CHALAMILA awapongeza POLISI kwa MAUAJI hakuna WA KUWAWAJIBISHA Mmetimiza WAJIBU

  Рет қаралды 34,995

Modesta Peter

Modesta Peter

Күн бұрын

Пікірлер: 420
@TanganyikaChakupewa
@TanganyikaChakupewa 28 күн бұрын
Dada mungu akulinde sanaaa tena akutie nguvu sanaaa ❤❤
@sadickissa1600
@sadickissa1600 25 күн бұрын
Dada upo sawa,hii ni nnchi ina laana tangia tulipo pata uhuru kudhulumu viongozi wa dini na matajiri,
@sadickissa1600
@sadickissa1600 25 күн бұрын
Tunakuomba mungu umuadhibu huyu na Anaowatetea kwa mauuwaji na waliompadhamana huyu.
@japhetlukumay2778
@japhetlukumay2778 28 күн бұрын
Atalipwa sawa sawa na alivyonena na alivyojinenea. Waswahili au wahenga wanasema masikini akipata 'matako hulia mbwata'
@leokamil6284
@leokamil6284 26 күн бұрын
Amen Mungu amesikia maneno haya na atatenda
@jacksonsilaa415
@jacksonsilaa415 25 күн бұрын
Tazama Mimi ni Mungu Mungu wa wote wenye mwili je kuna neno lolote gumu usiloliweza nam hata hili la Chalamila ataliweza tu Amen.
@FestoMassani
@FestoMassani 28 күн бұрын
Huyu ni miongoni mwa watekaji Mungu anafungua midomo
@KennedyNgusa
@KennedyNgusa 28 күн бұрын
Asante Dada upo sawa
@TomasiklistophaMwinuka
@TomasiklistophaMwinuka 28 күн бұрын
Dada nimependa kurusha hii gripu mungu atatenda
@EliaHiluka
@EliaHiluka 28 күн бұрын
Huyu chalamila Hana sifa ya kuwa mkuu wa mkoa sijui hata wanao mpa huo uongozi
@emanuelpeter2489
@emanuelpeter2489 27 күн бұрын
Ni wale wanaofanana naye maana waarabu wa pemba wanajuana kwa vilemba
@gracebwimbo1889
@gracebwimbo1889 27 күн бұрын
SINDANO ZA COVID SASA ZINAFANYA KAZI MIJITU SASA INAROPOKA ROPOKA MINENO YA HOVYOO MIJITU MIZIMAAA
@paskaziasholla7471
@paskaziasholla7471 25 күн бұрын
Anawekwa kwa makusudi ili kuumiza watu na kuwainua wahalifu
@SophiaAlly-ih2ss
@SophiaAlly-ih2ss 24 күн бұрын
Mimi sijawahi kumkubali hata siku 1
@ModestRitte
@ModestRitte 19 күн бұрын
Wanaotoa vyeo wanafanana na hao wanaowapa vyeo.
@OscarKasalile
@OscarKasalile 28 күн бұрын
Huyu hafai kuwa kiongozi wa serikali
@bitecastory2137
@bitecastory2137 25 күн бұрын
Duuuuu kwa hapa kiukwel chalamila umekosea sana hiyo lugha kumbe munauwa nyinyi wenyewe ni dhambi sana Mungu akusamehe kwa hiri
@SimonMelon-k9p
@SimonMelon-k9p 28 күн бұрын
Mungu fanya Jambo ,mbona unachelewa Sana,
@hassanMahmoud-i4l
@hassanMahmoud-i4l 26 күн бұрын
ila mungu hapangiwi broo hiyo ni shirki
@paskaziasholla7471
@paskaziasholla7471 25 күн бұрын
Mungu hajawahi kuchelewa
@nabimanyafesto5014
@nabimanyafesto5014 26 күн бұрын
Na siyo mbali sana kwa haya Dada yangu unayoongea, Mungu kwa hili hatonyamaza kumaliza mwaka
@obednyagani506
@obednyagani506 26 күн бұрын
Hapa ndio tuseme mitano tena😂🎉🎉🎉🎉🎉
@AziziOmary-b9e
@AziziOmary-b9e 24 күн бұрын
Duuh, hatar hii tz inakoelekea mungu tuu ndie kimbilio letu
@hildandumbalo5827
@hildandumbalo5827 28 күн бұрын
Du! Amewapongeza polisi. Chalamila hafai kuwa kiongozi 😢😢
@hawakiza6067
@hawakiza6067 27 күн бұрын
Hafai kuwa kiongozi
@samorajama8833
@samorajama8833 25 күн бұрын
Mungu humpa dhalimu muda akimtia mikononi mwake hamwaachii Iko siku Iko siku Iko siku Killa chenye mwanzo kina mwisho Huo mstari uliousoma hapo dadangu una maana kubwa sana na inaendelea kutokea
@MogelaSaileni
@MogelaSaileni 27 күн бұрын
Hapo kaka umechemka kitugani kimekupata mbona hotubayako sielewi niwewekweli kajisilizishe Iyo crip
@JoshuaSalimu
@JoshuaSalimu 28 күн бұрын
Mkuu wa mkoa anajua udhaifu wa wanachi wa Tanzania, kuwa ni manyumbu hawajitambui
@SaidAli-rs5pc
@SaidAli-rs5pc 27 күн бұрын
Hapo mweshimiwa umechemka kwakaulihiyo unahamasisha haoaskari kuendelea kuua raia na kudai waanatekeleza wajibu kwahiyo Mzee Ali kibao alivyofanyiwa pia walikua wanatekeleza wajibu! Endeleeni ila yupo mungu atakae wawajibisha
@saltechnologiesco.ltd.2377
@saltechnologiesco.ltd.2377 26 күн бұрын
Walikuwako kina firau'n na Karu'n walikuwaje? Wamba waliojisifu kuhuisha na kufisha wako wapi hii leo? Afanye toba kubwa sana maana adhabu ya Allah ikimshukia hakuna wa kumnusuru, wangapi kuliko yeye walikufa dhalili baada ya majitapo? Haki izingatiwe maonevu yalaaniwe
@LameckMihayo-o3h
@LameckMihayo-o3h 28 күн бұрын
Well said God bless you
@loner_wolf
@loner_wolf 24 күн бұрын
Mmh napita tu .
@RehemaJongo-p1x
@RehemaJongo-p1x 25 күн бұрын
Mungu atajibu, Naamini watalipia yote wanatoyafanya, kama sio wao, vizazi vyao
@dastanifreck1009
@dastanifreck1009 27 күн бұрын
Kiukweli hii nchi sasahivi imepotea sana tunaviongozi ambao hawana hofu ya Mungu hata kidogo watu kama hawa tunapaswa tumlilie Mungu kisha Mungu adili nao ninaamini Mungu hata nyamaza juu yawatu kama hawa tumuombe Mungu atende jambo
@ModestRitte
@ModestRitte 19 күн бұрын
Hawa ndio viongozi wa nchi yetu yaani hata kile wanachohutubia hawajui wanahutibia nini na niwanani, yeye anaona anahutubia mbuzi na ngo'mbe kwani h achagui maneno ya kusema.
@EmmanuelLyaruu
@EmmanuelLyaruu 24 күн бұрын
Wabongo hawajii kudai haki. Hayati Rais Kenyatta aliwahi kusema. Tukigombezwa kidogo tu tunatangaza kuunga nia😇😇😇😇
@TanganyikaChakupewa
@TanganyikaChakupewa 28 күн бұрын
Huyu ni kichaaa wa makichaaa dar hawana mkuu wa mukoa wa futuhii niseme tu kwamba nchi nzima hatuna waku wa mikoa wengi ni machawa sanaaa
@stonetown578
@stonetown578 23 күн бұрын
Mungu hakimu wa haki ipo siku atatowa majibu.
@AvitiNjau-i4b
@AvitiNjau-i4b 25 күн бұрын
Duh! Nilkua nakukubali sana chalamila ila nimekutoa maanani kabisaaaaa.
@Alicemsafiri
@Alicemsafiri 25 күн бұрын
😂😂😂matokeo ya haribadili
@nelsonnyamle
@nelsonnyamle 28 күн бұрын
Watu wakishiba wakati mwingine huwa wanatapika.Hivyo mungu naye atawatapika ikiwa mnaona maneno hayo ni sawa
@makoepeter
@makoepeter 27 күн бұрын
Hii nchi kuanzia wananchi sisi ni vilaza mpaka viongozi ,ndio maaana hatutoki tulipo
@petermremi9898
@petermremi9898 27 күн бұрын
Huyu jamaaa nilikuwaga namkubali sana, ila Sasa...anasikitisha sana
@saltechnologiesco.ltd.2377
@saltechnologiesco.ltd.2377 26 күн бұрын
Madaraka ni zaidi ya kilevi, Mwenyezi Mungu atunusuru.
@w4058
@w4058 27 күн бұрын
Mshenzi mmoja hasidi mkubwa Hasbunallah Waniimal Wakiil Hasbunallah Waniimal Wakiil Hasbunallah Waniimal Wakiil Hasbunallah
@HijaSaid-t6c
@HijaSaid-t6c 15 күн бұрын
Allah Hao ni waja wako wanaofisadi katika ardhi, ya Allah tujibie kama ulivyomjibu Nabii Nuhu
@B23-i8p
@B23-i8p 25 күн бұрын
Mi Naamini siku Moja nchii hii ikiwa kama kenya kidogo tu Hawa viongozi ndo watakuwa wa kwanza kukimbia nchi na kuwaacha wananchi
@SophiaAlly-ih2ss
@SophiaAlly-ih2ss 24 күн бұрын
Duh aisee noma sana
@ArsihubKimonje
@ArsihubKimonje 24 күн бұрын
Taifa linaangamia hatuna viongozi wazalendo wakuwaleta watanzania pamoja,naweny upendo wa watanzania na nchi kwa ujumla,jwtz simamien maadili ya viongozi na uzalendo wao plz
@Frank-b2d6u
@Frank-b2d6u 28 күн бұрын
Mnaongea ujinga hivi serikari kama hizi tuliambiwa tutakuja tawaliwa na wahuni sasa huu ni uhuni
@olipaabongo6307
@olipaabongo6307 25 күн бұрын
Asomewe tu hiyo kitu!
@nurumwita9034
@nurumwita9034 28 күн бұрын
Yupo Mungu mtenda haki na anayejibu kwa wakati
@bonifasimichael1320
@bonifasimichael1320 27 күн бұрын
Huyu Ni mlevi
@JosephLadisilaus
@JosephLadisilaus 27 күн бұрын
Jamn hv sis wananch ndo tnachagua hawa viongoz manyumbu kwel au......
@MathiasMkolongo-c9k
@MathiasMkolongo-c9k 22 күн бұрын
Upo sawa dada
@mussathomasdossa4687
@mussathomasdossa4687 24 күн бұрын
Nyie ropokenitu kuwawa kwa raia furaha kwenu mungu yupo atasimama upanga wa mungu utakuwa juu yenu anae uwa kwa upanga atauwawa kwa upanga
@EnockMwambola
@EnockMwambola 15 күн бұрын
Dada umenena sawa mungu tunaomba aturinde
@B23-i8p
@B23-i8p 25 күн бұрын
Maongezi yote ni kuwasifia polisi tu ana hoja tz bhana
@SYLIVERIOKILIMILA
@SYLIVERIOKILIMILA 18 күн бұрын
Wewe mama acha ujinga upitaka RPC Akaendeshe gari?
@KennedyNgusa
@KennedyNgusa 28 күн бұрын
Ccm sio shida ila huyu jamaaa ,anatualibia chama
@w4058
@w4058 27 күн бұрын
CCM ndio shida usiwatete
@w4058
@w4058 27 күн бұрын
Pumbavu nyoka mweusi mwenye sumu kali Allah atakupeni machungu mlie midomo juu washenzi wakubwa
@MesiakiKayan-qm7tv
@MesiakiKayan-qm7tv 27 күн бұрын
Ccm ndio adui mkubwa kwenye nnchi yetu ila mungu yupo
@w4058
@w4058 27 күн бұрын
@@MesiakiKayan-qm7tv tena wala haitaki tochi
@shaamemchauru1365
@shaamemchauru1365 26 күн бұрын
KWELI KABISA YA NAPE MNAUYE HAYO......
@khamisjuma8501
@khamisjuma8501 28 күн бұрын
Amefeli brother 😂
@AgustinoBuhha-j9r
@AgustinoBuhha-j9r 27 күн бұрын
Ee! Mungu mchukue huyu jamaa haraka sana asimalize huu mwaka afe ! Haraka sana
@RamadhaniKitala-gx6wc
@RamadhaniKitala-gx6wc 27 күн бұрын
Subhunnah allah huyu ni kiongozi analindwa . Sisi wananchi tunalindwa na mwenyezi mungu. Mtu akishiba lazima ende shooni Sasa huyu kashiba pesa zetu za kodi anaongea atakalo Insha'Allah kheir
@SmilingCityMap-xb9md
@SmilingCityMap-xb9md 28 күн бұрын
Neno la mungu ni kweli ya milele wameidhalau shelia wamemdhalau mungu na pia ni waabudu mizimu ni kibuli balaa wana roho mbaya sana
@SubiranTimo
@SubiranTimo 12 күн бұрын
Hongera chalalamila
@ambonisyekasanga6017
@ambonisyekasanga6017 28 күн бұрын
Amelewa madaraka hila Mungu yupo
@MSOMBAAlon-gh3ps
@MSOMBAAlon-gh3ps 28 күн бұрын
Haya maneno Yako ipo siku yatakurudi umejisahau sana
@MahmoudJaffar-mt1qr
@MahmoudJaffar-mt1qr 25 күн бұрын
Mmm huyu chalamila anajielewa kweli au Hivi kwa nini viongozi wa tanzania mnakuwa hivi
@fredrickbaryagati2194
@fredrickbaryagati2194 25 күн бұрын
Uko ziro ipo siku mungu atakuripia
@DaurdCharles
@DaurdCharles 28 күн бұрын
Unaferi sana kiongozi kumbe anayesitairi kuishi tz nimmoja wengine hata wafe ila kaeni mkijua mungu atawanyosha make haya maneno sio yakiongozi
@MaisaMnyamongo
@MaisaMnyamongo 28 күн бұрын
Chalamila hajitambui
@FadhilyOthman
@FadhilyOthman 26 күн бұрын
Huyu mno mwita mama naona anateuwa wagonjwa tu huyu ni mwenda wazimu mno lkn Allah atampa lakumpa hapa hapa hafiki miaka mingi inshaalah
@MathewsSikazwe-up4qd
@MathewsSikazwe-up4qd 27 күн бұрын
jamani awa weu wasiwe Wana pata nafasi za uongozi, kwenye nchi, ipo siku ii nchi kita umana, amto amini.
@SubiranTimo
@SubiranTimo 12 күн бұрын
Hafai amesema ukweli pia yy mwenyeqe ni usalama ulopokaji wake ni mzuri
@deuskamugisha3627
@deuskamugisha3627 26 күн бұрын
Sisi tuna msubiri Mungu awajibu
@Rakim-y2z
@Rakim-y2z 26 күн бұрын
Hivi huyu jamaa nani huwa anamsikiliza kwenye hotuba yake mbn hana speech nzuri kbs..
@habibakusaga-tf4uu
@habibakusaga-tf4uu 27 күн бұрын
yani uyu sijui anaroho gani ata mnyama mnyama mwenzake akifa ana huzunika lkn huyu anapongeza uuwaji dah yana mwisho kaka iyo nafasi sio wewe wa kwanza wakoapi walipita kwenye icho kiti ulicho kalia muogope mungu wew
@ZuzuTheGreat-e8d
@ZuzuTheGreat-e8d 26 күн бұрын
Dada hawa waache tu! Ira waende kwenye bibilia hata wana wa izrael waritumikishwa miaka mingi sana lakini MUNGU alipoamua kuwapereka watuwake nchi ya ahadi alimuinua musa katika familia ya kimasikini watapo jisahau ndipo MUNGU Atamuinua mtumishi wake hamta amini
@ZiggysebahZiggysebah
@ZiggysebahZiggysebah 18 күн бұрын
Nchi hii ina minguruwe na mifisi.hovyo sana
@SelemaniMlekwa
@SelemaniMlekwa 24 күн бұрын
Mina hisi we mama unamatatizo hivi vyama vyenu vinalenga nn katika ichi hii mumekua wakugeuza maneno simtupushe
@LukeloKibumo-uu2oh
@LukeloKibumo-uu2oh 24 күн бұрын
Mimi sielewi serikali ikowapi mbonahivi vidada vinahamasisha vurugu Sasa hapo chalamila kafanyaje
@aidanselywen9644
@aidanselywen9644 22 күн бұрын
Hii ni aibu sana kwa Taifa
@kyangwezawadi7933
@kyangwezawadi7933 28 күн бұрын
Absolutely true
@NicoDaudi-r6m
@NicoDaudi-r6m 27 күн бұрын
Sijawai kumuelewaga kiongozi , hau wa Tanzania wezangu mmehelewa ?
@DanielSinavangi
@DanielSinavangi 25 күн бұрын
Nilitoka kukubali Sana chalamila ila juu ya hili umechemka sana.tena zaidi ya Sana!!!!
@johnmworia1062
@johnmworia1062 27 күн бұрын
Mama si unayaona maneno hayao? Sijui tunaelekea wapi jamani.Sasa hizi ni pongezi au. Haya ni maharaka tuu jamani.
@uwezawamungumkuu.amaniafrika
@uwezawamungumkuu.amaniafrika 27 күн бұрын
Mbona unapata shida Mama?. Nilimwambia Watanzania na bado nawambia tumrudiye Mungu wetu mtetezi wa haki. Amen. Siyo wanadamu wapitao na wasemao bila kujua pumzi yao anayo Mungu mkuu aliye hai milele yote. Amen. Mungu mkuu adhiakiwe chalamila majibu atakupa.Akuna kitu kinacho nisikitisha kabisa kuona Mkristo anaongea au kufanya mabaya naumia sana. Wakristo ni watu wa amani na upendo. Ndiyo agizo la YESU KRISTO MWOKOZI. Amen. ( Wana wa Israel awakushika silaha kupambana na wamisri hapana,walimlilia Mungu mkuu naye akawakumbuka tena kwa kishindo kikubwa, Watanzania tumtafute Mungu madam anapatikana naye atatutetea na mabaya wote). Amen. chalamila lindeni watanzania. Asante.
@baruakivuma8024
@baruakivuma8024 28 күн бұрын
Wapuuzi kama hawa Mungu hua hawaachi salama kwenye maisha yao
@jamesgidale7935
@jamesgidale7935 27 күн бұрын
Mkiuu Iko sawa
@PeterRas-o7d
@PeterRas-o7d 27 күн бұрын
One day Mungu hata fanya Jambo Maana hanaona Nakuskia
@JumabJumamkuula
@JumabJumamkuula 24 күн бұрын
Huyu hafai kuwa kiongozi kwanza ana matusi sana hana adabu na roporopo sana ana mapungufu sana
@MembiLema
@MembiLema 19 күн бұрын
Co yeye anaongoza cheo. Bali ni cheo kinamuendesha
@AyubuGereway-p9i
@AyubuGereway-p9i 28 күн бұрын
Police wanapigiwa makofi Kwa kazi nzuri familia za watanzania wanalia
@avenuschaka
@avenuschaka 27 күн бұрын
Duhh chalamila nitatizo kubwa
@JacksonMolell-w1k
@JacksonMolell-w1k 24 күн бұрын
Ole sabaya yuko wap jamani
@PhilipoMwita-b2x
@PhilipoMwita-b2x 26 күн бұрын
Kwakweli wanaoisapoti ccm mungu awasamehe
@bcozhenry2698
@bcozhenry2698 28 күн бұрын
Mungu ameshachukua hekima zake, wamebaki na mafuvu yao hawana tena mvuto kwenye mioyo ya watu na wanaropoka tu
@dianamakyara4210
@dianamakyara4210 28 күн бұрын
😂😂
@ramsorams11
@ramsorams11 24 күн бұрын
Cheo nisawa nakoti lakuazima,pashapashapashahaaaa
@YohanaMwakaje
@YohanaMwakaje 27 күн бұрын
Mungu acherewi atajibu kwa wakati tunaenda kwenye uchaguzi meseji wata pata kuwa tume choka na najua wataiba kura ila maisha yao hawata ongoza tena nchi mungu ata waondoa hata Sina was was mungu ata wanyoosha tuta sikia kiongozi furan kapata ajari yandege,mwinjine kadondokatu, na video vingine mungu ndio anajua.
@Esterkomba-ef7eb
@Esterkomba-ef7eb 26 күн бұрын
Yani huyu kiongozi waajabu sana
@ThomasMmoka
@ThomasMmoka 24 күн бұрын
Wahehe mmemsikia Chalamila wenu?
@ArsihubKimonje
@ArsihubKimonje 24 күн бұрын
Huyu hafaikuwa kiongoz
@asajilemwamundela1220
@asajilemwamundela1220 28 күн бұрын
Dah, hivi vinywa aisee
@KayongoOba-ht2rf
@KayongoOba-ht2rf 27 күн бұрын
hii mbwa vip chalamila punguza Gogo
@charlesseba2000
@charlesseba2000 28 күн бұрын
Kweli kabisa dereva wa Inyala walioua dereva Leo wanapongezwa? Uliunda kamati ya kuchunguza ya nini wakati kwako ni kazi njema. Chalamila chagua maneno ya kuongea kwa kuwa familia ya dereva wa Inyala inajisikiaje? Make Leo gari la dereva huyo limeozea Inyala polisi.... Shame on you Chalamila
@swahililifetz9056
@swahililifetz9056 27 күн бұрын
Ita fikia hatua viongozi wapimwe akili uyu hua msenge sana Sasa itafikia hatua Hawa viongozi wata kua wana uliwa moja Moja bwa nyinyi
@LoiteyoAmakoMako
@LoiteyoAmakoMako 27 күн бұрын
😭😭😭katiba mpya ni sasa
@marieconnect6389
@marieconnect6389 26 күн бұрын
Haitasaidia kitu kwa sasa. Sasa ni saa ya uchaguzi tu na kutetea haki ya kuishi bila kutekwa kwa nguvu.
@philemonnestory4239
@philemonnestory4239 28 күн бұрын
Ni msenge sana
@SebastianCharleskayanda
@SebastianCharleskayanda 28 күн бұрын
Huyo chalamila kuma sana anafikiri maisha yake yataanbana na mama ake na hao polisi
@w4058
@w4058 27 күн бұрын
Sasa hicho cha ishara ya mwanamke kwa nini
@PeterNMzee
@PeterNMzee 28 күн бұрын
Ni kweli nao watapata sawa sawa na jinsi walivyo tenda
@benedictmrisho1800
@benedictmrisho1800 26 күн бұрын
"Hoja hujibiwa kwa hoja." Jeshi lipambane na wanaolipaka matope ikiwa kweli sio wso na litoe taarifa kwa wanaolituhumu tukio kwa tukio. Ndipo litajisafisha vizuri.
@sifawayesu7079
@sifawayesu7079 28 күн бұрын
Hii ndio Tanzania 🇹🇿 yenyewe sasaaaa!!!!!!
@JohnMagudi
@JohnMagudi 26 күн бұрын
hakuna ufalme utakao simama ,kwa kufurahia damu zikimwagika na zikizidi kulia toka ardhini mbele za Mungu,Hakuna mtu naemwona kuwadhuru lakini mtatoweka mara poleni watanzania mlio raia tu,acha muuwawe tu
@barakakomondawa2767
@barakakomondawa2767 18 күн бұрын
Tanzania imeisha
GIGY MONEY THE REALITY - EPISODE 01
25:40
ZamaradiTV
Рет қаралды 8 М.
СОБАКА ВЕРНУЛА ТАБАЛАПКИ😱#shorts
00:25
INNA SERG
Рет қаралды 2,3 МЛН
When mom gets home, but you're in rollerblades.
00:40
Daniel LaBelle
Рет қаралды 132 МЛН
Human vs Jet Engine
00:19
MrBeast
Рет қаралды 187 МЛН
SATIVA AMSHIKA UCHUKU KAMANDA MULIRO
31:58
SK Media Online TV
Рет қаралды 26 М.
NAMNA YA KUINGIA JESHI LA MAREKANI | NINI KILINIPELEKEA KUAMUA KUA MWANAJESHI
1:00:05
Official Dating Assistance
Рет қаралды 64 М.
СОБАКА ВЕРНУЛА ТАБАЛАПКИ😱#shorts
00:25
INNA SERG
Рет қаралды 2,3 МЛН