Umenitamanisha kuku wa kwetu shamba😂😂😂 Santeee Love nakuja na Ugali wangu na juice ya passion
@laizalibs53982 жыл бұрын
Looks yum...
@marynyabenda44142 жыл бұрын
kwenye kidonge cha supu umeniacha dear, sijakielewa
@kekiplus1andonly2 жыл бұрын
Kidonge cha supu ni vidonge flani hivi kwajili ya kuongeza ladha ya kuku /nyama au mbogamboga vinaizwa madikani,ni ladha halisi imekaishwa na kupakiwa kwajili ya mapishi