Uimbaji wa wasabato ua naupenda sana maua kwenu🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
@eliakanyika492110 ай бұрын
Wasabato mnajua kuimba 🎉🎉🎉🎉🎉🎉
@LucySaok-d2h2 ай бұрын
I really like your song and the way you people dance ❤I am pastor Lucy from Papua new guinea 🇵🇬
@jameswambua-n5k11 ай бұрын
Good message stay blessed
@JamsMkubwa11 ай бұрын
Hata mimi nimewakubali
@SikujuaJames Жыл бұрын
😮ni kwer asante kwa ku2kumbuxh
@joshuageradi1657 Жыл бұрын
Balikiwa sana
@chomangadeusdedith928711 ай бұрын
Wimbo mzuri wenye kueleza uhalisia wa kile kinachofanyika kwenye simu
@rodgersjustin6524 Жыл бұрын
Utulivu,ujumbe mzito,uinjilisti wa kweli mnastahili ni ujumbe wa kweli hakika mbarikiwe Sana Galilaya Choir
@ruffinndala-te6vo Жыл бұрын
Wimbo wa mafundisho
@thevoiceofherlald2024 Жыл бұрын
Mfika mbali Sanaa wainjilisiti
@julyodette694511 ай бұрын
Mungu awabariki sanaa ujumbe wenu ni mbarakaaa
@GodwinMbalwa-w2i11 ай бұрын
Mubarikiwe sana kwa ujumbe unaoponya
@ScholasticaSulugi11 ай бұрын
Nice song ❤
@KaaKsa-yl7dd11 ай бұрын
Wimbo mzuri sana uko mavunzo mengi kama sisi binadamu
@LeahMika Жыл бұрын
Nyimbo zuri san
@anthonygondwe160811 ай бұрын
Kazi safi wapendwa
@NaomiManyenyi-iz4ql11 ай бұрын
Na barikiwa sana mungu awabariki
@mayasamayasa1205 Жыл бұрын
Ni kwel kabisa watu tumejiweka mbali na mungu
@agnessvicent6591 Жыл бұрын
Nawapenda sana wasabato me mwenyew soon mungu akipenda najiunganisha huku
@JeniferMwashimanga Жыл бұрын
Amina
@kiarienjire5595 Жыл бұрын
Amen and welcome 🙏
@dorcusmusombi3646 Жыл бұрын
Karibu xana
@LengaiMgamba-sv7zo Жыл бұрын
Karibu sana tumuabudu Mungu mwema pamoja ndugu 🔥🔥
@subiraulombe1272 Жыл бұрын
Amen
@muthomialfred8130 Жыл бұрын
kupitia nyimbo mmenihubiria.Wasabato mna ukweli wote.Lazima nijiunge nanyi na mbarikiwe sana
@KanaanisdachoirKSC9 ай бұрын
Karibu sana
@MusaMaduhu-g6c Жыл бұрын
Ujumbe ni maridadi sana pia tune imetulia,hongereni Mungu awabariki.
@barakaaman2668 Жыл бұрын
Hakika ni ujumbe mzito,,,Mungu awabariki waimbaji ,,namuona mwalimu wangu Mwalimu James Hakika Mungu akubariki❤
@WiniMaulis-qs4dj Жыл бұрын
Jamani wimbo mzuri sana na unaujumbe mzito, mbalikiwe sana ❤❤❤
@thompsonkumwenda7595 Жыл бұрын
Amina muyende Mbali
@SrMariaCb Жыл бұрын
Hongereni sana kwa wimbo mzuri wa kujenga maadili Tena.👏👏👏
@PrescahJohsee Жыл бұрын
Naafiki wimbo huu ni una bii kamili
@RosineMusaaa Жыл бұрын
Ni ukwel mungu atuwezeshe kubadilika kwa sababu byote hibyo vimetubeba mungu awabaliki
@solenmhanga2790 Жыл бұрын
Hongeren Sana lakn atanyie muwe kielelezo, msiimbetu mungu asaidie tuombeane jaman
@JanethOmari Жыл бұрын
Amina mimependavsan wimbo mzr
@SophiaMsuya-u9u Жыл бұрын
Mungu aendelee kwainua mumuimbie ktk Roho na kweli barikiweni
@Esther-t3j2r Жыл бұрын
N swali tu....kweli mtandao n MUNGU ameweka au kuumba ama😢
@JosephNguka Жыл бұрын
Mungu awafikishe mbali sana
@AlfonsiaNchimbi Жыл бұрын
Ujumbe mzito unatugusà😂
@nancywambula6218 Жыл бұрын
Tumetekwa kweli hata mi mmoja wao naomba neema ya mungu
@VeronicaJulius-b8p Жыл бұрын
Mungu awabariki sana
@nyarondiajames4999 Жыл бұрын
Tanzanian be blessed abundantly. You are indeed promoting christ than no other. The massage is loud and clear no entertainment encouraged good dressing good everything. Do not do it for money as others do but for purposes of mission. Kenya Malindi
@victoriakilela9351 Жыл бұрын
Ahsanteni sana kwa mafundisho
@ElaineKimaro Жыл бұрын
Kwakweli mungu awabaroki Kwa kutimia vizuri sauti zenu kumtukuza mungu
@mariachengula5166 Жыл бұрын
Mbarikiwe watumishi Kwa ujumbe mzuri .Mungu atuponye mioyo yetu kupia ujumbe huu asanteni .Mungu azidi kuwatumia vile apendavyo yeye Kwa Utukufu wake
@KanaanisdachoirKSC Жыл бұрын
Amina
@JenifaphilipoChengula Жыл бұрын
Kwa kuwa mmekuwa tayari kumtumikia Mungu kwa moyo mmoja, songeni mbele fikeni mbali ila msipotee❤❤
@nuhu6047 Жыл бұрын
Ni kweli. Mbarikiwe na Yehova
@albanusmwandoi3583 Жыл бұрын
Wow good advice to everyone
@boazimsasa8711 Жыл бұрын
Nawapenda Sana ,wasabato nyimbo safi
@amosgodfrey2870 Жыл бұрын
BARIKIWA SANAAA
@barakaaman26689 ай бұрын
Aminaa
@elizabethmagoma9109 Жыл бұрын
Barikiwa kwawimbo .mzuri
@daudilorry693 Жыл бұрын
pamoja sana wapendwa ujumbe mzuri sana
@nyarondiajames4999 Жыл бұрын
That type of singing and general presentation in our really Identify (usabato kamili)
@shuhudatuya7658 Жыл бұрын
Mungu awabariki sana ahsanteni kwa ujumbe mzuri
@beatricekatunzi903 Жыл бұрын
Jamaniiii wimbo mzuri sana..Ujumbe mzuri. MUNGU AWABARIKI SANA NDG ZANGU
@domitilalekundayo6934 Жыл бұрын
Nice song, I like SDA songs.
@RizikiSaimon Жыл бұрын
mungu awabariki sana wapendwa
@HermanSaenda Жыл бұрын
Hakika mwlimu uko vzr Sana na waimbaji wote pia hongereni sana
@KanaanisdachoirKSC Жыл бұрын
Amen
@ZawadiKasekwa-mm4vu Жыл бұрын
Tutumie sim zetu vizur
@abiyo9200 Жыл бұрын
Asante sana kwa wimbo wa funzo tukisikia ee na yuwe waelewa tujue kuwa mtandao ni kujielimisha kuhusu mungu ❤
@SuzanJonathan-v1e Жыл бұрын
Amen🙏🙏🙏🙏mfikembali watumishi
@YusuphuDaniel-c5b Жыл бұрын
Wimbo mzurisana munguawabaliki sana
@neemaryan9947 Жыл бұрын
Huu ujumbe umefika kabisa Mungu awabariki
@rahabuzephania9496 Жыл бұрын
Wimbo ni mzuri saana Barikiweni saana
@KanaanisdachoirKSC Жыл бұрын
Amina Sana
@jakee2041 Жыл бұрын
Ameeen. Ameeen. Powerful item. "Media"
@FelixJohn-j9q Жыл бұрын
Hakika wimbo huu unaujumbe mzuri sana.jukumu letukuupokeaujumbenakuufanyiakaziMunguawabarikisanawaombaji.ujumbehuouanzenaninyi.amen
@Clars-fr7yy Жыл бұрын
Amen 🙏🙏 amen mubarikiwe
@jacklinengasora6430 Жыл бұрын
Simu sitatuangamisha mungu tupandisha mawazo wetu tusome neno lako.Amina
@marymoraa825 Жыл бұрын
Amen 🙏 🙏 🙏 acha tutumie mitandao kwa kueneza inchili
@IreneRaban Жыл бұрын
Mbarikiwe. Sana. Watu. Wa. Mungu.
@neemandalahwa Жыл бұрын
Mungu awabariki
@orphakemboi9567 Жыл бұрын
Nice song be bless
@sheilamuyobo6992 Жыл бұрын
Very true may god bless u
@floribertbarutwanayo6 Жыл бұрын
Mimi kutoka Burundi
@SUSANCHELAGAT-f8y Жыл бұрын
🙏 🙏 AMEN ujumbe wa wakati
@PatriciaLeonard-rs1kj Жыл бұрын
Amina wimbo uzuri sana na ujumbe mzuri Mungu azidi kututia nguvu katika safarii hii iliyojaa maasi mengi🙏🙏