Asanteni Sana lakin Mimi natak kujuwa meng kuus mapishiapilau kama kunauzekan mungenip namb yenu ya WhatsApp kbs
@LeaNzala2 күн бұрын
Nifundishe kutengeneza sukari ya unga
@MerryDavie2 күн бұрын
Vip kama ukianzisha group mamy hata kama patakuwa na ada ya kujiunga c mbaya ili tujifunze vitu vingi
@celestinss40452 күн бұрын
Leo taipika kwakwel
@SabrinaSangwa2 күн бұрын
Keki nzur Sana dada
@AnnaKomba-f9u3 күн бұрын
Unajua kupika
@ChristineOtwera3 күн бұрын
Kazi nzuri sana tena mwalimu mzuri na rahisi kuelewa I like your job but I have a question, hii decoration ya pili after icing the whole cake is done immediately ama unapea ile ya kwanza muda kidogo
@GoodluckyFrank-t9t4 күн бұрын
Iko poa sana
@AmoniMlawa5 күн бұрын
Umetisha
@RoseNdiho5 күн бұрын
Tufundishe gisi ya kutengeneza baskets na keki pamoja na crime
@MishiMishi-ng8ip5 күн бұрын
Mashaallah uko vzur mafundisho yko🎉🎉🎉
@jocelinigoodluck45746 күн бұрын
Unga wa mhogo ni kiasi gani
@jacksanzu48366 күн бұрын
Hongera sana kwa mafunzo haya asante
@estherkisakye61406 күн бұрын
Hallo is it possible to write the rezept? It looks good. But i don't understand you verywell. Please
@kelvinmbizo6 күн бұрын
safiiii
@bahatipeter50426 күн бұрын
Dada me sijui natamani kujua vizuri kupika keki❤❤❤
@EdnaMadale7 күн бұрын
Mungu akubariki sana
@EdnaMadale7 күн бұрын
Half cake haziwekwi hamira?
@HenryMugisho8 күн бұрын
Kuna uwezekano conté yazamani huwa cheîne na kulipa?
@EliwinjukaPeter9 күн бұрын
Nimejaribu kupika zmeiva vzr ila zmegandia chini ❤❤
@MaZatia11 күн бұрын
Hongera sana
@aminaniyibizi11 күн бұрын
Ninzur san tuu
@WitnessChristian-t7i12 күн бұрын
Mtamu sana
@AngelabubakariChambala12 күн бұрын
Goooog
@YusuphNkwamu12 күн бұрын
Asante dada
@comedymymusuc13 күн бұрын
Anajitahidi
@NaomiJohn-zd1tj14 күн бұрын
Asanteee dada naomba mawasiliano
@RashmaAbdulla14 күн бұрын
Atamm nimeiyewa
@abdultwalibomary14 күн бұрын
👍
@NooratMkupasi15 күн бұрын
Asante chef nimependa nitapika sku moja jmn😋😍
@AlburhanOnlinetv15 күн бұрын
@sawa
@SuzanNrhoman16 күн бұрын
Dada ni tamu aiseeeee mpaka naona nikiziuza hakuna atkae nunua moja
@HappynesDavid-x2n16 күн бұрын
Amila haitumiki?
@VailethJuma-t2i16 күн бұрын
nmefurahishwa na mafunzo ya keki yako yan iko simple sana
@Adelina-w2k16 күн бұрын
Asante
@Adelina-w2k16 күн бұрын
Asante dada ubarijiwe
@Adelina-w2k16 күн бұрын
Asante dada
@Koloboy-w4b17 күн бұрын
Ahsante dada
@BONGE-f2x17 күн бұрын
Wowo
@Eliza-p9s17 күн бұрын
Wow 👌 👏 😍 👍 leo nawapikia boss zangu shaghala mimi ngoja niingie jikoni niwatolee kitu murua ❤❤❤❤❤❤ahsante KIPENZI