Kwa hiyo unataka kuolewa Maana yake hukuwa umeolewa
@DianaPesambili5 күн бұрын
Hakika ni njia ya machozi ila hatutapotea katika njia hii
@josephsokhia7 күн бұрын
Unaujasiri kama meshaki ,shadrack na abelnego
@josephsokhia7 күн бұрын
Amina saaaaana mtumishi wa Mungu
@DavidMgimba-z8o7 күн бұрын
Polisi ninyi ni sasa na sisi walalahoi msipende kupigia makofi kwa sifa za kijinga kama hizo Kumbukeni sisi tunaishi nanyi huku majumbani kwetu kama ndugu lkn mnayo tufanyia mkiwa na hao wanao watuma mmmmmmmmmmm mungu yupo
@leonardndabila24469 күн бұрын
Ninyi watoto wadogo linalo kufaa chukua lisilo kufaa achana nalo musiwe Kama watoto wachanga .kuwa wakomavu kiloho Kila fundisho la faa Kwa nyakati zake. Walio komaa kiloho Kila fundisho la faa kujifunza. Kwa watoto wadogo kwao ni tabu na kelele
@youtubeyangahjcom9 күн бұрын
Huyu jamaa na Makonda sijawahi kuwaelewa hata siku moja
@youtubeyangahjcom10 күн бұрын
Police nao wanapiga kampeni 😂😂😂
@youtubeyangahjcom10 күн бұрын
((Kama haya ni kweli)) Hapo kwakuwa ni CCM basi hatuoni kelele Ila ingekuwa chadema ungemsikia Hadi huyo Rais akiingilia kati
@ThadeiAndrea10 күн бұрын
Nanyie mnampigia makofi
@mohdkhatib22310 күн бұрын
Utafikiri yeye hatokufa, hivi hawa ccm hata Mungu hawamuogopi?
@isayamwashibanda581910 күн бұрын
😭😭😭😭😭
@MariaLazaro-m6g10 күн бұрын
Pale alipokosea kutamka naomba tumsameh Bure, kumbuka uyu ni binadam sio malaika
@MariaLazaro-m6g10 күн бұрын
Mko vizur sana na mko teal kuifia Iman yenu kabisa. Naamin kweli kabisa Mungu hatokuja kuwaacha, ila dunian hapa huenda binadam watawaacha. Mungu azid kuwatia nguvu msikate tamaa, Aimeen.
@mashakalukinda235011 күн бұрын
kijana nimekuelewa pole pole sana nikweli hamtaisha huzuni kwa kifo cha Mzee kibao mana hamkufalijiwa poleni sana
@SubiranTimo12 күн бұрын
Hafai amesema ukweli pia yy mwenyeqe ni usalama ulopokaji wake ni mzuri
@SubiranTimo12 күн бұрын
Hongera chalalamila
@StevenTambi12 күн бұрын
Samia must go
@ibrahimusizya12 күн бұрын
YOHANA 6:66" Kwaajiri ya hayo wengi miongoni mwa wanafunzi wake wakarejea nyuma wasiandamane nae tena" Sasa basi ikiwa yesu mwenyewe alihubiri injiri mpaka baadhi ya wanafunzi wake wakarudi nyuma maana yake wakamuasi, kwanini walimuasi ni kwa sababu ya mahubiri yake . Leo hii wewe unataka uhubiri upendwe!! Labda kama mbingu imebadilika!!!!!
@GrandYounaitha12 күн бұрын
MUNGU utuhurumie
@barakamwamasage-hy2jo12 күн бұрын
Hii inchi bwana ninakosa chakusema acha tuone mudaa utaongea Mungu yupo.
@dr.sendeuonlinetv291612 күн бұрын
😭😭😭
@MalafyaleTata-h9b12 күн бұрын
😭😭😭😭😭
@Frank-b2d6u13 күн бұрын
Wewe kijana ni pumbavu sana
@RhodaKibona-w9j13 күн бұрын
Unayetuka matusi makubwa, namna hiyo ulitoka wapi???,ulidondoka tuu kutoka mbinguni au?? Mnatokosea sanaaa Wanamaker, hatupendi, mtandao Simon wakwako poker yako...
@MikaelSawile13 күн бұрын
Mode acha utoto wakutafuta kik rud kalee mmewako
@MalafyaleTata-h9b12 күн бұрын
@mikaelisawile INAKUUMA NINI, KAMA WEWE NI KIDUME PAMBANA NA WEWE, WATU KAMA NYIE HUWA NA HOMONI ZA KIKAHABA,MODE NI MTU ANAJARIBU KUTAFUTA NJIA YA KUOKOA SIO WEWE UMEJIFICHA,
@HawaOman13 күн бұрын
Hawa watu hawanaga roho au nini wanatesa watu kila siku mungu tukuomba igelia kati baba
@PhoibeMusa13 күн бұрын
Nice song❤❤❤
@fredyleonardmaths254614 күн бұрын
Zaburi 34:19 Mateso ya mwenye haki ni mengi, Lakini Bwana humponya nayo yote. Mungu yupo pamoja nawe Mtumishi wa Mungu.
@ZakayoSanga-ge4jr14 күн бұрын
Hata nyinyi watekaji mungu anawaona siku inakuja mtalia nakusaga meno,
@ProsperMbabazi14 күн бұрын
Nikweri Kaka yangu vita ipo duniani tutapmuzika Mbinguni kwa Bwana
@EnockMwambola14 күн бұрын
Nchi yangu iv kweli ni urithi wangu kama alivyo imba dito lameck
@EnockMwambola14 күн бұрын
Ata mchawi akiloga sana watu mwishoni anaanza kulopoka lopoka tu ndio hao viongozi wa chama cha majambazi CCM NI MAJAMBAZI