Wanasemaje Mashia ndani ya vitabu vyao kuhusu itikadi zao katika Qur'an Tukufu ?
Пікірлер: 1
@Alrisaalaturrahmahislamiccente2 ай бұрын
shekh barakallahufih Allah akuzidishie ila nataka nikurekebishe kidogo tu naomba usitoe ahadi ambayo nivigumu mtu kutekeleza kulingana na Sheria za inchi hakuna atakae jaribu kukukata kichwa hatakama atakuwa na ushahidi Sheria za inchi hazitamuacha. kwahivyo shekh wangu Kwa wale wapinzani wako watasema umetoa ahadi ngumu. afadhali ahadi ya pesa au nyumba au shamba vitu ambavyo havina ugomvi kwa serekali Allah akuhifadhi. wallahu a alam