Пікірлер
@raurentkanjemartha
@raurentkanjemartha 34 минут бұрын
Unahdamani
@lydiabitwale4617
@lydiabitwale4617 18 сағат бұрын
Mungu usikie maombi yangu maana unajua changamoto ninazopitia.
@MaryMitei
@MaryMitei Күн бұрын
Mungu awasidishie Kwa kuubiri injili kupitia Kwa wimbo❤
@MaryMitei
@MaryMitei Күн бұрын
I am blessed with the song❤
@DennisDara-i4i
@DennisDara-i4i Күн бұрын
Ukweli munajua sifa na hukuu mungu awape maana nyimbo zenu nikali na pia zinagusa maisha ya wasikilizaji nawaombea mungu awajalie neema na baraka mnapo litangaza jina lake kwa njia ya kuinjilisha
@DennisDara-i4i
@DennisDara-i4i Күн бұрын
Huu ndio wimbo unanipa nguvu kwa maana unamafundisho ya kutosha
@VeronicaMgwilanga
@VeronicaMgwilanga Күн бұрын
Najisikia laha sana ninapo sikilinza nyimbo nzuri sana🎉
@KASHUMBAAUDAX-nm7kw
@KASHUMBAAUDAX-nm7kw Күн бұрын
Hellow....kwema??? Samahan huu wimbo naweza kuupata kwa maandishi????
@pillykisinza
@pillykisinza Күн бұрын
vishindo vya wakoma
@CharlesKazeze
@CharlesKazeze 2 күн бұрын
Kama huna nyumbo za Despina kwenye kabati lako la nyimbo za kumsifu Mungu pole sana
@user-fo9cn6kx1s
@user-fo9cn6kx1s 2 күн бұрын
hongereni sana nabarikiwa sna
@mathiassuswa9173
@mathiassuswa9173 3 күн бұрын
Patiu ni mmoja👍👍
@StaminiBandi-s2o
@StaminiBandi-s2o 3 күн бұрын
Hongereni sana,mmeimba vizuri mno,huwa sichoki kuwasikiliza.Mungu azidi kutukuzwa,Bukuku zidi kuing'alisha lgogwe yetu.
@johackimmbeyale90
@johackimmbeyale90 4 күн бұрын
Despina ni mmoja tu hongereni sana wanakwaya kwa nyimbo yenye ujumbe ujumbe mnzuri
@mussakasela5562
@mussakasela5562 5 күн бұрын
Happy Sunday
@wandawawycliffe4138
@wandawawycliffe4138 5 күн бұрын
🙏🙏
@MuToto-g8b
@MuToto-g8b 5 күн бұрын
Mbalikiwe
@stanslausbernard5950
@stanslausbernard5950 5 күн бұрын
Wimbo wenu ni mziri isipokuwa mavazi yenu siyo mwafaka kwa uimbaji wa nyimbo za injili.
@immaculatewanjala6996
@immaculatewanjala6996 6 күн бұрын
Tazama,Mungu ndiye anayenipigania ❤
@ERICKSONBAGAKA
@ERICKSONBAGAKA 6 күн бұрын
Kazi Safi👏👏👏.mziki unatuliza roho kweli
@GodfreyMtenga-s4c
@GodfreyMtenga-s4c 7 күн бұрын
You have done very good
@HappyGoodluck-v3p
@HappyGoodluck-v3p 7 күн бұрын
Mungu awalinde mwendelee kueneza injili ya mungu
@AssensiaHappy
@AssensiaHappy 7 күн бұрын
Nzur sana dada
@ElizabethBeny
@ElizabethBeny 7 күн бұрын
Dada despina natamani kuimba na ww uninoe niwe kama ww jmn
@ElizabethBeny
@ElizabethBeny 7 күн бұрын
Catholic forever
@SabinaManonga
@SabinaManonga 8 күн бұрын
Despina hukoseagi
@tempochoir
@tempochoir 8 күн бұрын
Nice one 👏👏👏
@allyabdul7569
@allyabdul7569 8 күн бұрын
Uko vzr maduka unafanya kaz nzr by Daniel kazungu usagara
@mariabalige7132
@mariabalige7132 9 күн бұрын
Maria Balige Mungu asifiwe
@SabinaManonga
@SabinaManonga 9 күн бұрын
Waaoooo!! Wimbo mtam sana... mbarikiwe
@KwilasaNgusa
@KwilasaNgusa 9 күн бұрын
Kama vipi nyimbo kama hizi nakala zake ziwekwe humu ili tuzipakue na kuzifundisha
@KwilasaNgusa
@KwilasaNgusa 9 күн бұрын
Hongera sana Mr Mtinga kwa kipaji ulichojaliwa na Mungu. Nyimbo zako hazina mashaka kwa wakatoliki.
@ngatimwambu3272
@ngatimwambu3272 11 күн бұрын
Good melodies.
@user-en6cd4zn1t
@user-en6cd4zn1t 11 күн бұрын
Naupenda Sana
@monicacheche7392
@monicacheche7392 12 күн бұрын
wimbo mzuri sana, Mungu aendelee kuwatumia mtuinjilishe🙏🏽🎉🥰
@mathiassuswa9173
@mathiassuswa9173 12 күн бұрын
Mgandu in my heart 🥰🙏 Pumzika kwa amani babu. Hongereni kwa utume.
@SabinaManonga
@SabinaManonga 12 күн бұрын
@felexmutai3865
@felexmutai3865 12 күн бұрын
Sauti tamu
@user-cs5bs8xd8r
@user-cs5bs8xd8r 13 күн бұрын
Messege home. Nice song🙏🙏🙏
@user-cs5bs8xd8r
@user-cs5bs8xd8r 13 күн бұрын
Nice one Despy
@SabinaManonga
@SabinaManonga 13 күн бұрын
Natamani nimwimbie Mungu kama wewe
@SabinaManonga
@SabinaManonga 13 күн бұрын
❤❤
@deucpatrick4850
@deucpatrick4850 13 күн бұрын
Mungu azidi kumpa pumziko la milele Mzee Mgandu
@kibingwasimwinuka2514
@kibingwasimwinuka2514 14 күн бұрын
Nyimbo nzuri sana
@dianamseka1233
@dianamseka1233 15 күн бұрын
Nilianza kusikiliza wimbo huu mwka 2022 nilikuwa kwenye mateso makali sana ya kimaisha na watu wa watumishi wa kazini kwangu,kila siku nikitoka kazini nilikuwa nasikiliza huu wimbo hadi leo hii.Nilipata faraja kubwa kupitia huu wimbo huu.
@ViolethRaymond-f1u
@ViolethRaymond-f1u 15 күн бұрын
nice nice sanaaa mungu awabariki sanaa
@alphoncembassa6401
@alphoncembassa6401 16 күн бұрын
Wimbo ni bora kabisa unatuamsha hautukatishi tamaa
@shijasalaganda7798
@shijasalaganda7798 16 күн бұрын
Mmeimba vizuri sana jaman
@DariaJosephat
@DariaJosephat 16 күн бұрын
Nahisi mtunzi alipokuwa akitunga huu wimbo alikuwa ameshukiwa na roho Mtakatifu hakika unanipa amani ya moyo na najiona Nina nafasi nyingine kwa mungu
@GasperTarimo-j2w
@GasperTarimo-j2w 17 күн бұрын
Samahani kwani ww ulianza kujifunza mwaka gani