ALICHO KISEMA AUCHO KUHUSU CHAMA
1:08
7 сағат бұрын
Пікірлер
@dastanhaule9463
@dastanhaule9463 17 сағат бұрын
Mo amekuwa kocha ???
@thehustlerafrica4368
@thehustlerafrica4368 20 сағат бұрын
Tatizo pia sisi mashabiki wa Simba Huwa na tabia ya kuwasema wachezaji na kuwashusha ndo maana wachezaji Huwa wanaamua kutukomesha ,,Simba kila shabiki ni mchambuzi wa soka .wanacheza yanga lakini roho zao zinabaki kuwa simba
@mussammanga7791
@mussammanga7791 Күн бұрын
Morrison,Nionzima,asili hakutoka Simba, awo wengine ndio asili yao Simba.
@user-kf6wy8gs1s
@user-kf6wy8gs1s Күн бұрын
Jamaa anajua
@thomasdimme7899
@thomasdimme7899 Күн бұрын
Hawezi kuwa mbadala wa aucho
@thomasdimme7899
@thomasdimme7899 Күн бұрын
Kifaa gani huyo
@kezianathan3963
@kezianathan3963 2 күн бұрын
Namkubali Sana huyu mama yangu mzazi jamani kipenzi Cha mimi❤
@user-hv4zh7kk9u
@user-hv4zh7kk9u 3 күн бұрын
We msenge tu muongo
@hassanomar8157
@hassanomar8157 3 күн бұрын
Acheni propaganda zenu
@emmykassim4132
@emmykassim4132 3 күн бұрын
MMESHAANZA Simba yaan nyie makolo wapumbVu sana
@samsonpopat1474
@samsonpopat1474 3 күн бұрын
Simba Sasa itatulia huyu jamaa mechi za Simba na yanga alikuwa anacheza chini ya kiwango Sasa huko utopilo alifanya hivyo hatavumiliwa na mashabiki huo ndo ukweli
@user-il6rm7cj1g
@user-il6rm7cj1g 3 күн бұрын
Aondoke tu
@jonathansirkintungi7434
@jonathansirkintungi7434 3 күн бұрын
Hakuna kosa chama alikuwa kirusi kwenye timu. Simba alikuwa lazima wamwache ni mchezaji wa manara alikuwa anatumika kuhujumu timu.
@MbarakaHuwel
@MbarakaHuwel 4 күн бұрын
Tunaomba mlete fei toto
@anithawidambe7543
@anithawidambe7543 5 күн бұрын
MO KM ULIWEZA KUVUNJA MKATABA WA MICKISON HUTASHINDWA KUVUNJA MKATATABA WA MAYELE TUNAMWOMBA MAYELE AJE SIMBA
@anithawidambe7543
@anithawidambe7543 7 күн бұрын
Manula na Ayub wote ni bora sana
@Esterkomba-ef7eb
@Esterkomba-ef7eb 7 күн бұрын
Tumeshachoka na habari za chama aende akalipwe hiyo pesa yanga
@mussammanga7791
@mussammanga7791 7 күн бұрын
Waende popote wakirudi nafasi ya 5 baadala ya 3. Tumeshawazoea.
@anithawidambe7543
@anithawidambe7543 7 күн бұрын
BAKI SIMBA KIJANA WETU CHAMA. WEWE NI KIPENZI CHA MASHABIKI WA SIMBA
@mussamwaigombe
@mussamwaigombe 7 күн бұрын
Tunaomba mjitahid kutafuta vyanzo vya kweli tunajiskia vibaya hata kama nyie hamuoni shida kwa hayo
@kamuogo
@kamuogo 10 күн бұрын
Kama unamsajili wewe aje
@kamuogo
@kamuogo 10 күн бұрын
Aje asije unamsajili wewe?
@israelmwasamboma7092
@israelmwasamboma7092 10 күн бұрын
Phili
@MusaJuma-jr7wb
@MusaJuma-jr7wb 10 күн бұрын
Kishingo na gomes
@wolfganmushi6592
@wolfganmushi6592 11 күн бұрын
Ee bw tunamsubiri sana❤