POLISI YAMSAKA BINTI WA NDANI KWA UHALIFU
2:34
ZAIDI YA SH MIL 100 ZANUNULIA GARI MPYA CWT
6:11
SAMIA AZIDI KUIFUNGUA TANZANIA KIUCHUMI
5:00
WABADILI TAKA ZA PLASTIKI KUWA FURSA
4:11
2 сағат бұрын
NAPE AKWEA MNARANI KUKAGUA UJENZI
2:29
2 сағат бұрын
WANAWAKE  MJIAMINI- OMOLO
2:37
4 сағат бұрын
ONA JB ANAVYOYAPANGUA MASWALI YA WAANDISHI
2:16
VAR KUTIBU MAKOSA YA KIBINADAMU - MWANA FA
2:41
MARATHON YAWAUNGANISHA KUISHINDA SARATANI
2:57
VAR YATUA BONGO, UTATA SASA BASI!
1:34
4 сағат бұрын
SARATANI YA MATITI TISHIO TANGA
3:36
7 сағат бұрын
Пікірлер
@christiankambuga9338
@christiankambuga9338 Сағат бұрын
Safii
@mathiasmichael9915
@mathiasmichael9915 3 сағат бұрын
Asante Sanaa JPM
@mussamaduka2828
@mussamaduka2828 5 сағат бұрын
Hata hivyo wamechelewa kukamilisha ujenzi wake
@mwidiniAlly-tp4on
@mwidiniAlly-tp4on 7 сағат бұрын
🙏🙏🙏
@EmmanuelNkwabi-u5f
@EmmanuelNkwabi-u5f 9 сағат бұрын
Hii nizaidi ya wema Kwa kiongozi wetu mkuu(raisi Samia) MUNGU AMBARIKI SANA!
@DaimaMwasile-wm2ii
@DaimaMwasile-wm2ii 12 сағат бұрын
Dakika chache sana kaongea
@aaminaasljbgbvf745
@aaminaasljbgbvf745 13 сағат бұрын
Upelelezi Wanini tena mtukishauwa tayari 😢😢😢😢
@hoseastephen4508
@hoseastephen4508 15 сағат бұрын
Hongera sana watu wanaotumia akili kuleta manufaa nchini na duniani kwa ujumla
@LovenessDaud
@LovenessDaud 23 сағат бұрын
Ndio maana Mimi sitaki kuolewa wanangu walelewe na baba wa kambo Mungu akufanyie wepesi wakati huu mgumu unaopitia mpendwa wangu😢
@ZaidSeifSuleiman
@ZaidSeifSuleiman Күн бұрын
Hao kipindi wakati makufuli ni rais na makonda nimkuu wa mkoa walikuja usituongope mkuu
@RoseKimishabhalemi-oz9bn
@RoseKimishabhalemi-oz9bn Күн бұрын
Amevaa suruari ? amependeza sana rais wetu
@NeemaAshely-sh1nk
@NeemaAshely-sh1nk Күн бұрын
Mungu tusaidie
@user-sj3wf5vz7l
@user-sj3wf5vz7l Күн бұрын
Mh siasa mbaya
@sevenmund
@sevenmund Күн бұрын
naona vyuo vingi vya serikali vinaikataa hii foundation programme, kama DIT hawakuchukui ukisoma foundation
@kilelechaimani.8956
@kilelechaimani.8956 Күн бұрын
Mwanamke inaonyesha alipendekeza mapenzi kuliko kuwa makini na mtoto.
@abdalahgunda1319
@abdalahgunda1319 Күн бұрын
Baazi ya wakenya wanatucheka watanzania wengi kingereza hatukijui ila laa kweli kingereza kinatusumbua lakini watanzania wanauwezo wa kuchezea simu mpaka basi na kuiba pesa ktk Mitaandao ya kijamii sasa wewe utajaza mwenyewe kingereza hawakijui ila wanaiba pesa ktk mitaandao ya kijamii sasa ni wewe kujaza akilini mwako anaibaje pesa ktk mitaandao ya kijamii kingereza hakijui
@temuramadhani5134
@temuramadhani5134 Күн бұрын
Bnada tuna roho mbaya tunasum mbya kushinda ya nyoka
@marychami1700
@marychami1700 2 күн бұрын
Proud of you my president,Dr Samia❤
@annehaysanday9214
@annehaysanday9214 2 күн бұрын
Kwani hakuna viongozi wa serikali? Kwanini msiingeita mjumɓe wa nyumba kumi wakati wa vurugu
@section8ight174
@section8ight174 2 күн бұрын
Sasa hospitali nzuri lakini nje VUMBI la kumwaga? Yaani wapi na wapi? We as a country NEED to have a HIGHER level standards when it comes to CONSTRUCTION in general. Yaani na akili yako Nzuri tu ukaona hii hospitali bila mapendezesho yoyote Yale eti ipo tayari kuzinduliwa???? Bila nyasi pembezoni ama walkways za maana! I’ve also seen schools having exact same problem. DO WE AS A COUNTRY NOT HAVE ANY LANDSCAPERS AT ALL???
@nyimbozawatoto
@nyimbozawatoto 2 күн бұрын
Wangeweza kutengeneza hapa hapa nchini kuna wataalamu wanaweza kazi hiyo badala ya kutumia mamilioni nje
@elizabethrichard7694
@elizabethrichard7694 3 күн бұрын
Nimeumia mimi jamani mtoto asie nahatia unamnyonga adi anakufa khaaaa Mungu tutetee
@user-lt1bi5nr1x
@user-lt1bi5nr1x 3 күн бұрын
Washenzi tu wamemkosaje
@DavidMbilinyi-tn3jm
@DavidMbilinyi-tn3jm 3 күн бұрын
Ww binadamu unachukua sababu amepona kakuudhi nn
@JosephKasyaka
@JosephKasyaka 3 күн бұрын
😂 😂 😂😂
@BardenBensonMwamfupe-dk3yg
@BardenBensonMwamfupe-dk3yg 3 күн бұрын
Ni ajabu sana, ulinzi hafifu. Kweli mlinzi ni mungu tu maana amepona kwa kudra zake
@abuuramadhan8093
@abuuramadhan8093 3 күн бұрын
SGR inatakiwa ifike katavi
@abuuramadhan8093
@abuuramadhan8093 3 күн бұрын
Katavi wanahitaji SGR inayoenda DRC ipitie katavi
@annajohn3377
@annajohn3377 3 күн бұрын
Sasa mtto anakosa ganii nahichoo kojiji bongo lala kweli walishindwa kumuadhibu kwanz
@benjaminmkumbo9460
@benjaminmkumbo9460 3 күн бұрын
Huu ndo ukweli
@MariamKileo-mu8rv
@MariamKileo-mu8rv 4 күн бұрын
Hv tanzania mbona wanajiachia sana sasa hv wakat wa magufuli walikua wanaogopa jamani sasa hv wapo huru kabisa jamani aah jamani sasa mtt amekosea nn alf anapelekwa police wakifika wanapewa ugali na maharage wanakula kila cku kama wapo nyumbani ndio maana hawaelew
@user-lu1by6yp4t
@user-lu1by6yp4t 4 күн бұрын
Pole sana mwaya inauma
@user-lu1by6yp4t
@user-lu1by6yp4t 4 күн бұрын
😭😭😭 ivikwanini hamjamuua uyo shetani mungu amlaani
@user-zz5ng1yb8d
@user-zz5ng1yb8d 4 күн бұрын
Zimenisaidia kwenye madonda,ila ndefu na kichaa tu.
@fredrickkaaya6287
@fredrickkaaya6287 4 күн бұрын
Hatuwezi kumsifu mtu aliyeuza bandari zetu, misitu yetu na mbuga zetu za wanyama kwa wajomba zake waarabu. Kiama chake kimekwisha tabiriwa na manabii someni alama za nyakati. Tunamshukuru Mungu kwa maono mkubwa aliyompa J P M na Leo yametimia. Hatuna cha kumtukuza mwanadamu mwenzetu kwani reli imejengwa kwa Kodi zetu wenyewe.
@HamisMghuna-fj3vz
@HamisMghuna-fj3vz 4 күн бұрын
Huyo aje Arusha,dodoma n mademu Arusha,hee kuku tu w me dedadishwa,,dangote ali deadishwa, huyo n mende mdogo sana Arusha,
@LovenessDaud
@LovenessDaud 23 сағат бұрын
Huko Arusha kwenyewe matukio ya kutisha kila siku hata huyo Dangote mwenyewe aliwasumbua Kwa muda gani au mtoto mdogo alikuwa anawatapisha dagaa mijibaba na ndevu zenu Hovyooo😏😏
@HamisMghuna-fj3vz
@HamisMghuna-fj3vz 4 күн бұрын
Huyo n kua tu laanahtullah
@abuuramadhan8093
@abuuramadhan8093 5 күн бұрын
Tuweke bomba za gas kwenda Uganda,Zambia na kenya
@abuuramadhan8093
@abuuramadhan8093 5 күн бұрын
Gas ipo pwani,ruvuma,Tanga,lind na mtwara itabd tuanzishe wizara ya mafuta na gas
@abuuramadhan8093
@abuuramadhan8093 5 күн бұрын
Msinunue mbolea nje ya nchi ikiwa Tanzania mbolea tunayo
@MasterOil-qm6vw
@MasterOil-qm6vw 5 күн бұрын
Tatizo utekelezaji maneno ya siasa sie wangine sio wanasiasa ndio maana mwisho wa siku tunawaita waongo kwakua tumezoea kutenda na sio porojo za maneno
@MasterOil-qm6vw
@MasterOil-qm6vw 5 күн бұрын
Mumekataza matumiz ya mkaa na wengi mwa wananchi wa tanzania ni wa kipato cha chini sasa tunataka tuone bomba zikichimbiwa chini ili kuwasamabzia wananchi gesi kwenye majumba yao sio kutuuzia hizi za oryx na mihani na tuone bei ya mtungi mdogo wa ges iwe japo 10000 kwa kilo 14.5kg
@landdevelopersspot4604
@landdevelopersspot4604 5 күн бұрын
Kazi nzuri sn
@abuuramadhan8093
@abuuramadhan8093 5 күн бұрын
Tunatakiwa tuzalishe gas nyingi zaid
@abuuramadhan8093
@abuuramadhan8093 5 күн бұрын
Gas bado ipo mkoa wa Tanga ,RUVUMA ,LIND ,PWAN bado gas ya Hellium
@abuuramadhan8093
@abuuramadhan8093 5 күн бұрын
Tunatakiwa tuzalishe ngano nying san
@abuuramadhan8093
@abuuramadhan8093 5 күн бұрын
Tunatakiwa tuzalishe ngano ambao ndo zao kuu tunalotoa fedha nying san kwenda nchi zingine
@MARCEL_BOY9
@MARCEL_BOY9 6 күн бұрын
Huyu jama kama lebron James basketball jamaa mrefu balaa
@KASSIMABDULLA-wm7bn
@KASSIMABDULLA-wm7bn 6 күн бұрын
YAni WABONGO. BANA KAMA HAKUNA NDUGU ZETU ASKARI
@user-wn5hy7bq5f
@user-wn5hy7bq5f 6 күн бұрын
Mzee Kinana might never recover from President JPJ Magufuli's leadership style that did not only shake TZ's Political and Economic landscape but disrupted the laxity and status quo in governance. The time for cliques of elites and cabals manipulating governance at the expense of the common man is over.
@Sidathikibuga
@Sidathikibuga 6 күн бұрын
Hiki ni chuma cha kupilia mataifa 😂😂😂
@abduljuma7807
@abduljuma7807 7 күн бұрын
Asante sana Mama Samia Kanyagia hapo hapo mpokee huyo mtu Mama achana na wamagharibi mshika mawili yote atakosa achia taratibu Kama wanataka iwe win win sio wao tu sisi tinaachiwa mashimo mali zote wana chukua