Safari ya miezi 3 baharini mh mm nimeshakufa kitambotu
@nuzlanhassan23162 күн бұрын
Walikuwa wakisimama baadhi ya maeneo kama vile kisiwa cha saint helena. Istoshe kwa zama hizo ilikuwa ni kawaida safari kuchukua miezi na muda mrefu. Watu ilikuwa safari ya kwenda kuhiji kutoka Zanzibar hadi Makka inachukua muda mkubwa sana miezi mingi hadi mtu kurudi nyumbani. Kwa hiyo usistaajabu
@mfalmenajjash21282 күн бұрын
@nuzlanhassan2316 Amakweli kilazama nawatu wake usafiri wa jahazi unakatisha mkondo mkubwa wenye maji makali sijambo la masihara huyo nahodha alikuwa mtu kwelikweli swali jee uyo nahodha alipofariki walimzikaje maana amefariki baharini hawawezi kubeba maiti kwa sikuzote hizo ukizingatiya kipindihicho hakukuwa na utaalam wakuhifadhi maiti kwa mdamrefu
@nuzlanhassan23162 күн бұрын
@mfalmenajjash2128 kweli kila zama na watu wake. Kabla ya utandawazi na kuja meli za KISASA ilikuwa watu wanakata mkondo wa nungwi kwa majahazi bila ya wasiwasi wakisafiri kwenda pemba na Unguja. Kwa sababu ilikuwa hakuna njia nyengine zaidi ya hiyo kwa wakati huo. Ama kwa sasa hakuna anaesubutu kufanya hivyo. Ama kuhusu huyo nahodha kwa mujibu nilivyosoma alianguka baharini na kughariki ndani ya maji
@mfalmenajjash21282 күн бұрын
@@nuzlanhassan2316 Tuelimishe san kuhusu tawala za zanzibar maana kuna wa zanzibar hawajuwi kama zanzibar iliwahi kuwa na dolo lake kamili najinsi zanzibar ilivyo dondoka dola lake wallah tunashkuru kupata elmu kubwa kutoka kwako
@nuzlanhassan23162 күн бұрын
@mfalmenajjash2128 Allah akubarik akhui kwa maoni na mawazo yako. Tuko pamoja tutajitahid kwa kadri ya Allah atakavyotuezesha
@SalehLoffy-kn6oh2 күн бұрын
Dunia inabadilika kila siku hakuna kinachobaki ukijua historia utajielewa na itakuwa ngumu mtu kukutawa
@kizitomhagama18722 күн бұрын
Upumbavu mtupu marekani walinfaika na utumwa pamoja na sultani nifeha kuwasimulia mambo haya
@sabrinaali97502 күн бұрын
Unavoona wewe
@suleketo794Күн бұрын
Dhambi nyingi duniani Kila Dhambi na thawabu mtazikuta akhera
@shamsahamdan32742 күн бұрын
Ssadallapolesana😢
@aliyissa98572 күн бұрын
Nahodha huyu asli yake Basra, Iraq. Shia jaafaria
@nuzlanhassan23162 күн бұрын
Yupi huyo unaemkusudia hapa? Hapo hakuna nahodha Shia wala hakukuwa na Mashia katika hio safari
@nuzlanhassan2316 mm ni ndugu yenu ktk Iman napatikana kisiwa Cha Tumbatu
@OmarHassan-t9k3 күн бұрын
Ilimu ya habari iendelee
@suleimansadalla56063 күн бұрын
Walikuwa warabu hao na ishu zao za utumwa msitudanganye walipeleka watu na ngozi na ndovu
@nuzlanhassan23163 күн бұрын
@@suleimansadalla5606 una ushahidi gani. Hata Marekani wenye wao waloandika historia ya Kipind hicho hawakutaja kama kulikuwa na watumwa katika jahazi hilo. Wewe umetoa wapi kama kulikuwa na watumwa
@salimali-rf9er19 сағат бұрын
Kwani warabu sio watu, ni nyinyi wabantu ndio watu peke yenu?
@MassoudMaghwaly-jo8sh3 күн бұрын
❤🎉❤nice..
@malkiawagiza13273 күн бұрын
Asante nimechangamkia kipindi ❤
@nuzlanhassan23163 күн бұрын
@@malkiawagiza1327 shukran sana na wewe pia
@AbdallahJuma-wb8lq3 күн бұрын
Leo,Zanzibar,tunatawaliwa,nawatenda,njea,balaa
@maase20233 күн бұрын
😂😂😂😂😂😂😂 znz imeokoa marekani 😂😂😂😂😂😂😂😂😂 very funny
@shaibukhamis33792 күн бұрын
Imeokoa marekani au jahazi ndio imeokolewa mzee?
@maase20232 күн бұрын
@shaibukhamis3379 hiyo meli ya marekani znz ina uwezo upi ya kuokoa au ndio tujpe sifa tu
@nuzlanhassan23162 күн бұрын
@maase2023 hapana huko ni ukweli na sio kujipa sifa. Zanzibar kipindi hicho ilikuwa ni DOLA kubwa yenye uwezo mkubwa na sio kama ilivyo sasa
@SalehLoffy-kn6oh2 күн бұрын
wengine hawajasoma hawajui historia wao Wanavyoiona Znz ni hivyohivyo tu hawajui yaliyopita
@maase20232 күн бұрын
@SalehLoffy-kn6oh mmmmmhhhhh sio kwa znz hii tunayoijua ! Ni stori za kupikwa tu
@mohammedmbarouk11294 күн бұрын
Shukrn shkh nuzulan. Pia tuandalie vipindi vya kueleza mila na desturi zetu wazanzibar ili watu wajue mila zao na hulka zao... Kwasabb Zanzibar yetu saiv inakoelekea sio kuzuri
@IddiKhamis-u6c4 күн бұрын
Serikali ndio inaielekeza Zanzibar sehemu ambayo sio nzuri
@nuzlanhassan23164 күн бұрын
Inshallah tuko pamoja sh Mohammed
@NassorJuma-h6y3 күн бұрын
Tuko pamoja
@salehkhamis-ob8ln4 күн бұрын
Tupe historia na mitaa ya pemba
@fatmasaid97654 күн бұрын
Endelea kutuelimisha Ustadh Allah akufanyie wepesi katika shughuli zako
@nuzlanhassan23164 күн бұрын
Aamin
@fatmasaid97654 күн бұрын
Mashaallah hizi ndio historia tunazozitaka Jazaka Allah kher
@nuzlanhassan23164 күн бұрын
@@fatmasaid9765 بارك الله فيك
@Hafidh07124 күн бұрын
جزاك الله خيرا
@nuzlanhassan23164 күн бұрын
@@Hafidh0712 آمين
@Fitraz-xf1bz4 күн бұрын
بارك الله فيك وزادك الله علنا ونسأل الله أن ينفعنا بما علمك الله
@nuzlanhassan23164 күн бұрын
@@Fitraz-xf1bz آمين يا رب العالمين. الله يرزقك ذرية طيبة
@Fitraz-xf1bz4 күн бұрын
اللهم امين جميعا شكرا لك
@nuzlanhassan23164 күн бұрын
@Fitraz-xf1bz شكر الله سعيكم
@Fitraz-xf1bz4 күн бұрын
حفظك الله من كل سوء وشر
@Fitraz-xf1bz4 күн бұрын
جزاك الله ما يجزي به أولياءه
@nuzlanhassan23164 күн бұрын
@@Fitraz-xf1bz آمين وأنت بالمثل
@Fitraz-xf1bz4 күн бұрын
أحسن الله إليك
@SumaniMkomwa-zc5gb11 күн бұрын
Sumani
@amihaji-w7g11 күн бұрын
Hawa wabantu wanatokea wapi?
@nuzlanhassan231611 күн бұрын
@@amihaji-w7g inasemekana kuwa asili yao ni Afrika Magharibi. Kisha baadae ndio walitawanyika wakafika mpaka Afrika Mashariki
@amihaji-w7g11 күн бұрын
Allah azidi kuilinda znji yetu wanayo inyemelea wasiiyone
@jumajuma132414 күн бұрын
Hakuna elimu ya kueruka hayo ni machawi masufi yamejikita na uchawi wakadai makarama
@MohamedMgwami-nw6bl14 күн бұрын
Allah swt amrahamu sheikh letu pamoja na wote waliotoa mchango wao wakusoma watu kiasi Leo tumestalabika kupitia kwao,mimi ninaomba mnitumie picha zao mabwana hawa,hapo nimeiona picha ya alhabib ahmad bin sumeit nimeipenda sana ,
@nuzlanhassan231614 күн бұрын
@@MohamedMgwami-nw6bl inshallah katika makala zinazofata tutasimulia pia masheik wengine tulijaaliwa
@OmarSalum-y9c16 күн бұрын
Asili ya zanzibar ni watu waliojaa utu na ubinaadamu na huruma cjui kwa nini hivi sasa wanataja mabaya tu ya zanzibar kama hakuna watenda wema zanzibar
@nuzlanhassan231616 күн бұрын
Ni kwa sababu ya chuki dhidi ya Uislamu na dhidi ya wazanzibari.
@OmarSalum-y9c16 күн бұрын
Hata vyombo vya habari c unaona katika habari za mawio wanataja mabaya tu kama hakuna watenda mema
@idrisamara651017 күн бұрын
Good work
@nuzlanhassan231617 күн бұрын
@@idrisamara6510 thank you
@FATUMASAIDI-b9v18 күн бұрын
Jamni ndonaanz kujifunza .nahitajinkujua kiarabu seeiosly. Namwomb mung anifanyie wepes
@nuzlanhassan231618 күн бұрын
Jitahidi. Allah atakufanyia wepesi. Ukiwa na shida yeyote wasiliana nasi kwa kupitia comments. Darsa zipo kwa mpangilio
@عبداللهالبلوشي-ه6ث18 күн бұрын
معلومات ممتازة جدآ لا تنسى الزيارة و الرقم لديك 😊😊😅
@nuzlanhassan231618 күн бұрын
بارك الله فيك
@bas282318 күн бұрын
THANKS FOR REPLIED OF THE MEANING OF BANTU" THANKS FOR REPLIED" GOD BLESS U ALWAYS 🙏"
@nuzlanhassan231618 күн бұрын
@@bas2823 shukran. Thank you
@bas282318 күн бұрын
THANKS FOR SHARING" GOD BLESS U ALWAYS"
@KefaMarandu18 күн бұрын
Tumbie majina harisi ya bandari salama na bwaga moyo
@nuzlanhassan231617 күн бұрын
Sijalifahamu vizuri suali lako
@KefaMarandu18 күн бұрын
Unapindisha maelezo
@nuzlanhassan231617 күн бұрын
Kwa nini?
@OMARMOHAMED-js9nj18 күн бұрын
MHHHH!!!!!! HII INAITWA SHIRK.
@nuzlanhassan231618 күн бұрын
@@OMARMOHAMED-js9nj umejuaje kama ni shirki. Kwa elimu gani ulonayo
@OMARMOHAMED-js9nj18 күн бұрын
@nuzlanhassan2316 Mhhhh!!! Maswahaba Radhi za Allah mtukufu ziwe juu yao walichukua masiku/miezi kadhaa kufikisha ujumbe waliopewa na kipenzi cha Umma huu Mtume Sala na Salamu ziwe juu yake katika maeneo tofauti ya Dunia, kama ni makarama yangali anzia hapo kutokana na utukufu wa unapotoka ujumbe (Kwa Mtume Sala na Salamu ziwe juu yake) na uzito wa ujumbe huo, lakini ... Kwa Mtume Sala na Salamu ziwe juu yake huko sisi Waislam ndiko tunako chukua mafundisho sahihi ya Imani na Dini kwa ujumla. Wewe unawza kubakia kwenye kile unacho amini kwa mujibu wa Imani yako, na kama huna Imani basi huenda kile kinacho kutuma akili yako kikakutisheleza UCHAWI NA SHIRK ZILIANZA MAPEMA SANAAAA....
@nuzlanhassan231618 күн бұрын
@OMARMOHAMED-js9nj mambo kama haya Allah humpa amtakae. Wala Allah haulizwi kwa nini kampa huyu na akamuacha mwengine. Yawezakuwa wewe ni mchamungu zaidi kushidha mwengine lakini Allah akakunyima wewe na akampa huyo mwengine kwa njia ya kumpa mtihani. Ndio. maswahaba walikuwa wachamungu zaidi lakini haina ulazima wa kwamba kila kitu watakachopewa wengine na lazima wao wapewe. Kama innekuwa hivyo basi mitume ndio watukufu zaidi kuliko wote. Mbona wengine hawakujaaliwa kuruka kama alivyoruka mja mwema wa zama za Nabii Suleiman ambae yeye hakuwa Nabii. Pia Nabii Mussa mbali na utume wake alipewa mtihani na alizidiwa na mja mwema khidhr kielimu. Na bila ya shaka Nabii Mussa ana cheo zaidi mbele ya Allah kwa sababu yeye ni Nabii.
@AmoniMiyami19 күн бұрын
Maishallah ni khabari kubwa
@nuzlanhassan231619 күн бұрын
@@AmoniMiyami kabisa. Miji ya pwani ina historia pana sana iliyofichika
@aliyaliya199519 күн бұрын
Hivi kunawatu huwaskia wanasema kuanzia forodhani mpaka darajani nanzi mmoja haikua enela arzi kavu ilikua ni bahari na waarabu hao ndio walio shirikiana kupajaza udongo na kuujenga mji mkongwe n k nikweli au upotoshaji kama nikweli bas wamefukuzwa watu wamuhim sana znz nawameacha alama ya utuwao
@nuzlanhassan231619 күн бұрын
@@aliyaliya1995 ukweli ni kwamba maji ya bahari yalikuwepo na yalikuwa yanafika baadhi ya maeneo. Yalikuwa yakifika hadi darajani. Na kisa cha kuitwa darajani ni kwa sababu zama hizo hapo mwanzo walijenga daraja kwa ajili ya kuvuuka kutoka upande mmoja na kwenda upande mwengine. Na ndio maana pakaitwa darajani. Na vyovyote itakavyokuwa itabaki kuwa tumepokea wasomi wakubwa Zanzibar
@SalumJohn-h2s15 күн бұрын
Mwarabu ajaze dongo😂😂😂na mwafrica afany kaz fan??
@awatifalghanim110614 күн бұрын
Nanzi mmoja ndo nini???
@nuzlanhassan231613 күн бұрын
@awatifalghanim1106 kakusudia mnazi mmoja. Lakini ndo kakosea bahati mbaya
@awatifalghanim110613 күн бұрын
@ 👍
@MUHSINSALUM-cc4tg19 күн бұрын
Mbona huyo hapo Pichani ni Almarhuum Qaaboos
@nuzlanhassan231619 күн бұрын
@@MUHSINSALUM-cc4tg huyo sio Qaabus.
@fatmasaid976520 күн бұрын
ماشاء الله الله يزيد العلم ينفعك وينفعنا
@nuzlanhassan231620 күн бұрын
@@fatmasaid9765 اللهم آمين جميعا
@111dudi20 күн бұрын
Hawahawa, nliwaua na mpaka leo mnawalaani na kuwatukana, vipi leo mnajisifia nao? Waawarabu wamebebeshwa lawama za utumwa, na kuwakandamiza waafrika.
@mualimalquran20 күн бұрын
Sio waarabu wote ni wabaya. Waarabu ndio waloleta uislamu Zanzibar. Pia ndio waloleta karafuu ni wao. Istoshe wao ndo sababu ya kupatikana lugha ya kiswahili ambayo hadi tunaongea na kufahamiana kwa kupitia lugha hiyo. Katika maelezo yako umetumia maneno ya waarabu ukitaka usitake. (Mnawalaani, mnajisifia, lawama) Kama unawachukia waarabu basi tafuta lugha nyengine uongee na sio kiswahili.
@thuweinmassoud906220 күн бұрын
hakika
@nasseralhatmi176219 күн бұрын
Kuma la Mama yako mbwaaaa koko 🐄🐄🐄 wewe una ushahidi? Na mbona huwaseni Wazungu wanaokufira mkundu wako wewe na Baba yako mzazi na Mama yako mzazi ns Halafu wewe KAFIRI JEUSIIIIII ni Mtoto wa HARAMU uliezaliwa mkunduni mwa Mama yako mzazi tena chooni ukatokea khanidhi mkubwa Tanzania Pumbavuu wewe mbwaaaa koko 🐄🐄🐄 💯
@nasseralhatmi176219 күн бұрын
@@thuweinmassoud9062🦎🦎🦎🦎🐒🐒🐒💯😂😂😂
@allymaha-tv5lf18 күн бұрын
Sisi sio ktk hao wauaji wa 1964 wote waliozifuata fikira za julius kuja kuwauwa. wa zanzibar na Kuondoa nguvu. ya dini yetu ndani ya. Zanzibar na wote walio Shirikishwa Allah awaweke panapostahiki kuekwa
@BarghashiAlly20 күн бұрын
Maashallh
@fardoshnassor784720 күн бұрын
💖
@Hafidh071220 күн бұрын
أحسنت
@thuweinmassoud906220 күн бұрын
mungu akupe malipo yasio na mfano akujaze kheri
@thuweinmassoud906220 күн бұрын
tunaomba historia ya hao masheikh wengine
@thuweinmassoud906220 күн бұрын
@hafidh0712 tunaomba historia ya hao masheikh wengine
@nuzlanhassan231620 күн бұрын
اللهم آمين يا رب العالمين
@nuzlanhassan231620 күн бұрын
Inshallah
@bas282320 күн бұрын
MY FATHER CAME FROM OMAN N WENT TO ZANZIBAR ONE NIGHT HIM N HIS UNCLE WERE WALKING FROM ONE PLACE TO GO TO THE HOME" WHEN THEY PASSED NEAR OF HIS GRAVE! AT MID NIGHT"! MY FATHER SOW A BIG NUURR CAME OUT FROM THE SHEIKH NASSOR N FLY OVER IN THE SKY" MY FATHER COLAPSED" HE FAINTED FOR A WHILE" MY FATHER WAS WITH HIS UNCLE" TOGETHER BUT MY FATHER DIDNT SEE THAT NUUR" CAME FROM THE GRAVE N FLY UP TO THE SKY" ONLY MY FATHER SOW IT" HE FAINTED DOWN FOR A WHILE HE COLAPED AFTER SUCH AT TIME HE WOKE UP" N MY FATHER TOLD HIS UNCLE WHAT HE SOW A BIG NUUR CAME OUT FROM THE GRAVE OF THAT SHEIKH NASSOR AL AKHAROUSY" BERRIED OVER THERE HIM N HIS UNCLE .... TWO GRAVES ARE THERE FOR HIM N HIS UNCLE" BUT MY FATHER SOW THE NUUR CAME OUT FROM THE SHEIKH NASSOR KHAROUSY ONLY N NOT HIS UNCLE GRAVE. THIS IS A TRUE STORRY MY FATHER SOW IT" MY BIBI JADDATY MARHUMA ZEYANA BINT NASSOR AL KHAROUSY" WERE OVER THERE MY MAMA'S MAMA' SHE IS A VERY CLOSED RELATIVES WITH SHEIKH NASSOR BIN JAEY AL KHAROUSY! I KNOW WHERE HIS GRAVE IN MTONI BELONG THE OCEAN" THAT MY LAND IS THERE. IN ZANZIBAR"
@GodfreyMwamaso21 күн бұрын
Je wakati wa biashara ya utumwa inafanyika Zanzibar uislam ulikuwepo? Kipi kilianza biashara ya utumwa na uislam?Naomba unipe elimu
@nuzlanhassan231621 күн бұрын
@@GodfreyMwamaso naam uislamu ulikuwa tayari ushafika Zanzibar. Lakini walokuwa wakiongoza biashara ya utumwa ni wazungu na sio Waislamu. Walikuwa wakitoroshwa watu kutoka katika makabaila ya bara, Kongo, Uganda Kenya na maeneo mengine. Na ndio maana unakuta kule Marekani hadi leo kuna Black wengi sana. Lakini hukuti Black wengi nchi za kiarabu
@bas282321 күн бұрын
NINI MAANA YA BANTU!?? WATU WA AINA GANI!? HAWA!? NA WAMETOKEA WAPI!? ASILI YAO NI WAPI!?? THANKS I NEED REPLY PLEASE 🙏 ABT IT"
@nuzlanhassan231620 күн бұрын
Neno bantu linakusanya makabila mbali mbali ama mataifa mingi ya Waafrika weusi. Lakini tunaowakusudia sisi hapa ni wale walokuwepo ukanda wa pwani ya Afrika mashariki. Na inasemekana asili yao ni Afrika ya kati na ya Magharibi. Yaani Cameron na Nigeria nk. Na kisha baadae ndio wakatawanyika katika mataifa mengine ya Afrika hadi kufikia Afrika Mashariki na Afrika kusini na maeneo mengine
@yohanamchomvu21 күн бұрын
Nenda kasome shule
@nuzlanhassan231620 күн бұрын
Usitukane. Kama wewe ni Msomi lete hoja zako na sio utukane