shekh barakallahufih Allah akuzidishie ila nataka nikurekebishe kidogo tu naomba usitoe ahadi ambayo nivigumu mtu kutekeleza kulingana na Sheria za inchi hakuna atakae jaribu kukukata kichwa hatakama atakuwa na ushahidi Sheria za inchi hazitamuacha. kwahivyo shekh wangu Kwa wale wapinzani wako watasema umetoa ahadi ngumu. afadhali ahadi ya pesa au nyumba au shamba vitu ambavyo havina ugomvi kwa serekali Allah akuhifadhi. wallahu a alam
@Zezunguman352 ай бұрын
Darasa mujarabu, daawa imepenya
@abdulmalickkarume14723 ай бұрын
Watu ni maadui wa vile wasivyovijua
@abdulmalickkarume14723 ай бұрын
😂 Umma Unazidi kuangamia kwa sababu ya masheikh kama hawa wanasimama kwenye mimbari haliyakuwa bado hawana maarifa sahihi ya kile wanachokifikisha.
@LeilaMtunda4 ай бұрын
S.A.W
@AllyChambo-o2t4 ай бұрын
Allah akuhifadhi sheikh wetu
@AllyChambo-o2t4 ай бұрын
Allah akuhifadhi sheikh wetu
@CostensiAmoss5 ай бұрын
Mafundisho mema mola awatangulie
@MarkazIbnuUthaimin5 ай бұрын
@@CostensiAmoss shukran
@منهج_الرسل5 ай бұрын
Allah amuhifadh sheikh wetu Khamis kiza
@MarkazIbnuUthaimin5 ай бұрын
@@منهج_الرسل Aaamin
@abdsalaamndalusanye2883 Жыл бұрын
Ma Shaa Allah. Kheri kubwa na Faida Zinapatikana kupitia Channel hii. Allah Abaarik Kituo Chetu na Wasimamizi wake. Aamiyn
@MarkazIbnBaaz-itigi Жыл бұрын
Baarakallaahu Fiyka, Nasaha nzuri Maa Shaa Allaah!
@munyanezaismail7642 Жыл бұрын
Maa Shaa Allah baarakAllahu fiika yaa akhiy Hussein