Mnyika Ajibu Swali Kwa nini Mbowe Hajaonekana Kweye Makabidhiano ya Ofisi: 'Sio Utaratibu wa Katiba'

  Рет қаралды 48,107

The Chanzo

The Chanzo

Күн бұрын

Tundu Lissu, Mwenyekiti mpya wa CHADEMA, anawasili rasmi katika Makao Makuu ya chama yaliyopo Mikocheni, Dar es Salaam, kuanza majukumu yake ya uongozi. Tukio hili linafuatiliwa kwa karibu na viongozi wa chama, wanachama, na wafuasi wa CHADEMA kutoka kote nchini.
Unaweza kutufuatilia kupitia;
TWITTER: / thechanzo
INSTAGRAM: / thechanzo
FACEBOOK: / thechanzo
TIKTOK: www.tiktok.com....
Au tembelea tovuti yetu: www.thechanzo.com
Je, una habari? wasiliana nasi kupitia Telegram/WhatsApp +255 753 815 105
The Chanzo 2025 © All Rights Reserved.

Пікірлер: 100
@JumaWaziri-d5x
@JumaWaziri-d5x 7 күн бұрын
Kiukweli nyinyi bado sana wote mnabwata
@JumbeOjaso
@JumbeOjaso 7 күн бұрын
Kitu gani bado wewe uliyekamilika😢. Yaani chama ambachoccm inaogopa kuingia nayo,uchaguzi, wa wazi ba huru unasema hakijawa tayari? Akili ndogo hufikiri kwa ufunyu na kubeza bila kutafakari kama wewe . Jalagabaho !!
@Kaguttapixel
@Kaguttapixel 6 күн бұрын
Bado katika kipengele Gani?
@FrancisRogears-w7i
@FrancisRogears-w7i 4 күн бұрын
Sija kuelewa ujumbe wako
@HAWAMBARUKU-t5d
@HAWAMBARUKU-t5d 12 сағат бұрын
Makamanda nawaelewa sana ila muda mwingine matahira kama hawa kuwajibu ni kuwapa kick, tuwapotezee waendelee na huo upunguani wao wa kusema chadema bado wakistuka tayari ndiyo akili itawakaa sawa kuwa watanzania kwa sasa sio misukule tena
@HermanTarimo
@HermanTarimo 7 күн бұрын
TUNA mshukuru Mungu mwanzo mzuri
@molenicharles9107
@molenicharles9107 7 күн бұрын
Mficha maradhi...kifo kitawahukumu...mnyika mwenyewe huna furaha...😂😂tema bungoooo🤣🤣
@GodwinIssack
@GodwinIssack 7 күн бұрын
Ahsante kwa ufafanuzi mzuri wa majibi na maswali.
@BenardLucumay
@BenardLucumay 7 күн бұрын
Mnyika akili kubwa!
@PystyBuyabara
@PystyBuyabara 7 күн бұрын
Mwenyekiti ana ofisi na katibu ana ofisi. Mwenyekiti kukabidhi ofisi ina mantiki kubwa sana
@blandinamwarabu5025
@blandinamwarabu5025 6 күн бұрын
😂😂😂😂😂 tutawasikia
@GasperKapungu
@GasperKapungu 6 күн бұрын
Shida mnakurupuka ata amurlewi protocal. Ofisi huwa inakabiziwa na Katibu na sio mwenyekiti...ata serikalini ni ivyo.mtendaji ndio katibu na ndio anakabizi ofisi kwa mwenyekiti mpya ama diwani.ikulu katibu mkuu wa ikulu ndio anakabizi kwa raisi mpya.tatizo watanzania hamjui vitu mnaletaga ubishi tu
@TomasiklistophaMwinuka
@TomasiklistophaMwinuka 7 күн бұрын
Mnyika kichwa kidogo akili ,zilipo lala pongezi kwako tunakupenda ,wote uongoz mpya ,mungu awabariki sana.
@PaschalBoi-z8h
@PaschalBoi-z8h 7 күн бұрын
Asante mnyika uliyekuw na ndoto ya upadre
@Goofyplayz-fj3ce
@Goofyplayz-fj3ce 7 күн бұрын
Nadhani wa Tanzania wengi wanapata tabu kuelewa kwasababu hawajawahi kuona uchaguzi wa aina hii! Ofisi, kusema ukweli, ni ya Katibu Mkuu.
@MalkiadiNaano
@MalkiadiNaano 5 күн бұрын
Hivi kweli cdm inaweza kuinidhamishi jeshi la polisi? Acheni kuidhalilisha jeshi wakati inatekeleza majumu yake ,tunapaswa kutii sheria bila shurti ,bila kujali wewe ni mwanachama wa cdm au la
@tanzaniacarschannel6975
@tanzaniacarschannel6975 7 күн бұрын
Regardless of all the explanations, to clear the air and unnecessary speculations, Mbowe alitakiwa kuwepo ku signify unit kati ya uongozi mpya na uongozi unao ondoka
@adelinelyaruu3036
@adelinelyaruu3036 7 күн бұрын
STRONGER TOGETHER 😂😂😂
@erickbanyenza
@erickbanyenza 7 күн бұрын
Haamini kilichomtokea, alijiamini anapendwa atamshinda Lissu, roho inamuuma sanaa bado ana kinyongo
@Goofyplayz-fj3ce
@Goofyplayz-fj3ce 7 күн бұрын
Sio lazima, Alisha exit. Hakuna air ya ku clear hapo. Inabidi watu mzoee kwamba this is a new era!
@KopiscoIsaya
@KopiscoIsaya 7 күн бұрын
Mnakosea sana LISU Badala ya kujenga hoja mnatafuta polisi ubaya.
@ChundwaTobias
@ChundwaTobias 5 күн бұрын
Hata kama hakudhuria MWENYEKITI MPYA ni MWENYEKITI.
@mwasevamwandilawa2719
@mwasevamwandilawa2719 7 күн бұрын
Namuona kijana wa Mch.Gwajima hapo ...
@ameirzapy1318
@ameirzapy1318 7 күн бұрын
Hakuna kilicho haribika ila Sio taaswira nzuri kabisa😢wala tusidanganyane, alie KaliA Kiti ndio aje akabidhi, maana file zote zilihusiana nayeye
@GasperKapungu
@GasperKapungu 6 күн бұрын
Katibu ndo anaepaswa kukabizi na sio mwenyekiti.na hata serikalini ni ivyo ivyo mtendaji ambae ndie katibu anakabizi kwa mwenyekiti mpya
@ameirzapy1318
@ameirzapy1318 6 күн бұрын
@GasperKapungu kwa hiyo mbowe hakuwa na umuhimu wa kuwepo?
@MsabahAli-d6u
@MsabahAli-d6u 7 күн бұрын
Mnyika ninkatibu mkuu mtulivu sana na anajua anachokifanya
@Vike333-l8o
@Vike333-l8o 7 күн бұрын
Ukweli ndiye huo huyo kama hampendi Mbowe anamsemea vibaya Mungu anamwona na ajue anachokisema Mbowe iko siku Mungu atamwangaza Aachen unafki na umbea haraka
@mpefu_4936
@mpefu_4936 7 күн бұрын
Nyie acha uchonganishi watu wamebadirisha uongozi nyie kelele za Nini acha na wengine waongoze Kwa muda wao
@josephmihayo6236
@josephmihayo6236 7 күн бұрын
Endeleeeni kuficha maradhhi, IPO siku kifo kitawaaumbua.
@Kaguttapixel
@Kaguttapixel 6 күн бұрын
Hakuna maradhi hapo, safari ya Chadema ni njema sana.
@PaschalBoi-z8h
@PaschalBoi-z8h 7 күн бұрын
Asante mh.lisu
@nikodemmwahangila3334
@nikodemmwahangila3334 7 күн бұрын
Kuna shida kidogo mbowe kuto kuja kukabizi
@GasperKapungu
@GasperKapungu 6 күн бұрын
Ofisi ni ya katibu mkuu sio mwenyekiti.na ata serikalini katibu wa wizara,watendaji hukabizi kwa madiwani na wenyeviti wapya.tatizo watanzania wengi hawajui vitu wanabaki kupiga kelele tu
@Goofyplayz-fj3ce
@Goofyplayz-fj3ce 7 күн бұрын
Angalau Chadomo wametuonyesha demokrasia kidogo. Maana hata huyo Mbowe naye alikaa muda mrefu mno!
@MwakaHappy
@MwakaHappy 6 күн бұрын
Nani kasema hatumpendi mbowe mbona wanaccm mna kihelehele sana mnafikiria mbowe atahamia ccm !
@MlishoChomba
@MlishoChomba 6 күн бұрын
Mbowe ndio ana jizalilisha
@daudikonga1101
@daudikonga1101 7 күн бұрын
Mbona sura ya wachaga suwaoni wenye. Chama Cha baba yao mtei
@brysonsabun4657
@brysonsabun4657 7 күн бұрын
Brilliant 👌
@cmmbungi1914
@cmmbungi1914 6 күн бұрын
Ambao hawajakuelewa ni miongoni mwa wale wenye vichwa vigumu darasani
@johnmalembo6464
@johnmalembo6464 7 күн бұрын
Nashauri CHADEMA njooni na mbinu mpya ya kutowadhalilisha polisi kwani wengi wanaunga mkono juhudi na sera zenu....jengeni urafiki na mamlaka za vyombo vya ulinzi na usalama..maana mkishinda hawa ndio walinzi wenu na nchi
@trueprophet7627
@trueprophet7627 6 күн бұрын
usitufundishe cha kufanya
@gangan4618
@gangan4618 5 күн бұрын
Hawa policcm wanaoisaidia CCM KUWATESA WANANCHI NA VIONGOZI WA CHADEMA. WANATAKIWA KUWEKWA PEUPE MAOVU YOTE.
@pumarice2710
@pumarice2710 7 күн бұрын
Chama sio Cha mbowe ni Cha wananchi.
@paulinaalex9827
@paulinaalex9827 7 күн бұрын
Mwacheni Mbowe apumzike jamani msipomtaja hamsikii raha
@Goofyplayz-fj3ce
@Goofyplayz-fj3ce 7 күн бұрын
Kweli kabisa, ooh hakuwepo kukabidhi, ooh yuko wapi: zama zimeshapita​@@paulinaalex9827
@abbassalum6824
@abbassalum6824 7 күн бұрын
Chadema wanatupa ujasili askari wanatunyanyasa san sababu tu hatujui Sheria
@RashidHaroun-c2j
@RashidHaroun-c2j 7 күн бұрын
😂😂😂 Comedy ya mnyika haijawhi kutokea duniani ofisi kukabidhiwa na katibu
@JohnKipalile-e2y
@JohnKipalile-e2y 7 күн бұрын
Kaka usifosi kufanana, kila chama ina katiba yake mbona unatesekq sana mzee
@RashidHaroun-c2j
@RashidHaroun-c2j 7 күн бұрын
@JohnKipalile-e2y mbona chadomo wanaingilia sana katiba na mifumo ya chama kubwa
@RashidHaroun-c2j
@RashidHaroun-c2j 7 күн бұрын
@JohnKipalile-e2y na vyama vyote tanzania vinaendesha mambo yake kwa kuiga mifumo ya chama tawala sasa tumezowea katibu ni mtendaji wa mambo ya ndani kiofisi lakini mwenyekiti ndo msimamizi mkuu wa ofisi kwavile kaondoshwa ni lazima akabidhi ofis wala haliitaji katiba ilo
@Zuwenamachela
@Zuwenamachela 7 күн бұрын
Danganya watoto na mburura mwenykiti lazima awepo katka makabidhiano
@SylvesterMakenzie
@SylvesterMakenzie 7 күн бұрын
K​@@Zuwenamachelabas ili uufurahishe moyo wako lisu kajihuzuru uenyekiti mbowe ndiyo mwenyekiti wenu CCM
@joshuaswai8203
@joshuaswai8203 7 күн бұрын
Mbona kama pamepooza sana
@isaachayes9783
@isaachayes9783 7 күн бұрын
hapana hapo hapajakaa vizuri bado, haiwezekani mwendazake asije kukabidhi ofisi hapo umeupigwa mwingi tuu sema mgogoro bado upo chinichini
@adelinelyaruu3036
@adelinelyaruu3036 7 күн бұрын
Bado ana donge
@Vike333-l8o
@Vike333-l8o 7 күн бұрын
Karibu uwe macho na makada ambao hawana hekima ni Waropokaji wawe na Adabu na mipangiliyo ya maneno sivyo watu watasema hiki Chama ni cha Wavuta Bangi wataogopa kuwa wanachama
@samwelmachaka936
@samwelmachaka936 7 күн бұрын
Acha uongo mwenye ofc ndy anakabizi ofc sema amekataa
@HASSANBAKARI-q9c
@HASSANBAKARI-q9c 7 күн бұрын
Hongera lissu na mnyika mmenyoosha,,huo ndo upinzani
@hassannyalile2256
@hassannyalile2256 7 күн бұрын
Ni uongo, nafasi ya mwenyekiti ni nafasi ya utawala, ndio maana mwenyekiti ana ofisi yake ya utawala nakatibu mkuu ana ofisi yake ya utendaji. Sema kuna mpasuko mkubwa
@edwardmbonika5102
@edwardmbonika5102 7 күн бұрын
Na ww pia utapasukaa
@brysonsabun4657
@brysonsabun4657 7 күн бұрын
Awepo ili nini?
@isaachayes9783
@isaachayes9783 7 күн бұрын
mpasuko bado mbichiiii
@adelinelyaruu3036
@adelinelyaruu3036 7 күн бұрын
STRONGER TOGETHER 😂😂😂
@Goofyplayz-fj3ce
@Goofyplayz-fj3ce 7 күн бұрын
Alisha aga na ushauri akatoa.. Na bado yupo kamati kuu. Subiri vikao cya kamati kuu utamuona
@leomika8473
@leomika8473 7 күн бұрын
Katika Hali hii mbowe ajaonyesha umoja ndomaana kwenye uchaguzi alipo shindwa aliondoka haraka je siku hiyo angeshinda yeye angeondoka kwahiyo inaonekana kuwa mbowe anakinyongo
@ashaali7154
@ashaali7154 7 күн бұрын
Kwa matusi na udhalilishaji uliofanywa hakuna mtu angeweza kujishughulisha na watu kama nyie. Mbowe pumzika umefanya makubwa japo hawaoni hivyo hawa.
@davidkawesa3594
@davidkawesa3594 7 күн бұрын
Bado mnakinyongo​@@ashaali7154
@Goofyplayz-fj3ce
@Goofyplayz-fj3ce 7 күн бұрын
Mbowe Aliaga ki staarabu na ushauri akatoa. Ni Mjumbe wa Kamati Kuu. Yupo!
@joshuaswai8203
@joshuaswai8203 7 күн бұрын
Mbowe ni lulu yetu mwacheni atulie vita vimeisha tutamhitaji sana tusubiri mda utasema
@mussakimaro5588
@mussakimaro5588 7 күн бұрын
Nakumbukuga mnyika jimbo la ubungo kipindi kile alishinda akapewa mlungula akapita hivi siasa so mchezo
@mbikamtanganaki
@mbikamtanganaki 7 күн бұрын
Hahaha ataikimbia nchi nyie
@JescaNyambo-q3c
@JescaNyambo-q3c 7 күн бұрын
Sawa jembe letu
@muharamijuma1569
@muharamijuma1569 7 күн бұрын
MWONGO UNAFICHA UKWELI HAKUNA MAKAƁI DHIA NO KAMA HAYO WAKATI UTA AMUA TUSUBILI
@BabaGian-17
@BabaGian-17 7 күн бұрын
Hiyo style yake ya kunyoa cjui inamaanisha nn
@lamecklyimo6373
@lamecklyimo6373 7 күн бұрын
Chadema hawajajiandikisha kupiga kura
@BenardLucumay
@BenardLucumay 7 күн бұрын
Shitaki mbwa hao hawajasoma na kuelimika na matakataka yanayokula kodi zetu!
@ednakapitu7037
@ednakapitu7037 7 күн бұрын
Mbowe amefanya vizuri amewaachi chama chenu mfaidi madaraka yenu ya uroho anawaamgalia aone mtafika wapi? Acha akae pembeni.😊
@Bravin116
@Bravin116 7 күн бұрын
Una uhakika!?
@evansdecaprio8196
@evansdecaprio8196 7 күн бұрын
Uroho wa madaraka uko ccm tu ndio maana wasira Hadi leo no kiongozi wengine ni inzi wa kijani kwenye mavi
@isaachayes9783
@isaachayes9783 7 күн бұрын
mpasuko bado upo mbichiiiii
@chuchumeta8374
@chuchumeta8374 7 күн бұрын
Kama hajafaidi miaka 21,miaka 5 itasaidia Nini?
@halimamasai2234
@halimamasai2234 7 күн бұрын
@@evansdecaprio8196mpasuko upo sana Acheni kujitoa ufahamu muda si mrefu mambo yatakua nje nje 😂😂😂
@francisjimisha5090
@francisjimisha5090 7 күн бұрын
Huo mpasuko ni wako sio chadema.Wewe umeujuaje mpasuko?
@praygodmeena2935
@praygodmeena2935 7 күн бұрын
Mbowe ameweka kiburi.maana alipaswa kwa busara kuwepo hapo ktk kukabidhi ofc.
@TwahaShehe
@TwahaShehe 7 күн бұрын
Kwan akaa na funguo yeye
@florencekombe5503
@florencekombe5503 7 күн бұрын
Uwe na evidence chadema hawataki chawa
@praygodmeena2935
@praygodmeena2935 7 күн бұрын
@TwahaShehe uongozi haupo hivyo kaka.democrasia imemtoa alipaswa kukabidhi ofc ili heshma yake izid kuonekana kuwa hana chuki na uongoz mpya wa chama
@richardhosea8827
@richardhosea8827 7 күн бұрын
Hapa bado ufa upo
To Brawl AND BEYOND!
00:51
Brawl Stars
Рет қаралды 17 МЛН
coco在求救? #小丑 #天使 #shorts
00:29
好人小丑
Рет қаралды 120 МЛН
#exclusive MBOWE AFICHUA KUHUSU LISSU " NILIJUA ATAGOMBEA TU "
7:09
Mwananchi Digital
Рет қаралды 34 М.