Пікірлер
@khadijakimaka8427
@khadijakimaka8427 8 сағат бұрын
Wajane tunateseka
@MomadeAmade-m1l
@MomadeAmade-m1l 9 сағат бұрын
Nhiiiye WA Tanzânia yiyi wabaya sana..kwani MTU akiiba...aiswi kunfanha Ivi..subuhanna.😢😢😢
@RecholPhilemon
@RecholPhilemon 9 сағат бұрын
Baba asante kwa hii siku Mimi naitwa Rechol naipenda hii injili Nina kesi Baba ya mirathi niombee Baba Nina wtoto wanna Mume wangu amekufa kwa ajali ndugu WA Mume wananitesa
@Onethcorporation
@Onethcorporation 9 сағат бұрын
Hii... Dunia ukiishi maisha ya kiroho, basii maisha ya kimwili hayatakushangaza maana pesa, nyumba na magari ni yakupita ila roho zetu ndizo zasafiri na mafanikio tunayopasa kutafuta ni ya kiroho sio yakimwili.....
@ثامركعبي-ي1ق
@ثامركعبي-ي1ق 9 сағат бұрын
Mungu nakuomba unipatie mwanaume saii 😢najua umenitendea mengi mema naili najua utatenda nakuomba mungu 🙏🙌 🙌🙏 Amen Amen
@NuruEria
@NuruEria 10 сағат бұрын
Mbona umekonda sana au ndomiujiza ya ya nabii mkuu
@agathajuma4827
@agathajuma4827 10 сағат бұрын
Amina sana kwa Maombi haya
@everlyneiminza5722
@everlyneiminza5722 10 сағат бұрын
Amen Mungu amjibu wema kupitia hili ombi la mtumishi wako ktk damu ya Yesu christo🙌🙏🤲
@henrymatebe
@henrymatebe 11 сағат бұрын
Kizazi cha sasahivi kinapaswa kuja na kupambanua Kwanza unapaswa kujiuliza huyu jamaa alipoenda kwa huyu nabii alichukua pesa na gari haya gari kachoma vipi kuhusu pesa alizochukua ? Pia jiulize kwamba wakati anaenda kwa huyo mtumishi alienda kufanya nini ? Jambo lingine why asiichome gari kimya kimya then uutafute ukombozi wako kisha uje ulitoe jambo hili hadharani ? Pia why hakuirudisha hiyo gari baada ya kuona hiyo gari ina shida ? Swali lingine kama gari hii ni zawadi ya mashetani na wamemteka kutokana na zawadi ya gari hiyo hayo mashetani ya nabii hayata mdai ? Ukifikia hapo utagundua huyu dogo anateswa na mizimu
@nurumwenkale7278
@nurumwenkale7278 11 сағат бұрын
Ila mwenyekiti uko vizuri waambie hao waelewe polisi ni vigeu geu
@MangaikwelaMatengo
@MangaikwelaMatengo 11 сағат бұрын
Sio polisi wote ni baadhii hasa ofisi ya RCO ifatiliwe sana kuna uozo wa hatari..Ilo bomu ofisi zote za serekali zinajua kuna mchezo unaendelea hapo na Vyombo vingine vya dola tupieni macho.
@susykenda9675
@susykenda9675 11 сағат бұрын
Amen pastor kupitia kwako najua itatendeka mimi niko na uwimbe naami.itaisha
@AnnaDaniel-lz1wf
@AnnaDaniel-lz1wf 12 сағат бұрын
Ubarikiwe Sana mtumishi wa MUNGU nimefurahi sana MUNGU akubariki sana
@ClaraMakoye
@ClaraMakoye 12 сағат бұрын
Nawapataje
@ClaraMakoye
@ClaraMakoye 12 сағат бұрын
Nipo Arusha nawapataje
@lydiakivuyo-b3l
@lydiakivuyo-b3l 12 сағат бұрын
mtegemee Yesu rafiki ako awe muumba ,tuliposhuhudia umepokea ndinga tulikutoa kwenye list
@godwinnagol8324
@godwinnagol8324 12 сағат бұрын
Mungu naomba niishe kwenye nyumba yangu na nianze mwanzo mpya 2025
@ZamaradiKasim
@ZamaradiKasim 12 сағат бұрын
Kwa kweli niliumia kumsikia Wema akisrma😢Bwana Yesu mpatie watoto apate FURAHA km wa mama wote
@beatricenjine6490
@beatricenjine6490 12 сағат бұрын
Amen in Jesus mighty name
@tedygodwin5431
@tedygodwin5431 12 сағат бұрын
Na pia napokea ndoa
@tedygodwin5431
@tedygodwin5431 13 сағат бұрын
Ee mungu mpe mtoto wema
@yorandayorandan4018
@yorandayorandan4018 13 сағат бұрын
Waooooooo! Hongereni sana wamama wenzangu hakika naamini mungu atawatunz
@ObedMtama-ci7rp
@ObedMtama-ci7rp 13 сағат бұрын
Mungu akubariki kaka
@HusseinMwakyoma
@HusseinMwakyoma 13 сағат бұрын
Ironikwer wengi wario pewa izo zawa wameporomoka kiroho guduraki rudi kwake uone ayo madhaifu yadunia
@OmanJalan-j6u
@OmanJalan-j6u 13 сағат бұрын
Amina
@faharikhamisi3091
@faharikhamisi3091 13 сағат бұрын
Mama samia polisi wanakela Sana kuliko unavyofikili wananyanyasa Sana watu,
@Aminamayalla
@Aminamayalla 13 сағат бұрын
Bora ulivyochoma. Limekukondesha sana
@salummsigiti6615
@salummsigiti6615 13 сағат бұрын
Bado huko Mahakamani kwa sababu ni mfumo mzima umeharibiwa na serikali ya ccm. Next ni Mahakama hadi watu wakae kwenye mstari.
@ValentineVugutsa-l8h
@ValentineVugutsa-l8h 13 сағат бұрын
Pastor Ezekiel pia Mimi niweke kwa maombi nipate mtoto
@GasparPeter-r8x
@GasparPeter-r8x 13 сағат бұрын
Binafsi nafikili angelirudisha gari kwa mwenyewe na sio kulichoma moto. Kama alishuhudiwa baada ya miaka 3 kuwa nahilo gari kuwa ni hovu, very simple, angemrudishia mwenyewe na angeenda TRA abadili tena umiliki utoke kwake uende kwa Geodavie na angemrudishia gari yake. Kuchoma zawadi moto sio kitu cha kiungwana, fikilia ingekuwa wewe umempa mtu zawadi alafu aichome moto ungejifikiliaje? Gari hizi tunanunua kutoka Japan/ Europe zingine zinakuja na matatizo mengi, lakini tunaziombea kabla ya kutumia ili kama kuna hila zozote za adui zisipate nafasi. Kwahiyo kama angepewa hela nazo angezichoma moto??
@olivagerald6266
@olivagerald6266 13 сағат бұрын
Amina
@salummsigiti6615
@salummsigiti6615 13 сағат бұрын
Nimependa mshikamano wa chater ya Arusha. C C M imeliharibu kabisa jeshi la Polisi na bila ujasiri kama huo hawa Polisi wa Tanzania watatulaza uvunguni kwa sababu hatuna Kiongozi mwenye asili ya ccm anayeguswa na mateso ya Polisi kwa Raia.
@samwelclement8108
@samwelclement8108 14 сағат бұрын
Arushaaaaaa. Hoyeeeeeeeeeeee
@samwelclement8108
@samwelclement8108 14 сағат бұрын
Hiliili. Liwe. Nchii nzima
@salomeurio560
@salomeurio560 14 сағат бұрын
Msaidieni na Dr Wilbroad Slaa apewe dhamana....
@samwelclement8108
@samwelclement8108 14 сағат бұрын
Saaaaaaaaaaaaaafiiiiiiiuuuuuu
@priscillah6646
@priscillah6646 14 сағат бұрын
Baba mjibu dada yetu Wema sepetu apate mtoto kwa ajili ya utukufu wako 😭in Jesus name 🙏
@lellovenance5702
@lellovenance5702 14 сағат бұрын
wanapatikana wap hilo shirika
@agnessangawe3844
@agnessangawe3844 14 сағат бұрын
BWANA YESU ASIFIWE.MIMI NI MTANZANIA. NINAKUOMBA SANA UMWOMBEE MDOGO WANGU MAMA MCHANGA YOHANA ALPHONCE YUPO OCEAN ROAD HOSPITAL BAADA YA KUGUNDULIWA ANA UGONJWA WA KANSA STAGE 4. ALIFANYIWA VIPIMO VINGI HOSPITAL TOFAUT LAKINI SHETANI ALIFUNGA VIPIMO PAMOJA MRI NA CT SCAN HAIKUONYESHA.BAADA YA MAOMBI KUPIMWA NDO KUJULIKANA KANSA IMEMTAFUNA NA INASAMBAA KWA KASI. PASTOR WAKO PACHA,PACHA MWENZAKE ANATIA HURUMA KWA UCHUNGU MWINGI,HAWANA MSAADA WATOTO WAO BADO HAWANA KAZI. PASTOR NINAIMANI SANA NA MAOMBI YAKO KUJIBIWA.AMINA NO YANGU NI +225678820353
@ramadhanmkandas5733
@ramadhanmkandas5733 14 сағат бұрын
Polisi eleweni kua watu Sasa wanajielewa,tusiishi Kwa mazoweya
@ChristmasMaheri
@ChristmasMaheri 14 сағат бұрын
Excellent response to the shameful actions from the Police force.
@PaulJohnSabaya-rh5zv
@PaulJohnSabaya-rh5zv 14 сағат бұрын
Isiwe Kwa mwenzenu tu fanyeni Kwa jamii mzima inayoonewa
@MandabaMkubwa
@MandabaMkubwa 13 сағат бұрын
Punguza lugha ya kingereza tunia kiswahili
@MandabaMkubwa
@MandabaMkubwa 13 сағат бұрын
Mkifanya hivyo mtaiokoa nchi
@FrankMwaulambo-m7b
@FrankMwaulambo-m7b 14 сағат бұрын
Utakumbukwa milele mheshimiwa
@peterchula1990
@peterchula1990 14 сағат бұрын
Sasa kama hakuwepo anatoake taarifa kwa kitu asichokifahamu hii nchi ningekuwa mm hapo ningekula vichwa hapa
@mohamedismail1376
@mohamedismail1376 14 сағат бұрын
Nyie ni mawakili je sisi wananchi tusiokua na nyir mawakili
@AnossyMbonekela-sb6ol
@AnossyMbonekela-sb6ol 14 сағат бұрын
Fanyeni hivyo hata kwa watu 14:32 wengine sio kwa Mawakili tu " if you're feeding the young dragon one day if such dragon grows will eat you." It is what happens now
@LucyElirehema
@LucyElirehema 14 сағат бұрын
Napokea mume na watoto kwa jina la yesu
@mohamedismail1376
@mohamedismail1376 14 сағат бұрын
Safi sana
@neemahance8759
@neemahance8759 14 сағат бұрын
Nimesubiri mtoto kwa miaka kumi na nimepata nikiwa na miaka 38 MUNGU wetu hashindwi na kitu...Trust him
@jastinmkoba
@jastinmkoba 14 сағат бұрын
Mimi ni mtumishi wa Mungu wa mbinguni ....sikia godlck Bwana asema ivi simamia ulichokiamua ....usitafute watu wakuoneje au wakuchukiliaje maana nao ni wanadamu tu, songa mbere acha kujielezea sana imeandikwa umenaswa kwa maneno ya kinywa chako....wasije kukunasa kwa maneno yako🙏
@jastinmkoba
@jastinmkoba 14 сағат бұрын
Na utakuja kumshukulu baadae
@merumount5988
@merumount5988 14 сағат бұрын
Mawakili nadhani mna jambo la kufanya..lindeni title yenu..chair punguza maneno let actions speak loud! Nchi ina tatizo la uwajibikaji na nidhamu ya kazi kwa polisi..fundisha hawa!