo wake. Hicho ulichomtuhumu wala sio msimamo wake Bali alikuwa akieleza moja ya Rai zilizoandikwa vitabuni. Ni Bora ungesikiliza hio clip Kwa upana zaidi. Sheikh Othman Maalim sio wa mchezo ndugu
@azizaalbreki333010 күн бұрын
Weye ndio uliokuwa huna kichwa wala miguu wala macho wala akili
@harrishussein699210 күн бұрын
Watu kama nyinyi nakuchukieni sana kazi zenu zakuraddi watu nikuharibu dini hivi mlisomaje bila kuelimika
@mkubwamasoud277611 күн бұрын
Soma kijana kwanza huna elimu
@abiabi935311 күн бұрын
Wewe ni jahili wakiwahabi. Hata huyo sheikh wako hamuezi sheikh shafii
@momadesuales11 күн бұрын
Kijana wa hovyo sana nenda kasome
@karimdaud399310 күн бұрын
Wewe mjinga mfuate ukaingee nae ni kutafuta kiki tu au somesha unayo yajua sio kukosoa .na wala hufai kusomesha
@abdulkhaliqmuhammed45611 күн бұрын
Mambo hayo unayapenda sana, na si kuyapenda kwa sababu ya انصاف bali ni kwa kutaka kuonekana kuwa nawe pia umesoma. Zitakuja zama Wenye Elimu watakuwa wachache wazungumzaji watangukwa wengi.
@AliJuma-k2t11 күн бұрын
Kwani nawewe umesoma?
@hafidhbancar231610 күн бұрын
Mimi nahisi hakuna haja ya kufanya hivi hii nielimu juu yetu tunao sikiliza au mnatutia chuki juu ya mashekh wet hata kama amekosea isiwe kwenye u taratibu huu mana nahisi kunaria ndani yk nahisi kama mtu anataka faida amfate shekh mwenyewe amuulize vp umekusudia vp juu ya hiyo Tawhid utapata faida kubwa au yeye atapata faida kubwa kwako
@SalehDaud-d4f9 күн бұрын
Hapa hakuna shekh hapa wa kuingia dip kweny hiyo maada shekh elimu Yako bdo sana nenda kaongeze kwaza elimu
@omanoman3584 күн бұрын
We achana sheikh othman tafta pesa kuna video kama 2 zimemtukana Allah matus yanguoni hamuwasemi unakuja kumsema mtu na Ilim yake sasa wewe ndo mkwel ? Tumewachoka kelele mitandaoni anae jua ni Allah pekee si ww mungu wetu 1 mtume wetu 1 qruan yetu 1 malumbano ya nn
@NAJMASAIDI-e6b11 күн бұрын
Allah akulinde sheikh akupe afya
@Sheikhmadaba-cm2hw11 күн бұрын
Wewe ungesomesha ungetoa masheikh wengi lakini unajishusha kwa kuradi watu somesha acha kuchunga aibu za watu hali ya kuwa wewe mwili mzima na aibu
@AllyMahaba-r1l11 күн бұрын
Were Wahhabi nini? Sasa baya ni lipi hapo? Dini ni ya Allah, wacha shakhe aseme. Kama unaumia ndio ujikague na kujitathmini.
@abiabi935311 күн бұрын
Wewe wahabi huwelewi kitu.hapo sheikh shafii hajatoa aibu za mtu Bali ameradi mambo yakielimu
@ShamsudeenOmary11 күн бұрын
Huyoo wala hawezi kuwa wahabi, ni sufi mwenzenu hakuna wahabi anayemuona huyuu jamaa ni mzima wa akili bali twajua huyu ni shi'a haswaa wala hatuwezifikia kumwambia asomeshe, sasaa asomeshe kitu gani huyuu abujahal@@abiabi9353
@Sh_Taqee10 күн бұрын
Acha ujinga na pumbavu. Unataka asiradi upotoshaji wenu auache uendelee ktk Jamii?! Allah ametuamuru kufuta Ujinga km huo ktk Jamii
@jimjam-xg7rv11 күн бұрын
Vijana Mnao jiita masheikh mnatabiya za inzi
@jumarajabu68276 күн бұрын
Kumbe we Shia eee.... huna jpya
@Dr-ubaida96511 күн бұрын
Muitishe bachu mnaqasha ili tupate faida
@AbdulAlly-o1z11 күн бұрын
SHEKH UNASEMA KUHUSU ELIMU YA SHEKH KUSOMA WA KENYA NI KATIKA WANACHUONI
@yusuphyusuph362311 күн бұрын
Weye shafii muongope mungu.shk Othman hakutete km unavosema weye.ule mkanda akitambo mnahis utakuwa ht hujabaleghe kipndi icho.wala hakuna mambo ya radra mambo ya radii ya kijinga km unazoou unazofanya weye 7:17
@mohammedshikanda77069 күн бұрын
Sasa mtu shiaa anaongeleaje kuhusu aqeedah ya uislamu?!!!
@poloveshilis60910 күн бұрын
Neno! "Radi kwaa" radi Kwa! Yanasaidia nini ktk uislam? Au ktk dini yetu? Unapokosoa kitu! Au Jambo Fulani! Ni lazima mwandishi aandike "Radi"?
@salimuiddi2756Күн бұрын
Tafuta kitabu fundisha itakamera tukusikie darasa zako hayo mambo hatuyataki fitina
@abdulkhaliqmuhammed45611 күн бұрын
Endelea kusomesha mengine yakupite
@medimisi693010 күн бұрын
kwani huyu nani, Allah si amesema makafiri ukiwauliza nani amekuumbeni husema Allah. na jee madharti ya tona na vp nguzo za hija kagawa nani hayo , na vp nguzo za sala kagawa nani au ww husomeshi hivyo vitabu. jibu hapo na hiyo sun dundurari amegawa pia na yy je ni vitabu vyenu hivyo. sikiliza mawaiza ya bachu sliyomjibu othman maalim kila kitu utaelewa, 😂
@zanzibarfin578910 күн бұрын
Shehe hizo fitina zenu kuweni makini .
@OmarAbrahman-t4u11 күн бұрын
Ongea yako pia unaonyesha huna elimu, kutokana na elimu yako hebu kuna walevi , wizi, wazinifu, kamari nk, acha kuharibu mb zawatu
@ZahorSuleyman-i4x11 күн бұрын
Kishia kimekuja tena
@MuharamiMagimba-ss4tv8 күн бұрын
hujui chochote mpuuzi tu unataka umaarufu ng'ombe wewe
@sefoadelino668411 күн бұрын
Hivi Nie hizi raddi mpaka lini nyie? Kweli mayahudi wefanikiwa katika hili
@SakinaBadru11 күн бұрын
Ahsant
@DiudaKozi-qu8sl11 күн бұрын
Acha ujinga na polojo na uongo
@SALUMUAHMADA11 күн бұрын
KILEMA WA AKILI WEWE
@omarishabani524911 күн бұрын
Hata wewe umekurupuka tu..elimu ni bahari kiwango Cha mwenzako haiwezi kulingana na chako au Cha mwingine kueni na hekima katika dini ..na wee unavyoonekana kiwango chako sio Cha kuradi wenzio ukiona mtu anasimama kuhangaika na mambo yawatu huyo sumu katika dini tumuogope Allah elimu ni bahari huenda hujui usikurupuke
@MohammedBakari-pn9yg11 күн бұрын
Ichi kijishia kinapiga kelele
@ramadhanirama797011 күн бұрын
Elim yako nindogo sana
@Abdurazaqathman9 күн бұрын
Wewe ustadhi unamsengenya ustadhi mwenzako wazi wazi Tena kwenye media je Hilo ni sawa nyie wote ni waislamu kama Kuna tatizo kaeni mtoe hoja zenu sio kuongea ongea pembeni
@sheikhmuriditiba14611 күн бұрын
WEWE HUNA ELIMU KABISA
@manrectorz11 күн бұрын
Wewe Dogo unahitaji sana upate Darsa la Tawheed. Kama Hujui nini maana ya Bidaa kisheria tofauti na tafsir kilugha. Kwasababu nyie Mashia hamna Manhaji sahihi ya Ahlul sunnah ndio maana mnauvuruga Uislam Duniani, maana hata Maulid nyinyi mashia ndio mmeleta hiyo fitna 😢😢😢😢