You have point but on ccm they can't agree freeman mbowe was not send money on the right wing
@RehemaMgale-f8v5 күн бұрын
Nadhani usahihi
@AbdullahAhmed-t7p6l6 күн бұрын
Lisu hakua na nguvu ya kipesa kamati kuu ilikuwa lnamuogopa freeman mbowe lisu hakuwa na njia nyingine Bali ni kuleta. Hazani ili watanzania waamue nini chakufanya kilichofuata sisi watanzania tumeona kosa hili ni la freeman mbowe kumuandamindi lisu kwa sababu haba pesa kwahiyo hata yeye lisu akifanya tofouti tutamsema hiki chama ni ya watanzania wote tunaitaji haki sio nguvu ya pesa alisema mwalimu nyerere
@nicolauslukona26946 күн бұрын
Kula kichwa walamba Asali
@ceomomtz6 күн бұрын
CCM ndioTANU na kilianza 1954. CCM haikuasisiwa 1977 bali TANU ilibadilishwa jina tu ila misingi yake ilibakia ile ile. Asipotoshe au kubadilisha kwa kujua au kutokujua hilo.