Mnakosha kazi nzuriii sauti zimetulia wadogo zanguu proud of you Mungu awatie nguvu muifanye kazi yake kwa ustadii na ufundii wa hali ya juu ill jina lake litukuzwe na kazi yake isonge mbele. LOVE MORE❤❤❤❤❤
@ElizabethCostantine10 күн бұрын
Wow so cool my youngs be blessed ❤
@AnnaWilson-n5i11 күн бұрын
Mnatubarik sana jaman nataman nije kuimba na nyie ila bas ten mungu awatangulie katika kumtumikia kwenu ❤
@AbwliGhrt12 күн бұрын
Hongera sana
@tambukwakudra55013 күн бұрын
Super
@sautiyatarumbetachoir19 күн бұрын
Barikiweni sana❤
@JacklineMhelela23 күн бұрын
Barikiwa San watoto kwa kuimba vzur
@JosephineJoseph-kb5md23 күн бұрын
Love you sana
@thehumblevoicesfamily5996Ай бұрын
Mbalikiwe sana
@cobchildrenschoir82528 күн бұрын
Amina.. 🙏🙏🙏
@matishodennis5497Ай бұрын
👏🏻👏🏻👏🏻
@cobchildrenschoir82528 күн бұрын
🙏🙏🙏🤲🤲🤲
@RebeccaJohnRebeccaАй бұрын
❤❤,❤❤
@MatyenyMarwaАй бұрын
Mpe yesu maisha yako ili uwe salama..
@Blazekids1Ай бұрын
Yaani wanatembea kwenye maono yangu kabisaaa.... Naibariki sana hii kwaya inaugusa moyo wang
@cobchildrenschoir825Ай бұрын
Amina.. Ubarikiwe sana.. 🙏🙏🙏
@AshuraMoshiАй бұрын
Mungu Awainue Zaidi Wazidi Kumtumikia Mungu na Kumjuwa ili waweze kukaa katika kusudi la Mungu😢
@cobchildrenschoir825Ай бұрын
Amina!! 🙏🙏🙏
@user-vd4kk3uz8kАй бұрын
Be blessed♥️💕♥️ nawapenda bureee jaman
@cobchildrenschoir825Ай бұрын
Amina.. 🙏🙏🙏
@samsonlukius1274Ай бұрын
❤ good creativity
@rosejulius5081Ай бұрын
Mbarikiwe sana sana watoto wa Mungu
@cobchildrenschoir825Ай бұрын
Amina!!
@sabamultimediabrandАй бұрын
Great
@ancobmaarifacollectionАй бұрын
Umeongeza furaha yangu
@cobchildrenschoir825Ай бұрын
Amina.. Barikiwa sana Mkuu kwa kuwa supporter wetu mkubwa kabisa..
@SophiaKisubzoАй бұрын
Hej 😊😊😊😮😮😮
@SophiaKisubzoАй бұрын
🎉 4:01
@adoniasr.nyamjulirwa5528Ай бұрын
Mnanibariki,Yohana upo vizur ❤❤❤🎉
@cobchildrenschoir825Ай бұрын
Amina.. Barikiwa sana ndugu.. 🙏🙏🙏
@janethlonungu8957Ай бұрын
😊mbarikiwe
@cobchildrenschoir825Ай бұрын
Amina! Barikiwa pia.. 🙏🙏🙏
@tambukwakudra550Ай бұрын
Wow, niceeee
@cobchildrenschoir825Ай бұрын
Thank you🌹🌹
@ellyngussa201Ай бұрын
Ameen sana
@ZerahiaZedekiaАй бұрын
Amen 🎉🎉❤
@ELIASJOHN-ur3ohАй бұрын
Mungu awaongoze Daima❤
@cobchildrenschoir825Ай бұрын
Amina...
@ELIASJOHN-ur3ohАй бұрын
Mbarikiwe 🎉🎉
@Heavenvoicetz224Ай бұрын
May God bless u more 🎉🎉🎉🎉❤ its amazing
@cobchildrenschoir825Ай бұрын
Amen🙏🙏🙏
@florencechaz1714Ай бұрын
COB CHILDREN CHOIR si itoshe tuu kumwambia Bwana Yesu Asante Kwa ajili yenu .!? hongereni sana Kwa utumishi mbarikiwe mno Kwa wimbo mzr.Sabato njema kwenu.
@cobchildrenschoir825Ай бұрын
Amina! Hakika nguvu zina MUNGU wetu na tunamshuru sana kwa mibaraka na vipawa anavyotupatia kwa ajili ya kazi yake.. Jina lake litukuzwe sana.. 🤲🤲🤲🙏🙏🙏
@kwandikwa8733Ай бұрын
Mbarikiwe
@cobchildrenschoir825Ай бұрын
Amina.. 🙏🙏🙏🤲🤲🤲
@danielbaraka9258Ай бұрын
Wimbo mtamu kabisa muzidi barikiwa na Bwana. Muna bariki watu kwa sauti zenu nzuri
@cobchildrenschoir825Ай бұрын
Asante sana Mwalimu Daniel Baraka, hakika umekuwa Baraka kwetu.. 🙏🙏🙏
@keheyemwitamsabi580Ай бұрын
Barikiwa sana Mwenyezi Mungu azidi kuwapigania ktk Utumishi wenu
@cobchildrenschoir825Ай бұрын
Amina! Asante sana kwa kututia moyo. 🙏🙏🙏
@magesamatiku7506Ай бұрын
Mbarikiwe sana wanangu MUNGU awafikishe mbali
@cobchildrenschoir825Ай бұрын
Amina! Hakika nguvu zina MUNGU wetu.. 🙏🙏🤲🤲🤲
@danielbaraka9258Ай бұрын
Muzidi kusonga mbele na Bwana awabariki
@dottodaniel7535Ай бұрын
Mbarikiwe watoto wazuri,Mungu atusaidie sote tutoke Jangwani.
@cobchildrenschoir825Ай бұрын
Amina.. Asante sana Afisa..
@user-gf1nm1fd1jАй бұрын
Hawa watoto ni wawaaapi jamanii wanaimba kama watu wazima wanaojitambua
@cobchildrenschoir825Ай бұрын
Hawa wapo Kahama.. Wanashiriki katika Kanisa la Wasdventista wa Sabato Kahama Mjini..
@Enock-bz1nfАй бұрын
Barikiweni
@cobchildrenschoir825Ай бұрын
Amina...
@DeodathaJosephАй бұрын
Mbarikiwe
@EvilineJumaАй бұрын
Mungu awabariki🎉🎉🎉
@thehumblevoicesfamily5996Ай бұрын
Mbalikiwe
@LeticiaLeticia-bw2ju2 ай бұрын
❤❤❤mmenikosha mbalikiwe watt wazurii
@LaurensiaMakungu2 ай бұрын
Mbarikiwe Sana ,Mungu aendelee kuwatumia kwa Kaz nzuri
@cobchildrenschoir8252 ай бұрын
Amina.. Barikiwa pia
@BoniphaceKaje2 ай бұрын
BWANA ATUKUZWE JUUU YA MWAYA HIII MPO WAP ??
@cobchildrenschoir8252 ай бұрын
Tupo Kahama Tanzania🇹🇿
@LaurensiaMakungu2 ай бұрын
Be blessed
@abiaminiibrahim49832 ай бұрын
Wow,God bless you❤
@jailossilubonde2 ай бұрын
Mbarikiwe sana ninyi watu..mwalimu Mungu azidi kukutumia