SUA SDA CHURCH 2024
1:16
8 ай бұрын
Пікірлер
@judithmakolobela
@judithmakolobela 2 күн бұрын
Naomba kuwasiliana ya DR. CECILIA LIGOGO .. ni muhimu sana.. naitwa VERONICA kutoka TOGO SDA ..DAR ES SALAAM .
@judithmakolobela
@judithmakolobela 2 күн бұрын
Nimebarikiwa ... MUNGU ATUKUZWE SANA ....
@MariamPaulo-zf9py
@MariamPaulo-zf9py 2 күн бұрын
BWANA tupe hekima ya kushinda ,tupe taarifa sahihi🙏🏿
@JumaVitus-f8b
@JumaVitus-f8b 5 күн бұрын
Amina mtumish na barikiwa
@ZindunaAthumani
@ZindunaAthumani 13 күн бұрын
Amen barikiwa sana mtu wa mungu
@sankarao1220
@sankarao1220 18 күн бұрын
kama mwenzenu hapa kariobangi kenya ninasema hongera na mungu awaongoze na kuzidishia.
@suasdachurch6924
@suasdachurch6924 9 күн бұрын
Amen
@kombeonaumishenaritv642
@kombeonaumishenaritv642 18 күн бұрын
Haleluya sifa Kwa BWANA YESU ASIFIWE watumishi
@suasdachurch6924
@suasdachurch6924 9 күн бұрын
Amina
@JosephatMtunge
@JosephatMtunge 18 күн бұрын
Mungu atukuzwe kwa njozi hii kutimia🤲
@SAVPTVOnline
@SAVPTVOnline 18 күн бұрын
MUNGU AWABARIKI
@suasdachurch6924
@suasdachurch6924 18 күн бұрын
Amen
@MayanziBubinza
@MayanziBubinza 18 күн бұрын
Mungu aendelee kuwabariki sana wanaSUA. Elder Mabagala natambua uwepo wako
@suasdachurch6924
@suasdachurch6924 18 күн бұрын
Hakika jina la Bwana litukuzwe kwa ajili ya Wazee wetu hapa kanisani, azidi kuwabariki
@estherkimori
@estherkimori 18 күн бұрын
Hongeren sana,hasa kwa kuzingatia mziki wa ibada,,sio rege na mingine.
@suasdachurch6924
@suasdachurch6924 18 күн бұрын
Amina, Jina la Bwana litukuzwe
@ifonlyiknew619
@ifonlyiknew619 18 күн бұрын
Kitu mmezingua nikutokutuonesha Hizo studio.Ila Hongereni Kwa njozi hiii
@suasdachurch6924
@suasdachurch6924 18 күн бұрын
Ooh pole, karibu Kanisa la Waadventista Wa Sabato SUA utaitazama kwa uzuri zaidi
@ifonlyiknew619
@ifonlyiknew619 14 күн бұрын
@@suasdachurch6924 Amina..Songeni Mbele msirudi Nyuma Kamwe
@maxwellvangulinja
@maxwellvangulinja 18 күн бұрын
Ameeen
@philipojustine2541
@philipojustine2541 19 күн бұрын
Very proffesional way Bwana awabariki sana, nawapenda sana SUA SDA. 🙏
@suasdachurch6924
@suasdachurch6924 18 күн бұрын
Amen,
@nkyaisaac9484
@nkyaisaac9484 19 күн бұрын
Amen&Amen, mbarikiwe sana
@amonkibona6545
@amonkibona6545 20 күн бұрын
amina sana kwa hatua nzuri hii ya studio
@suasdachurch6924
@suasdachurch6924 18 күн бұрын
Hakika jina la Bwana litukuzwe
@pr.nyamzaba
@pr.nyamzaba 20 күн бұрын
Nimemmiss sana prof. Marago
@pr.nyamzaba
@pr.nyamzaba 20 күн бұрын
Nmebarikiwa
@SarahMbange-qg8xm
@SarahMbange-qg8xm 22 күн бұрын
Mbona hao sio heritage sasa au
@akililusajo
@akililusajo 26 күн бұрын
Amina
@carolineMaro
@carolineMaro 27 күн бұрын
Great, hongera kwaya yangu ya Sua kwa huduma katika kambi la ubungo hill. Hongera ubungo hill kwa kambi zuri. Nimefurahi pia kuiona kwaya ya Suka!!! Nawapata mubadhara toka Tucson!!!
@suasdachurch6924
@suasdachurch6924 25 күн бұрын
Amina, jina la Bwana litukuzwe
@colllinskipyego8540
@colllinskipyego8540 27 күн бұрын
🎉❤
@benardotuoma59
@benardotuoma59 27 күн бұрын
Nawapata hapa Kihonda Morogoro
@PryayaJandika
@PryayaJandika 27 күн бұрын
It's wonderful
@farajangendelo4385
@farajangendelo4385 28 күн бұрын
Mbarikiwe Sana SUA
@MadelineKihwele-nw3vj
@MadelineKihwele-nw3vj Ай бұрын
Woooow am blessed
@micahlucky5613
@micahlucky5613 Ай бұрын
Karama ya uzinzi😂😂
@micahlucky5613
@micahlucky5613 Ай бұрын
Huyu mchungaji anaelewa wito wake....Mungu akubariki sana
@micahlucky5613
@micahlucky5613 Ай бұрын
Injili za namna hii hazipendwi na wasabato wa kisasa....nanhuwa wanakuwa kama wamenyeshewa mvua kimya....kusikilizia maumivunkwenye mshono...
@barakabmasalu5642
@barakabmasalu5642 Ай бұрын
Following you from Bagamoyo Tz
@kulwalaban
@kulwalaban Ай бұрын
Tunawapata kwa uzuri Mbarikiwe sana Team
@elishadai-fv6ui
@elishadai-fv6ui Ай бұрын
🙏🙏
@elishadai-fv6ui
@elishadai-fv6ui Ай бұрын
Mungu aendelee kuwabariki wote wanaofanikisha kazi ya BWANA
@elishadai-fv6ui
@elishadai-fv6ui Ай бұрын
Amen
@irenesamuel562
@irenesamuel562 Ай бұрын
Happy sabbath
@upendokabongo3438
@upendokabongo3438 Ай бұрын
@ubungo hill sda
@SarahYunza
@SarahYunza Ай бұрын
Amina
@SarahYunza
@SarahYunza Ай бұрын
Amen
@YerikoSanga
@YerikoSanga Ай бұрын
aminah sana
@SarahYunza
@SarahYunza Ай бұрын
Hallelujah
@kulwalaban
@kulwalaban Ай бұрын
Tunabarikiwa🙏🙏
@benjaminharrison840
@benjaminharrison840 Ай бұрын
Be blessed
@joshuachanda6647
@joshuachanda6647 Ай бұрын
amen
@johnkorir-fv7vv
@johnkorir-fv7vv Ай бұрын
Sasa Iko sawa
@johnkorir-fv7vv
@johnkorir-fv7vv Ай бұрын
Natazama nikiwa nairobi.sauti haipo
@rachelmarco8098
@rachelmarco8098 Ай бұрын
Amina
@friendsforevervoices
@friendsforevervoices Ай бұрын
Aminaaa ❤❤
@EstherGidabiti
@EstherGidabiti Ай бұрын
Ameeen
@RodgersBundi-e6n
@RodgersBundi-e6n Ай бұрын
Mungu atukuzwe na hawabariki pia watoto WA sua SDA unjumbe WA malaika watatu mmeusema Woote na pia ninyi walimu mbarikiwe Sana pia numenjifunza mengi Leo kutoka a na hao watoto
@mitumeChoir
@mitumeChoir Ай бұрын
Hakika nimebarikiwa na hili fundisho Mungu akubariki sana