hakuna muislamu hapa, maana hata kujifunga hawajui halafu waislamu wanatamka ISMAIL na sio ishmail. MUNGU AWAONGOZE na awape nuru ya uislamu. kwani wamejua kua hayo ndio mavazi ya heshima ndio maana hawakuvaa vile vichupi.
@Zuenacakes8884 күн бұрын
Punguza makasiriko hiyo ni kazi ya Mungu ❤
@medimisi69304 күн бұрын
@@Zuenacakes888 ndio maana nikawaombea dua kwa Allah kua awaongoze ndugu.
@Zuenacakes8884 күн бұрын
@@medimisi6930 mtu anapomwambia fulan ananyoa kisabato na sio msabato hatakiwi kudhihakiwa
@medimisi69304 күн бұрын
@@Zuenacakes888 tuombe mwisho mwema.
@user-il8wx3eq8i3 күн бұрын
Hayo nimavazi tu
@KanaanisdachoirKSC6 күн бұрын
Aminaaa sana wimbo wa ujumbe
@DenisEliya_4Ай бұрын
Kuna nini
@RoseBuyebeАй бұрын
Barikiweni mwende mbali na Bwana Azidi kuinuliwa hongreni sana
@KanaanisdachoirKSCАй бұрын
Kazi nzuri sana
@sdaishilangayouthchoirАй бұрын
Nice
@faithkibet73462 ай бұрын
A very nice song ❤
@FLORACHARLES-pd7er2 ай бұрын
Mbarikiwe sana
@danielmnegena42742 ай бұрын
Good songs
@KanaanisdachoirKSC2 ай бұрын
Aminaaa
@elisonministry56302 ай бұрын
Mbarikiwe Sanaa😅❤❤
@GraceMakaranga2 ай бұрын
Big up
@LuthDavid3 ай бұрын
Song which ejucate 2our society
@eliakanyika49213 ай бұрын
Wasabato mnajua kuimba 🎉🎉🎉🎉🎉🎉
@eliakanyika49213 ай бұрын
Uimbaji wa wasabato ua naupenda sana maua kwenu🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
@JUMASAKO-fr6cs3 ай бұрын
🎉😮shengeshengetena
@user-je2gr7rb2p4 ай бұрын
Good message stay blessed
@KaaKsa-yl7dd4 ай бұрын
Wimbo mzuri sana uko mavunzo mengi kama sisi binadamu
@user-ll8wx5wv5o4 ай бұрын
Hongerene sana
@danielmnegena42744 ай бұрын
Surely
@user-hv3nj1fk7u4 ай бұрын
Mubarikiwe sana kwa ujumbe unaoponya
@anthonygondwe16084 ай бұрын
Kazi safi wapendwa
@user-kn1mj3li7w4 ай бұрын
Hata mimi nimewakubali
@julyodette69454 ай бұрын
Mungu awabariki sanaa ujumbe wenu ni mbarakaaa
@user-hp8gs3pe2l4 ай бұрын
Nice song ❤
@user-bq3tz5ug3j4 ай бұрын
Ujumbe wenu umefka kwa wakati mwafaka barkiwen
@mwalimumkalawaya77574 ай бұрын
Barikiweni
@NaomiManyenyi-iz4ql4 ай бұрын
Na barikiwa sana mungu awabariki
@MatungwaBwoma-vn3rf4 ай бұрын
Mnaimba vizuri lakini mnayaishi
@JacklineStevene-zk5gl4 ай бұрын
mungu awabariki
@AjuaeMgeni4 ай бұрын
❤
@JemcyJovita5 ай бұрын
Good style of singing song❤❤❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉 ilove it😅😅😅😅
@DanielMnegena5 ай бұрын
Penda sana wimbo mzri sana
@chomangadeusdedith92875 ай бұрын
Wimbo mzuri wenye kueleza uhalisia wa kile kinachofanyika kwenye simu
@esterelkana59205 ай бұрын
Mbarikiwe sana watu wababa
@mayasamayasa12055 ай бұрын
Ni kwel kabisa watu tumejiweka mbali na mungu
@mbokamonga42125 ай бұрын
Amen 🙏
@muthomialfred81305 ай бұрын
kupitia nyimbo mmenihubiria.Wasabato mna ukweli wote.Lazima nijiunge nanyi na mbarikiwe sana
@KanaanisdachoirKSC2 ай бұрын
Karibu sana
@user-ee3ex7iy1z5 ай бұрын
Nyimbo zuri san
@NessMbwaga5 ай бұрын
Tunabarikiwa na huduma yenu Bwana awatumie kwa viwango vyatofautii mkitii na kujishusha
@KATETESDACHOIR5 ай бұрын
MUNGU na awabariki saana
@KanaanisdachoirKSC5 ай бұрын
Mbarikiwe
@danielmnegena42745 ай бұрын
Good song
@danielmnegena42745 ай бұрын
Hallelujah
@agnes76755 ай бұрын
AMEN
@barakaaman26685 ай бұрын
Hakika ni ujumbe mzito,,,Mungu awabariki waimbaji ,,namuona mwalimu wangu Mwalimu James Hakika Mungu akubariki❤
@user-wp6qr1kf7z5 ай бұрын
Amen.very powerful message to this end time generation.