Kwanini Bakheresa asipewe mwendokasi (BRT) na SGR?😅
@XPOSED25520 сағат бұрын
safi sana
@Bilifilmz17 сағат бұрын
Walete na maboti ya kwenda kawe mpaka ununio kutokea mjini, Kutoka hapo ferry mpaka kimbiji watapga pesa sana
@zully7568 сағат бұрын
Hiyo route ya kimbiji na buyuni iko njiani.
@MagariUsed19 сағат бұрын
Azam shikamoo
@AidanMlay10 сағат бұрын
Watuletee na sea taxi za kutokea Posta bandarini na watengeneze vituo Mbezi, bunju na bagamoyo n.k kwa wale wanaotaka kukwepa foleni ya barabarani tukitokea posta
@ogdosho9320 сағат бұрын
Mivuko ile ya kizamani kama chepeo bhn likifanya bidu wote pwimiliii😅😅
@ramadhanabas445516 сағат бұрын
Si mbaya kwa kuanzia. Itatupunguzia adha ya usafiri.
@hassanrashid-l3u14 сағат бұрын
Alafu wala humuoni wala kujisifu ila wenye vijisent utawaona mitandaoni,utawaona wakiwatukana wenzao
@suleimanmohd.719712 сағат бұрын
😂😂😂😂😂 mwenye hela haongei kuhusu kipato chake wala kujifaarisha
@sosthenesmaemba13 сағат бұрын
Shame, mnadhoofisha miundo mbinu za selikari Ili watu binafsi wawekeze ???
@abuumuhammad713310 сағат бұрын
Utabakia na uhasidi huo huo mpaka utakufa na dhiki moyoni kwa uhasidi bwege wewe