CoB Children's Choir - The pride of the Nations +255 756 290 690 +255 767 225 158 Kahama Central Church
Пікірлер: 74
@morisbusoka-z5k17 күн бұрын
Amen
@NeemaAman-u3g19 күн бұрын
Nawapenda sana mkuwe mkiwa na Imani hii hii MUNGU atawabariki sana 🎉🎉 endleeni hivi Iman itaongzk Kila Leo MUNGU azidi kuwatia NGUVU walimu wenu pia🎉🎉
@edinahellon35304 ай бұрын
Nawapenda sana kwa hakika mnanibariki, Mungu azidi kuwainua zaidi na zaidi tufike mbinguni
@LeticiaLeticia-bw2ju4 ай бұрын
❤❤❤mmenikosha mbalikiwe watt wazurii
@kyungudaisy16337 ай бұрын
Ameen
@ElizabethCostantine2 ай бұрын
Mnakosha kazi nzuriii sauti zimetulia wadogo zanguu proud of you Mungu awatie nguvu muifanye kazi yake kwa ustadii na ufundii wa hali ya juu ill jina lake litukuzwe na kazi yake isonge mbele. LOVE MORE❤❤❤❤❤
@bennymsabatoclassic4 ай бұрын
Yatosha jangwani ndio habari ya mjini ❤❤❤❤
@Mwambubamusadauden4 ай бұрын
Hongera sana kujihusisha katika kazi hii ya Mungu. hakika Bwana atawalipa na mtafurahia matunda ya kufanya kazi pamoja na Mungu.