Mbowe Akiingia Kwa Chopa Tanga
2:50
2 сағат бұрын
Mwanzo Mwisho Hotuba ya Mbowe Babati
58:07
9 сағат бұрын
Пікірлер
@MathewsSikazwe-up4qd
@MathewsSikazwe-up4qd 7 сағат бұрын
bado tz viongozi wa tz wana lewa madaraka, vibaya na ayo ndio malipo yake, ipo siku vijana wa tz watatekeleza aya, viongozi tafakarini aya.
@MassoudMaghwaly-jo8sh
@MassoudMaghwaly-jo8sh 7 сағат бұрын
Tanzania pakujifunza hapa😢
@yonamallo6277
@yonamallo6277 8 сағат бұрын
😂😂😂😂
@AugustKisaka-qy7kl
@AugustKisaka-qy7kl 8 сағат бұрын
Pato lataifa linakuwa ,na kama linakuwa ,je pato la wananchi na lenyewe linakuwa??
@AugustKisaka-qy7kl
@AugustKisaka-qy7kl 8 сағат бұрын
Acha bana, kwahiyo kama nitajiri unakopea nini ??,na kama mwenye uchumi wajuu duniani mkopaji mkuu,,jee anakopa kwa nani ,au anakòpa kwamasikini wachini zaidi ,sijaelewa vizuri
@hamudshabani7801
@hamudshabani7801 8 сағат бұрын
Huyu anaongea nn deni limeongezeka sasa Tanzania inapoteza pesa nying kwenye ufisadi lakn hatuna hatua chura kiziwi yupo tu
@user-cd9re4wt2b
@user-cd9re4wt2b 8 сағат бұрын
Wabunge wa CCM hawatusaidii kuttetea wanted matumbo yao
@user-cd9re4wt2b
@user-cd9re4wt2b 8 сағат бұрын
Mh Mpina uko vizuri sana tunakuunga mkono hatutakubali ufukuzwe ccm wengi wapigaji sana
@user-kq5si5pv9n
@user-kq5si5pv9n 9 сағат бұрын
Yaan watu wa ccm ukiwa mkweli wana kutengenezea nongwa
@user-kq5si5pv9n
@user-kq5si5pv9n 9 сағат бұрын
Yaan watu wa ccm ukiwa mkweli wana kutengenezea nongwa
@user-kq5si5pv9n
@user-kq5si5pv9n 9 сағат бұрын
Ukienda mahakamani japo nihaki yako nahuko watakushinda kuna mikono yao
@BrianMwashinga
@BrianMwashinga 11 сағат бұрын
Kuhusu kujibadili kama chama je? Uwezo upo?
@MakunyanziPeter
@MakunyanziPeter 19 сағат бұрын
Ndiye mtu msomi huyo
@febby8308
@febby8308 22 сағат бұрын
Tupigwa 2
@davidanselmo4041
@davidanselmo4041 Күн бұрын
Good deal
@ezekieljacob5795
@ezekieljacob5795 Күн бұрын
Kuamuka kupo kabla ya hata Yesu kurudi elimu hii ifundishwe kuanzia shule za chekechea
@shabanishabani-le8pg
@shabanishabani-le8pg Күн бұрын
Sio point za kiongozi hizo , we unataka kusemaje labda ? Atamaliza umaskini yeye ? Anaonesha ufinyu wa mada . Onyesha utakachofanya ila sio kutetea uovu
@aeshitoyota2499
@aeshitoyota2499 Күн бұрын
Nimejielimisha sana juu ya siasa zetu
@LeahKazeni
@LeahKazeni Күн бұрын
Ukoo vzr sana Mungu akutunze
@user-xs3ko8pg2g
@user-xs3ko8pg2g Күн бұрын
Kadogoo uko vizuri, unaushawishi ila mbowe sasa anachosha watu, amen'gan'gania uenyekiti, ase nyakati anachosha viongozi
@helencyprian8745
@helencyprian8745 18 сағат бұрын
Pole sana mbowe atakuwa mwenyekiti mpaka akatae yeye, we kasirika tu.
@geraldluiso6792
@geraldluiso6792 Күн бұрын
Factness ❤
@danielliyoko7214
@danielliyoko7214 Күн бұрын
Kaz Nzur, Bashe.
@jamesjahasa3348
@jamesjahasa3348 Күн бұрын
Acha uongo wewe tushaamuka mbaguzi wewe umekalia uenyekiti miaka yote jee mkishika madalaka itakueje usitufananishe na kenya sisi tupo timamu
@emmanuellugata3019
@emmanuellugata3019 Күн бұрын
Acha usenge ww hujitambui ,inzi wa kijani, Kenya wako mbali sanaaa,kielimu, kiuchumi ,unaongea ujinga Gani,
@mchunguliechibwa198
@mchunguliechibwa198 18 сағат бұрын
Jinga kabisa wee jamaa,na ndio nyie chawa ,,hila siku zenu sio nyingi,,maneno yanatuingia sana maana maisha tunayaona tunayoishi ni tofauti sana na viongozi wa ccm,hila wewe maskini mbavu za mbwa unashabikia ccm wezi na watesi wa taifa hili..heti tupo vizuri kuwazidi wakenya,,sisi ni mibuyu ya ccm 😢😢😢
@jamesjahasa3348
@jamesjahasa3348 17 сағат бұрын
@@mchunguliechibwa198 acha hasila za njaa
@BarakerZeonlist
@BarakerZeonlist Күн бұрын
TANZANIA LEADERSHIP IS NOT STRATEGIC LEADERSHIP INSTEAD IS THE SYSTEM FOR PEOPLE IN THE SYSTEM TO TAKE ADVANTAGE OVER IT CITIZEN
@marylibaba2589
@marylibaba2589 Күн бұрын
MUNGU AWALINDENI TU
@marylibaba2589
@marylibaba2589 Күн бұрын
KAMA HAUNA KARAMA HII UNAWEZA KWELI KUTOA MAELEZO YOOOOTE HAYA❤
@marylibaba2589
@marylibaba2589 Күн бұрын
NI KARAMA HIYOOO KUTOKA KWA MWENYEZI MUNGU
@marylibaba2589
@marylibaba2589 Күн бұрын
HONGERENI WATUMISHI WOOOOOTE WA USALAMA WATAIFA WANA KAZI KUBWA SANA.
@michaelmlyuka6032
@michaelmlyuka6032 Күн бұрын
Maokoto yana nguvu kweli, hata Yuda Mfuasi wa Yesu alifanya uharamia wa kumsaliti,je sisi tutajili kukata hongo wakati kila kukicha tumepigika!
@DenisonTheonest-yj3mk
@DenisonTheonest-yj3mk Күн бұрын
Huna akili wewe unatapatapa mnafiki wewe mchungujaji gani wewe kibaka tu unanunulika kama changodoa
@mondayfadhili-li5qm
@mondayfadhili-li5qm Күн бұрын
Hongera sana mh.mpina kweli wewe niMwana TANU halisi,kwani Viongozi wa TANU walikuwa kama wewe Wana TANU Walijali sana Masilahi ya Wananchi kwanza.Umewataja Bw.Yesu Mtume Mohamadi SAW umemsahau MAGUFULI Nae pia ni wakujifunza kwake.Pambana tupo pamoja ktk Kweli.Mungu akujaze NGUVU_:Amin
@Mapenzi2635
@Mapenzi2635 Күн бұрын
Hongera sana, Ndugu Shafii
@FahadKilupi
@FahadKilupi Күн бұрын
We nedatu tatizo tunmbo na madarak
@evelina9621
@evelina9621 Күн бұрын
Lisu.toa Mafundisho.kwa.watu.wajueuukombozi..n.sasa
@dismasmasaga.3581
@dismasmasaga.3581 Күн бұрын
Fact sana
@leokamil6284
@leokamil6284 Күн бұрын
Kama Mbowe ni Saccos Je mbona CCM inaongoza miaka na mikaka lakini haikubali kuachia madaraka japo uongozi wao hauleti manufaa kwa Watanzania?.Na bado wanatumia hila mpaka kuvunja upinzani ili wabaki japo wamechoka ,na tunachokiona ni kwa migao ya fedha ndio maana wanajifanya machawa .Hawataki katiba mpya hawataki uchaguzi huru .Hebu tuweke uchungu huru kama kweli anayosema Msigwa kuna haki .
@Petro.John.
@Petro.John. Күн бұрын
Mambo ya Lema yametimia.
@King_Of_Everything
@King_Of_Everything Күн бұрын
👊✌👍.
@mahmoudsaid4134
@mahmoudsaid4134 Күн бұрын
Shukran, kitabu kinapatikana wapi?
@user-wj6zj1ly4e
@user-wj6zj1ly4e Күн бұрын
Mpina ukihitisha maandamamo leo, utaungwa mkono haijawahi tokea hapa tz
@innocentlifadhala5401
@innocentlifadhala5401 Күн бұрын
Sio kiongozi sema alikua kiongozi😂
@evelina9621
@evelina9621 Күн бұрын
Ccm.kuhama.kuhaam!
@johninnocent3270
@johninnocent3270 Күн бұрын
Umepiga mahesabu ukaona uchukue chako mapema😂😂😂
@user-bf9xj3nf1o
@user-bf9xj3nf1o Күн бұрын
Shenzi sana tena zaidi ya sana mbona huongelei tena bandari na misitu ukabiziwa wahuni kutoka uwarabuni
@nmatuja2191
@nmatuja2191 Күн бұрын
Mimi nafikiri unatafuta cheo tu wala si vinginevyo,ukikosa madaraka utakimbia tena. Ngoja tuone.
@leokamil6284
@leokamil6284 Күн бұрын
Yaani CCM wapo kwa manufaa yao matumbo yao ati kuna maendeleo yapi ?huyo hana aibu
@wadeelegbogun3015
@wadeelegbogun3015 Күн бұрын
#NONSENSE
@user-rg5vl7mk9q
@user-rg5vl7mk9q Күн бұрын
Ndo maana mm sihangaikagi
@HajiKlein-so1rk
@HajiKlein-so1rk Күн бұрын
🇹🇿🇹🇿❣️
@Focusm-se2sd
@Focusm-se2sd Күн бұрын
Kama jambo hilo ni la haku Kwa watanzania basi Mungu hatasimama
@user-bf9xj3nf1o
@user-bf9xj3nf1o 2 күн бұрын
Hata samia hana lolote atawafukuza hata watu wakigoma ulizeni watu wakia na ngororo mungu wangu